#EXCLUSIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 63

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад +1

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Год назад +4

    Safi huu ujumbe wa marekani uumfikie mange kimambi marekani pagumu sio mchezo pole dada umechukua uamuzi mzuri kuludi Tanzania 🇹🇿 ❤❤❤❤❤

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Год назад +7

    Mbona upo vizurj tu we dada shukuru mungu

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 Год назад +6

    Pole sana my wangu wanawake wote tunapitia magum sana 😢

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Год назад +6

    Mbona niunene wangu huo nasiwazaagi Kama love wajua Kali Hana presha namwili wake wewe ninani

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад +5

    Ucjali mwaya! Mungu ndo alokuumba,hilo janaume litaendelea kuolewa tu.

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Год назад +13

    Miaka 36 mtt mdg😂 mm namiaka 33 najiona nazeeka Sasa tujikubal n umri wetu wadada😊

    • @rosemery3017
      @rosemery3017 Год назад

      😅😅😅😅😅

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 Год назад

      😂 😂 😂 nimecheka kilichobaki ni kujikubali P wangu, 33 unajiona mzee 😂😂😂weee mimi bado binti mwenzangu..

    • @imanidaraja8275
      @imanidaraja8275 Год назад

      😂😂😂 Ni wewe mwenyewe my uzee uzembe wako babuee😅😅

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de Год назад

      @@happylynguya3464 😅😅😅😅 kwakwel

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Год назад +4

    Duh bora kukaa bila ndoa😢

  • @RoseKapinga-ci3kj
    @RoseKapinga-ci3kj Год назад +1

    Yani wee dda mungu akusamehe bule ulimdanganya mchumba angu na kujifanya una ela na utamuhudumia kwa kila kitu mwisho wa siku akaondoka mwanaume nyumbani na kuniacha na mtto mchanga wa miezi 2 na kuja kuolewa kwako mwisho wa siku ndoa ilikaa miezi 3 ikafa pole sana 😆 😄 mungu atakupa mwingine karimu aikuwa ridhiki yako

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Год назад +1

    Aweza kabisa sanaa

  • @LindaMbilinyi-p8s
    @LindaMbilinyi-p8s Год назад +3

    Me hela yangu ilivyo na macho et nitoe hela yngu nimpe mwanaume anitolee mahar😂😂😂😂😂😂acha nizeekee nyumbn😅😅😅😅

  • @joycechuki8258
    @joycechuki8258 Год назад

    Jamani sugary ni Dollar 3000 ama dollar 4000 hapo umetupiga haifiki dolla20000

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 Год назад +1

    Uyo dada nime mpenda kwa sababu ana jikubali pia ni mkweli kabisa.

  • @TumainJackson-r8g
    @TumainJackson-r8g Год назад +2

    Dada jikubali we mbona in mzuri

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад +1

    Pole sana ila unene mbona unakupendeza tyu

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc Год назад +2

    Mwanamme hasaidiwi😂😂 mwanamme afanye mwenyewe majukumu kama mwanamme😂😂😂😂

  • @josephineokama2200
    @josephineokama2200 Год назад

    wakati unapakia pakia mawanga hukutuambia Leo matunda ya wanga umeyaona unakuja kutuambia unauchukia mwili woi pambana na minyama uzembe Yako sasa

  • @stamillusatila9084
    @stamillusatila9084 Год назад

    Mbona huna unene wa kutisha dear? Jikubali vile ulivyo

  • @fatumachinguluma9109
    @fatumachinguluma9109 Год назад

    we da ruc khaaa haya my wii nimekupata😂 nitamwambia na sia

  • @ambroceharouna1612
    @ambroceharouna1612 Год назад +2

    Fanya mazoezi na diet zingatia we huna mwili wa kutisha

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 Год назад

    Una unene wa kutusha jikubali mdogo wangu uta enjoy mwanaume apewi mali apo unajioa mwenyewe awezi kukujali pole Kwa yote

  • @salmanassor4852
    @salmanassor4852 Год назад

    Karibukwangu dada week 1 unakuwa msumari

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 Год назад +3

    Hivi watu huwa wanahangaika nini???

  • @iddymtitiko
    @iddymtitiko Год назад +2

    Sasa kwa unene gan ulionao hapo 😮vitu vingine bhna 😂

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 Год назад +2

    Story za jaba…😏😏😏 HAKUNA CHA UKWELI HAPO

    • @NasraNasa-mp7mf
      @NasraNasa-mp7mf Год назад

      Kweli kabisa na alianza kuishi south africa 🇿🇦 kabla ya kwenda huko

  • @anitajacob3641
    @anitajacob3641 Год назад

    kosa lako ni kujilipia posa

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Год назад +1

    Aaache upumbavu aende gym ale health

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад +2

    wanaume wengi wanaolelewa wanakuwa hawana adabu

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 Год назад +1

    Uachi uongo ww dada daah😅

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Год назад

    Si ukate utumbo Dada

  • @AbdisalanMussa
    @AbdisalanMussa Год назад +1

    Huyu Dem namtaka

  • @marrypius576
    @marrypius576 Год назад +1

    Dada kiufupi ulijioa mwenyw 😂😂😂

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 Год назад

    Fanya mazoezi utapungua na uzingatie vyakula

  • @TimaFood-r2p
    @TimaFood-r2p Год назад +2

    Muongo hawa wauza unga tu

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Год назад

    Hawa viumbe wanaume hawabebeki wara hawana shklani mtu unamudumia hanakuona ponyonyo..........me ndiomana nimesema niripo humia mwanzon sasaiv sitaki tena kuvumiria mwanaume no no no mwanaume akitaka kuja kwangu aripie kod na maitaji yote aisee

  • @GloryDeo-gz6wd
    @GloryDeo-gz6wd Год назад +1

    masikini ni shogaangu uyu

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Год назад

    Kiufupi ulijioa wewe mwenyewe, halafu wewe sio mtoto mdogo miaka 36 ni mamma

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp Год назад

    Maybe uko na obesity

  • @GloryDeo-gz6wd
    @GloryDeo-gz6wd Год назад

    una mkumbuka coban tunduma Lucy mimi Oliver lol

  • @TimaFood-r2p
    @TimaFood-r2p Год назад +1

    Muongo hawa wauza unga tu

    • @lisankhoma1432
      @lisankhoma1432 Год назад

      This woman is really heartless 💔 she came to my house in Zambia I welcomed her with my hands open,,later she told me we do business together I sent her money but upto now she hasn't send me my things if I call her, she doesn't pick up my calls,,I pray and swear to God she will never find good thing in her life.!!!