Nimebarikiwa sana mtumishi pia naendelea kufuatilia hili somo bora kabisa na masomo yako mengine. Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi Pastor Deo.. wewe ni mtu muhimu sana katika nyakati hizi. You're blessed brother.!
Pastor nashukuru sana binafsi hili somo limekua baraka sana kwangu, kila siku natafuta muendelezo siuoni... please Pastor naomba somo hili liendelee utakua ume save a great purpose in one of the people listening this. Me being one of them, it enlightened my inner intuition, i was feeling lost and confused.
Nimepitia pia nimegundua kuna point tano aliyerekodi alizimiss nafikiri hakujua kama camera ilikuwa hairekodi..ilikuwa ni viashiria kuwa mzazi anaingia kwenye ulimwengu wa mtoto isivyo stahili..nitaona namna ya kurekodi separately na kushare

Asante sana ndugu..
Asante kwa somo zuri…nakufatilia nikiwa American ya kaskazini.
Asante sana kaka..zidi kubarikiwa
Tunaendelea kusubiri part 3 pastor
Pastor nashukuru sana binafsi hili somo limekua baraka sana kwangu, kila siku natafuta muendelezo siuoni... please Pastor naomba somo hili liendelee utakua ume save a great purpose in one of the people listening this. Me being one of them, it enlightened my inner intuition, i was feeling lost and confused.
Asante sana kwa kufatilia..muendelezo utatumwa bado linafanyiwa editing
Hellow Pst. Msaada tafadhali Nimesiikiliza lkn kuna mahali unaanza Point no.6 lakini point 1-5 sijazipata na ni za nn?