Mafundisho mazuri sana ubarikiwe mutumishi wa MUNGU lakini wa fundisheni wa kina MAMA kweli kuacha mali ya yezebeli muwambiye kwakuwa mutatowa hesabu juu yahizo roho mumeachilia tanguzamani haukuwa ivo wachungaji mutaulizwa na MUNGU
Hii ndo Injili inamtoa mtu kutoka hatua ya chini kwenda juu siyo injili ya mafanikio kila siku njoo tutavunja laana hapa laana inavunjika yenyewe sikiliza upone
Baba Askofu ubarikiwe sana nafurahi kuwa na kumbukumbu za namna hii zinatujenga sisi vijana tunao rithi injili hii... 🙏🙏
Yesu Kristo ndio njia ya kweli Kwenda kwa Mungu, ..... Yesu ni Mungu. Asante mtumishi wa Mungu
Mungu nakushukuru kwakumtumia mtumishi wako.....naomba uzidi kumtumia kwa viwangooo
Amen mtumishi wa Mungu ujumbe huyu umenitiya nguvu
Mchungaji Mungu akuongezee ufahamu .
I love your preaching
Amin Amin Amin
Mungu azidi kukutumia nabarikiwa sana na mahubiri yako
Mwenyezi mungu wa uhaiiii wetu akuzidishie nguvu na akupe uwezo mkuu wa kufundisha neno lake takatifu
Ameeen Utukufu kwa Bwana
My Gd almighty bless you Bishop Mwakipesike for the nice message.Mungu akuinue zaidi zaidi uendelee kulifaa Kanisa ..na Taifa pia
Barikiwa baba.....
AMen Amen
Thank you so much
Mafundisho mazuri sana ubarikiwe mutumishi wa MUNGU lakini wa fundisheni wa kina MAMA kweli kuacha mali ya yezebeli muwambiye kwakuwa mutatowa hesabu juu yahizo roho mumeachilia tanguzamani haukuwa ivo wachungaji mutaulizwa na MUNGU
Mungu azidi kukupa mafunuo yake Amina
Kazi yako njema askofu
UBARIKIWE MZEE WETU MWAKIPESILE
Mungu awe nawe ck zote
Amina
Amen mtumishi mungu wa mbinguni akubariki kwa kutupatia chakula cha kiroho
Amen mungu ni mungu
Haleluya YESU yu mwema,Mungu wetu wa mbingu na nchi azidi kukubariki.Amina.
Ninamtukuza Mungu kwa ajili Yako baba yetu. Endelea kusukuma Injili hai isiyoghoshiwa. Mbingu tuingie,,,,
Amen baba ubarikiwe sana
Asante mungu
Asante mungu 🙏🏻
Jamani nimependa Neno kwelikweli ila mapambo shetani achilia watu ufahamu waachane na urembo ili ajulikane wa Mungu na wa shetani
Amen.
Thankps my God for special words
We
Great.. Powerful
Hii ndo Injili inamtoa mtu kutoka hatua ya chini kwenda juu siyo injili ya mafanikio kila siku njoo tutavunja laana hapa laana inavunjika yenyewe sikiliza upone
Huwa nabarikiwa injili yako ni moto
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mchomee shetan
Mm
Mchugaj fungua group la maombi whassap🙏
Amina baba
Amen
Amen
Amen