Sauti Ya Jangwani - SASA NASIMULIA April 28, 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 11

  • @danielmagigita9356
    @danielmagigita9356 6 месяцев назад

    Jamani ahsanteni sana Jangwani sda choir. Please naomba wimbo wa jua laangaza na ule wa bwana tuokoe. Hakika mbaliwe.

  • @Kingsospeter
    @Kingsospeter 8 месяцев назад

    Hapa sasa mbarikiwe wimbo niliutafuta sana huu ila nimewaomba mmeuweka ahsanteni sana Mungu awabariki❤

  • @jacksoncharles6239
    @jacksoncharles6239 18 дней назад

    Blessed ❤

  • @ShidaMapalala
    @ShidaMapalala 8 месяцев назад +1

    Napenda sana jinsi solo zenu zilivyo sauti ya jangwani SDA choir Shinyanga. Pia nimebadilika sana Mungu wetu awabariki sana

  • @KimilaSayi
    @KimilaSayi 6 месяцев назад

    Amen sana waimbaji Mungu awabariki

  • @DeogratisKibendela
    @DeogratisKibendela 7 месяцев назад

    Mbarikiwe wana jangwani mko vizuri

  • @paulnduttu2689
    @paulnduttu2689 6 месяцев назад

    Nawapenda sana watumishi wa Mungu

  • @Kingsospeter
    @Kingsospeter 8 месяцев назад

    Japo haimalizika yote 🙏🙏

  • @kishepokishepo4971
    @kishepokishepo4971 8 месяцев назад

    Moyo mbona hamuiweki