Ni vyema kuwa na daraja Hilo Kwa maslahi mapana ya Uchumi ila Kwa maana ya watu Kufa,wengi sana wanakufa maeneo mbalimbali ya Nchi hii Kwa sababu tuu hakuna madaraja au vivuko kwenye mito. Bahati ya watu wa Kigongo ni Kwa vile madhila yalimkuta mkubwa
Ungekuwa mkazi wa mikoa ya Mwanza, Geita,Kagera au Kigoma ungetambua umuhimu wa daraja la Kigongo/ Busisi. Daraja la JPM siyo la kisiasa ni usalama na uchumi ndiyo sababu hata daraja la Kigamboni lilijengwa licha ya kuwepo feri za magogoni.
Mungu ni mwma
Bonge la makala. Kongole sana
Night time driving on this bridge will definitely be a iconic thing for the country with the flag color 😍
😂😂😂 Serikali tunaipongeza Kwa asilimia zote
Ni vyema kuwa na daraja Hilo Kwa maslahi mapana ya Uchumi ila Kwa maana ya watu Kufa,wengi sana wanakufa maeneo mbalimbali ya Nchi hii Kwa sababu tuu hakuna madaraja au vivuko kwenye mito.
Bahati ya watu wa Kigongo ni Kwa vile madhila yalimkuta mkubwa
Ungekuwa mkazi wa mikoa ya Mwanza, Geita,Kagera au Kigoma ungetambua umuhimu wa daraja la Kigongo/ Busisi. Daraja la JPM siyo la kisiasa ni usalama na uchumi ndiyo sababu hata daraja la Kigamboni lilijengwa licha ya kuwepo feri za magogoni.
GZ 804 Top 💯🗼816📟🔏Gzo za uraro⚔️📚🛢️🪴