NILIPATA MZUNGU MVUTA BANGI | HELA YA MZUNGU NI NGUMU | WALITAKA MAHARI MIL 5

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии •

  • @witnesshassan
    @witnesshassan Год назад +4

    Tunajifunza me likua najua ukipata mzungu umetobo kumbe hapana Asante kwalimu bule tunakupenda❤ god bless you

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt Год назад

    Asante mdogo wangu unajitambua mwenyezi mungu akutangulie katika ndoa yako upendo na Amani ikataware katika family yenu

  • @jacquelinepalangyo412
    @jacquelinepalangyo412 Год назад +1

    Jaman nimeipenda Sana hii interview,janeth mcheshi Sana na muwazi.

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 Год назад +2

    Nakupenda da'shena wangu❤

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Год назад +1

    Beautiful interview, beautiful lady ❤️

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 Год назад +1

    Hongera sana nimekupenda bure

  • @calzy8167
    @calzy8167 Год назад

    Mashallah wa Africa ni warembo huyo dda ni mzur na ana tabasam zuri mpaka mpolish ameblow❤ mpolish sio rahis kupenda mtu mweusi kabisa

  • @adamabui6121
    @adamabui6121 Год назад +2

    Ulaya swainiii ngomaaa ngumu maisha magumu kazi ngumu stress zakutosha dada zetu kama ni kuja ulaya ok ila kama ni tamaa ya pesa msahauu hao wazungu njaaa kaliii hasa hao kutoka poland washamba wabaguzi. Afrika super 👍

  • @Tupilike
    @Tupilike Год назад +1

    Janet ❤❤❤❤🎉Hana mambo mengi

  • @Jenel-knitting-crafts
    @Jenel-knitting-crafts Год назад +1

    That's my friend ❤🤗👏

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +3

    Dada yake apewe maua yake.🎉🎉

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Год назад +2

    Alooo baba angu mwalimu Christopher Mwakasege amefikiwa hapa!
    Hy dd alitoa sadk ya shukrani 😅

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад +1

    Safi kabisa yaan

  • @nameno8608
    @nameno8608 Год назад +5

    Usemacho ni kweli Asante kwa masomo ila kuchanganya Damu ni kitu kizuri watoto walelewe nchi zote mbili

  • @cathypeter
    @cathypeter Год назад +3

    Mdada mcheshi sana

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 Год назад

    Una Dada Mzurii mnoooo

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 Год назад

    Thank you Shena, unafanya kazi nzuri

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 Год назад

    Hongera Janet, umepata dada mzuri kama dada yangu

  • @mtotowaspurs
    @mtotowaspurs Год назад +1

    Aise huyu dada Janeth, ana undugu na Rayvanni (Vanny boy)

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy Год назад +1

    Very hot warembo!!!!

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 Год назад

    Wazungu ambao hawavuti bangi niwachache sana hasa kwa uku marekani na canada so dada zetu muelewe hilo kabla hamjasema yess

  • @sarah-hy7gz
    @sarah-hy7gz Год назад +1

    Nice

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад +2

    Ukweli wenzetu tabia zao kubadilika especially Pombe au Sigara it’s God Grace for sure, so ukijielewa from the beginning is better

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 Год назад +1

    Dada huyu mzungu anakuwa mwema kwako kwa sababu anaishi tz ungekuwa kwao ungeona cha moto

  • @NeemaKumila-gx3nz
    @NeemaKumila-gx3nz Год назад +2

    Niko makini kumsikiliza jane

  • @foumad6161
    @foumad6161 Год назад

    Nenda Katembe Poland wamebadilika sana hasa katika miji mikubwa lakini nje ya miji mikubwa utachukia kila mzungu.

  • @elfriedemsechu5690
    @elfriedemsechu5690 10 месяцев назад

    Wachagga 😌

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 Год назад +3

    bangi ya ulaya nimeamini siyo kali aiseee,siku ukirudi bongo mwambie aende matejoo,ngare,au mpeleke kanda maalumu tarime,akipiga puli kama mbili anakata moto na ataomba poo atahisi afrika kuna winter

    • @glorymasy7687
      @glorymasy7687 Год назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 chalii angu hutaki makasiriko kwenye mambo hayo kabisa yn

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Год назад +1

      😂😂😂

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад +2

      @@glorymasy7687 hamnaga aisee gulo,huyu dingo wanavuta kushabu wanasema ganja asee,akija moshi nampeleka njoro relini.😂😂😂

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад

      @@glorymasy7687 sema nn,tupambanie hizi madeting site zitatuokoa au kama vipi nenda pale coffee lodge au fifi tifimba ukasagule mmj chap

    • @glorymasy7687
      @glorymasy7687 Год назад +1

      @@klaussteiner94 😄😄😄😄😄😄 si atazima huyo na kuwa mwekundu ghafla

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 11 месяцев назад

    Janet duka lake lipo wapi Zanzibar ninaweza kununua nguo hapo kwake

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Год назад

    Hongera Lakini Mkataa asili yake atakuwa Mtumwa wa Tamaduni za baadhi ya Wazungu Hivyo upokee changamoto

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 Год назад +1

    Ila alikua anapika mikate mitam jmn😂😂😂😂😂 shena nilisahau kukuhadithia hii

  • @hariethmatungwa9293
    @hariethmatungwa9293 Год назад +1

    bora ulikataliwa wakerewe jaman wanatabia chafu sana tena wanaume

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 Год назад

      Wanatabia zipi malaya au

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 Год назад

      Wana tabia gani mbaya ? Mbona mpumbavu sans wewe

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 11 месяцев назад

    Uje siku 3 mwisho 😊😅😅😅😅

  • @njuka3515
    @njuka3515 Год назад +2

    Hapo kwenye kuomba ela mimi anveniacha wiki tu

  • @irenejohn8194
    @irenejohn8194 Год назад

    Harusi zahlt wazungu zinazojaa watu ni zinazofungwa nje ya Ulaya 😂😂 kwa sisi tuliofunga ndoa Ulaya, tuna ushuhuda 😂😂😂😂

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 Год назад +5

    Dada zetu waache ujinga wa kudhani wazungu wanatoa hela hovyo. Hizo ni akili finyu. Chapeni kazi, nothing is for free. Mnajidhalilisha!

    • @Nyanjobhe123
      @Nyanjobhe123 Год назад

      Ongeza sauti🤝😂😂😂wengi sisi wake wa wazungu tunafanya kazi👌

    • @Lizzyktd
      @Lizzyktd Год назад

      😂😂😂😂

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 Год назад

      Asante kwa kujitokeza. Hawa wadada wa Africa , wanatamaa sana, na bahati mbaya ni watu waliosoma wengine, arafu wanajidhalilisha kwa kudhani wazungu watawapa maisha bora. Kuna mengine hawasemi hawa mbuzi wa kafara

    • @OMARJUMAOMAR-i2v
      @OMARJUMAOMAR-i2v Год назад

      Wanawake wa bongo mnafunga ndoa na wazungu baadae mtakua hamna family watoto wote watachukuliwa na wazungu

  • @amidasula52
    @amidasula52 Год назад +2

    Hi Janeth nimekutafu mitandaoni sijakupata tukitaka kuja Zanzibar nakupataje?

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 Год назад +9

    huyo dadako cousin nae alitaka akubanie usipate mlami mbona yeye hajaacha/kurudi afrika?sema sisi wabongo tunaubinafsi mwingine akitaka kutoboa kwenda ulaya utaskia ohoo,,,,ulaya maisha magumu,,,sijui tunafanya sana kazi mara utaskia ooh kulea mtoto ni changamoto na mambo kadha wa kadha,chamsingi nafikiri ukiamua kupata mzungu ukaishi nae weeee pambana na hali yako,,,awe anavuta bangi,anakunywa pombe sijui nn weee pambana mwenyewe ikuuwe woiiiiiiiii

    • @glorymasy7687
      @glorymasy7687 Год назад +1

      Ha ha ha haaaaa kikubwa utoboe au sio

    • @nicedavid8536
      @nicedavid8536 Год назад +1

      Hahahaha kwa kweli, iyo ya kufukuzwa ulale Mhhhh, labda Amerika.

    • @nicedavid8536
      @nicedavid8536 Год назад

      Maana ulaya kuna sheria kali ya kulinda wanawake na watoto. Kama mwaume anakunyanyasa ukishitaki ni aiza ye ahame akuache wew na watoto na ataendelea kulipia nyumba au maitaji, au wewe utafutiwe mahali pa kuishi, labda kama haushi kisheria iyo ni kesi nyingine.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Год назад

      😂😂

    • @neemalema2545
      @neemalema2545 Год назад

      😂😂😂😂😂😂nimechekaaa kikubwa awe mzungu

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 Год назад +1

    Kama kawaida napenda story mimi😂❤

  • @LilianPhilemon
    @LilianPhilemon Год назад +2

    ❤❤❤

  • @AshaMohamed-ib4le
    @AshaMohamed-ib4le Год назад

    Dada shena mi cjui jinsi ya kulipia mtandao imekuja imeli lakini nashindwa kuingia wananiambia niingize code niingize Ile password inagoma nafanyaje shena misaidie

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 Год назад

    izo app ni zipi jmn tuzi follow na sisi alafu mbon tunaanza kuogopa hawa wazungu sas!!!!!!

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 Год назад

    dada weka ig ake hapo tumfolo tukapate kazi kwa shem kama shem zanzibar

  • @johnmjuni3305
    @johnmjuni3305 Год назад

    Hotel gani Zanzibar inaitwa

  • @rachelmtemange5206
    @rachelmtemange5206 Год назад +1

    🔥🔥siku hizi sikosi live 😂😂

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Год назад +3

    Na prefer kuishi Africa kama naolewa na mzungu kuliko kuishi nae Europe, na kuhusu sigara na bangi wazungu kwao ni kitu cha kawaida Tena wanaruhusiwa kupanda nyumbani kama unavyo panda maua but kuna kiwango ukizidisha ni kesi maana watafikiri unafanya biashara mind that, sio Wote Wanao vuta ni wabaya ati watakufundisha kuvuta sio kweli wazungu waelewa ukisema kitu hutaki hawakulazimishi ni wewe mwenyewe upende kutumia, 🇨🇭

  • @Nipa9107
    @Nipa9107 Год назад +2

    Poland masikini sana Africa kuna nafuu

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад

      😳😳😳😳

    • @Nyanjobhe123
      @Nyanjobhe123 Год назад +3

      Kah wewe acha uongo eti masikin Africa nafuu daaah😂😂😂😂😂ndiyo ni maskini kwa upande wa Europe na USA lakin siyo kwa kufananisha na Africa mbona tena Tanzania au zambia au malawi 😂😂😂😂Ulaya ulaya tu hata ikiwa kijijin mbona mnaenda sasa😂😂😂

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад +2

      @@Nyanjobhe123 ndugu mimi mwenyewe nimetahamaki nimechoka mwili na roho,guys tuwe seriously,,!!tusisikie story za vijiweni aiseee,hivi poland,macedonian,croatia,cyprus,moldova,hungary,bulgaria,siniulaya mashariki?kwanza tu poland miundombinu ake jmn ebu tuwe serious.unless kama alikuwa anatania tu ni sahihi.mwambie aangalie GDP

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад

      @cute1737 Unanichekesha 😅😅😅😅 comment yako initia aibu, unaifahamu Poland wewe? Umeishi kule au ulienda kusukuma siku tu 😅

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад +1

      ​@@klaussteiner94 umesema kweli kabisa, huyo hajui kwanini inaitwa Europe 🇪🇺 Poland ina miundombinu ya maana kuna maeneo yako fresh hata sehemu kadhaa za France haziingii ndani

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад +2

    Dada mbona mahari ya 5m hapa bongo hata mchovu analipa tu

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 Год назад

      Dada kaona 1milioni ni sawa kwake na karidhika❤

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 Год назад

    Kunazia Africa na mabara yote. Yapo maeneo mazuri na mabaya. Kuna matajiri na masikini. Kama Tanzania sio wote matajiri au masikini class zote zipo popote duniani

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 Год назад +2

    Anaongea ukweli mkerewe mwenzangu

    • @felipothomas1467
      @felipothomas1467 Год назад

      Poland Ni maskini sana wakomunisti hao hawana kitu

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Год назад

    Mtafute bado unamda

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 Год назад

    vipi ukaamua kwenda upande wa pili kupiga kimbola 😂😂😂😂badala ya church.

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 9 месяцев назад

    Kupatwa kwa wanaume wa kibongo maana Tinda imewaotesha watu mbawa

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 Год назад +2

    Ha ha haaaa umenikumbusha mbali nilikutana pia na mfaransa Arusha alikuwa mpole jmn ila alikua mvuta sigara na anatumia pombe Kali lkn huwez kumjua

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад +1

      ungepambania kombe tuu gulo😅😅

    • @glorymasy7687
      @glorymasy7687 Год назад +1

      @@klaussteiner94 niliogopa dear sijui na utoto ulichangia 😂😂😂, eti ss hv nawasaka😂

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад +2

      @@glorymasy7687 wasake kinyama aseee G,pambana chaliiiii ake mimi mwenyewe nawasakaje?woiiiiiiiiiiii,huyo huyoo ungepambana nae hata kama alikuwa anakula fegi

    • @glorymasy7687
      @glorymasy7687 Год назад

      @@klaussteiner94 umeona eeeeeeee mpaka kieleweke safari hiii yn zam ytu na ss lazma ifike hakuna kukatama tamaaa,

    • @Nyanjobhe123
      @Nyanjobhe123 Год назад +2

      Fatilia tu app na muamini Mungu kwa imani yako atafanya wepesi🤝

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад

    CHA KWANZA KABISA , KIMAISHA, HAKUNA TOFAUTI KATI YA TANZANIA NA POLAND KABISA. POLAND NI MSIKINI KAMA TANZANIA, NA WAO PIA WANATEGEMEA SANA NNCHI JIRANI ZA ULAYA KATIKA KUISHI.

    • @joyceKingu
      @joyceKingu Год назад +1

      Kuna tofauti Sana. Tanzania ni Tajiri Sana ila hatujui kuchuma potential ya Mali zetu kama madini nk. Hatujieleei tumeaminishwa na wazungu kuwa sisi masikini huku nyuma yetu wanatuibia.

  • @KingMsamila
    @KingMsamila Год назад

    Sister plz help me ur whats up no.Kuna vitu nahitaj unijuze maana haya mambo sio ya kwenda kichwakichwa

  • @JanethMunuo
    @JanethMunuo 4 месяца назад

    Acha kuongelea makabila ya watu unmindful unatokana na mtu sio kabila

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 Год назад +1

    Polish wa London ni wezi ajabu; wanaiba mpaka pombe na nyama kwenye supermarkets

  • @claramboya2018
    @claramboya2018 Год назад

    Etiii nini,mchaga uwezi kumwamin na hela zk,unamaanisha nn,allaaaah ,bs tafuta kabila lk ili uweze kumwamin,upooo nyonyo

    • @Nyanjobhe123
      @Nyanjobhe123 Год назад

      Nyooo hiyo vipi sasa kwani uongo😂😂😂😂😂

    • @claramboya2018
      @claramboya2018 Год назад

      😃😃😃😃aya bwana,mnatuonea sx lkn🤣🤣😂,

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад +1

      Muache ni experience yake ,wala hajasema kwa ubaya

    • @ngowibeatrice1701
      @ngowibeatrice1701 Год назад

      Wachaga ni kabila linajitambua si mabwege makofi kwa wachaga

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Год назад

    😅

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +1

    Bado utoto mwingi huyu Europe hatoboi hata kidogo. Tena kalelewa kibaby baby..hmmm

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад +1

      Wala si utoto ndio alivyo, na kalelewa vizuri tu, maisha popote sio lazima Europe

    • @Nyanjobhe123
      @Nyanjobhe123 Год назад

      Sasa nitoboe EU na wakati nishatoboa nyumbani jaman ya nini kutoboa mara mbili moja inatosha😂😂😂😂

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 Год назад

    Ushamba mzigo dada, huyo naye kwa wazungu haitwi mzungu anaitwa mzungu pori wahangaikaji tuu kama nyie wanakunya nje kama vijijini tuu , kama ndio ulikuwa unaenda kanisani kwa sababu ya kupata mzungu rudi tena ukaombewe.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад

      Mbona comment kali ? Makasiriko ya nini ?

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Год назад

      😂😂😂😂

    • @Nyanjobhe123
      @Nyanjobhe123 Год назад

      Makasiriko peleka kwa shangazi yako, huko mfyuuu mzungu wangu siyo toleo la sita ni la Kwanza orginal kabisa blondedhair upo👌👌🤣🤣ndiyo nimempatia kwa kuomba na liko wazi nimeingia dating site two-three day nikapata mtu sijachunda mwaka😂😂😂na nimeolewa naishi maisha mazuri hata kumzidi waziri nina uhuru,sipigwi nahudumiwa na nafanya biashara maana niliomba nikapata mme mwema na mtoto nikapata bonus chap Mungu alivo mwema🙌🙏 sasa makasiriko pelekea ndugu zako siyo mie😂😂😂😂

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 Год назад

      Wasichana wa Africa, mnaendekeza umaskini, na tamaaa

    • @lucymsigwa443
      @lucymsigwa443 9 месяцев назад

      Nisaidie namna ya kutumia iyo dating site natumia siwezi Mimi ninaela zangu na biashara zangu ila natamani kuolewa na mzungu​@@Nyanjobhe123

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 Год назад

    😂😂❤

  • @LoishiyeMollel-ck9bx
    @LoishiyeMollel-ck9bx Год назад

    Y

  • @kenedymdemu6943
    @kenedymdemu6943 Год назад

    Kw ufupi wakina dada wa kiswahili huwa ni wajinga mnajidanganya wazungu hawana pesa na hizo hulks zenu za kuombaomba pesa kwa wanaume zimewaponza sana hata waswahili wenzenu hakuna short cut kwenye maisha fanyeni kazi kama mke wangu ondoeni tamaa

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Год назад

    ❤❤❤❤❤