MV MWANZA KUBEBA WATU 1200, ITAKUWA NA KITUO CHA POLISI, ATM, HOSPITALI NA KUMBI ZA STAREHE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 69

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 25 дней назад +10

    Mzee magufuli ndo alianzisha mradi huu, sote tunatambua mipango ya mwenda zake, pumzika kwa aman mzee wetu uko uliko na ata waloendeleza huu mradi na kuuona una tija pia pongezi kwao."Tgether we can"❤❤❤❤

  • @HamuViatu-y1j
    @HamuViatu-y1j 25 дней назад +6

    Magufuri ndie mwazilishi mungu akupumzishe mahala peme tunakukumbua

  • @AraphaHassan-u1g
    @AraphaHassan-u1g День назад

    Maghufuli ❤❤❤ weka Busisi ,❤❤ hapo ndiyo penyewe mwanza

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb 26 дней назад +12

    JPM ulale salama matunda yko tunayaona

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p День назад

    Magufuli mungu amupumzishe Kwa amani Baba wa watu alitufanyia mazuri sana

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 26 дней назад +7

    JPM ananiliza

  • @officiallmaduhuwilliamtzof7056
    @officiallmaduhuwilliamtzof7056 26 дней назад +4

    Wambura mtani mzee wa massage send

  • @emmanuelodiembo
    @emmanuelodiembo 24 дня назад +2

    Kazi iendelee

  • @FaustineBukongolo-wp2fe
    @FaustineBukongolo-wp2fe 25 дней назад +4

    Baba Magufuri nduhu ukukwiba

  • @michaelkapaya7164
    @michaelkapaya7164 26 дней назад +4

    hiii jambo ya shinyanga

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 26 дней назад +12

    Jpm matunda yake yanazidi kuonekana

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 26 дней назад +1

      Matunda ya Serikali sio ya mtu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 26 дней назад

      ​@@magigesabai8674ya mtu na maono yake wala si siri utalofanya ndio tutalokusifia nalo m

    • @isackrichard6356
      @isackrichard6356 26 дней назад

      Hata sio ya serikali ni ya wananchi😂​@@magigesabai8674

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 24 дня назад

      @@magigesabai8674 !!!???🙄🙄

    • @dicksonkusaga
      @dicksonkusaga 24 дня назад

      ​@@magigesabai8674unakasirika ukiwa wapi acha makasiriko na watu walio fanya makubwa ya kukumbukwa.

  • @mwilemwasenga7066
    @mwilemwasenga7066 26 дней назад +2

    Mpaka leo haijaanza safari

  • @LydiaJoseph-d4n
    @LydiaJoseph-d4n 27 дней назад +1

    noma sana

  • @section8ight174
    @section8ight174 26 дней назад +4

    IPAKENI RANGI ZA NCHI

  • @thirdsigntzofficial
    @thirdsigntzofficial 25 дней назад +1

    Made in Tanzania icho ndo chakujivunia changamoto hazikosekani kila step unayochukua!

  • @Jamesmwakisambwe
    @Jamesmwakisambwe 26 дней назад +2

    Washitueni kenya sisi tunaondoka

    • @olicej7837
      @olicej7837 25 дней назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @Jamesmwakisambwe
      @Jamesmwakisambwe 23 дня назад

      @olicej7837 apa mwamba akumaliza miaka kumi na tungemwongoza dawa ingewaingia vizuri mm ningeomba SGR ifike mbeya kyela ola sababu ayupo bas na maji yangetandikwa nchi nzima kutoka kwenye chanzo kimoja cha uhakika uku umeme tukianzisha mladi mwingine wa nuclear power plant an msinge toboa

  • @innocentrichard2945
    @innocentrichard2945 21 день назад

    Interview zinatakiwa kuwa hiv tukutanisheni na wataalamu wetu next time mtupe na katour kidogo

  • @AsendeNyota
    @AsendeNyota 20 дней назад

    Rip baba magu

  • @joelmwaisakila5228
    @joelmwaisakila5228 26 дней назад +2

    Sasa tangu lini merini tunaweka kituo cha police jmn, small medical room na luxurious features it's fine but hatunaga police station on cruise vessels

    • @robertnkyalu3241
      @robertnkyalu3241 26 дней назад

      Wewe una asili ya uhalifu ndio maana ukisikia neno police moyo wako ujaaa vichuki vya kiuhalifu

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 26 дней назад +2

      Uliitazama movie ya Titanic? Police celo za police zilikuwepo na ile movie ilikuwa ni uhalisia wa ilivyokuwa Titanic.
      Sisi wapandaji wa meli ya MV Victoria hapa Mwanza tunajionega polisi wengi tu humo tukisafiri nao kwani wahalifu hawakosagi.

    • @EdsonNkinga-yn3ib
      @EdsonNkinga-yn3ib 25 дней назад

      Hata kwenye treni kuna kituo cha police kann kwenye meli kisiwepo?

    • @olicej7837
      @olicej7837 25 дней назад

      ​@@robertnkyalu3241😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 25 дней назад

      ​@@EdsonNkinga-yn3ibna hii ni ya masafa malefu kwahyo waalifu lazima wanakuwepo na agenda zao ni vizr saana kituo cha police kiwepo

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 26 дней назад +1

    Msije mkaizidishia mizigo make hamchelewi
    Kazi nzuri engineer

    • @olicej7837
      @olicej7837 25 дней назад

      😂😂😂😂😂bola umesema wewe abilia 1200 lkn wao watapakia 1500😂😂😂😂

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 25 дней назад

    Vipi hili tangazo la soda?

  • @AishaAbas-t1k
    @AishaAbas-t1k 19 дней назад

    Hakuna kituo cha zimamoto

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 26 дней назад +1

    Watu wataondoa neno "hapa kazi tu sababu iliwa roho mbaya"

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 26 дней назад +1

    Meli design za nje mbaya sana, meli haina balcony, madirisha pia mabaya sana, natamani serikali ijenge meli 2 za kisasa ziwa nyanza pamaja na bahari ya hindi

    • @athumaniamiri880
      @athumaniamiri880 26 дней назад +1

      Kumekucha 😂 msisitizo mbaya sana

    • @athumaniamiri880
      @athumaniamiri880 26 дней назад +1

      Kweli hakuna hata pakuangali mazingra sehemu ya wazi it means

    • @theonestkibuga1900
      @theonestkibuga1900 26 дней назад +1

      Au kuna namna modii inaweza fanyika kuongeza balcon? Bongo hatushindwi kitu sisi😂

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 26 дней назад +1

      Juuu

    • @emmanuelthomas1078
      @emmanuelthomas1078 26 дней назад +1

      Kweli kabisa! Yaani Abiria wote mnakuwa ndani hakuna kutoka nje! Madirisha madoooogo!🤔🤔🤔

  • @thirdsigntzofficial
    @thirdsigntzofficial 25 дней назад

    On the roof nadhani unaweza kupata view nzuri tu!

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb 26 дней назад +1

    Iliachwa lakini si ilikuwa tyr hela yke yote si ilikuwepo

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 26 дней назад

      Serekali haifanyagi miradi kama unavyofikiri.
      Serikali ikitaka kufanya mradi mkubwa utakaogharimu miaka hufanya hutafuta kujua huo mradi utagharimu miaka mingapi kukamilika na utagharimu kiasi gani cha pesa
      baada ya hapo huanza utekelezwaji kwa pesa iliyopatikana kwa kipindi hicho hata kama ni 10% ya mradi wote huku ikiendelea kutafuta pesa nyingine kuendeleza mradi taratibu mpaka mradi utakapokamilika.
      Yaani ni kama vile maskini anapokuwaga anajenga nyumba yake hawi na hela cash mfukoni ya kukamilisha mradi wote ila anaanza mradi huku anaendelea kuutafutia pesa.
      Samia apewe maua yake amekuta miradi mingi haijafikia hata 25% na mingi wakandaeasi walikuwa bado wanadai lakini mpaka sasa miradi yote inakaribia kukamilika.
      Sifa pekee unayoweza kumpa Magufuli ni uthubutu wa kuanzisha ile miradi japo hata kama angeendelea kuwapo ingemchukua miaka mingi sana kukamilika na angetengeneza deni kubwa sana kutokana na ile tabia yake ya kwenda kukopa kwa taasisi zenye riba kubwa.
      Ila kwakuwa mashabiki wa Magufuli huwa ni mazuzu unaweza usielewe hata uambiwe utoke damu maskioni.

  • @fumobagamika6493
    @fumobagamika6493 24 дня назад

    Tuwe makini na mainjinia wa kibongo yasitokee ya ziwa Victoria mv Bukoba na .,...

  • @olicej7837
    @olicej7837 25 дней назад

    Inatakiwa nisafir ndani ya mv mwanza😂😂😂😂😂

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 26 дней назад +3

    Kunbi za ibada hamna au ni starehe tu

    • @richardbegga6679
      @richardbegga6679 25 дней назад

      Ibada Utaomba kwako tu huku ni Kula Starehe tu

    • @PineTree-n9y
      @PineTree-n9y 24 дня назад

      ​@@richardbegga6679unapokula starehe zako ukifa humohumo utamlilia nani

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 25 дней назад

    Mbona libaya ivyo mlikua amna michoro mingine mizuri. Yani kama tumeachiwa nawakoloni dah

  • @kamanda007
    @kamanda007 24 дня назад

    Hii meli kama wamemaliza kuipiga rangi, tumepigwa

  • @georgewilliam6001
    @georgewilliam6001 24 дня назад

    Bado haijanza kufanya kazi?

  • @salehkhamis3000
    @salehkhamis3000 23 дня назад

    1200, utasikia inabeba watu 3000 na itajulikana baada ya kutumbukia na kuuwa watu

  • @kassimsuleiman1575
    @kassimsuleiman1575 26 дней назад +1

    Kwhyo itakuwa inakesha baharini au

  • @candidamuhanika8328
    @candidamuhanika8328 25 дней назад

    Naona kuna wanaoona mabaya tu hawaoni hata zuri moja???!!! Wa hivyo ukienda kwake hana hata maliwato…tuwe wastaarabu basi…

  • @moodjeco5844
    @moodjeco5844 24 дня назад

    Ila haina mvuto

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 26 дней назад +2

    Meli mpya mazingira ya hovyo. Hayo magugu maji hamna akili ya kuyaondosha? Vipi jengo la abiria, bado ni hilo gofu lililojaa kutu ?😮