Tokea Oman,Mbarikiwe jangwani SDA choir nawapenda nawaombea, MUNGU awatumie..pia naombeni wimbo wa Daniel tunduni mwa simba, "..Na wimbo Usiku wa manane duniani 🇴🇲🇹🇿🔥
Mungu ni mwaminifu mbarikiwe sana usiku wa manane Haukuwa usiku wa kawaida Ulikuwa usiku wa mateso Usiogope usiku ulio mbele yako ambao ni pambano la Kiroho
Amina watu wa Mungu, Kuna wimbo wenu mpya naona Kipande tu Whatsap unaombwa "Mwovu Shetani Anatenda kazi kwa kasi ya ajabu, Anajua muda wake umeisha!" Naomba kuupata wimbo mzima
Kweli kwaya zipo Dunian ila sijapata inayonisogeza karibu na mbingu kama saut ya jangwan Ina nyimbo za faraja za kila aina Mungu awategemeze karibun Tanga mkinga
Tokea Oman,Mbarikiwe jangwani SDA choir nawapenda nawaombea, MUNGU awatumie..pia naombeni wimbo wa Daniel tunduni mwa simba, "..Na wimbo Usiku wa manane duniani 🇴🇲🇹🇿🔥
Mch zephanih peter makorongo chemba waimbaji hawa nyimbo zenye mafundisho kweri wabaekiwe
Amina Pr. Mungu akubariki sana
Bwana Mungu azidi kuwabariki. Napenda Nyimbo zenu Maana Zina ujumbe kwelikweli.
Ni miongoni mwa nyimbo Bora mnoooo❤❤❤
nalipanda kwaya hili sana mw😍
Baraka tele. Ujumbe wa busara. Mzidi kubarikiwa ❤🙏🏻
Ahsante kwa kuweka Imani yangu imara zaidi Amina.
Mungu ni mwaminifu mbarikiwe sana usiku wa manane Haukuwa usiku wa kawaida Ulikuwa usiku wa mateso Usiogope usiku ulio mbele yako ambao ni pambano la Kiroho
Nawe pia ubarikiwe mpendwa katika Kristo
Amina watu wa Mungu, Kuna wimbo wenu mpya naona Kipande tu Whatsap unaombwa "Mwovu Shetani Anatenda kazi kwa kasi ya ajabu, Anajua muda wake umeisha!" Naomba kuupata wimbo mzima
Nice one my dear choir.waiting for more
I do appreciate the message of this song,, 🙏🙏🙏🙏 we don't have to fear
Mungu awabariki Sana 🎉🎉🎉🎉
Napenda sana hii kwaya,,mungu awazidishie,naamin one day nitaimba sauti jangwani, mungu anitie nguvu, Aminaaa
Amina mtu wa Mungu hata Sasa wewe ni mwimbaji wa kwaya hii mtukuze kwa wito huo mkuu
Kazi nzuri sana..., Mungu awabariki wapendwa 🎉
Nawe pia Mjoli wa Bwana
Mungu awabariki muzidi kuwapa matumaini wale wote wenye kukata tamaa
BWANA aendelee kuwabariki sana. Mnapendeza uumbaji wenu hauyumbishwi na upepo unaowasumbua wengi kucheza cheza ovyo kama wababeli
Bwana aendelee kukubariki nawe pia
Eee Jangwani melody yenu izidi kubaki hiyo hiyo msije mkaibadili pamoja na jumbe zenu mbarikiwe zinaongoa.
Amen na Amen waimbaji wa jangwani,barikiweni xna,Tusihofie pambano la kiroho mungu yuko nasi Hadi mwisho wa dahari🙏🙏
❤Mubarikiwe sana
Amen ❤❤❤❤
Jamani watu wa Mungu aliyejuu mbarikiwe sana TAAABU YENU SI BURE KATIKA BWANA
Kwa kweli Sauti ya jangwani mnanibariki sana Bwana aendelee kuwapigania❤❤
Hallelujah hallelujah amen ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Amen
Ameeeen Ameeeeeen. Baraka hizi ni kubwa sana.
Amen endelea kubalikiwa
Barikiweni sana kwa ujumbe mzuri wa wimbo.
Mbarikiwa sana watumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏
Daaah kwaya Makini sana, Mungu awapiganie
Amina
Amina
Kweli kwaya zipo Dunian ila sijapata inayonisogeza karibu na mbingu kama saut ya jangwan Ina nyimbo za faraja za kila aina Mungu awategemeze karibun Tanga mkinga
Amina
Tatizo mmeshatekwa na Papa mnamfanyia kz yeye poleni mno
Barikiwa na Yesu
Nice song indeed. Praise be to God
Hallelujah
Tusihofie pambano la kiroho
Barikiwa upoendelea kusikiliza neno la Bwana
Nice song my GOD bless you
You to may the almighty Lord bless you abanduntly
Eeeeeeeeeeh Mwenyezi MUNGU endelea kuwalinda watu wako milele
Nawe pia Barikiwa sana
Naona hakuna ameshika nywere, mfano mzuri Mungu awabariki sana.
Barikiwa nawe pia
Samahani ni writing error,hakuna amashuka nywele
Amin
Amen
Ni Wimbo uliojaa matumaini
kazi nzuri ,
Barikiwa
Endeleeni kutubariki pia mbarikiwe
Nawe pia Ubarikiwe na Bwana
@@Sautiyajangwanisdachoir1987 mbona hatujawaona kahama net event
Mubarikiwe jangwani cda
Ushirika SDA, Sauti ya Jangwani choir- Shinyanga
mbarikiwe sana
Nawe pia barikiwa
Mbarikiwe
Nawe pia Barikiwa mjoli
amen
Amina
Nawapenda sanaaa mungu awabariki sana
Amina
Amina
Mbarikiwa sana watumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏
Amina
Bwana akubariki
Amina