EXCLUSIVE: MARAFIKI SIYO wa KUWAAMINI -WALINISABABISHIA MATATIZO SANA-KUNA WATU NATAMANI NIWAMALIZE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 100

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад +3

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @Maggie824
      @Maggie824 Год назад

      Imelda ongeza Mic ingine .sio vizuri unapigisha pitisha Mic hivyo

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 Год назад +58

    Kama nawewe uwamini marafiki gonga like hapa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Год назад +3

      Watoto wangu ndo marafiki zangu wa moyoni

    • @dayana5513story
      @dayana5513story Год назад +3

      Mimi sina na siitaji

    • @maryberege3093
      @maryberege3093 Год назад +2

      Yaani nina rafiki yangu mmoja tu toka primary hadi sasa yaani sasa ni ndugu yangu wa ukweli. Mungu atusaidie Uzuri sisi hatuna hobbies za kwenda kwenye mabaa kunywa mapombe.

    • @dayana5513story
      @dayana5513story Год назад +1

      @@maryberege3093 congratulations Mungu awenanyi

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 Год назад

      @@MiriamAbdallah 🤣🤣🤣🤣🙏

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Год назад +5

    Wivu ndio tatizo.angalia sana Magroup.nyamaza you don’t own no one explanation, punguza watu ktk maisha yako, plock, delete them in your life. Put boundaries/ limitation, Ila usiwachukia. Wasamehee na uwaachilie ili Mungu akubaliki dada yangu. I prey for your healing sisters.

  • @valentinamjindo5374
    @valentinamjindo5374 Год назад +5

    Nimekupenda Bure maana hata mm unafik siuwez niseme nimekusamehe wakat nikikuona naumia hapana vingine Mungu tu mwenyewe atusaidie kusamehe maana kwauwezo wamwanadam ni Ngumu

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi Год назад +7

    Ukute wamemvunjia mpk ndoa hapo sijasikia habari ya mume ni watoto tu. Mara wana sema fanya hv kumbe wana ku record wanapeleka. Hapo nimehisi ni ndoa imeyeyuka. Pole sana Lily hapo ili upate amani samehe, songa mbele, komaa na hao wa maombi lkn jifunze kuto waamini sana marafiki. Personally nimepitia magumu rafiki kipenzi kabisa na business partner akaniroga nife, lkn Mungu alivyo mkuu alishindwa na kanyoshwa hana maisha. Mungu ni mwema sana na nimemsamehe, nina amani zote nipo na maisha yangu.Kula chuma hicho😂😂😂😂

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Год назад +1

    Dada mtu apandacho, ndicho avunacho, Mkabizi Mungu utamshangaa, huu ni ushuhuda wa kweli, kila afanye ubaya usimlipe ubaya na Mungu atamuacha salama nimejionea mimi, samehe na waombee mema.

  • @iamanoutstanding_creation
    @iamanoutstanding_creation 4 месяца назад +2

    Usiwachukie; Unamkosea Mungu na unasali "Nijaponena kwa lugha za wanadamu na malaika kama sinao upendo mimi si kitu kabisa"
    Amri kuu Mpende Mungu wako na umpende jirani yako kama nafsi yako.
    Ila pia biblia husema
    "Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe"

  • @hamidahamadi1564
    @hamidahamadi1564 Год назад +3

    Yani huyu dada namuelewa vzr sn kwa sbb nilipitia hayo matatizo ya kuumizwa na marafiki na ndugu aiseee🙌🏻 siku izi naishi kama mzimu sitaki kbs mazoe na mtu sio rafiki wala ndugu naishi kama sipo maulivu niliwahi pitia hayajawahi kuisha moyoni mpka leo kila nikiyakumbuka aisee nashindwa ndio mna nimeamua kuishi mwenyewe tu

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation Год назад +2

    Pole mwananke mwenzangu hao ndiyo marafiki Mimi sitaki rafiku wa kunizoe hao ndo manyoka anakuuma halafu a hawezi kukula au kukumeza.Mungu atawaona

  • @cleversalbaba-em4jf
    @cleversalbaba-em4jf Год назад +2

    Jitahidi uende mbele za Mungu kwa sadaka mwambie Mungu awafute kwenye njia yako hapa duniani na akufungulie mlango mpya wa marafiki wema hapa duniani.
    Na jilinde na suala la maneno linaumiza sana ila never give up never turn back ishi kwa akili na wale woote wanaokuzunguka wengine ni watesi na wameficha makucha ila wanakuvizia wakurarue au wakuondolee hata uhai. Hata Yesu walimfanyia hila lakini bado aliwaita rafiki.
    Mungu akubariki sister.
    Marry Christmas 🎄

  • @emmanuelsichone7977
    @emmanuelsichone7977 Год назад +1

    Dada soma koment jifunze kumjua mungu wewe ukombali kidodgo na ucristo acha stalehe stalehe ni crusedi ya shetani mungu hataingilia kama ukobize namitoko mchukue yesu awe Rafiki yako utapona ukijikonect kwashetani ugundue kazi zake nikuharibu tuu hivyo mungu akufungue

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Год назад +3

    Dada liliani nimepitia mengi kama yako zaidi yako. Samehe dada. Nakuombea dada. Ningefurahi kuongea na wewe, nyamaza na Mungu atakupigania. Nilijitoa mengi na nilisamehe kila mtu, Iła nilipunguza mahusiano na watu wengi na siwachukii.

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 Год назад +1

    Nimejikuta nimeumia,maana naona aliyoyapitia uyo dada na mm nimepita ivyoivyo,hata mm najikuta nalia na mda mwingine hata mm natamani uyo mtu limkute jambo zito ,uwiiii nalia sana juu ya uyo dada eeeemungu nisaidie

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Год назад +5

    Mm rafiki yangu ni ndg yangu binadamu aisee kukosana kupo lkn mm na yy mungu atuweke na azid kuudumisha udugu wetu ( urafiki wetu) inshallah

  • @evaamedeus430
    @evaamedeus430 Год назад +1

    Usilie mwaya mpenzi wangu ndiyo maisha fanya yako,hata mimi waliniaribia kwa mturuki wangu sina hata hamu na marafiki,Sasa nimempata mhindi naudumiwa kila kukicha na kaa ndani,wanaona haitoshi wanaanza kupita nje ya fensi,marafiki sio watu

  • @Mwanaid-kk4zm
    @Mwanaid-kk4zm Год назад +1

    Pole sana marafiki sio wa kuamini ni bora uwongee uwongoo

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 Год назад +7

    Kwakweli rafiki yangu mkubwa mimi huwa n YESU yaani huyu ndo nampa siri zangu na amekua mwaminifu sana kwangu akitoka Yesu Kristo ambae huwa ananijua kiundani n mme wangu hao tu nasina nyongeza maana staki kukosana nawatu kwakuwapa siri zangu, Mungu akutie nguvu mwaya mfanye Mungu kuwa rafiki yako atakupa watu sahihi wakushare i good ideas

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 5 месяцев назад

    Marafiki wabaya waache waende Mungu atakuletea wengine wapya hiyo kauli imenisaidia sana👏

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Год назад

    Wasamehe dada yangu,Mungu aiponye roho yako. Mtu apandacho ndicho avunacho. Lilian bado kuna wanawake wazuri ( royal friend), kitu ufanye omba Mungu akupe watu wema. Wengi tumepitia hayo, chukua tahadhali dada. Watu sio wema .

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Год назад

    Inauma sana marafiki wanarudisha nyuma maisha ya watu mi ndy maana sipendi unafiki na makundi ya hovyo

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 Год назад

    Usilie tena katika jina la yesu kristo aliye hai. Yesu anakupenda sana

  • @Spirtualperson
    @Spirtualperson Год назад

    Marafiki 😢😢😢 namshukuru Mungu kupitia meditation nimeona ubaya wao

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Год назад +1

    Nenda Lilian kwa Kiboko ya wachawi yuko Buza unatelemka kwa Lulenge ni Nabii toka Congo ni mwisho dada nenda watajua Alpha na Omega Mungu anakupenda🙏🏼🙏🏼

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 5 месяцев назад +1

      We umelogwa taahira mkubwa wewe .unawapigia debe matapeli wakubwa wa injili ..mnaosali kansan kwake wote ni mataahira...nlifka sku 1 ata skuingia ndan nkaondoka

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 5 месяцев назад

      @@FreeGod368 umelogwa ww na ukoo wako utanijuaje kuwa nimelogwa? Ina maana na ww unatumika, usintukane ntu ambaye humjuina kama utaahira basi ww pia taahira na ndio maana ukamjua mwingine.
      Chukua kioo ujiangalie kwanza
      WHO YOU ARE
      Shame on u

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 4 месяца назад

      Yani matapeli wa injili ni wengi mno, Mungu afungue fahamu zetu tu​@@FreeGod368

  • @RachelMethod-rt1qx
    @RachelMethod-rt1qx Год назад

    Mungu akupe neema ya kusamehe mpendwa, kusamehe pia ni neema ya Mungu

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Год назад

    Sina lafiki wala Sitalajii,Pole sis Mungu akutie nguvu samehee songa mbele Mungu atakulipia

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 5 месяцев назад

    Pole sana dada usilie ,yote hayo ndio maisha

  • @CathyMathias-bx4ft
    @CathyMathias-bx4ft Год назад +1

    Nimempenda bure

  • @ramamwanga7551
    @ramamwanga7551 5 месяцев назад

    Focus tuu sis maana Kila kitu kinatokea kwa sababu MUNGU YUPO

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 Год назад +4

    Hapana mrembo kwanza nikuambie kitu wewe ni mzuri. Umeshalijua kosa ulilofanya. Muombe Roho Mtakatifu akuwezeshe uwasamehe. Yani wewe mwachie Mungu hilo jambo nae atashughulikia nao.

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 5 месяцев назад

    Marafiki washenzi..mi kuna rafk aliniuzi Memuachia Mungu

  • @raskinamfinangamfinangaras5120

    Aiseee Bora nionekane najitenga kuliko sitaki jaman uuuwi usiombe yakukute😭😭🙌🙌🙌

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Год назад +1

    Inauma sana mtu kukuharibia família

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 4 месяца назад

    Polesaana niukwer marafiki niwabaya tena saana

  • @RestutaJohn-b5k
    @RestutaJohn-b5k Год назад

    Dah hii kitu imenigharimu sana. Sasa rafiki baaaaasi

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Год назад +2

    Pole mwaya 🙆🏻‍♀️

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Год назад +4

    Nnacho juwa marafiki hawafai unaweza kumdhania kheri kumbe ndie hasidi so tuwenao ila tuwe makini nao

  • @blandinamanongi8818
    @blandinamanongi8818 5 месяцев назад

    samehe lilian mungu yupo na wewe,binadamu hawana jema nimeumia kwakweli

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 Год назад +4

    So kwa wanawake tu hata wanaume ndo ilivo,, ndo maana sina rafiki nina washikaji tu

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Год назад

    Ooo my jamani Lilian MWENZANGU , Lilian uwa MUNGU AMETUPA UWEZO WA KUONA KABLA JAMAN,pole mwAYA NAIMANI MUNGU ALIKWAMBIA SEMA HUKUSHTUKA MAPEMA ,
    POLE SANA DADA WEWE NI MSHINDI NA UTAPASUA Sana 2024 yote MUNGU ANARUDISHA

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 Год назад +1

    Dada yetu usilie wachilie wote waenda zao, mkaribishe yesu ambaye ni rafiki wa kweli. Soma bibilia kwa wingi majeraha yote yatapona

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 Год назад +1

    Lakini pia umesema wewe n mkristo ebu msogelee Mungu tu, pombe zanini achana nazo acha starehe mbaya,utasoma 1timotheo 2:9,kama utakaa vizuri na Bwana nakuambia utafika mbali usiishie kuwa mwanamaombi tu sogea zaidi na zaidi dada.

  • @MrSokwe
    @MrSokwe 11 месяцев назад

    Mm sihitaji marafiki kabisa ila kama kuna jambo la kushikiriana hapa na pale ila sio zaidi ya hapo

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 5 месяцев назад

    Huyu dada ameumizwa lakn Mungu amsaidie itakua wanamuonea wivu.

  • @JohnNyari-k6d
    @JohnNyari-k6d 5 месяцев назад

    Kumamamk kweli marafiki siyo mm mwenyewe nisinge kuwa hapa kama siyo marafiki

  • @jacobkabura5513
    @jacobkabura5513 Год назад

    Pole sana kwa mapito magumu iliyopitia.

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +1

    Marafiki ni mbwa mwitu waliovalia ngozi ya kondoo.

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 5 месяцев назад

    Kwakweli mijitu mingine inaumiza San mioyo 😢 mimi namuelewa huyu Dada

  • @stellashillagi5210
    @stellashillagi5210 Год назад

    Pole san dear

  • @JulianaJackson-lz6vq
    @JulianaJackson-lz6vq Год назад +1

    Hiyo ya marafiki sihitaji kabisa tutacheka nje ila sihitaji ukaribu tumeendekeza chuki.unafki Aisee nawaoneaga huruma nikiona wanawake wanaitana shoga ang jaman jaman

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Год назад

      Mie mwenyewe sitaki na sinaaaa MUNGU , WAZAZI na Mimi BINAFSI ndo rafiki yangu wengine hahahaaaa nawaona tu kwenye MAGAZETI NACHEKA NA YANGU TU , NAONGEA NA YEYOTE SIBAGUI LAKIN RAFIKI HAPANAAAAA MIE NI RAFIKI WANGU MWENYEWE

    • @JulianaJackson-lz6vq
      @JulianaJackson-lz6vq Год назад

      @@liannsambu7264 kabisa Yan atupendan ata kidogo.. Rafiki akiona umefanikiwa anachukia.ila anakusifia kinafki apana kwa kweli

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Год назад +1

    Mimi kuna jamaa alikuwa nikisaidiya mwisho wa siku alinikimbia akaenda daa kumbe ni tabeli sijasamekhe mpaka sahivi tena ni mwislam lakini sijaweza kusamekhe😢

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Год назад

    Pole sana dada 😢😢

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Год назад

    WANAWAKE MI FIREEEEEEEE ogopa hicho kiumbe dada , sisi WANAWAKE heeeeeeeee WEMA ni wachache ,STAY AWAY FROM THEM

  • @fora2009
    @fora2009 Год назад

    True

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 Год назад +2

    Dada kapigwa matukio

  • @Shakila-g6r
    @Shakila-g6r Год назад

    Pole dad

  • @johansenneema3810
    @johansenneema3810 Год назад

    Mmmh tunaomfahamu huyu dada tujuane😂😂😂Alichukua mume wa mtu😂😂😂😂akazaa nae😃

    • @mrambadiana9678
      @mrambadiana9678 Год назад

      Ukute wew ndo mchawi wake sasa hayo umeulizwa hapa mshamba wewe

  • @stemarcely7493
    @stemarcely7493 Год назад +1

    Wasamehe tuu dada...mkabidhi MUNGU atawahukumu

  • @EvaMongi-y2r
    @EvaMongi-y2r Год назад

    Mimi yamenikuta Mungu anisaidie

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo 5 месяцев назад

    Mimi sina rafiki maana walinikomesha vya kutosha

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Год назад

    Siyo marafi bali hata mimi mtoto wa dada yangu nikuwa natumia pesa zangu nipo oman ampe mama hajawahi kumpa pesa hata mia mpaka leo mimi na yeye picha haziendi sina hata namba yake ya sim baadae ya kunifanyia unyama nimechukiya mpaka leo sijasamekhe😢

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Год назад +1

      Nisamehe iri mizigo ipungue kwenye Maisha yako na Mungu atamlipa Kwa ubaya aliokutendea

  • @vickiymsella2025
    @vickiymsella2025 Год назад

    Iinumaaa

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 11 месяцев назад

    Weee hata akuzidi tena.aliyekuzidi ndio.mbaya zaidi kwa sababu ataki mlingane anataka akushushe hyo ndio mpinzan mkubwa kikubwa kumuomba Mungu na.kuwa makini kuongea mambo yako kimya ni kizuri sana

  • @chany9950
    @chany9950 Год назад

    Pore mama ukisikiya umoya tu amefariki jo utafurai🤣🤣🤣🤣 eeeh umeumiya jmn

  • @cleversalbaba-em4jf
    @cleversalbaba-em4jf Год назад

    Na ninachojua mwisho wa ubaya ni aibu na waliokutengenezea huo ubaya utawarudia tu.

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 Год назад

    Du mpaka sasa unaazimana nguo na mtu kweli? Upo kwenye ulimwengu wa wapi

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 Год назад

    Wewe mwenyewe una mapungufu yako

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 9 месяцев назад

    Badilika mdogowagu Anzamaishayako pekeyako

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 Год назад

    Unatozonga tu, mi sijafaham kabisa

  • @KhadijaMwinjuma-o3q
    @KhadijaMwinjuma-o3q Год назад +1

    Kwakwel

  • @filberthamfrey2380
    @filberthamfrey2380 Год назад

    Haongelei mapito yoyote
    Hapo anatangaza biashara ya microfinance tu

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Год назад +1

      Kunashida gani kwani kama mwandishi amelipwa ? Kila kitu LAZIMA ujiongeze kutumia fursa ya kila kitu 😂