Mimi naishi south africa cape town🇿🇦kilasiku na msikiliza pastor mafundisha yake kila siku imenisaidia sana kwenye maisha yangu mungu am bariki sana pastor brown, swahili zangu ni ngumu sana nyumbani kwetu Ni Dr Congo Kinshasa🇨🇩
Naitwa Samson Abel Niko geita baba askofu mkuu mungu akutunze Bado unahitajika sana kwa kanisa letu la E.A.G.T Leo tunakusikiliza live sibuka mungu awe nawe baba

ubarikiwe
Mungu akubariki baba yetu kwa injili nzuri.
Ameen Ameen Ameen Ameen mtumish mungu akutie nguvu uendeleee kufanya kazi njema ya bwana yesu
Huwezi kumpendeza Mungu bila kumkubali Mungu kwa mwanaye Yesu
Amina
Pastor yuko rohon saana..be blessed
Haleluya kwa Bwana Yesu Kristo.
Asante baba yetu ASKOFU mkuu kwa mafundisho yenye neema kubwa.
Naitwa Samson Abel Niko geita baba askofu mkuu mungu akutunze Bado unahitajika sana kwa kanisa letu la E.A.G.T Leo tunakusikiliza live sibuka mungu awe nawe baba
Thank you man of God. Iam blessed.
Asante baba Mungu akubariki sanaa
Ubarikiwe san askofu
Ameen, MUNGU AMTUZE MZEE HUYU TUENDELEE KUPATA MAARIFA YA MUNGU KUPITIA YEYE.
Mungu akuenue zaidi na zaidi
Amen Mungu ni mwema.roho wa Mungu Kaa ndani yangu
YESU, kaa nami ili nishinde aminaaaa
Baba uko vema sana
Thanks Jesus
Amen
Napokea nguvu kwa jina la Yesu
Neno la Mungu ni Roho tena ni uzima
Mungu ni mwema asante baba askofu KWa baraka ya somo hili.
Amina sana
Amen