Hongera sana Mstaafu ulifanyakazi kubwa sana kuijenga Zanzibar baada ya kuipokea ikiwa hali mbaya sana. Nitataja baadhi tu ya mazuri:- 1. Uliimarisha sana miundombinu na kueneza simu za mkononi kwa wananchi wote. 2. Ulijenga Ofisi za Serikali tuliachana na nyumba za Wakoloni kuwa Ofisi ya Serikali. 3. Uliajiri vijana wengi sana, ajira nje nje. 4. Uliwalipa Wastaafu kwa wakati. 5. Uliongeza maradufu viwango vya mishahara. 6. Ulikuwa "Born town) hukuonesha ukanda, Upemba wala Uunguja. 7. Kuonesha nia dhabiti kuleta maridhiano ya kisiasa Zanzibar. Mimi nakupongeza sana na kukushauri umuoneshe njia Dr. Hussein Mwinyi anajitahidi sana LAKINI ameshapotea wananchi hali ngumu sana msaidieni.
Kuna kabila la watu .. wanaitwa watumbatu hawa mima nawaombea na wao wateuliwe kushika nafasi ya uraisi. Mbona kimya sana kuhusu watu hawa na nafasi hio..
Amani alijaribu kiasi. Lakini aliuwa watu wasiokuwa na hatia. Mimi siiamini CCM hata iweje.imani yao ni kwamba wao ndio wenye haki ya kutawala no matter what. Hili ndio kosa kubwa sana na litaendelea kujitokeza.
Mnapokuwa Madarakani hamuyajui hayo nyote lenu moja Kama ww hufanyi bas wenzio wanafanya Wana Nyumba mpka hawazijui mtafkiri mtaishi Milele juini Dunia Ina Mwisho
Ukisikia mstahamilivu hula mbivu ndio kama hivo,yaani hizo ni dua ambazo watu walikua wakiumia na kulalamika na bado itafika wakati mutalia hadharani kwa damu za watu na dhulma muoizozifanya.
Dhulma ipo pale pale mnaweza kutudanganya sisi lakini sio Allah swt mume shirikiana na Nyerere Kufanya mavamizi na kuivuruga nchi na kuleta ubaguzi na kuiwa nchi kiuchumi na kuwapa nchi tanganyika bila maridhiano ya wazanzibari na kutaifisha majumba na mashamba ya watu lakini tunasema hasbiya llahu waneema al-wakil
Pole lakin sio wao niwazungu ndio walio washinikiza maana hawataki inch itawaliwe na mwaarabu.kama utabisha kumbuka kilicho mtokea magu baaada ya kuwapinga sana walimfanyaje?kwaiyo tuombe mungu atuepushe na mabeberu
Wewe ulisema hukuchaguliwa na wazanzibari na kura yako moja inatosha,kuhusu suala la serekali ya mseto kabla kikwete kuingia madarakani alisema anachukizwa na mpasuko wa Zanzibar hivo jambo la kwanza akiingia madarakani ndilo atashuhulika nalo na serekali ya mseto haikuja wakati wa mkapa na karume,ilikuja wakati wa kikwete na karume,sasa sio karume alieleta mseto,uyo ni mwizi na muuaji na ndio alieleta umasikiti wa kutupwa Zanzibar kwa kuondoa uhuru wa biashara,watu walikua wanatoka sehem mbali mbali kutoka Tanzania yote na nchi za majirani kufuata biashara Zanzibar lakini ulipoingia wewe madarakani wazanzibari ndio wanafuata vitu bara ambavo vilikua vinafuatwa Zanzibar.
Hafai ni mwizi kama wezi wengine makazi yako ni jahanma tu huna lolote nzuri ulietenda wa Zanzibar na msishangae kumona mtu kama huyu kuka mda mrefu duniani ni kua watu wabaya huinshi mda mwingi ili kujaza ufisadi na dhambi wakifa mitoni
@@omakywazamani6696 hapo kaka sikusapoti umeenda kinyume sana wewe na uchamungu wako wote na wema wako wote lakini bado huna nafasi na hiruhusiwi kumhukumu mwanadamu mwenzako moto
Huyu Raisi mtaafu alinifurahisha IBARA YA 10 ya KATIBA ya ZANZIBAR alinikosha sana that's mpaka kesho anetaka kubadili lolote lazima aulize kwa wananchi....hahaha hahaha ,PIA KUIPA HADHI YAKE ZANZIBAR
Karume usituletee pombe tatizo unalifahamu vizuri na liko wazi unajua kama hamukumbali kushindwa katika uchanguzi hilo ndilo tatizo unalijua na kulifahamu usindanganye watu danganya nafsi yako
Zanzibar was forced by American and British machination to be a Confederation with Tanganyika as the West feared radical politicians like Abdu Rehman Babu would hand over Zanzibar to the Soviet Union. Tanganyika Politicians once they got Zanzibar they are not ready to release it to be independent again. Thus why they rig elections without shame and the west release crocodile tears 😭 So Zanzibaris when you see American and British diplomats remind them of their project of denying Zanzibar Independence. Their experiment failed in Iraq and Afghanistan and previously Vietnam. I hope the world will be free from their devious behaviour.
Unahisi ni ya watu wachache lakini siyo..Na kwanini hawi Rais kama hivi...Mtoto wa Bw. Kombo, Haji, Majaaliwa, Vuai, Juma na wengi hapo Zanzibar wapo 😊 watu kutoka Mashamba...MSIWASAHAU...NA WAO PIA WANAYO HAKI YA KUCHAGULIWA...KUWA MA RAIS..
Mungu akuzidishie Afya Rais wetu karume. Majibu yako yapo vzr. Sahihi kabisa
Allah akulipe kila la kheir
Well said!
Big leader in Zanzibar
Hongera sana Mstaafu ulifanyakazi kubwa sana kuijenga Zanzibar baada ya kuipokea ikiwa hali mbaya sana. Nitataja baadhi tu ya mazuri:-
1. Uliimarisha sana miundombinu na kueneza simu za mkononi kwa wananchi wote.
2. Ulijenga Ofisi za Serikali tuliachana na nyumba za Wakoloni kuwa Ofisi ya Serikali.
3. Uliajiri vijana wengi sana, ajira nje nje.
4. Uliwalipa Wastaafu kwa wakati.
5. Uliongeza maradufu viwango vya mishahara.
6. Ulikuwa "Born town) hukuonesha ukanda, Upemba wala Uunguja.
7. Kuonesha nia dhabiti kuleta maridhiano ya kisiasa Zanzibar.
Mimi nakupongeza sana na kukushauri umuoneshe njia Dr. Hussein Mwinyi anajitahidi sana LAKINI ameshapotea wananchi hali ngumu sana msaidieni.
Kiongozi makini, well said!
🇦🇪 Great dad 👨 thanks ❤
Yarabi.
Inataka kama hivi.. walokuwa Ma Rais wote Zanzibar, wawe kama Mh. Amani Abeid Karume kwa roho safi.. Mungu akuhifadhi akupe mwisho mwema. Amin
Sawa sawa Baba wa shangazi Fatma Aman Abeid Karume Allah azidi kukupa umri mrefu na afya njema zaid Aaameen.
Msema kweli mpenzi wa mungu lakini mama hawezi kazi anapelekwa pelekwa tu watu wananyanyaswa sana na sesta binafsi wafanyakazi hawawajali wafanyakazi
Ni kweli kwamba n'a dhaifu huyu mama nilidhani amejifunza kwa jpm kumbe kajizunza kwa Kikwete na mkapa na cheni upuzi mtupu
Huyo mama kaekwa na Mungu ndio mwenye uwezo..mwacheni muombeeni dua. Hao vidume pia Mambo yote hawakuyaweza hakuna mkamilifu
Nimependa sana Charles Hilar anavyohoji, waandishi wachanga jifunzeni kwa mkongwe huyu.
Well spoken
Ntawaona wanangu tu yarabi 😂😂😂😂😂😂
MZEE AMANI UNGEMPONDA FATMA KARUME WETU PASINGETOSHA😂😂😂😂😂😂
Fatma karume safiii
Jaman
Mtaona wanangu tu yarabii 😁😁😁
Nakwambia
Mwenyazi Mungu akupe afya ya hekima zako
Kuna kabila la watu .. wanaitwa watumbatu hawa mima nawaombea na wao wateuliwe kushika nafasi ya uraisi. Mbona kimya sana kuhusu watu hawa na nafasi hio..
Uko sawa
Hongera. Karume. Big up. Umetuletea umoja na serekali ya. Pamoja.
Big brother aka great dady msaidie hoseni kwa jambo moja thakala kwa Zanzibar lililopo kwenye jamii ww sahv ndo freedom fighter wetu hpa Zanzibar
Amani alijaribu kiasi. Lakini aliuwa watu wasiokuwa na hatia. Mimi siiamini CCM hata iweje.imani yao ni kwamba wao ndio wenye haki ya kutawala no matter what. Hili ndio kosa kubwa sana na litaendelea kujitokeza.
Alimuua nanib
@nameless Tanzania kwani wewe si mzanzibar huwez kujua alimuua nan
Anayehoji ana akili sana na anayehojiwa ana akili pia!
Patamu hapo😂😂😂
Good question CH 👏
Nakukubali Sana mzee wetu
Hahaahaahajahajajajajaajjaajajaj nimecheka sana mwisho
IKIWA HIVO BASI MTAONA WANANGU TU YA RABII 🤣🤣🤣🤣🤣
NIMEKUELEWA SIMBA MTOTO SANAAA TU
Nimependa mlivyohitimisha!😃
Viongozi wamejakiwa kuwa na maono namna ya kuwapata wasaidizi wao. Wasiasa wanaojiuza uza wajisaili.kwa nini viongozi wakuu hawaoni maono ndani mwao?
Ah sisikilizi ujinga
Mnapokuwa Madarakani hamuyajui hayo nyote lenu moja Kama ww hufanyi bas wenzio wanafanya Wana Nyumba mpka hawazijui mtafkiri mtaishi Milele juini Dunia Ina Mwisho
Ukisikia mstahamilivu hula mbivu ndio kama hivo,yaani hizo ni dua ambazo watu walikua wakiumia na kulalamika na bado itafika wakati mutalia hadharani kwa damu za watu na dhulma muoizozifanya.
Ko unahis wazanzibar wamesahau uliyoyafanya 2005
Dhulma ipo pale pale mnaweza kutudanganya sisi lakini sio Allah swt mume shirikiana na Nyerere Kufanya mavamizi na kuivuruga nchi na kuleta ubaguzi na kuiwa nchi kiuchumi na kuwapa nchi tanganyika bila maridhiano ya wazanzibari na kutaifisha majumba na mashamba ya watu lakini tunasema hasbiya llahu waneema al-wakil
Pole lakin sio wao niwazungu ndio walio washinikiza maana hawataki inch itawaliwe na mwaarabu.kama utabisha kumbuka kilicho mtokea magu baaada ya kuwapinga sana walimfanyaje?kwaiyo tuombe mungu atuepushe na mabeberu
Mabeberu ni watanganyika ndio wanao tutawala @@abilityno1799
Walevi nyinyi hamna lakusema
Kiongozi huyu sie alie tawala 2000 Zanzibar aka sababisha mauwaji pamoja na mkapa tuna sikia sana kuw waliuwa watuu pemba
Aman kunywa maji ya kimanjaro nitakupia umeib vizur
Wewe ulisema hukuchaguliwa na wazanzibari na kura yako moja inatosha,kuhusu suala la serekali ya mseto kabla kikwete kuingia madarakani alisema anachukizwa na mpasuko wa Zanzibar hivo jambo la kwanza akiingia madarakani ndilo atashuhulika nalo na serekali ya mseto haikuja wakati wa mkapa na karume,ilikuja wakati wa kikwete na karume,sasa sio karume alieleta mseto,uyo ni mwizi na muuaji na ndio alieleta umasikiti wa kutupwa Zanzibar kwa kuondoa uhuru wa biashara,watu walikua wanatoka sehem mbali mbali kutoka Tanzania yote na nchi za majirani kufuata biashara Zanzibar lakini ulipoingia wewe madarakani wazanzibari ndio wanafuata vitu bara ambavo vilikua vinafuatwa Zanzibar.
Hafai ni mwizi kama wezi wengine makazi yako ni jahanma tu huna lolote nzuri ulietenda wa Zanzibar na msishangae kumona mtu kama huyu kuka mda mrefu duniani ni kua watu wabaya huinshi mda mwingi ili kujaza ufisadi na dhambi wakifa mitoni
Uyu ni mshenzi sana yani awa wanafiki sana
@@omakywazamani6696 hapo kaka sikusapoti umeenda kinyume sana wewe na uchamungu wako wote na wema wako wote lakini bado huna nafasi na hiruhusiwi kumhukumu mwanadamu mwenzako moto
Ndo kawaida ya mlevi hajuwi anafanya nn na anasema nn?
Jamani munakumbusha kilio matangani
Namkumbuka kwa kauli moja tuu, wakishaswali wanakwenda wap? wakajibu wanaroudi nyumbani kwao.. basi waacheni waswali...
Nimelipenda Suwali Nayeye Anajuwa Lakini Atashidwa Kujibu Kuhusu Fatma
Wamuulize mwenyewe Fatma....❤
Huyu Raisi mtaafu alinifurahisha IBARA YA 10 ya KATIBA ya ZANZIBAR alinikosha sana that's mpaka kesho anetaka kubadili lolote lazima aulize kwa wananchi....hahaha hahaha ,PIA KUIPA HADHI YAKE ZANZIBAR
Samahani Karume huyu niyupi jamani mbona nashidwa kuelewa tena mstaafu
@@wardaheluwa734 Huyu Aman Abeid Karume. Rais mstaafu wa ZNZ na mtoto wa rais wa 1 wa ZNZ. Pia ni baba wa Fatma Karume, aka Shangazi.
Hongera Sana Karume..Ila pia hakumshinda uchaguzi... washauri huku pia bara inakera Sana kuona ubaguzi
Pole sana karume naona umezeheka sana kama mimi au pia unaumwa
Kwa sasa ana miaka 73
Kiukweli awamu ya pili ulijitahidi, na uliweza kuondosha ubaguzi
Ccm niile ile jamani.
Karume usituletee pombe tatizo unalifahamu vizuri na liko wazi unajua kama hamukumbali kushindwa katika uchanguzi hilo ndilo tatizo unalijua na kulifahamu usindanganye watu danganya nafsi yako
Zanzibar was forced by American and British machination to be a Confederation with Tanganyika as the West feared radical politicians like Abdu Rehman Babu would hand over Zanzibar to the Soviet Union.
Tanganyika Politicians once they got Zanzibar they are not ready to release it to be independent again.
Thus why they rig elections without shame and the west release crocodile tears 😭
So Zanzibaris when you see American and British diplomats remind them of their project of denying Zanzibar Independence.
Their experiment failed in Iraq and Afghanistan and previously Vietnam.
I hope the world will be free from their devious behaviour.
Gd
Nim ejifunza kitu kizuri ,jinsi anavyojibu maswali kwa ufasaha
Na hana mihemko, gentleman
Kiswahili sanifu ni Zanzibar
Ah hum huyu hawezekani kwa utulivu wakat I wa kuzungumza Hana presha hafikirii maneno anajibu kwa wepes I t
Wewe chai jaba pesa za wizi zinamaliza mana umetupeleka mchaka mchaka njaa kali miaka yako yote sasa umeishiwa
Hunaishu yamekupita ulishindwa ulipokuwa Rais kalale hunalolote umewapiga sana Zanzibar saiv unasema ujinga
😀😀😀
@Mtanzania Halisi Mshukuruni Sana....kwa aliyo yafanya MWISHO WAKE...Alhamdullilah...
😀😀
Duuuuu
Kwenda zako mlevi mmoja huna lolote
😂😂🇹🇿
Tumemiss kumuona na Mstaafu wa awamu ya tano
Zanzibar ni ya watu wachache na hapa tunategemea mtoto wa sheni awe Rais
Unahisi ni ya watu wachache lakini siyo..Na kwanini hawi Rais kama hivi...Mtoto wa Bw. Kombo, Haji, Majaaliwa, Vuai, Juma na wengi hapo Zanzibar wapo 😊 watu kutoka Mashamba...MSIWASAHAU...NA WAO PIA WANAYO HAKI YA KUCHAGULIWA...KUWA MA RAIS..
Mtoto wa sheni hatuta kubali hatutakubali