MUNGU KWANZA katika mambo yote - Utakuwa salama || Brown Mwakipesile

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 16

  • @LuganoMwakalinga-p3k
    @LuganoMwakalinga-p3k 9 месяцев назад

    Hallelujah, Mungu tunaye mwabudu katika kristo YESU azidi kukutunza kwa ajili ya kuujenga ufalme wake.

  • @PhilemonMollel-f4x
    @PhilemonMollel-f4x 28 дней назад

    Mungu azidi kukutia nguvu Askofu na baba yetu

  • @neemarugano4161
    @neemarugano4161 4 года назад +3

    Umenipa dish viwango vya Kiroho, Bwana Yesu azidi kukujaza mafunuo zaidi na kukuwezesha kuihubiri injili ya kweli ya Kristo.

  • @fredchuwa845
    @fredchuwa845 4 года назад +3

    Amina baba askofu wangu, Mungu akutunze na kukuweka sana kwaajili ya kulisha kundi lake

  • @LucasMayunga
    @LucasMayunga 4 месяца назад

    Mungu awabariki sana kazi njema

  • @DaudiPaulo-f9j
    @DaudiPaulo-f9j Год назад

    Mungu akubaliki mtumishi naakutie nguvu@@@ 46:01

  • @LilianChei
    @LilianChei Год назад

    Amen🙏

  • @Jacobmwene
    @Jacobmwene 2 года назад +1

    Amen mchungaji.Mungu akuzidishie.

  • @moshinurse814
    @moshinurse814 3 года назад +1

    nimependa utaratibu wa kanisa ulivyo panga watu Yesu atukuzwe sana nimejifunza mengi

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 Год назад

    Amen

  • @willekaminyoge7807
    @willekaminyoge7807 Год назад

    Umenibariki saana

  • @DamasiaNombo-n4e
    @DamasiaNombo-n4e 9 месяцев назад

    Ameen

  • @ermichaelqnic3595O
    @ermichaelqnic3595O 2 года назад

    AMEENA

  • @LizikiMwashambwa
    @LizikiMwashambwa 10 месяцев назад

    Thank you Bishop for this spiritual doctrine.

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 4 года назад

    Amina Baba askofu nimepandishwa Gage nyingine!