Saudi Arabia yathibitisha Mahujaji 1,301 wamefariki Makka, yumo Sheikh Said Nyange wa Zanzibar

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 158

  • @SifaEmma
    @SifaEmma 4 месяца назад +1

    Islam imekua njia ya vifo vingi sana ..from people killed by Terrorists in the name of Islam to People dying going to pray in Mecca...Dini ya mashetani vinataka damu💯💯💯💯💯💯💯

  • @hameidseif7083
    @hameidseif7083 6 месяцев назад +9

    Allah amjaalie kila la kheri

  • @IddiHajialy
    @IddiHajialy 6 месяцев назад

    Allah msamehe mazambi yake mwalim wetu saidi bin nyange amin

  • @diyembarak5506
    @diyembarak5506 6 месяцев назад +6

    Inna lillahi wainna ileihi rajiun.
    Allah amjaalie kaul thabit.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 6 месяцев назад +2

    Mungu mwema awajalie heli 🙏🙏🙏

  • @BizabishakaZuhura
    @BizabishakaZuhura 6 месяцев назад

    Innalillah wainailah rajuul sote ndo njia 😢😢 mansh'allah wamekufa vizur wakiwa kwenye ibada ktk aridhi iliyo takasika sijuwi mim umauti utanikuta nikiwa wapiii subhanallah Allah atupe mwisho mwema inshallah 🤲🤲😢😢

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2un 6 месяцев назад +7

    Allah awasamehe makosa yao wote kwa ujumla 🤲🤲🤲

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 6 месяцев назад +3

    Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 🤲 Allah amkubalie hija yake🙏

  • @dotytydo2342
    @dotytydo2342 6 месяцев назад +2

    Mungu hawape kheri nakufaya kaburi zao kua nyumba zao zafuraha

  • @ShaibuMtelo
    @ShaibuMtelo 6 месяцев назад

    INNALILLAAH WAINNA ILAYH RRAAJIUN

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 6 месяцев назад +1

    Innallilahi wa inna illahi rajiuun may Allah grant them jannah

  • @lombardocrich6177
    @lombardocrich6177 6 месяцев назад

    Alhamdulilah inalillah wa inailahi rajiun

  • @amoury1481
    @amoury1481 6 месяцев назад +3

    Mungu awape kauli thabiti

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 6 месяцев назад

    Iinnalilah wainailah rajuun

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 6 месяцев назад

    Inna lillahi wainnalillah rajiun Allah awajaliye nuru katika nyumba zaoo mpya

  • @atwowa6380
    @atwowa6380 6 месяцев назад

    Allah hamrehemu mahala palipo na waja wema peponi

  • @KSJ6569
    @KSJ6569 6 месяцев назад +3

    Innalillah wa inna ilayh rajiun

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 6 месяцев назад +1

    Innalillah wainalillah rajiun 😢joto nikali sana wallah 😢

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 6 месяцев назад

    Mola awape safari njema pamoja na ss tuliye hai Allah atujaliye khatima njema na mauti mema

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 6 месяцев назад +2

    Inallinlah waina illah rajiun

  • @khamismussa9763
    @khamismussa9763 6 месяцев назад +2

    Kazi ya mola haina makosa pumzika baba mdogo kwani hakika tulikupenda sana ila mola kakupenda zaidi baba mdogo 😭😭😭

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 6 месяцев назад

    INALILAH WAIAILAH RAJIUN NDIO HATIMA YETU

  • @IbrahimuLikolinji-ly2tp
    @IbrahimuLikolinji-ly2tp 6 месяцев назад

    اللهم اغفر لهم ورحمهم وسكنهم في الجنة

  • @ABDULKADIRImamu
    @ABDULKADIRImamu 6 месяцев назад

    Innalilah wannailahi rajuwn

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 6 месяцев назад +1

    Inalillahi waina ilayhi rajioun

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 6 месяцев назад

    Allah ampke kauli thabit na atupe mwisho mwema

  • @salhazuberi3898
    @salhazuberi3898 6 месяцев назад

    Innalilah wainalilah rajiuna

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 6 месяцев назад

    Pepuw yake manshallah

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 6 месяцев назад

    Inna lillah wa inna ilayhi rajiun. Hii ni safari ya kila mwenye nafsi, kikubwa ni kujiandaa na hiyo safari kwa maandalizi ya amali njema na matendo yaliyo mema.
    Kifo hakiangalii umri, kabila, utajiri au umaskini, mzima au mgonjwa, mzee au mtoto, cheo chako au nasaba yako. Wakti ukifika utaondoka haijalishi uko, upo na nani, unafanya nini.
    Ya Rabby tujaalie mwisho uliokuwa mwema pamoja na wazazi wetu na ndugu zetu na kila mwenye kusoma maoni haya.
    Allahumma Aaminy! Allahumma Aaminy! Allahumma Aaminy.

  • @umadisuleiman9167
    @umadisuleiman9167 6 месяцев назад

    Allah amle kauli thabit

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 6 месяцев назад

    Ina lilah waina ilaih rajiun

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 6 месяцев назад

    Daah 😳
    Rest In Paradise

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 6 месяцев назад +1

    Innalihi wainna lilahy rajiuun

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation 6 месяцев назад

    Innalillah wainna illah rajiun

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 6 месяцев назад

    Inalilahi Wainailahi Rajeehun

  • @rashidimussa471
    @rashidimussa471 6 месяцев назад

    Allah awarehem 😢

  • @NAWALSALIM-h9v
    @NAWALSALIM-h9v 6 месяцев назад

    Innalillahi wainailayhi rajiuun, wamefia pazuri tena wakiwa kwenye ibada Allah amewasafisha kwa kila baya walotenda, hio ndio dini ya haki na ya kweli, Allah ni mmoja tu, hakuzaa wala hakuzaliwa

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 6 месяцев назад

      yaani dini ni comedy😂😂😂
      Kila mtu ana taka kulazimisha dini yake ndio sawa na ya mwingine sio😂😂 afu hata ushahidi hana😂😂😂

    • @NAWALSALIM-h9v
      @NAWALSALIM-h9v 6 месяцев назад

      @@lexq-sm6lq wewe amin hivyo ila mimi uislam ni dini ya haki na ukweli nilizaliwa ndani ya uislam na nitakufa ndani ya uislam usiumie mimi sijataja dini yako nimeiongelea ya kwangu mim na kila mtu lazima atetee cha kwake

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 6 месяцев назад +1

      @@NAWALSALIM-h9v kwani unavyo sema ni dini ya haki na ya ukweli si una watupia dongo wakristu!!😆
      Ukweli upo pale pale, umekuwa muislamu sababu umezaliwa jamii ya kiislamu!
      Unge zaliwa familia ya kikristu, ungekuwa mkristu na ungekuwa una ongea maneno haya haya...
      Kwamba oooh, ukristu ni dini ya haki

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 6 месяцев назад

      @@NAWALSALIM-h9v all in all, dini Zina chekesha tu..
      Kila mtu ana force yake ndio iwe ya ukweli, afu hakuna ushahidi wowote!!
      kwanza mambo yanayo ongelewa ni theory zisizo wezekana kabisa🤣🤣🤣

  • @SalmaSaeed-p1w
    @SalmaSaeed-p1w 6 месяцев назад

    Inna lilah
    Wannailahi. Rajuwn

  • @IdrissuHassan
    @IdrissuHassan 6 месяцев назад +1

    Allah awakubalie Nia ya Hijj zao

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 6 месяцев назад +3

    DUNIA HII UKINYIMWA AKILI WEWE UTATESEKA SANA NA POTEA KAMA UPEPO USIOONEKANA HATA SIKU MOJA.
    NENDENI TENA.
    KWENYE UTALIII HUKU WENZENU WANAINGIZA PESA NYIE MUNAKUFA

    • @ShamsaBurj
      @ShamsaBurj 6 месяцев назад

      Inahakiri mbovu Sawa ingiza pesaa utaziingiza mirere

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 6 месяцев назад

      Ukiwa hujui chochote nyamaza hasa kwenye masuala ya kidini...

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 6 месяцев назад

      ​@@ShamsaBurjmirere ndo nn

    • @newbwejuu4302
      @newbwejuu4302 6 месяцев назад

      Kweli ukiwa hunaakili unaona wenzio hawanaakili. ila tuambie ww akili ni ipi?

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 6 месяцев назад

      Kwanza ww ni kafiri hayakuhusu hya.

  • @HafsaussiJuma
    @HafsaussiJuma 6 месяцев назад +3

    Boog nic brow muko fastaa kwa habari

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 6 месяцев назад +1

    Hiz ibada zingine hizi mmmh!! nisiongee sanaaa nisije nikayaoga matusi ya wenye Mila zao 🏃

    • @rogatimushi689
      @rogatimushi689 6 месяцев назад

      Dah me mwenyewe zinanipa mashaka flani hivi

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 6 месяцев назад

    Wasaudi ni waongo Sana hawasemagi ukweli coz kama huyu shee nyange alifikaje Saudi bila kibali wasaudi hua hivo

  • @Joseph-tf8sc
    @Joseph-tf8sc 6 месяцев назад

    Kafara za Majini

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 6 месяцев назад +2

    Sacrifice za wa falme wa Saudi 🇸🇦 tayari zimetolewa kinamna ivo.

    • @diyembarak5506
      @diyembarak5506 6 месяцев назад +1

      Kila nafsi itaonja MAUTI,,,duniani tunapita.

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 6 месяцев назад

      Hta ww IPO siku utakufa je ukifa tumlaum babako kakutoa kafar kinamna ?

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 6 месяцев назад

      Wenzako wamefia ibadani sasa tujiulize mimi na wewe tutafia gesti ktk zinaa,baa,au wapi

    • @ombeniruvubika5392
      @ombeniruvubika5392 6 месяцев назад

      @@hawaramadhani6954 kifo ni kifo ndugu yg, haijalishi umefiya wapi.

    • @ombeniruvubika5392
      @ombeniruvubika5392 6 месяцев назад

      @@sulleymernmannarah7930 Kuna mambo mengi yanaendeleya duniani ambayo sisi wanadamu wa kawaida hatuyaoni ndugu yg..

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 6 месяцев назад +2

    ALITAKA AIWE AKHAJ BADALA YAKE ATAITWA MAREHEMU.
    TUMIA AKILI NYINGI UTAISHI MIAKA MINGI.
    UNAAMBIA SAUDIA KUNAJITO KALI NA LINAUWA WEWE UNAENDA HUKO HUKO TENA BILA KUFUATA TARATIBU SILAZIMA UFE

    • @mohammedalishamis9405
      @mohammedalishamis9405 6 месяцев назад

      Hata Mexico wanakufa na joto hawakufata taratibu ikifika siku na saa utaondoka tuu muhimu uwe umefia sehemu nzuri sio kwenye bar unakunywa au gest wazini

    • @aljalilatiba9873
      @aljalilatiba9873 6 месяцев назад

      ALLAH HUWACHAGUWA watu ili kuwaingiza peponi

    • @irenemollel4363
      @irenemollel4363 6 месяцев назад

      ​@@aljalilatiba9873Acha kujidanganya wewe

  • @nyandutozy_1
    @nyandutozy_1 6 месяцев назад +3

    HAO NI PEPO MOJA KWA MOJA UFIE MAKA UNASHANGILIA KWANZA HAINA HATA HAJA YA KUWAOMBE PEPO WAKATI WANAYO TAYALI

    • @trioyoung1389
      @trioyoung1389 6 месяцев назад

      Akili zako maskini

    • @Justin-y1x
      @Justin-y1x 6 месяцев назад

      Brainwashed

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 6 месяцев назад

      KARL MAX ALISEMA DINI NI BANGI YA DUNIA.
      PEPO KUFANYA NN?

    • @tanzanianpatriotic3532
      @tanzanianpatriotic3532 6 месяцев назад

      Sasaivi watakua na wale Mabikira mia Saba.

    • @dorcasdorjay
      @dorcasdorjay 6 месяцев назад

      Sawa mungu mtu

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 6 месяцев назад +2

    Mahali ambapo Mungu wa Kweli anatajwa na watu wanamuendea, roho ya mauti haiwezi kutawala kwa ukubwa kiasi hiki!!

    • @khalfanothuman9988
      @khalfanothuman9988 6 месяцев назад +2

      Kila nafsi itaonja kifo

    • @sanyolee1396
      @sanyolee1396 6 месяцев назад +1

      Wee unajua watu wangapi walikuwa hapo ndani ya sehemu moja ndogo, watu milioni moja na laki tano amba o walisajiliwa na serikali ya Saudia kando na waliopita njian za panya lazima mkanyagano utakuwepo , ikichangiwa na hewa Kali ya joto kufikia nyuzi joto 50

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 6 месяцев назад

      Na hakna atakae bakia milele sote tutakufa na kila kifo kina sababu zake kikubwa nikuwaombea na cc tuko nyuma yao anytime can happen😭😭😭

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 6 месяцев назад +1

      Ukiwa hujui chochote nyamaza hasa kwenye masuala ya kidini

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 6 месяцев назад

      ​@@sanyolee1396Ila wanasemaga sehemu Kama hizo ikienda Kama una dhambi hurudi Sasa hao watakuwa wanadhambi MUNGU kafanya usafi😢😢

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 6 месяцев назад +1

    Hii ni kawaida Kila siku baada ya Kila swala watu huswalia maiti

  • @karatuyetu
    @karatuyetu 6 месяцев назад

    ila kwa Hawa ndigu zangu waislam mmekua sugu sasa mmeona kufia Makkah ni sehemu sahihi wakati wenzenu wanapiga hela jifunseni kwa hili kama maka ni sehemu ya mungu kweli kwa nn maelfu ya watu hufa Kila mwaka think before you do sija maanisha dini yenu ni mbaya bali wa saudia Wana piga mabilio ya dolla kwa mahujaji kutembelea makahha

    • @HAMIS-ci2vt
      @HAMIS-ci2vt 6 месяцев назад

      Wew kati ya kufa kwenye ibada au nje ya ibada unapenda ufie katika hali ipi apo?

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 6 месяцев назад +6

    Unaenda kumpiga shetani mawe afu unatoka umekufa hakika n hasara kwawasiompokea Yesu Kristo

    • @amoury1481
      @amoury1481 6 месяцев назад +4

      Waislamu Tumempokea Yesu Na Tunamfuata Zaidi ya Ninyi anaomuita Mungu

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 6 месяцев назад +2

      Hata Yesu angekuwepo angeenda Mecca mana alieanzisha Ni Nabii Ibrahim na atakae Mlaani Ibrahim nae amelaaniwa

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 6 месяцев назад +4

      Yesu yupi uliempokea? Ulimpokea ulimuona wapi? Watu uenda hajji kuhijjih hayo ya shetani kupigwa mawe yasikupa chakuongea,kwani huyo shetani akipigwa mawe unaumia?

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 6 месяцев назад +3

      Wanaokufa makkah kwao ni fahari ,ulitaka wafie baa?

    • @ronniemalima6325
      @ronniemalima6325 6 месяцев назад

      Ibrahim alienda mecca lini?? aisee labda acording to quran ila hamna ktk biblia palipoandikwa ibrahim alienda kuabudu huko mecca,,Ibrahim na familia ya baba yake walikuwa wabeba vinyago na waabudu wa hivyo vinyago baada ya kuacha kuabudu vinyago akaanza kumtumikia BWANA yaani JEHOVAH pale alipojifunua kwake@ndukulusudikucho_

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 6 месяцев назад

    Wapumzike kwa amani

  • @maroahkissiry4863
    @maroahkissiry4863 6 месяцев назад

    Kafara kama kawaida 😂

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 6 месяцев назад

    Karne hii ya science na technology kuona watu Bado wanaamini mafundisho ya zama za mawe,inasikitisha Kwa kwel😢😢😢

    • @zuberinasibu1441
      @zuberinasibu1441 6 месяцев назад +1

      Kwahiy unataka watu watupe bibilia au Quran sababu ni vitabu vya zama za mawe Kisha waabudu science na technolojia ??? Hiyo science na technolojia imekuja na Kila uovu , hebu jishtukie broo weka vitu vyenye mantiki . Leo hii hao wenye tech wanatutaka tuwe mashoga we upo Tyr kwa vile upo ulimweng wa sc&tech ??? au nawew katika Hilo unaamini ktk zama za mawe???

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 6 месяцев назад

      ​@@zuberinasibu1441KINACHO FANYA DUNIA IPOTEE ,WATU WAKOSE UTU ,WATU WAUWANE NI KUWA NA #IMANI NA #MISIMAMO AMBAYO INABAGUA HATA BINADAMU MWENZAKO .
      SASA JIULIZE MBONA ICHI NYINGI ZA KIARABU NDIO ZINAONGOZA KWA VITA NA KUUWAMA KWA MUNA MREFU HUKU WALISEMA WAO WAMESHIDA DINI SANA .
      SASA HIYO DINI ITAKUWA INAWASAIDIA AU INAWAPOTOSHA?

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 6 месяцев назад

      @@zuberinasibu1441 Mungu amekupa akili itumie,,ukiniuliza mm bro,ni Bora turudi kwenye Mila na destur zetu za kibantu,Kwa sababu hzo dini zenu zimeshindwa kutokomeza ujjinga unaoendelea Kwa Sasa ulimwenguni,,kifupi dini ndio mwamvuli wa upuuzi wote unaoendelea Kwa xaxa!!!burn religions stay traditionally😆😆😆

    • @newbwejuu4302
      @newbwejuu4302 6 месяцев назад

      jina lako nazani linatokana na simu nikifaa gani kwani

  • @Yotekwayangagood5610
    @Yotekwayangagood5610 6 месяцев назад

    Du hii nishida kwa wafiadin

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 6 месяцев назад

    Rip

  • @Justin-y1x
    @Justin-y1x 6 месяцев назад +1

    Walienda kufanya nini huko kupoteza muda au 😢??

  • @ikokijuma-zv7wd
    @ikokijuma-zv7wd 6 месяцев назад

    Kufaulu kukubqa huko

  • @trioyoung1389
    @trioyoung1389 6 месяцев назад

    Una enda kungemea shetani ka amua zake kukutoa roho 😅😅😅

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 6 месяцев назад +1

    Njooni kwa mkombozi wa ulimwengu awaokoe

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 6 месяцев назад

      Utakufa tu hata usisafiri ibilisi asikutumie, Kwa Waislam kifo cha huko Mecca Ni ushindi mana hawajafa Bar au Kwa mchepuko, Sasa Baki zako Tz na umauti ukufike kwenye kiuno cha Malaya

    • @asanteoriginal6938
      @asanteoriginal6938 6 месяцев назад +2

      Pumbavu kabisa wewe

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 6 месяцев назад +1

      Huko walikoenda ndiko kwa mokozi wa ulimwengu na wameokolewa, uko kwako itakua nikwa shetani

    • @madamloveness7274
      @madamloveness7274 6 месяцев назад

      @@fatumamwalimu5765 na bado hujasema moto duniani mpaka mbinguni

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 6 месяцев назад

      ​@@asanteoriginal6938 KULE NI ENEO LA UTALIII NA KUWAINGIZIA SAUDIA ARABIA MAPATO YA MUNGU HAMNA TENA.
      WAJINGA NDIO WALIWAO😂😂
      MUTAISHA SANA NA MTAZIKWA PORINI MBALI NA FAMILIA ZENU KAMA WANYAMA PORI

  • @CjTiMb
    @CjTiMb 6 месяцев назад

    hao watu wametolewa kafara

  • @dottomabula7253
    @dottomabula7253 6 месяцев назад

    Ulimbukeni
    Zilipendwa
    Nani Hadi Leo anazurura

    • @amoury1481
      @amoury1481 6 месяцев назад +1

      Hilo Ni suala la kifo kinaweza kukukuta sehemu yoyote

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 6 месяцев назад +3

      Mwenyezi Mungu akupe mtihani ambao utakukumbusha maiti haisemwi Wala kudhihakiwa mana hakuna atakae Baki milele. Eeemen

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 6 месяцев назад

      MKIISHA MUTAACHA

  • @MIKAMika-zz7wu
    @MIKAMika-zz7wu 6 месяцев назад +1

    Wametolewa kafara Cha ajabu mwakan Tena yanaenda hija yalivyo kua masenge

    • @idinado-wk3lx
      @idinado-wk3lx 6 месяцев назад

      Ata Mimi napenda niende ata Leo Ilo la kafala unalijuwa wewe siyo sisi

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 6 месяцев назад +2

      Pole, siwezi kukutakana kama ukuvyofanya wewe Ila kama hujui chochote nyamaza hasa kwenye masuala ya kidini, tujiulize mimi na wewe tutafia gesti ktk zinaa, baa au wapi

    • @MIKAMika-zz7wu
      @MIKAMika-zz7wu 6 месяцев назад

      Lazima mtolewe kafara kwa sababu mnaacha kufanya matambiko ya makabur ya ndugu zenu mnaenda kusujudia mizumu ya kiarabu acheni ufala elimikeni bas wamewatawala na kuwa fanya watumwa babuzetu na mnawasujudia kenge nyie

    • @happyhamza9916
      @happyhamza9916 6 месяцев назад

      ​@@MIKAMika-zz7wupole Sana kwakuabudu alivyo viumba,Allah ana mshirika

    • @MIKAMika-zz7wu
      @MIKAMika-zz7wu 6 месяцев назад

      mbona mnaenda kusujudia alkaba si kabur lile na mnarichum kabisa pumbavu Sasa kunautofauti gan na makabuli ya kwetu mbwa nyinyi

  • @huthhuthlih5858
    @huthhuthlih5858 6 месяцев назад

    Ivi dini inafaida gani ktk maisha ya mwanadam? Dini ni ushetani dini ni biashara chafu sana na ya kichawi

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 6 месяцев назад +3

      Kwako wewe haina faidi maana umeshapotea, uchawi ni huo ulionao wewe sio dini ya MUNGU, alafu pia hiyo biashara unayoizungumzia wewe umewauzia nini?

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 6 месяцев назад +1

      Hizi dini ndio chanzo cha umasikin kwenye baadhi ya maisha ya watu

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 6 месяцев назад +1

      @@melanialeonard4031 wewe ikiwa ni maskini jitafute

    • @ombeniruvubika5392
      @ombeniruvubika5392 6 месяцев назад

      ​@@melanialeonard4031
      Watu weusi ni vigumu kuelewa.

    • @saidkhatib9146
      @saidkhatib9146 6 месяцев назад +2

      Allah akuongoze

  • @AndweleRighton
    @AndweleRighton 5 месяцев назад

    Wajinga

  • @NiniOman-lx5lg
    @NiniOman-lx5lg 6 месяцев назад

    Innalilah wa inna ilayh rajiun

  • @IsmailOmar-f5s
    @IsmailOmar-f5s 6 месяцев назад

    Innalillah wainnaillah rajoun