MAHUJAJI zaidi ya 1,000 wafariki MAKKA, BAKWATA yafunguka, fahamu JOTO lilivyosababisha VIFO vyao

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 332

  • @FatumaMamlo-st8pj
    @FatumaMamlo-st8pj 7 месяцев назад +62

    Inalillah wainailah rajiun ALLAH awasamehe makosa yao awakubalie ibada yao awaingize jannat firdaus amiin😢😢😢😢

  • @almasramadhan9387
    @almasramadhan9387 7 месяцев назад +14

    DJ smaa safarii ulibez sana urusi ukashindwa kutupa taarifa hii kwa wakati mungu ajaalie janat Firdausi kama alivo ahidi na tuna imani kubwa waislam kwa mola wetu inshallah makazi yao yatakua huko inshallah

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 7 месяцев назад +19

    Inna lillah wa inna ilayhi rajiun. Allah awarehem na awasamehe madhambi yao na awajalie pepo ya juu ya Firdaus. Na tunawaombea wafiwa Allah awape subra

    • @8pistons194
      @8pistons194 7 месяцев назад

      Mungu wetu fundi bana

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 7 месяцев назад

      Kwani hujui?​@@8pistons194

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 7 месяцев назад +11

    Hii kitu hii watu alfu plus,ingetokea kwa imani tofauti ,hizo kejeli na kashfa .........,kuna funzo kubwa sana nalo ni ....Tuheshimu imani ya kila mmoja,tupendane na kuhurumiana pasipo kujali imani,rangi wala kabila.
    Mwenyezi Mungu awapumzishe wote waliopoteza maisha na awafariji wapendwa wao.

    • @lilhydon452
      @lilhydon452 7 месяцев назад

      Yani ikitokea mtanzania kafia huko bakwata wakamatwe hii itakua Imani potofu...mkenya alie ua watu zaidi ya 500 mpaka leo yupo ndani...hata juzi Kuna mkristo kaambia watu wafunge Hadi kufa mpaka leo yupo ndani..

    • @farahanafarer7588
      @farahanafarer7588 7 месяцев назад +6

      Kila muislam anatamani afie huko so relax

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 7 месяцев назад +1

      Wamekufa sababu ya joto ni kali sana na watu ni wengi.

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 7 месяцев назад

      Yani ufie kwa waarabu huna kwenu ​@@farahanafarer7588

    • @haryanyawu640
      @haryanyawu640 7 месяцев назад

      ​@@farahanafarer7588 elewa alichoaandika kwanza ndo umjibu😏

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 7 месяцев назад +16

    Sns muwe on time hii taarifa ya juzi

  • @MuemedeAssumane-yu5cb
    @MuemedeAssumane-yu5cb 7 месяцев назад +1

    safi kwa kutujuza sns 🇲🇿 tunaikubar sana huku Mozambique

  • @maimoonabakari1426
    @maimoonabakari1426 7 месяцев назад +15

    Innalillah wainna ilaihirajighun Allah awajaalie kauli thabit

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 7 месяцев назад +23

    Inna lilah waina ilah rajiuun
    Mwaka huu joto ni kali sana duniani hata Mexico wamefariku 160 kwa joto

  • @jojojojo-my7vw
    @jojojojo-my7vw 7 месяцев назад

    wambwabuduo Mungu halisi huabudu katika Roho na Kweli. poleni kwa msiba mzito

  • @halimashaban7038
    @halimashaban7038 7 месяцев назад

    Inna lillahi wa Inna ileihi raajiun..Allah awaraham wote kwa rehma zake na awajaalie Jannat firdous..Ameen In Sha Allah 🤲🤲

  • @YamunguMuha
    @YamunguMuha 7 месяцев назад +4

    Wote peponi moja kwa moja
    By "proud to be...👏

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 7 месяцев назад

      Yesu ndiyo njia ya kweli na uzima yeye ajae kwangu atarithi ufalme wa mbinguni

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 7 месяцев назад

      Ila pepo ya Allah kitonga Sana ukienda kwa waarabu tu Peponi moja kwa moja😂

    • @johnmwalule3007
      @johnmwalule3007 7 месяцев назад

      😢😢

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 7 месяцев назад

      ​@@zaburi2386unaumia ukiwa wapi naona sindano imekuchoma ndipo

    • @SakuraWnews
      @SakuraWnews 7 месяцев назад

      @Sinemazetu9v😂😂😂😂 hata mimi ngoja nicheke

  • @shaban6644
    @shaban6644 7 месяцев назад +2

    Innalillah Wainna ilayhi raajiun,
    Allah azipokee Ibada Zao.

  • @YalkinAlkindy-nt2hf
    @YalkinAlkindy-nt2hf 7 месяцев назад

    Mtanzania yupo mmoja kafariki jana Allah amrehemu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 месяцев назад +3

    Innarilah wainahilah rajiun..mwenyezimungu awapumzishe pepon inshallah

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 7 месяцев назад +7

    Zote ni sabab ila wakat wa Allah ndio muda sahihi...tena alhamdulillah wamekufa wakiwa makkah ni bora zaid...Allah awakubalie ktk ibada zao na iwe sabab ya kuwaingiz pepon kwa rehema zake

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 7 месяцев назад

      @Sinemazetu9v Wana macho ila hawaon, wanamsikio ila hawasikii na nyoyo zao zishapigwa mhuli ata uwasemeze vip hawatarejea...Na ushaur jitahid kueheshim iman za watu..sikulaumu san maana hujui usemalo...Kwa sitiari we ni sawa na nyumbu ama Wildebeest...for more info go and read btn line

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 7 месяцев назад +6

    Allah amewapa mwisho mwema wennzetu je sie tutaupata Subhannallah tuzidishe ibada waja wa Allah😢😢

    • @ashaali7487
      @ashaali7487 7 месяцев назад +2

      Amin inshallah. Na Allah awasemeh makos yao

    • @hopedigitalmedia34
      @hopedigitalmedia34 7 месяцев назад

      @@ashaali7487 hahahah

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 7 месяцев назад +2

    Mtanzania yupo mmoja kutoka Zanzibar sheikh Said Nyange wa kidoti 😢😢😢amefariki

    • @nouraynaasheikhunkabir3749
      @nouraynaasheikhunkabir3749 7 месяцев назад +2

      Hakufa kwa sababu ya jua shekhe Said , aliugua wakati kashamaliza Hijja na Jana usiku ndio aliugua akafariki , kifo chake hakitokani na joto

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 7 месяцев назад +3

    Duuuuuh innallaha Mola awasamehe na awalaze pema tunashukuru pia mola kwa kuwarinda watanzania wagumu sana ila kiukwel joto kwenye nchi za mashariki ya kati kwakwl nihatari sisi huku hatulali hakika 😢

  • @NezaMerry434
    @NezaMerry434 7 месяцев назад

    Mwisho mwema MashAllah

  • @eshamohamed8132
    @eshamohamed8132 7 месяцев назад

    Mungu awahifadhi poleni sana

  • @AthmanSud
    @AthmanSud 7 месяцев назад

    Mungu atupe khusnul khatima

  • @rehemakitonge3833
    @rehemakitonge3833 7 месяцев назад

    Innalillah wainalillah laijun, Mwenyezi Mungu awasamehe makosa Yao Yarrab 🤲🤲

  • @AliHamad-xl2mm
    @AliHamad-xl2mm 7 месяцев назад

    Allah awapee kauli thabitii

  • @Oldskulgemini9991
    @Oldskulgemini9991 7 месяцев назад +41

    Hii ingekuwa imetokea makanisani hawa wenzetu wangekuwa wanataja neno kafiri tu komenti zote dah😅 binadamu ni binadamu haijalishi yupo dini Gani au Hana dini mwisho wa siku wote tunaishi, pole kwa wote waliopoteza ndugu zao🙏🏾

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp 7 месяцев назад +10

      Ndugu yangu unapenda san kushabikia udini ivi imetokea lin hio kanisani ukawasikia waislam wakisema ni kafara?? Wakristo ndio wa kwanz kusem kua waislam wanatowa kafara

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 7 месяцев назад +2

      Huyu majununu kwza ukifiamaka pepo ile pili unaumia nadini zawatu ulisha muona Women's wa muslim akingia masejidi kigwa wazi jiulize haya umefananisha masijedi na kanisa mnalo kanisa kama lamaka dugu usifuraishi waloo nuna munaenaga kuzuru wapi sisi we isilam tuna eda kuzuru makaburi ya mitume masijeji asali

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 7 месяцев назад

      @@JohnCage-we6tp Sasa wapi nimesema ni kafara?🤔na wapi nimeweka uduni? Sidhani kama Kuna watu wanaoongoza kuwa na udini kama Waislamu, wakritu Huwa wanafanya tu kama kulipiza ila wenzetu Huwa hamuheshimu kabisa dini za wenzenu mnatuita makafiri😅 unaweza usiwe wewe ila wenzako wengi wanatabia hiyo na ndomana ukisoma komenti yangu nimemalizia kuwa wote ni binadamu hizi dini hazina nafasi kubwa zaidi ya ubinaadamu sababu hata Mimi mama yangu mdogo ni muislamu pia

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 7 месяцев назад

      @@surusuru1994 yani hii ndo shida yenu baadhi yenu yani we ulichoona hapo kosa wakati nimekomenti vizuri kabisa sijui kama Huwa mnasomaga mbaka mwisho, Sasa wanawake kufunika kichwa we ndo umeona kitu cha muhimu sana eti😅 Mimi sioni faida yeyote, naheshimu misingi yenu siwapingi lakini kwetu sisi Haina faida yeyote hizo nyingine ni tamaduni za waarabu tu Wala hazihusiani na chochote cha maana

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 7 месяцев назад

      ​@@surusuru1994maca sio peponi, unaweza kwenda kutambika maca, na peponi usiende kamwe,, hija bora kuliko zote ni,, kumwendea YESU KRISTO.. kwake YESU ndio toba ya kweli, na uzima wa milele,,, hao wote walokufa pale maca bila YESU mioyoni mwao hawajafa na YESU KRISTO,, kwahiyo! Wamepotea milele.

  • @swalehetendwa8055
    @swalehetendwa8055 7 месяцев назад

    Inna lilaahi wa inna ilaihi raaji'una, ALLAH awape kauli Thabiti

  • @mosesliboston5437
    @mosesliboston5437 7 месяцев назад

    Innalillah wa inna ilah raj'un allah awajaliye na awatilie wepesi kwenye makaburi zao

  • @msholozizuma5428
    @msholozizuma5428 7 месяцев назад

    Innalillah wainna illaihi Rajiun Allah atujalie Nasi Muisho muema Amiiiin.

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 7 месяцев назад

    Sky ❤. Tupo visuri

  • @waytruthlife4171
    @waytruthlife4171 7 месяцев назад +1

    Pole sana, ila waliobaki Mungu awape neema ya kupokea wokovu wa Mungu kupitia Yesu Kristo.

    • @ShamsaBurj
      @ShamsaBurj 7 месяцев назад

      Udasubir sanaaa

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 7 месяцев назад

      Yesu tena!!😂

    • @khambhai360
      @khambhai360 7 месяцев назад

      Hapokei mtu hapo.Kaa Na ukristo wako.

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 7 месяцев назад +3

    Hooooh mungu awarehemu

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 7 месяцев назад +2

    😢omn pia Jmn achen tu Mungu atusaidie sana

    • @hameezhami7795
      @hameezhami7795 7 месяцев назад

      Nuhatari.saa mija jua utadhani saa saba mchana. Yaraby

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 7 месяцев назад

    Leo wametagaza 1100 inallillah wainaillahi rajioun allah awajalie jana firdaus

  • @MariamSalum-d1c
    @MariamSalum-d1c 7 месяцев назад

    Innalillah wainnailayhi rajiuun,, Allah mlez awarehemu

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 7 месяцев назад +3

    Hakuna mungu anae tafutwa hapo zaidi ni utumwa wa dini😢. Poleni ndugu wa Marehemu

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 7 месяцев назад

      Sas utumw upi na Ni ttz la Hali ya hewa kiwer mwk huu kunajoto famlme za kiarb

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 7 месяцев назад +1

      Ukiwa hujui dini ya wenzio ni kher unyamaze...Na sis ndio ni watumwa hujakosea sis tumekuj kutumikia dini mengin ni ziada...Hiy ni ktk nguzo ya uislam sio option...Na kifo c huk tu kwan wangap wanakufa kwa ajal...Je, wangekufa kwa ndege kabla au baada ya hijja ungesemaj?

    • @MamodelPark
      @MamodelPark 7 месяцев назад

      Umeishia la ngapi kwani ? Huna unalolijua kuhusu uislam kakoment kwenye madhehebu yenu uko yaliyomsaliti yesu

    • @mahmudahmad5369
      @mahmudahmad5369 7 месяцев назад +1

      SISI ni watumwa WA allha HIVYO tuacheni na utumwa wetu.

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 7 месяцев назад

      Tukiza kwomwe kuna vitu havikuhusu

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 7 месяцев назад

    Umeripoti hii Habari na mmetuchambulia vizur sana,nilikuw naisubiri huku hii habari

  • @khalfanallbusaid2035
    @khalfanallbusaid2035 7 месяцев назад

    Yupo mtanzania mm nipo huku saudia arabia

  • @AfRICA0404
    @AfRICA0404 7 месяцев назад +1

    Ni kufa kwa kukosa maarifa
    Na usihabudu miungu sehemu yeyote ile mungu unaweza abudu😂😂😂😂 kuna ibada ya mizimu tupo mwisho wa kihamaa😂😂😂😂mungu tunusuru

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 7 месяцев назад +4

    Sio sehem salama kwa kwa maisha ya watu bali ni utumwa wa kiimani ndio unatutesa

    • @aizakmuhammed3964
      @aizakmuhammed3964 7 месяцев назад +4

      co salama kwa.waabudu shetani kama wewe

    • @AlbertSabo-hp3ss
      @AlbertSabo-hp3ss 7 месяцев назад

      ​@@aizakmuhammed3964kwani ulikuwa ujui kama Allah ni shetani mwenyewe maana ni mdanganyifu na Mungu hawezi kuwa mdanganyanyifu Quran 3:54. Tafakali ndugu yangu

    • @hopedigitalmedia34
      @hopedigitalmedia34 7 месяцев назад +1

      Yah nkwl aisee alaf wanaamini wajifia hapo wanaiona pepo hahahah

    • @ramadhanhassan5285
      @ramadhanhassan5285 7 месяцев назад +2

      Amakweli nyinyi msiokua na dini mnamaajabu yenu poleli sana mnacho amini ni kupiga makofi nakudanganyana kua yesu nimunvu

    • @MamodelPark
      @MamodelPark 7 месяцев назад +1

      Utumwa wa kiimani mnao nyie wana wa yesu mlio msaliti mungu wenu akaenda kupigwa mawe akafa msalabani

  • @Forester__
    @Forester__ 7 месяцев назад +2

    Oh Lord Jesus Prove the reality of your existence to them.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 месяцев назад

      😮🙇

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 7 месяцев назад

      Even India alot of people die because of too much heat so come down with your jesus

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 7 месяцев назад

      What’s do you mean?

    • @Siasia209
      @Siasia209 7 месяцев назад

      Jesus ni mtume km mitume mengine waliokua kabla yke

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 7 месяцев назад

    Yupo mmoja mzanzibar 😢😢

  • @DeeJuma-dj1tb
    @DeeJuma-dj1tb 7 месяцев назад

    Allahuma ghufirlahum warhamhum wa sakinu fil janbat

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 месяцев назад

    Duh🤔🙌poleni

  • @Theplanetmedia
    @Theplanetmedia 7 месяцев назад

    Nakukumbusha Kuna Mtanzania Mmoja Amefariki Upande wa zanzibar SHEIKH SAID NYANGE WA KIDOTI

  • @bilalbadrudin7251
    @bilalbadrudin7251 7 месяцев назад +4

    Tunayo taarifa ambayo inaonyesha mtanzania mmoja ambae ni sheikh mkubwa hapa Zanzibar sheikh said nyange nae ni Mingo miongoni mwa waliofariki.

  • @AngelJoseph-charllo
    @AngelJoseph-charllo 7 месяцев назад

    I'm proud to be Christian

  • @nizarrama225
    @nizarrama225 7 месяцев назад

    Inalilillah wainaillah rajiun 🙏

  • @AfRICA0404
    @AfRICA0404 7 месяцев назад

    Proud to be christianity

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 7 месяцев назад

    INALILLAH WAIINA ILAYHI RAJIOUN

  • @IdrissuHassan
    @IdrissuHassan 7 месяцев назад

    Na kweli Kuna Joto Kali sana Saudia nzima, hata kutok mchana basi nikujikaz na tunawaombea waliokufa Allah akubali Hijj zao, na kifo ni lazima ila kawaida unapotak kwenda Hijj kunakua na chanjo inachkuliwa Ili kulinda mwili, na hili la maji ukweli Saudia inajitahidi sbb sehemu zote kunakua na watu ambao wanakua na machupa ya maji kila sehemu, nilikuwepo hilo la maji sio kweli

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 7 месяцев назад +1

    Eeh Mungu Nijaalie Nipate Milioni 17 niende huko Hijjah!

  • @mengicacoconut8144
    @mengicacoconut8144 7 месяцев назад +5

    Innalillah wainalillah rajiiun

  • @MOHDUSSI
    @MOHDUSSI 7 месяцев назад

    Tanzania kafariki mmoja kutoka zanzibar

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 7 месяцев назад +8

    Mimi nipo hapa saudia joto simchezo

  • @Abdul-kadir-u5z
    @Abdul-kadir-u5z 7 месяцев назад +7

    Hawo ndio waloteuliwa na Allah. Natamani ningelikuwa miongoni mwao😢😢

  • @HamisiHemedi-u8k
    @HamisiHemedi-u8k 7 месяцев назад +1

    Innalilah wainnailayhi raajiunna

  • @nasiekutarishi3292
    @nasiekutarishi3292 7 месяцев назад

    Joto liko juu sana na mwezi wa itakua zaidi

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 7 месяцев назад +1

    SnS inaunguruma ukweli n UWAKIKA 🇲🇿🇹🇿

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 7 месяцев назад

    Wapumzike salam

  • @mariammwinyi6444
    @mariammwinyi6444 7 месяцев назад

    Janat Inshaallah yarrab……😢

  • @mariam-pu4kg
    @mariam-pu4kg 7 месяцев назад

    Nikweli jua nilinawaka sana, joto nikali sana ..mimi nkoBahrain 🇧🇭 mchana mm sitoki

  • @nacreahali9670
    @nacreahali9670 7 месяцев назад

    Inna lillahy wainna illaihy rajioun

  • @Fatma-wi2co
    @Fatma-wi2co 7 месяцев назад

    Kweli joto ni Kali sana tunashindwa hata kuchungulia nnje

  • @bizzoforreal8502
    @bizzoforreal8502 7 месяцев назад +3

    Innalilahiy

  • @MathayoMulumbi
    @MathayoMulumbi 7 месяцев назад +1

    Allah wa mwamedy hakupunguza joto

    • @KhamisOmar-kt4kz
      @KhamisOmar-kt4kz 7 месяцев назад +1

      Ww jamaa unamatatizo gn ww fanya dhihaka iko siku mungu atakuongoze uijue haki

    • @khambhai360
      @khambhai360 7 месяцев назад

      Mbona hata nyie mnakufa mbona hamuachi kufa.

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 7 месяцев назад

    Jamani kwa sasa ni joto mno hatahapa Oman joto lipo juu sana

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 7 месяцев назад

    sio kwel mtanzania yup shekh said nyange kutok zanzibar

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 7 месяцев назад

    Mbele Yao nyuma yetu Allah awalipe Pepo waja wake

  • @Mariam-w9s3b
    @Mariam-w9s3b 7 месяцев назад

    Jaman joto ni kali kweli sio mchezo falme za kiarabu kuna joto asaaa yaan unawasha feni linatoa mvuke wa moto yaan we acha vp wao wapo uwanjan tu

  • @ChaumaraAli-z5i
    @ChaumaraAli-z5i 7 месяцев назад

    innalilah wainailaihi rajiun katika mahujaji walio fariki yupo mtanzinia kutoka zanzibar

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 7 месяцев назад +2

    Round hii umechelewa ilikua last week joto iko juu

    • @neemajohn6142
      @neemajohn6142 7 месяцев назад

      Si mpaka awe na takwimu sahihi , uhakiki wa taarifa sahihi

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 7 месяцев назад

    jamani Allah yupo kila mahali acheni kufuata imani zisizo na umuhimu

  • @DrNyamwiMSMD
    @DrNyamwiMSMD 7 месяцев назад

    Explanations ni ya kisiasa sio ya kisayansi

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 7 месяцев назад

      In what aspect sio ya kisayansi jina lako limeanzia na dokta so tell me bro....?.if hperthermia is not a reason what is it then hypothermia or..?. Let's have a coversation if you can don't mislead others.

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 7 месяцев назад

    Innalillah wainnaa lillahi rajiun 😭😭😭

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 7 месяцев назад

    Innah lillah wainnah illah rajiuna

  • @salumyussuf2140
    @salumyussuf2140 7 месяцев назад

    Kaka sky yupo aliefariki alhaji WA Tanzania upande WA Zanzibar anaitwa Sheikh Said Nyange mkaazi WA Nungwi na amezikwa Makkah leo

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 7 месяцев назад

    Inalillah waina lillah rajiun mbele yao nyuma yetu..

  • @mwanahamisrashid7787
    @mwanahamisrashid7787 7 месяцев назад +3

    Makampuni ya tourism wamesababisha haya yote wamewaingiza wenzao mkenge wamewaingiza kabla ya muda wa hijja kufika bila kujua Saudi Arabia wamejipanga vipi safari hii kila hujaji kapewa kitambulisho maalum na km huna huchukuliwi na Saudi Arabia wenyewe wamechangia pia wameshaona tatizo hili na hali ya hewa wanaijua imeongezeka hiyo 51 pia uongo zaidi ya hiyo wanaficha

    • @Bittertruth-u4n
      @Bittertruth-u4n 7 месяцев назад +2

      Kila nafsi huamrishwa mambo manne ikiwemo rizq ake,na ajari yake/kifo ,na amali zake...Kila nafsi imepangiwa sehemu yake ya kufa hapo hakukuwa na namna yoyote ya wao kurudi hai ikiwa Allah alishapanga watakufa wapi

    • @rashidhasni2112
      @rashidhasni2112 7 месяцев назад

      Taja wewe hiyo hali ya hewa ya kweli.

  • @mwanakhamisimwinyimatano1185
    @mwanakhamisimwinyimatano1185 7 месяцев назад

    Inna lilah waina ilah rajiuun

  • @mahmudahmad5369
    @mahmudahmad5369 7 месяцев назад

    Inna lalahi waina ilaihi rajiun

  • @NkenguburundiKenny-xn8of
    @NkenguburundiKenny-xn8of 7 месяцев назад

    That news was on Friday, you reports it now

  • @IbrahimMjahid-cf5jf
    @IbrahimMjahid-cf5jf 7 месяцев назад

    Ibrahim abuu ismail kutoka tanzania dar, hakuna mahujaj waliofariki,bali waliofariki ni washirikina waliokwenda kumshirikisha (allah,s,w,t,)

    • @jumaali4893
      @jumaali4893 7 месяцев назад

      Ukweli utakuokoa, Uongo utakuangamiza.

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 7 месяцев назад

      Kama kweli ni wachawi,kwani kuna ruhusa ya kuwaua au huyo Mungu naye katili?😂

  • @IbrahimMjahid-cf5jf
    @IbrahimMjahid-cf5jf 7 месяцев назад

    Ikiwa washirikina waliofariki wakitokea ktk, inchi zao hawakuweza kuwalaani mayahud wanaoendelea kuua na kumwaga damu ya wasio na hatia, watakufa na bado,

  • @svt3
    @svt3 7 месяцев назад +6

    SNS mumechelewa hii ni siku tatu zimepitika walikuwa watu 1008 walio poteza maisha

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 7 месяцев назад +1

      Wamechelewa sana kwakweli, news imeanza wiki iliyopita, juzi zinetolewa sababu nyingi za vifo, sio joto tu.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 7 месяцев назад

      Hii ni zaidi ya habari ni ripoti ya kilichotokea pia ndyo habari kubwa duniani kwa sasa vyombo vyote vikubwa duniani vinaripoti maana bado kuna maiti zinaendelea kupatikana.

    • @Zuu673
      @Zuu673 7 месяцев назад

      ​@@homeandaway2811pamoja na nini?

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 7 месяцев назад +1

      sasa hapo hujaelewa nini? akisema zaid ya vifo hata kama amechelewa kutoa taarifa

    • @mwanahamisrashid7787
      @mwanahamisrashid7787 7 месяцев назад

      😢😢😢

  • @thamani5842
    @thamani5842 7 месяцев назад +1

    Makafir wamefurahi utafkiri wao hawafi. Kumbe "kulu nafsin dhaikatul maut"

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 7 месяцев назад

    Yupo mtanzania alie fariki na kuna mtu yupo huko niliesoma nae,katutumia picha ya mtanzania alie fariki kwenye group letu la whatsApp

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 7 месяцев назад +3

    maca sio peponi, unaweza kwenda kutambika maca, na peponi usiende kamwe,, hija bora kuliko zote ni,, kumwendea YESU KRISTO.. kwake YESU ndio toba ya kweli, na uzima wa milele,,, hao wote walokufa pale maca bila YESU mioyoni mwao hawajafa na YESU KRISTO,, kwahiyo! Wamepotea milele.

    • @Manzabei
      @Manzabei 7 месяцев назад

      Achakashifa ya dini mweu

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 7 месяцев назад

      Yesu mwenyewe alishindwa kujipambania atampambania nan?..Alikula kichapo mpk akafa Leo unaongea ujinga tupu.

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 7 месяцев назад

      @@Manzabei kwani nimekashifu wapi? Maana mimi nimewakumbusha watu, pia wamwendee YESU KRISTO. Maana yeye YESU, alisema MTU! Hatafika kwa MUNGU, pasipo kupitia kwake,, sasa wewe usije ukawa unamambo ya kiyahudi, maana wayahudi, wali mu-uwa YESU, kwa sababu, YESU aliwaambia, wasipo mfuata yeye hawata ingia peponi.

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 7 месяцев назад

      @@Manzabei hatutaacha kuwakumbusha watu, wamwendee YESU, wewe hata unapokwenda msikitini,, kusali, usisahau kumkili YESU moyoni mwako.

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 7 месяцев назад

      @@MtuSafi alikufa, akafufuka,, je, nabii gani alikufa na kufufuka? Na pia nina mashaka na uislamu wako,, wewe utakua muislamu wa ku-unga unga, maana waislamu wasomi! Hawa amini kama YESU alikufa,, wao huamini YESU alipaa,, we hiyo aya ya isa bin mariamu kufa! Uli itoa ktk Quran ipi?

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 7 месяцев назад

    Innal lillah waina illah rajiun 😢

  • @mkubwaussi7777
    @mkubwaussi7777 7 месяцев назад +2

    Mbona hukukwetu Zanzibar mazishi ya hujaji mmoja yameripotiwa na ww unasema mtanzania hakuna hatammoja vip au ss hatuko Tanzania

    • @mtaitamedia2024
      @mtaitamedia2024 7 месяцев назад

      Usimlaumu sana huenda Hana taarifa rasmi. Hawa waandishi wakati mwingine hufanya habari bila uchunguzi wa kina

    • @hailinhelen4675
      @hailinhelen4675 7 месяцев назад

      Ina wekana uyo hakufa kwa joto hapa wametajwa walokufa kwa joto tu uyo labda alikuwa mgojwa au hakufa kwenye uwanja wa arafa kwa joto

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 7 месяцев назад +3

    Hii dini mbn hatr

    • @seifmiraji43
      @seifmiraji43 7 месяцев назад

      Hatari vip!?

    • @abuialmarjibi979
      @abuialmarjibi979 7 месяцев назад

      Hatari yake ni nini?

    • @Anthonyzombie-d2s
      @Anthonyzombie-d2s 7 месяцев назад

      @@abuialmarjibi979 unatk kujuw ilivyo hatr?naww nend kampig shetn

    • @x7hia
      @x7hia 7 месяцев назад

      Jiheshimu

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 7 месяцев назад

      Hahaha dini na joto vina uhusiano upi?

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 7 месяцев назад

    Mbele yao nyuma yetu 😢😢😢

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 7 месяцев назад

    Watulie

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 7 месяцев назад

    Na watu
    Hawasikii ikiwa joto inatakiwa ubaki hotelini nanufanye ibada ila wengine hawasikii wanatoka ndo hapo inakuwa shida

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 7 месяцев назад

    Hii iliwahi kutokea Arusha kwa Mwamposa

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 7 месяцев назад

    Hivi kwa nini wasiweke utaratibu wa watu kufika pale wawe wanaenda kwa idadi inayoweza kukidhi eneo husika kulingana na hali ya hewa

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 7 месяцев назад +2

    Joto ni kali saaana hata hapa Omani

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 7 месяцев назад

    Saudia kunajoto kabisa niliumwa kichwa mpaka nikarudi nyumbani juu ya joto

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 7 месяцев назад

    Mie swali langu mbona sijasikia tarifa idadi za majini ndungu zenu mumekufa wao wamebaki 😂

  • @rashidhasni2112
    @rashidhasni2112 7 месяцев назад +2

    Uongo kusema kuwa ni chanzo cha pili cha kuingiza pesa ni uongo bali serikali inafanya hili jambo pasi na kutegemea faida. Mimi najiuliza kwanini mkiongea haya mambo hamfuatilii kwa makini hamfanyi research katika taarifa zenu

  • @huthhuthlih5858
    @huthhuthlih5858 7 месяцев назад +1

    Lazima ife misukule huyo mungu wa aina gani huyo dini ni upuuzi na ni sumu vichwani kwa watu

    • @MathayoMulumbi
      @MathayoMulumbi 7 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 7 месяцев назад

      Makafiri utawajua tu😢

    • @x7hia
      @x7hia 7 месяцев назад

      Shika adabu yako

    • @SabruuMuhammed
      @SabruuMuhammed 7 месяцев назад +1

      Sumu moyoni mwako inakukereketa

    • @khambhai360
      @khambhai360 7 месяцев назад

      Inakuuma Nini kwani unandugu yako aliyekufu?

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 7 месяцев назад

    Dubai tuna joto 49 yani tuna komaaaa