Maongezi mazuri kweli ila bado ninyi, ni mitani bora tuna wafatilia hata kwa mavazi jitazameni kwenye vifua vyenu mbona bado kama mna viuzia watu vile Sitirini vi fura vienu❤❤❤❤
Kipindi kizuri sana pamoja na ukumbusho ktk mahusiano kwa wanandoa ila ingendeza wahusika wangekuwa wanandoa walioko kwenye ndoa kwa muda mrefu. Ili akumshe umuhimu wa kuwa up-to-date in life
Mnhhh Wadada hayo miziwa isitirini Bhasi😢 Washauri, jaribuni ninyi ndo kuwa namba moja kioo kwa sisi Watazamaji.. Kwakweli Leo sikuweza kumaliza hiki kipindi...
Maongezi mazuri kweli ila bado ninyi, ni mitani bora tuna wafatilia hata kwa mavazi jitazameni kwenye vifua vyenu mbona bado kama mna viuzia watu vile
Sitirini vi fura vienu❤❤❤❤
kipindi kizori kabisa ❤❤ kotoka drc congo
CEO sky nimependa ulivyo ingiza kaverse hpo 😜upo vzr 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kipindi kizuri sana pamoja na ukumbusho ktk mahusiano kwa wanandoa ila ingendeza wahusika wangekuwa wanandoa walioko kwenye ndoa kwa muda mrefu. Ili akumshe umuhimu wa kuwa up-to-date in life
Mnhhh Wadada hayo miziwa isitirini Bhasi😢
Washauri, jaribuni ninyi ndo kuwa namba moja kioo kwa sisi Watazamaji..
Kwakweli Leo sikuweza kumaliza hiki kipindi...
Kipindi kizuri na mafunzo mazuri sana
Wazo mkubwa sana
Wakwaza naomba like please
Hawa ma dada
Wamekusudia kutonesha
Vifua vyao???ao wapo kwenye
Matangazo ya hayo mavazi?
Kama sivyo kazi ipo 😅
Wewe angalia video mengi yaache 😂
Wadada jistirini basi hata ukristo unafunza mjistiri kipindi kuzuri Hila vifua vyenu vinatupa mtihani wa kuangalia
Wamependeza bhana acheni ujinga
Halafu huyu kihemba ni yule wa redio imani au nachanganya mafaili wazee