Yaani hai wakamatwe wawekwe jela mpaka wafie hukohuko ,lakini chunguzeni kwa makini hai ni kina Nani isiwe ni watu pandikizi kwasabu Kuna watu hawaoendi kuona mandeleo .na wahusika wote wakanyee ndoo hai ndio magaidi,hatahivyo hongera sana Dr Mwinyi lakini usife moyo hai ndio waswahili lakini Mungu anaona juudi Yako kwa watu wako
C C M (Chukuaga Chako Mapema) Sasa twende kwenye Mapinduzi II; Daktari Shein alitwambia kua imeegiziwa kwa specifications za SMZ na kujengwa upya Korea. Ilipofika ZNZ killa kitu kikaanza kuharibika na kushindwa kusafirli.
Utawala uliopatikana kwa dhulma utaendelea kitawala kwa dhulma Hanna hofu ya mungu kuanzia upatikanaji wa viongozi wenu Hadi utowaji wa huduma zenu dhulma juu ya dhulma
Hafidhi kazi yenu lawama hakuna Rais mzuri znz cha msingi mwizi afungwe na afilisiwe Mali zao hao ni swala tano na ni wezi hata kingekuwa hicho chama chako ukipendacho pia kingeiba makosa yote ni ya watendaji unataka Rais afike mpaka huko chini kitu kikubwa ni uaminifu tu
@@margarethpolepole7438 tatizo sio swala tano, na wala sio la viongozi.. tatizo la Zanzibar na Tanzania Kwa ujumla ni watu kama nyie, mnaosapport upuuzi, hata mtu akisimama kuwatetea bado mtamkana na kushabikia uchama.. tatizo la Tanzania litaisha mtakapoanza kujitambua, period
Bilioni nne za serikali ni pesa za kila raia wa ZNZ nasio za CCM kama mnavyozigawa kwenda kwa vikundi, vijana pamoja na wanachama wenu wa CCM, CCM na serikali yao hawana uadilifu na wala hawajawa tayari kufanya uadilifu kwasababu bado ktk serikali yao kuna viongozi zaidi ya %90 sio waadilifu na kuhujumu wameshazoea na ndomana maendeleo yanashindwa kupatikana kwa wakati na nia za viongozi hawa sio njema na ni wabaguzi, SASA TUTARAJIE NINI KUTOKA KWA VIONGOZI HAWA NA SERIKALI YAO ZAIDI YA USANII?
Baraza la vijana wa zanzibar or baraza la vijana wa ccm musitafute mchawi nanii.. Allah anawahukumu hapa hapa duniani n bdo hamutaki kuacha dhulma y mauwaji n.k mutasahau kufanya maendeleo munafanya zanzibar y ccm maendeleo munatoa kwa watu wa ccm bila y kua n kitambulisho cha ccm mtu hapati kazi
Haaa haaa wamekula pesa za msaada wa kujengwa beit la jaibu BILLIONI za pesa basi SERIKALI na viongozi wamezoweya...Jamani hawa vipi wamepungukiwa na akili au ELIMU au UHASID wa UMMAA mbona mambo yao ya kuchekesha..Zanzibar hakuna MAENDELEO IKIWA WATU WIZI NA HAWANA ELIMU.....YA KUTOSHA....
Mhe. Shamsi DC wa Kusini anakielewa sana charehani. Namkumbuka "The Morden Torroring". Hakuna kinachofuata ni kupiga PESA na kuondoka. Muogopeni Mungu tu jamani CCM imeshindwa kazi.
Hivi Haji Hassan ndio kwanza unajua leo kuwa CCM wameshindwa kazi na kuleta maendeleo ya kupigiwa mfano katika Visiwa vilivyopo duniani, ndio maana wenye uchungu na Maendeleo ya Zanzibar wanasema wazi wazi kuwa ccm hawana dhamira nzuri na wamekua ni watu wanaoturudisha nyuma kwa Maendeleo ya Zanzibar.hilo lipo wazi tokea 1964 hadi 2021 Zanzibar hatukustahiki kuwa hapa tulipo ,uchumi wa bluu munaota sasa hivi utadhani Bahari ndio imekuja mwaka 2021 wakati huo uchumi wa bluu ulikuwa ufanye na upangiwe mipango miaka 20 au 30 nyuma iliyopita ikawa ndio sera ya kuinua uchumi Zanzibar kwa sababu ni nchi iliyozungukwa na Bahari.
Mnaiba wenyewe mnahujumiana wenyewe mkiambiwa sisiem mmechoka si mnaona hata sura zenu zimetoka nuru kwa dhulma mkiambiwa mnaleta ukaidi ubishi na kung'ng'ania madaraka mkiibia wanyonge
Sio CCM kijana YOYOTE anaweza kujiunga. SMZ kwenye ajira inao vijana wote. Pemba wapo vijana wengi sio CCM lakini Skuli zote za Unguja kutoka Kaskazini mpaka Kusini Skuli zote wamo vijana wa kutoka Pemba, zaidi huko Pemba vijana wa Unguja hawapo.
Mbona haya ,mambo Zanzibar kawaida tu ,kila fedha za Serikalini
😂😂😂unashangaa cherehani wakati meli mlizonunua ni feki😂😂😂
CCM OYEEE WANASEMA MAPINDUZI DAIMA YAANI KUIBA PIA DAIMAA
Ali qullateyn unataka utumwa tu wewe mapinduzi ni daima wewe ni msaka tonge tena kundi la magaidi
@@margarethpolepole7438 hicho ndio chama chenu wizi
Mngenambia mie ningewaletea pasi na charahani safi sana
Serikali ya mapinduzi iliwahikuwatendea haki wananchi lini tangu watawale
Hatunywi sumu hatujinyongi ccm mbele kwa mbeleee....
🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani hai wakamatwe wawekwe jela mpaka wafie hukohuko ,lakini chunguzeni kwa makini hai ni kina Nani isiwe ni watu pandikizi kwasabu Kuna watu hawaoendi kuona mandeleo .na wahusika wote wakanyee ndoo hai ndio magaidi,hatahivyo hongera sana Dr Mwinyi lakini usife moyo hai ndio waswahili lakini Mungu anaona juudi Yako kwa watu wako
Kawaida bidhaa za mchina ni fek
Mtakulana wenyewe kwa wenyewe...... Ccm oyeeeeee tumeipenda wenyewe
Oyeeeeee. Inasikitisha sana....hizo charhani zinauzwa rahisi sana nunuwa uzitupe. Mwaka sasa hivi HAKUNA MAENDELEO YOYOTE ILA WIZI UKO NUMBER 1...
Abdullatif hassani wewe hutaki kula sema hukupata nafasi kwa hiyo sikulaumu kuto kusema hovyo mtumwa wewe
@@margarethpolepole7438 Asante
C C M (Chukuaga Chako Mapema) Sasa twende kwenye Mapinduzi II; Daktari Shein alitwambia kua imeegiziwa kwa specifications za SMZ na kujengwa upya Korea. Ilipofika ZNZ killa kitu kikaanza kuharibika na kushindwa kusafirli.
Huo ndio uwezo wa viongozi wa ccm unamlaumu nani😂😂😂
Utawala uliopatikana kwa dhulma utaendelea kitawala kwa dhulma Hanna hofu ya mungu kuanzia upatikanaji wa viongozi wenu Hadi utowaji wa huduma zenu dhulma juu ya dhulma
Absalam hakuna dhuluma hapo sheria hakuna nenda kashitaki ndiyo nyie watumwa mnaotaka kutawaliwa bado na waarabu gaidi wewe
@@margarethpolepole7438
Na wewe ndie mwenyekiti wa magaidi smz
Malipo hapa hapa duniani n kesho kiama Allah anawasubiri munatawala kwa dhulma vipi mufanye maendeleo dhulma hailetii maendeleo na bdooo😂😂😂😂😅
Chama cha Mapinduzi kuishi bila ya wizi udanganyifu haiwezekani na hio ndio serikali inayoongozwa na CCM
Kwa hali hiyoo hatuwez kufikia malengo katka nchi yetu
Mapinduziiii daimaaaaaa.. hayo yamezoeleka Kwa Zanzibar.. ndo matunda ya mapinduzi hayo.. CCM mbele Kwa mbele
Hafidhi kazi yenu lawama hakuna Rais mzuri znz cha msingi mwizi afungwe na afilisiwe Mali zao hao ni swala tano na ni wezi hata kingekuwa hicho chama chako ukipendacho pia kingeiba makosa yote ni ya watendaji unataka Rais afike mpaka huko chini kitu kikubwa ni uaminifu tu
@@margarethpolepole7438 tatizo sio swala tano, na wala sio la viongozi.. tatizo la Zanzibar na Tanzania Kwa ujumla ni watu kama nyie, mnaosapport upuuzi, hata mtu akisimama kuwatetea bado mtamkana na kushabikia uchama.. tatizo la Tanzania litaisha mtakapoanza kujitambua, period
Usanii tuu kwni nani alinunua km sio nyinyi viongozi wetu ccm
Hahaha aibu mbona uyo kada apo nyuma kma anaogpa au anahusika🤣🤣🤣🤣🤣tutaona mengi wkti meli inauzwa
Sio vija vifaa feki nyinyi wenyewe ni feki kazi yunu kuuwa Wazanzibar tuu.
Ccm oyeeeee
Bilioni nne za serikali ni pesa za kila raia wa ZNZ nasio za CCM kama mnavyozigawa kwenda kwa vikundi, vijana pamoja na wanachama wenu wa CCM, CCM na serikali yao hawana uadilifu na wala hawajawa tayari kufanya uadilifu kwasababu bado ktk serikali yao kuna viongozi zaidi ya %90 sio waadilifu na kuhujumu wameshazoea na ndomana maendeleo yanashindwa kupatikana kwa wakati na nia za viongozi hawa sio njema na ni wabaguzi, SASA TUTARAJIE NINI KUTOKA KWA VIONGOZI HAWA NA SERIKALI YAO ZAIDI YA USANII?
Mweshimiwa Rais Pangua Baraza
Vifaa vipo sawa sio feki hamjawahikutumiatu
DC Rashid Shamsi hajuwi vitu vingi lakini Charahani anakijuwa mno.
CCM OYEE
Very bad...yaan wanasema vijana kumbe ni vikundi vya ccm...we have long way to go....allah know and all see.
Wanaume wamepatwa ni mwanaume mwezawao
Mselemu haji kila kitu kinachofanywa na serikali ya mapinduzi ni kibaya tu hakuna kizuri nahisi hauko sawa
Wazanzibar kuweni wazalendo wa nchi yenu
Duh hatari kweli kweli
Hhhh hii ndio zanzibar
Baraza la vijana wa zanzibar or baraza la vijana wa ccm musitafute mchawi nanii.. Allah anawahukumu hapa hapa duniani n bdo hamutaki kuacha dhulma y mauwaji n.k mutasahau kufanya maendeleo munafanya zanzibar y ccm maendeleo munatoa kwa watu wa ccm bila y kua n kitambulisho cha ccm mtu hapati kazi
Nendeni bwana madhalim wakubwa
Ndio waone uooooooza wa serikali yao
Haaa haaa wamekula pesa za msaada wa kujengwa beit la jaibu BILLIONI za pesa basi SERIKALI na viongozi wamezoweya...Jamani hawa vipi wamepungukiwa na akili au ELIMU au UHASID wa UMMAA mbona mambo yao ya kuchekesha..Zanzibar hakuna MAENDELEO IKIWA WATU WIZI NA HAWANA ELIMU.....YA KUTOSHA....
Pumba na Usanii Mtupu!!!!
Si ndo mapinduzi hivo maana ake kupinduana tu
Tunakatwa kodi na serikali lakini pesa zinapelekwa ccm tu?
Walionunua ni akina nani?
Ubora wa vitu hauonekani kiivo Waite wataalam wakague vzr msitiane aibu viongoz
Machine kama hizo lazima ziwe heavy duty ziwe za chuma ikikaa imekaa...hapo juu ya meza... siyo charhani unaibeba kama 👜handbag...
Yeye mwenyewe mtaalamu hyo
Hii ndio faida ya bora kumbi ila liwe ccm tu.
Mhe. Shamsi DC wa Kusini anakielewa sana charehani. Namkumbuka "The Morden Torroring". Hakuna kinachofuata ni kupiga PESA na kuondoka. Muogopeni Mungu tu jamani CCM imeshindwa kazi.
Hivi Haji Hassan ndio kwanza unajua leo kuwa CCM wameshindwa kazi na kuleta maendeleo ya kupigiwa mfano katika Visiwa vilivyopo duniani, ndio maana wenye uchungu na Maendeleo ya Zanzibar wanasema wazi wazi kuwa ccm hawana dhamira nzuri na wamekua ni watu wanaoturudisha nyuma kwa Maendeleo ya Zanzibar.hilo lipo wazi tokea 1964 hadi 2021 Zanzibar hatukustahiki kuwa hapa tulipo ,uchumi wa bluu munaota sasa hivi utadhani Bahari ndio imekuja mwaka 2021 wakati huo uchumi wa bluu ulikuwa ufanye na upangiwe mipango miaka 20 au 30 nyuma iliyopita ikawa ndio sera ya kuinua uchumi Zanzibar kwa sababu ni nchi iliyozungukwa na Bahari.
Kuna watu wameiba mashine za meli wala hawakuulizwa
Kuna watu wameiba nyumba za watu hlf wameziita msajili kwa hivo imeanza mabali na itaendela kidumu ccm
Ukizoea kula Nyama ya Mtu utaendelea kula tu kila kitu hapa Unguja ni Feki huko Serikalini ndo kumejaa Madudu
Africa itabaki mwisho wa matako ya dunia foeva 🙄
Jamani iyonikawaidat
CCM OYEEEEÈ
CCM oyee. Kidumu Chama cha Mapinduzi
Mnaiba wenyewe mnahujumiana wenyewe mkiambiwa sisiem mmechoka si mnaona hata sura zenu zimetoka nuru kwa dhulma mkiambiwa mnaleta ukaidi ubishi na kung'ng'ania madaraka mkiibia wanyonge
Haya ndo matatizo yetu tunahitaji watu watendaji
Yajayo ni neeema tupu
kunde mbaazi ukichanganya na pweza na supu ya kongoro na maziwa ya subiani utapata kitu kinaitwa nonsense
Charahani feki kwani na nyie si mmmechukuwa dola kwa kura feki. .. mauwaji ya 64 mloyafanya.
Amafanya nani?
Watieni ndani wezi hao na wafukuzwe kazi wafilisiwe mali zao
A tumeyazoea tokea tuzaliwe, shamba la bibi.. Itakua wametoa photocopy hizo bidhaa
Huyo mtu anaefanya hujuma mnachukua hatua gani na vijana wamesema
Ukizowea kuiba bwana...
Hamna liwalo hapo matubo makubwa tu
Hee
.
ivi ccm tu ndio ina raia vijana? maana yake ili uwe kijana uwe ccm kinyume na hvyo wewe sio kijan ndio maana wanaosimamia io miradi ni makada wa ccm
Sio lazima uwe ccm . kijana yeyote kwenye baraza anakaaaa