Huu wimbo unanikumbusha Magu Mwanza kwenye makambi 2005! Lakini pia huwa namkumbuka rafiki yangu Leonard James Alikuwa anapenda sana Kuuimba tukiwa O’level pale Nyakato boys Secondary School-Bukoba. Ubarikiwe sana Ndugu uliyepost huu wimbo.
Nakumbuka wimbo huu kipnd nasikia nirikua mdogo Sana nimeglahi kuuskia Tena jamani .saivi naulm wa34. Wengi wamelala uti Mimi nikohaii. Nakushukuru YEHOVA. Kwa Uzima huu
Huu nilikua nautafuta sana mbarikiwe posti na sitaionea haya injili
Solo imekaa vyema sana. MUNGU awabariki na kuwalinda sauti ya jangwani sda choir, nabarikiwa mno na nyimbo zenu ni nzuri mno
Niliutafuta sana tangia niusikie kizota net event, mbarikiwa
mubarikiwe zaidi watumishi wa Mungu
Nlikutafuta Kwa muda sanaaa huu Wimbo na Leo nimeupata
Huu wimbo unanikumbusha Magu Mwanza kwenye makambi 2005! Lakini pia huwa namkumbuka rafiki yangu Leonard James Alikuwa anapenda sana Kuuimba tukiwa O’level pale Nyakato boys Secondary School-Bukoba. Ubarikiwe sana Ndugu uliyepost huu wimbo.
Amina sana
Nakumbuka wimbo huu kipnd nasikia nirikua mdogo Sana nimeglahi kuuskia Tena jamani .saivi naulm wa34. Wengi wamelala uti Mimi nikohaii. Nakushukuru YEHOVA. Kwa Uzima huu
Amina, Barikiwa sana
Tunaomba muweke na ule wimbo wa "kama wangetokea Adam naye Hawa" upo katika albumu ya Fuata biblia
Bwana aidi kuwabariki
Amen 🙏🙏🙏
❤
MOYO WANGU piah muitume jamani
A very good item
jamani wimbo wa kisukuma wa albam hii mbona haupo?
upo
Unaitwaje@@Sautiyajangwanisdachoir1987