Chris Brown asikitishwa na video za vijana wa Kuluna waliohukumiwa kunyongwa DRC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 294

  • @AdamClassic-uj9ed
    @AdamClassic-uj9ed 12 дней назад +54

    Kuna Kijana Mmoja Kamchinja Mtoto, Daa Oya Chris Brown Tuache Kidogo

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 13 дней назад +63

    Awoo wa marekan wasituchoshe wao walikua wanaua wanawake na watot uko Gaza Naomba kwa Mwenyez Mungu Marekan iteketee kuliko apo

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 13 дней назад +10

      Amina. Mwenyezi Mungu ajaalie ukateketeze maghala yote ya silaha zote za nyukilia

    • @AbdallahSalum-vi3tw
      @AbdallahSalum-vi3tw 13 дней назад +2

      INSHAALLAH.

    • @NemaAli-zh6hr
      @NemaAli-zh6hr 13 дней назад +1

      Amiiiina

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 13 дней назад +3

      MBon Hajaongelea Moto Kwao Huyu Vip?

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 13 дней назад +1

      @@JomoKilawe 🤣🤣🤣 ndio apo sasa badal awap pole uko kwao anangaika na Africa

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 12 дней назад +16

    Angeumia kule gaza mjinga sana Chris brown kubabake

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 9 дней назад

      kla mt nafkra zake wwe gaza yeye congo no problem

  • @fathiafathia6324
    @fathiafathia6324 12 дней назад +7

    Mombasa tunakuja na hii style

  • @YasintaKisholi-fl3iy
    @YasintaKisholi-fl3iy 13 дней назад +17

    ukitaka kujua vikundi hivi havina huruma fikiria panyaroad wa apa dar wanavyokataga kataga watu ndo hautawaonea huruma🙌

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 12 дней назад

      Panya road wana afadhali kwa Hawa wewe ,,nenda kaangalie video zao Hawa Ni hatari...

    • @justinmbangukira7034
      @justinmbangukira7034 12 дней назад

      ​@@isdorchuvu6280Video zao zinapatikana wapi boss

    • @SarahMohamed-c6u
      @SarahMohamed-c6u 10 дней назад

      ​@@isdorchuvu6280 wapi naweza ziona jaman

  • @Salimubakari-n5q
    @Salimubakari-n5q 13 дней назад +38

    Muambieni asikitishwe na uwovu wanaoufanya wao huko marekani na wananvouwa watoto gaza

    • @MichelKakule-m6d
      @MichelKakule-m6d 13 дней назад

      Big UP 😂

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 12 дней назад

      Sasa Hamasi ndo wakuonwwa huruma wakati wao wanajigamba huko

    • @IsaacNzai-e7s
      @IsaacNzai-e7s 8 дней назад

      Kwani Chris Brown ndio aliua watoto uko Gaza??😂😂😂😂

  • @khloevibe7569
    @khloevibe7569 13 дней назад +27

    Mwambie akazane na muziki haya mengne awaachie congo wnyw mamae...sahv wawe wanawafila kwnz ndo wanawaua

    • @AbdallahSalum-vi3tw
      @AbdallahSalum-vi3tw 13 дней назад +2

      SAWA KABISA HAYAMHUSU ATUACHIE WENYEWE HOW COMES ETI YANAMPA UCHUNGU..

    • @ZuwenaZuzu
      @ZuwenaZuzu 13 дней назад

      😂😂😂😂😂😂 unanichekesh kinoma kbs baytheway nikwl yey akazan na musik.

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 13 дней назад +1

      Dah nimecheka kwa huzuni mwee😂😂😂😂 ila kwa wanayo yafanya awa mafala wanastahili iyo adhabu

    • @michaelbalele929
      @michaelbalele929 12 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @SaleheBakari-k6r
      @SaleheBakari-k6r 12 дней назад +1

      Kumamako

  • @JohnnyKB9
    @JohnnyKB9 12 дней назад +3

    Naipenda sana serekali ya congo kwaili tukio labda raia ita pumzika kwanza

  • @SalamaMndewa
    @SalamaMndewa 12 дней назад +3

    Mm nawaelewa sana congo hawa wakiwaacha hawa ndio watakuja kupindua nchi miaka 10 ijayo

  • @BwemeroFelix
    @BwemeroFelix 10 дней назад

    Kaka Bora wanyongwe maana wanatunyanyasa sana huko congo

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 12 дней назад +5

    Kama mmemsoma huyu jamaa anatafuta hifadhi 🌍 africa

  • @suleymuntar3544
    @suleymuntar3544 13 дней назад +19

    Video za congo zinamuumiza lakin Gaza Sudan havimuumiz

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 13 дней назад +1

      Umeona heeee!!! Labda ajapata habar yao

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 13 дней назад +4

      kila mtu anajinsi ya kukipokea kitu

    • @ShedrackShedrack-c2b
      @ShedrackShedrack-c2b 13 дней назад

      Kulegaza wale nimagaid

    • @hafidhyakoub8369
      @hafidhyakoub8369 12 дней назад

      Unajua gaza ni Israel na Palestina but congo and congo is deferent na chanzo ni serekali

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 12 дней назад

      @@hafidhyakoub8369 Congo na rwanda, acha kudanganya bro nikama wakimbinzi kutoka Congo wapingane na nyinyi utawaita Tanzania to tanzania au utawaita Tanzania to Congo mda mwengine muwe wakweli wale ni wantarwanda waliyo kimbia vita vya kigali uko rwanda wakapokelewa Congo kama wakimbizi tu ila sio wa Congo na Congo awana lugha ya nchi ya kinyarwanda hawa M23 awajuwi lugha za Congo wao wanaogea kinyarwanda peke nawote ni tutsi and hutu sisi ni buntu tani Wa Congo ni nchi yawa buntu hapana tutsi and hutu they are not from ni m23 ni refugees waCongo wiwaingiza wengi kule east na hiyo ndo problem

  • @alexbahindolwa3921
    @alexbahindolwa3921 10 дней назад

    Wanyongwa haraka sana ..jpt

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 12 дней назад +10

    Achaache ujinga..... You tube sema hairuhusu kuonyesha matukio wanayofanya Hawa watoto... Wabaya Sana wameua ndugu zangu wawili wa kutoka hapa 🇹🇿Tanzania!! Laiti ningepewa bunduki niwauwe... Aisee dunia ingeshangaa kwa matendo Yao... Yan mtu uko kwenye daladala unashambuliwa!!! Watu mkipata fursa ya kutembea nchi nyingine jaribuni kwenda mkajionee wenyewe!!! Keep it up waziri wa sheria Congo!

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 12 дней назад +1

      Anajuwa pia watu wanajua pia mm hata siwahurumiwi

    • @SalluBoy-ww4xd
      @SalluBoy-ww4xd 11 дней назад

      Kweli kongo ukikabwa watu wanakuacha tu yani 😢. Watu wanapigw mapng huku watu wanarekodi

  • @Wessamboymc_oficial
    @Wessamboymc_oficial 12 дней назад

    Nime miss Jonh Man❤️🔥

  • @DjumaShabani-k7t
    @DjumaShabani-k7t 13 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤love Felix beto my God always you ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Byamangaamuri
    @Byamangaamuri 13 дней назад +2

    Yani mm kabla sija sikia sauti yako siwezi kula nakubali sana bro una stahili tuzo kwa sauti yako 🙏

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 13 дней назад +3

      Ana mkee Acha shobo Tulia na mume wako

    • @DullahIweni
      @DullahIweni 13 дней назад +1

      Acha uongo nawe bhana

    • @wadantz123
      @wadantz123 13 дней назад +1

      Kaoa uyo bint utarogwa😂😂😂

    • @Ajome_Family
      @Ajome_Family 12 дней назад +1

      ​@@SeifJuma-l8t ila bongo 😂

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 12 дней назад

      @@Ajome_Family kwel bhna 🤣

  • @njoroboihastla
    @njoroboihastla 11 дней назад

    KulunaBoys💔 walichagua njia mbaya sana kimsingii maisha hayakupii unachokutaka

  • @MustaphaLildurk-q9v
    @MustaphaLildurk-q9v 12 дней назад +1

    Niatari kweli😭😭😭😭

  • @simontemba1851
    @simontemba1851 13 дней назад +7

    Kwa matukio wanayoyafanya acha Sheria ifanye kazi

  • @omegaanyitike3263
    @omegaanyitike3263 13 дней назад +2

    Yey yupo marekani 😂😂😂 anasikitika ulinzi safi vip Kwa awa wa congo si kwamba serikal ya congo imependa kuua awa vijana wanazidi kuwa wengi na uharifu unazd Kila siku congo wanaua watu wanabaka ayo ndo yakusikitika😢😢

  • @AbdulMaeda
    @AbdulMaeda 12 дней назад +1

    Yaani mwizi fia mbali kabsa

  • @Caltexjr
    @Caltexjr 13 дней назад

    Daaah Mungu atusaidie sana

  • @youngchyna744
    @youngchyna744 13 дней назад +13

    Ajawahi kufika congo angejua jinsi walivyo

    • @sumbulan
      @sumbulan 13 дней назад

      Sio vya kibinadamu Vinini

  • @RashidFarid-y7o
    @RashidFarid-y7o 9 дней назад

    Hao watu sio kabisa

  • @ElenMwalongo
    @ElenMwalongo 8 дней назад

    Wauawe tuu

  • @jchuma5417
    @jchuma5417 12 дней назад

    Sifi kweli

  • @wadantz123
    @wadantz123 13 дней назад +8

    Naskia awa vijana wakiwa kwenye kazi zao awana huruma 😢

    • @HubertVitalis-ou9sz
      @HubertVitalis-ou9sz 13 дней назад

      Na inabidi wasionewe huruma

    • @Noooonat-o5s
      @Noooonat-o5s 12 дней назад

      Yea wanaua Bila kujali umri,Bora hata wakupole wakuachie uhai ila kuua kwao wamegeuza mchezo ,Wakamatwe wote wanaojitoa fyuzi

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 11 дней назад

    Sio vizuri kunyoga watu afathali wakae jela wafanye Kasi

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 13 дней назад

    Hata mm putin nmeumia mwanadam anabadilika nmependa wanakiri mungu yupo kila mmoja anakiri mungu ndo hatima ya mwisho ahimidiwe mumgu pamoja.na makosa na mauwaji yote wanamjua mungu1❤

  • @Melissashiner
    @Melissashiner 13 дней назад +1

    Is crazy really crazy and painful 😓

    • @HalimaKaniki-s1d
      @HalimaKaniki-s1d 12 дней назад

      Hawajakukula yan wakikudaka atawakiw kumbe wanakukulaa vibaya mnoo wanakutesa nakukuuw bila ww kujijua

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 13 дней назад +1

    Haki za Binadam, "Ila kuuwa watu na kukata watu mikono wako sawa si ndio? Na ampigie Mwenyeji wake wa Africa apewe habar za hao vijana.

  • @stewartmdebe4314
    @stewartmdebe4314 13 дней назад +2

    Wanyongwe

  • @rashidyadam-d6p
    @rashidyadam-d6p 9 дней назад

    😊

  • @Malual211
    @Malual211 8 дней назад

    This is against humanity every one has right to life . They were supposed to be arrested and serve prison helping the government in chores but now there's no different between the suspects and the government. This simple explain that DRC has no respect for human rights. Where are the human rights protectors in DRC 💔

  • @PapaaMasauti-q7o
    @PapaaMasauti-q7o 12 дней назад +1

    Kaka sky mimi ni mtanzania ila naishi sana CONGO hawa watu mtawaonea huruma bure ila hawa vijana wanaroho mbaya

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 13 дней назад

    Aongelee Moto Kwao Huyu Teja..

  • @JosephMumuza
    @JosephMumuza 12 дней назад +3

    Baba muuatche kidogo Sisi wana drc goma tunaisha Kinshasa tena ndo wa kuluna wanatumaliza so please mtuatche kongo tuna madini yakilaaina kwani wanao tumikiya madini wao ni maroboti wao wana mikono na miguu kwanini wasiende uko Bali wanakaa ku kaba watu kuuwa watu kuuza viungo via miili za wa kongomani nduguzao ,aise Costa mutmba maliza wote kiongozi kwanguvu za mwenyezi mungu kongo angalao tuwee na Amani inchallah🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩

  • @BienfaitFahamu-me8lz
    @BienfaitFahamu-me8lz 13 дней назад +2

    Kaka sisi wa congo tunafuraha sana acha wapate azabu kali

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 13 дней назад

      wajua shida ni hawa vijana upatane nao man to man utajua haujui hawana huruma kabisa wanyongwe na watupwe baharini waliwe na samaki ndio tupate samaki wazuri .

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 13 дней назад

      🙏🙏

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 12 дней назад +1

    Nilisikiliza MAKALA kuhusu hawa vijana kwa kweli kifo pekee ndiyo adhabu inayowastahili kama mtu alishapewa nafasi ya kuishi zaidi ya x3 na akaichezea sasa mnataka huyo mtu apewe nini?

  • @RosiAnodi
    @RosiAnodi 12 дней назад +1

    Kweli kabisa yake sio sawa kwani hakuna haki nyingine unaendelea kunyongwa jamani

    • @HalimaKaniki-s1d
      @HalimaKaniki-s1d 12 дней назад

      Unaijua haki wew😂wakikudaka wanakufira wakupigeeeeè wakuue utaweza kuvumilia kunandugu wangu aliacha gar ni dereva akakimbia usiombeee😢

    • @radotyga
      @radotyga 12 дней назад

      ​@@HalimaKaniki-s1dhahahahaha mwambie huyo boya

  • @BenardEdward-xx4pi
    @BenardEdward-xx4pi 12 дней назад

    Ua wote wambaya sana hao

  • @harbwChike
    @harbwChike 12 дней назад +1

    😱😱

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 12 дней назад

    wangewafunga maisha uko wakatumikia uko ndani

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 12 дней назад +2

    Anajua kazi zao hao madogo au analalamika tu

  • @TheStreams-i4s
    @TheStreams-i4s 8 дней назад

    Kunya anye kuku akinya bata kaarisha, huyo brown hajawahi kuonyesha hisia zake kwa vijana wa gaza wanavyo uwawa, Breezy pls let's focus on music you know I'm your fan though.

  • @HeritierMukulumanya
    @HeritierMukulumanya 12 дней назад

    C'EST BIEN ÇA

  • @AlexDandu-gj7ij
    @AlexDandu-gj7ij 9 дней назад

    President Donald trump should intervene the poor democracy in Africa

  • @joujoubintiswedi355
    @joujoubintiswedi355 12 дней назад

    Ata mimi nimeumiya sana wenye kupiga ku detat mpaka sasa wapo daaah eti ni wamarekani aje marekani aje kupiga ku detat congo

  • @ommygraphics4355
    @ommygraphics4355 12 дней назад +1

    KWANI CHRIS BROWN YEYE NI NANI 😂😂😂

  • @directordelpierrofilmz
    @directordelpierrofilmz 12 дней назад

    Marekani wa njinga sana hao siyo watu ni wanyama wanauwa watu sabatu ya tamaa mbaya😢😢

  • @BenjaminTz-fg1lu
    @BenjaminTz-fg1lu 9 дней назад

    😢

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 13 дней назад +4

    Itakuwa funzo kwa wengine

  • @RosiAnodi
    @RosiAnodi 12 дней назад

    Kweli kabisa inatuuma inahuzunisha😭😭😭

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 12 дней назад

      We pekee usiweke wingi mxwii

  • @hassanamend8035
    @hassanamend8035 13 дней назад +1

    😮😂😂👍👍👍👏👏💯

  • @CHAMANDATZ
    @CHAMANDATZ 12 дней назад

    WAO WAKIFANYA MATUKIO HUA HAWANA HURUM NAMTU NA TANZANIA TUNAITAK HII SHERIA PLEASE PLEASE

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 13 дней назад +1

    Wakongo wenyewe wanashukiri ko awa vijana inaonekana ni hatari sana kwao

  • @brizzybabylontz3327
    @brizzybabylontz3327 12 дней назад

    Kama ujawai kukutana na visanga vya panyaroad uwez helewa kbsaa unaona wanaonewa ila wanayowafanyia raia aisee yanaumiza ndio maana wahanga wa kuluna wanaona sawa tu mana wengine wamekufa sababu ni wao wamepoteza ndugu sababu ni wao na wengne ata wamebaki vilema sababu ni wao sasa wao wakina nani waone kupewa io adhabu si sawa wakat kuna watu wanauchungu sana na wao.. wanasema msiba usikie kwa jirani ukiwa kwenu utaelewa

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 12 дней назад

    Yeye mwenyeew mhalifu

  • @GodfreyWambura
    @GodfreyWambura 13 дней назад +2

    huyo Chris Brown mbona hajawahi post Wanawake na watoto wa Syria,Lebanon,Iran na Iraq ambapo Taifa lake linahusika kufanya maangamizi kuliko hayo

  • @anemossesherman5726
    @anemossesherman5726 12 дней назад

    Hawa jamaa wanastahili kunyongwa, Siku mtu ukikutana na nao ndio utajua kuwa hawastahili kuishi. Jamaa wanauwa watoto, wanabaka, wanapora, wanafanya mambo mabaya ambayo hata huthubutu kuyafikiri. Tz pia Kuna miamba inajiita wadudu Hawa nao ni balaa kabisa! Aisee hii Sheria ije bongo bana

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 13 дней назад +5

    Watu wamechoka na vita

  • @Mhdcongo
    @Mhdcongo 12 дней назад

    Je? huyo Chris Brown anawa fahamu vizuri kuluna? Kusudi awaoneye huruma ivo 🤔

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 12 дней назад +1

    Wekeni comments kwa kidhungu ujumbe umfikieeeee

    • @MputuDavid
      @MputuDavid 11 дней назад

      kizungu tu 🤔🤔🤔hatakifaransa ndamwanya uyo chris brown hana akiri timamu

  • @IssaMeshack-h2t
    @IssaMeshack-h2t 11 дней назад

    Kabla uja hukumu mtu jiulize nini chanzo cha wao vijana kifanya ivyo si watetei wa vijana lakini pia sio sawa pia kuwauwa hawa vijana lipo suluisho ila sio kuwauwa

  • @zaikokingnil7727
    @zaikokingnil7727 12 дней назад

    Kuna alienyimwa hela akakata kichwa mtoto, Brown wew wakufikie ndo utajuwa ku sikitika

  • @KalotvTanzania
    @KalotvTanzania 12 дней назад

    Akale mavi yani watu wanauliwa huko gaza hatoi comment alafu leo analeta ufala wake kwa watu wa ovyo😏😏

  • @Chocococoliam
    @Chocococoliam 12 дней назад

    Kwani si wanyongwee hawajanyongwa tu😂😂😂😂

  • @happyemanuel2070
    @happyemanuel2070 13 дней назад

    Mungu wangu watoto jamani kwann wanafanya ukatili ad yanawakuta haya ee Mungu tusaidie watoto wetu wasiwe wa maovu

  • @MohamedHango-r5k
    @MohamedHango-r5k 12 дней назад

    Kwaupande wangu naona kongo wapo sahihi sana kwani wamezoea kututumia wa afika kwajili ya masirahiyao sasa waafirika tujifuze na tusikubali tena ukoloni mambo sasa?

  • @NadjmaOsmani
    @NadjmaOsmani 13 дней назад

    Inahuzunisha sana yani sana😢😢

    • @lordsm.k-db3wy
      @lordsm.k-db3wy 13 дней назад

      Nakuombea ukutane nao siku Moja,Lazima utakuja tuongee lugha Moja

  • @AbdallahSalum-vi3tw
    @AbdallahSalum-vi3tw 13 дней назад

    NO. NO..WE WONDER HOW HE REGRETS ABOUT KULUNA ! IS HE CRAZY ?

  • @thesonstv786
    @thesonstv786 11 дней назад

    Huyu wakati watoto wanadunguliwa naona sniper gaza alituliza kalio kimyaa hawa wa kongo waliua watu vibaya saana

  • @Lazaromkristo
    @Lazaromkristo 12 дней назад

    Lakini ukweli ni kwamba wengi wao watamaliza kwa roho.

  • @BrightShumbusho-i4y
    @BrightShumbusho-i4y 12 дней назад

    Kabla ya kutia huruma jiulize kwanza...ulishawahi kuchomwa na kisu? Au ulishawahi kukatwa kwa panga katika sehemu yoyote ya mwili wako?...au ulishawahi kuchomwa na bisibisi ya tumbo,kifua jichoni shingo nk?... acha hukumu itekelezwe.😢😢😢😢

  • @allymnyenye8109
    @allymnyenye8109 13 дней назад +1

    Atajua mwenyewe ... hivi mmeshwahi kushuhudia hawa jamaa ukumbane nao alafu huna hela ? Bro hawakuachi wanakupa mapanga kwenda mbele wala hawajali !! Kwangu mm wauliwe tu aone asione askitike asiskitike ... wauliwe tu ni wabaya mnoo tena mnoo

  • @HamiduMrisho-ck1ft
    @HamiduMrisho-ck1ft 12 дней назад

    Haki za binaadamu watuacha mutamba nyonga wote hao vijana wanyama sana

  • @lameckdjuma6864
    @lameckdjuma6864 12 дней назад

    😮

  • @fainahjonas4732
    @fainahjonas4732 13 дней назад

    Sauti

  • @hassanyusuph9446
    @hassanyusuph9446 11 дней назад

    Hawa jamaa wanaroho mbaya sana waaacheni wafe sisi madereva tunawajua vizuri tuu

  • @mwanaidimussa
    @mwanaidimussa 10 дней назад

    Wawaue tu . Jan tu watu wametupwa kweny mashimo ya choo na mtoto wao kutekwa ten mtoto wa miez 7 nakuibaaa juuuuuuu ,,,,, wanyogweeeeee

  • @KhadijaMasoud-d2z
    @KhadijaMasoud-d2z 4 дня назад

    Angesikitishwa na huko Gasa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 13 дней назад

    Asee hi ukatili mkubwa😢

  • @HassanMashaka-e1r
    @HassanMashaka-e1r 12 дней назад

    Kama walikuwa wanaua watu,na hao wauliwe tu Shenzi kabsaaaa

  • @HarunaHamisi-d5l
    @HarunaHamisi-d5l 13 дней назад

    Anaesema cyo sawa haijui congo ila kwa cc madereva ambao kila ikuchwao tunaingia congo tunawajua hao usiombe ukutane nahuo wanaroho mbaya sna so kwa cc madereva tulikuwa tukitaman sana kuwa serikali yakongo ije iyamke km hiv leo mm Nafurahi mnooo

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 12 дней назад

    Kuluna niwengi sana kwa jail za marekani wananyongwaga kwa umeme akuna jipya

  • @EvansMwatate
    @EvansMwatate 12 дней назад

    Ishii n nn broo n shirt c ishii

  • @AksantiSamuelHenri
    @AksantiSamuelHenri 9 дней назад

    Brown yéyé jajuwi sisi tiopo inchini Congo tunajua Nini njanzo yaaya yote walistahili kufanyiwa ivo saabu wame acha family nyingi yatima niwabaya kinyama

  • @josejose6102
    @josejose6102 12 дней назад

    Sisi 2po mbali ila vjana Hao ni atali sana usiombe Ukutane nao

  • @BADDAHVIBEZ
    @BADDAHVIBEZ 13 дней назад

    Bro kabla hatujahukumu tujue chanzo cha tatizo

  • @davidjohn8908
    @davidjohn8908 9 дней назад

    Hawa watu wa haki za binadam walikuwa wapi wakati Hawa kuluna wanafanya uhalifu!? Au waliofanyiwa uhalifu hawastahili haki

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 13 дней назад +1

    Sasa wameua raia alitaka waperekwe vacation kupongezwa?

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 12 дней назад

    Tunaangamiza vijana tunabaki na wazeee ,ugumu wa maisha serikali zetu azijali watu wao ila kuwachukulia hatua tuko vizur ila sio wote ndo wanafanya hayo matukio .

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 12 дней назад

    Nami kuna mtu yupo 🇨🇩 anasema ukikutana nahao nikama kukutana na kifo

  • @Mr.Tingatinga
    @Mr.Tingatinga 13 дней назад

    Hawa jam ukiona video zao wakitenda uhalifu Yan. Ah. Utasikitikia wananchi pia. Na Sio wao

  • @BurhaniSaidi
    @BurhaniSaidi 7 дней назад

    Kwan wao walikuwa wakiuwa si walikuwa wanafurahia sasa acha walie

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 12 дней назад

    Chris brown siku izi ni muafrikaaaa chochote kinachotokea afrika anakijua anakipata ata iwe mburahati au mwananyamala Dsm Tanzania anakipata

  • @MashakaShabani-s5m
    @MashakaShabani-s5m 11 дней назад

    Hao haki za binadam ni wakina nan siku moja waje na matruck huku kongo ndio watakubali wanatetea ujinga pumbav zao

  • @ChristinaMabulula
    @ChristinaMabulula 9 дней назад

    Usiukum kabla ujaukumiwa pia gongo mtamaliza vijana ote

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 13 дней назад +2

    HAWA VIJANA ACHA WAPATE AZABU NI HATARI SANA