Sisi hapa tuko na MELIA ZANZIBAR iko na 5* mwaka jana imepokea tuzo ya world travel awards...na ni nzuri kweli..hivo huku zanzibar hotel x zakuzungmzia, imeajri staff zaid ya mia tatu ktk DPT tofaut tofaut ila pamoja na yote pia hata hii nayo ni nzuri..
Hongera sana kwa wawekezaji hao na Azam media kwa kutuhabarisha. maoni: punguzeni background music kwenye video, inasumbua pale mtu unapotaka kupata maneno kutoka kwa mzungumzaji.
Uwezekaji wa wazawa ndiyo has utaijenga Tanzania mpya. Maana sehemu kubwa ya pesa itabaki hapa nchini. Hii itatuepusha kutokuwa kama Jamaica; ambapo mahoteli mengi ni ya wageni. Kila kitu wanaagiza kutoka nje, hata wageni wnabakia pembeni pembeni mwa ufuko. zaidi ya hayo faida kubwa inayopatikana inaondoka.
Uniform za wafanyikazi hazivutii kabisa alafu meneja na mfanyakazi wa kawaida wanavaaje uniform sawa...kwa ajili ya hilo sidhani kama hoteli hii tayari inastahiki nyota 5...
@@martinekija4188 Alichonacho Bakharesa mie sina hata mavumba yake, na nilichonacho mie Bakharesa yeye hana hata robo. Ila namkumbuka pale mchangani alipoanzia maisha katika stage 3, alipokuwa akikamata kiatu kwa miguu yake mwenywe na mikono ikikandamiza shazia ya kushonea viatu na kuvitundika kiambazani. 1968-1970 sikumbuki uzuri lakini ni humo.
@@seanjohnson-um8fy Kuwa mstarabu katika maoni. Wacha udini kama pombe kukatazwa sio uislamu tu umekataza. Fungua Biblia halisi isome yote utajifunza mengi humo hata pombe imekatazwa. Nnachozungumza mimi wanaokunywa ulevi hawaishii ulevi tu. Ila baada ya ulevi kuna uchafu wa ngono. Kama husadiki mpeleke dada yako akafanye kazi pahali panapuzwa pombe kama hakugeuzwa changu doa. Au nenda wewe ukafanye kazi halafu iguse pombe. Baada ya muda ujiangalie vipi utakuwa. Mimi mpumbavu nakubali. Sasa wewe mwerevu mpeleke dada ako akafanye kazi hotelini. Baada ya muda utapata matunda mazuri. Mashemegi tele utapata. Na ukimwi utakuwa hauko mbali.
@@carenmihayo7991 Utalii siku zote hwendana na mila na desturi za nchi utalii sio lazima kwenda uchi kama watahitaji uchi watabaki kwao ndiko kwenye nyuchi za wazi kabisaa. Care Sergio Tembea uone katembelee beach za Italy miezi ya September.
Hayo ndio matatizo yenu, huo ubaguzi na udini mmeuweka mbele Tumezaliwa tukiishi mitaa yenye mchanganyiko na wakiristo chini ya kanisa la sent Joseph minara miwili nimesoma hapo kanisani darasa la kwanza hadi la 3 sikuwahi kuona udini ndani shule wala wa mitaani tukicheza na watoto wa kiGoa hatukuwa kukatazwa na wazee wetu wala wao hawakukatazwa, lakini palipitishwa mapinduzi ili kuwadhalilisha waislamu, jaribu kutafuta kitabu kinachoitwa "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU" Autatoka tongo za macho, nisha sema utalii unaendana na mila na desturi za nchi na hio kujifunika vichwa ni desturi ya wanawake akiwa mkiristo akiwa muislam. masister wote kanisani hujifunika kichwa wakifuata "MARIA" jee na yeye alikuwa na mapepo....?
Rahabu John hata km wote niwaislamu tatizo liko wapi wakazi wazanzbar 98% niwaislamu naukiwakuta hao wakiristo wazawa wa zanzbar huwezi kuwabagua wanavaa ushungi nguo ndefu kwa macho tu huwabagui km hujackia jina lake
Kazi malalamishi tu kila kukicha? Kwa hiyo Tanganyika inawabana nini ? Punguzeni utoto wa mama kazeni maisha n kupambana punguzeni vijiwe na kupaka poda mda wote mnajitaza kwenye vioo wanaume wazima badala ya kufanya kazi ..
Mbali na kukuwa huduma hizi wananchi hawafaidiki na loloote badala ya kunyanyasika katika huduma za bepari huyu Bahressa anapoteza ushindani ili amonopoli na anyanyase wanyonge
Ndivyo tunavyoishi, nenda shule na vyuo vya wakiristo, hakuna waislamu walioajiriwa humo. Hata ktk taasisi zingine za serkali kuna muislam 1 au 2. Ubaguzi uko huko kwa wakiristo.
Acha kuongelea udini ww...n Wakazi wa Znz 98% ni Waislam. Ni sawa na kusema Tanzania wabaguzi wameajili watu weusi tu kwenye miradi yao wakati wakazi wa Tz ni watu weusi
Mgeni Hana hata nguuo. Subhana alla. Zanzibari 😢😢😢😢
Safi sana Zanz heko kwenu Mafia imesahulika jamani bora hichi kisiwa kiwe sehemu ya Zanzibar
Sisi hapa tuko na MELIA ZANZIBAR iko na 5* mwaka jana imepokea tuzo ya world travel awards...na ni nzuri kweli..hivo huku zanzibar hotel x zakuzungmzia, imeajri staff zaid ya mia tatu ktk DPT tofaut tofaut ila pamoja na yote pia hata hii nayo ni nzuri..
these are serious people impacting the world in a positive way
Hongera sana kwa wawekezaji hao na Azam media kwa kutuhabarisha. maoni: punguzeni background music kwenye video, inasumbua pale mtu unapotaka kupata maneno kutoka kwa mzungumzaji.
Uwezekaji wa wazawa ndiyo has utaijenga Tanzania mpya. Maana sehemu kubwa ya pesa itabaki hapa nchini. Hii itatuepusha kutokuwa kama Jamaica; ambapo mahoteli mengi ni ya wageni. Kila kitu wanaagiza kutoka nje, hata wageni wnabakia pembeni pembeni mwa ufuko. zaidi ya hayo faida kubwa inayopatikana inaondoka.
#Bakhresa , level nyingine hiyo
Mashaallah na mm naomba hiyo chansi yakuajiriwa
uko tayari na hilo?
Uniform za wafanyikazi hazivutii kabisa alafu meneja na mfanyakazi wa kawaida wanavaaje uniform sawa...kwa ajili ya hilo sidhani kama hoteli hii tayari inastahiki nyota 5...
bb7u
Muhishimiwa BAKHRESSA hakisha miradi mingine isije ikakutowa nje ya mstari kuna mengi MAZURI ushayafanya khususan tukizingatia umri.
"TAKE CARE "
Issa Mohammed acha wivu ww
@@martinekija4188 hapana sio wivu nikueleweshana tu, Bakharesa umuonee wivu unaanzia wapi kwa mfano!!!!???
@@martinekija4188 Alichonacho Bakharesa mie sina hata mavumba yake, na nilichonacho mie Bakharesa yeye hana hata robo.
Ila namkumbuka pale mchangani alipoanzia maisha katika stage 3, alipokuwa akikamata kiatu kwa miguu yake mwenywe na mikono ikikandamiza shazia ya kushonea viatu na kuvitundika kiambazani.
1968-1970 sikumbuki uzuri lakini ni humo.
Proud Tanzanian! Please improve the staff uniform na haina yao pia
Zanzibari mhh zanzibari znz 😢😢😢
Uku arusha Kuna grand melia nzuri sana tu kasoro bahari
Kwendra kuzi Grand melia uchafu
Nguuo ya ndani nje 😢😢
#tanzania n yetu sote tuulinde aman yetu pamoja tunaweza
Brother Kassim acha roho ya ubaguzi
@@clovetv_pba ubaguzi tu wakati hakuna lolote kama jinga wewe
Masha Allah
One day nitaenda kutalii kwenye Hotel Verde
Uchumi utakua.
Ila pakiwa na pombe hapo uchumi wa dhambi utakuwa vile vile kwani ulevi ni mama wa maasi.
Swadakta
Kama hutaki pombe basi waambie waivunje halafu wajenge msikiti ili mupate kuajiriwa na kuwa maimamu.. Pumbavu..
@@seanjohnson-um8fy
Kuwa mstarabu katika maoni.
Wacha udini kama pombe kukatazwa sio uislamu tu umekataza. Fungua Biblia halisi isome yote utajifunza mengi humo hata pombe imekatazwa.
Nnachozungumza mimi wanaokunywa ulevi hawaishii ulevi tu. Ila baada ya ulevi kuna uchafu wa ngono. Kama husadiki mpeleke dada yako akafanye kazi pahali panapuzwa pombe kama hakugeuzwa changu doa.
Au nenda wewe ukafanye kazi halafu iguse pombe. Baada ya muda ujiangalie vipi utakuwa.
Mimi mpumbavu nakubali. Sasa wewe mwerevu mpeleke dada ako akafanye kazi hotelini. Baada ya muda utapata matunda mazuri.
Mashemegi tele utapata. Na ukimwi utakuwa hauko mbali.
Huyo anawapa kazi waislam wenzake
Kuna ubaya ?
Why are you negative
shemsa mtoto mzuri wallah
Manshallah
Hotel nzuri sana ila mavazi ya wahudumu badilisheni
Yawe vipi
@@2pacshakur912 wavae mavazi ya maana sio kama mapepo kujifunikafunika tu utafikili wafanyakazi wa ndani
@@carenmihayo7991 wawe uchi au pale sio casino wamependeza
@@carenmihayo7991 Utalii siku zote hwendana na mila na desturi za nchi utalii sio lazima kwenda uchi kama watahitaji uchi watabaki kwao ndiko kwenye nyuchi za wazi kabisaa.
Care Sergio Tembea uone katembelee beach za Italy miezi ya September.
Kama umezoea kwenda uchi ni wewee tuuu.
Jamani naomba ajira na mm pia, angalau niwe mpishi tu huko. Nitashkuru nikipata fursa hio ya kufanya kaz ili nieze kukidhi mahitaji yangu.
sasa unaomba ajira RUclips peleka application zako kwa muhusika
safi sana
powerful
Kama amejiri waislamu huo n ubaguzi kwani binadamu wote ni saw na Afrika ni moja
Hayo ndio matatizo yenu, huo ubaguzi na udini mmeuweka mbele Tumezaliwa tukiishi mitaa yenye mchanganyiko na wakiristo chini ya kanisa la sent Joseph minara miwili nimesoma hapo kanisani darasa la kwanza hadi la 3 sikuwahi kuona udini ndani shule wala wa mitaani tukicheza na watoto wa kiGoa hatukuwa kukatazwa na wazee wetu wala wao hawakukatazwa, lakini palipitishwa mapinduzi ili kuwadhalilisha waislamu, jaribu kutafuta kitabu kinachoitwa "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU" Autatoka tongo za macho, nisha sema utalii unaendana na mila na desturi za nchi na hio kujifunika vichwa ni desturi ya wanawake akiwa mkiristo akiwa muislam. masister wote kanisani hujifunika kichwa wakifuata "MARIA" jee na yeye alikuwa na mapepo....?
Rahabu John hata km wote niwaislamu tatizo liko wapi wakazi wazanzbar 98% niwaislamu naukiwakuta hao wakiristo wazawa wa zanzbar huwezi kuwabagua wanavaa ushungi nguo ndefu kwa macho tu huwabagui km hujackia jina lake
Kongole Mzee Bahresa
Bei gani per daaay
Good
Anafanya vyema Ila anakuwa mbaguzi , maana naona ktka amekuwa akiwapa ajira waislam ...siyo pouwa
Sh ngapi?
ingekuwa si Tanganyka, Zanzibar ingekuwa na maendeleo hii inko wazi
Umoja ni nguvu 💪💪 utengano ni udhaifu. Anglia wachina wako weeeeeeeengi na bado hawatosheki wana tamaa kuchukua Kashmir ( Pakistan/India)
Kazi malalamishi tu kila kukicha? Kwa hiyo Tanganyika inawabana nini ? Punguzeni utoto wa mama kazeni maisha n kupambana punguzeni vijiwe na kupaka poda mda wote mnajitaza kwenye vioo wanaume wazima badala ya kufanya kazi ..
Ubaguzi ndo unasababisha msiendelee siyo utanganyika
Let that welcoming to be a life style of your hotel, not just for that first day !
christopher mlaponi mashaallah
Mie np hapa saiv najinoma tu
King Frenk teh te
🥰🥰🥰🥰🥰
Tupeni fursa wazawa zaid
ndokuanza kwenda mashuleni
Zanzir inaelekea wapi sijuui ?
Said A Lumuli fafanua suali lako brother
Abdull M'moud mwangalie huyo mgeni alivyo na jina lake pia alivyo vaa mtihani mkubwa huu Zanzibar Dini iko wapi sasa?
Said A Lumuli Don't let your mental shackles manifest
The Project Manager, Lugha uliotumia Mimi sii jui tumia kiswahili ama kiarabu, naomba nifafanulie kwa lugha hizo.
Yeah ni kweli lkn ndio wameamua kuingia huku sasa cjui itakuwaje
Bei tsh:ngapi.
juice kuanzia elfu 5 ama 10 na mambo mengine elfu 25 kulala ucku 1 ni laki 5 but good price yaani ni nzuri
Maa shaa Allah
Mbali na kukuwa huduma hizi wananchi hawafaidiki na loloote badala ya kunyanyasika katika huduma za bepari huyu Bahressa anapoteza ushindani ili amonopoli na anyanyase wanyonge
shotaimu tunataka kujua bei yke
laki 5 ucku 1
Weka chumba shingap hatutak mengi sisi
Bei ya chini laki 480 😂
Upedo ni amani
@@paschalgakuba5316 mbona sja kuelewa
laki 5 ucku 1 tumeenda na familia for vacation ila hotel nzuri sana sana
Nipo Dubai nibei ngapi ku lala
kuanzia laki 5 ucku 1
Haaa laki5 kulala apana
ndio tuseme Bakharesa amekubali kuuza pombe!!!???
Hakuuzwi pombe
Powa mashalah kama hakuuzi
Hamna pombe at all
ZANZIBAR TAIFA LANGU uzinzi luksa ndani ya hotel🙏🙏🙏🙏
@@gwakisamwaikandage7281 hiyo ni hiari yako wewe mwenyewe huwezi kufatwa chumbani kwako na mwenye hoteli hatabeba uovu ni ww na nafsi yako
Wangapi tumesoma marketing ile segment ya customer care tulielewana...?
Jamaa bagusi Sana yeye nikuajiri waismanmu bagusi sana
Una uhakika gan
wivu nyie ndo mn hamuna jema hamuwapendi waislam why
Ndivyo tunavyoishi, nenda shule na vyuo vya wakiristo, hakuna waislamu walioajiriwa humo. Hata ktk taasisi zingine za serkali kuna muislam 1 au 2. Ubaguzi uko huko kwa wakiristo.
Mashallah
Wahudumu waislam wote ubaguz wa dini
Juton Mbilinyi kaombe kazi ukinyimwa rudi uongee pumba zako
Et bna
Siyo wahudum tu , mpaka CEO ni Muslim ...
Acha kuongelea udini ww...n
Wakazi wa Znz 98% ni Waislam. Ni sawa na kusema Tanzania wabaguzi wameajili watu weusi tu kwenye miradi yao wakati wakazi wa Tz ni watu weusi
Makafir wote hawana sifa. Ndo maana
Mashaallah