Si urongo wana viwanda vizuri sana.....kenya hatuishi kuvikarabati viwanda vyetu lakini utakuta baada ya mda vimeanza kuharibika tena.....management hua si nzuri
siku Mungu akitotoa kwenye ukoloni huo basi tutabaki na ubaguzi wa Unguja na Pemba ambao ni mbaya kuliko unavyofikiria bora tubaki huku huku naona kuna salama saaana
Ubaguzi haunaga kikomo, ukishatengana na tz bara, laana itawatafuna utataka utengane na pemba, ukimaliza utakuja dini, ukimaliza utakuja vyama vy siasa ukimaliza utakuja familia.. ukimaliz utabaki peke ako.. hii dunia tunapita hamna mwenye wako.. ww ni mwili tu, wili wako ungezaliwa mbeya leo ungekua mtu wa bara, kuweni na akikili waarabu weusi jaman eeh ivo vichwa chapati ndo havinaga akili kiasi hichi?
Wanaitenganisha inch pasopo kujua ivi unategemea nin pind ya mashabiki wa tim izi mbili wakikutana huu sio uzalendo wa kuudumisha muungano fanyeni vitu ambavyo vitatufanya kuwa nchi moja leo hii wananch wakae upande taifa gani kati ya tim izo mbil kunawakati unaweza kujiona unatengeneza kumbe unaalb ni ushaul tu.
Bro hakuna atakae Fanya ujinga huo hizi ni nchi mbili tofauti zilizoungana ndomana hapo unaiyona bendera ya zanzibar halafu unajua historia ya hiotimu ya zanzibar 😂😂😂😂
Nihaibu sana 😅😅😅 sawa sawa na ngorongoro hiro icheze na taifa 🌟 star ilitakiwa zanzibar icheze na ngorongoro hiro sio team ya taifa ni uchizi na upungufu wamafikilio kwa viongozi tulio nao
@JustinejJohn-gg1ch Mimi nimetaka nifahamishwe wewe unanitukana hayo ndiyo majibu ya swali langu? Hata Mimi nayajuwa matusi kama nikikutukana utatafuta chimbo la kujificha, haya bhana twende tu tutafika safari yetu
Ingia RUclips andika mara ya mwisho kati ya Zanzibar heroes vs Kilimanjaro stars halafu muulize yule kipa salula aliyekuwa malindi akukumbushe Ditram nchimbi ni nani maana mnajisahaulisha punguani wewe,siasa ndio inaua soka lenu kama kenya
@@jumamuhd620 hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
@@jumamuhd620 hamna zanzibar huru.. pekeenu hamjiwez hata dunia ianze tena, mkitengana na bara waarabu wa oman watawatawala tena.. trust me hajiwezi mana hakili hamna mmezibwa akili na dini yenu io.. imagine watu waliwatesa mababu zenu na kuwafanya watumwa.. af leo mnawafuata kua dini yao ndo sawa.
Zanzibar ni nchi inayo jitegemea na ndy mana wana Rais wao ila sisi huku Tanzania bara hatuna Rais bali tuna Rais wa muungano tu amba anaongoza Tanzania bara na Tanzania visiwani
hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.@@wakizimbaniwakizimbani6596
@@bestman3651.hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
@@wakizimbaniwakizimbani6596.hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
Wacheni ujinga uo, lengo la haya mashindano ni kuimarisha umoja na mshikamano wetu na sio kutambulishana sijui Tanganyika na znz. Waafrika kazi yetu ni kutoa makosa tu na sio kujenga umoja. Fala
Nimetizama coments nyingi wengi wa wao wapo ktk majina...Hayo majina ni baada ya Muungano kwann mnalazimisha Tanganyika iwepo...kwani ikiwepo ndio inarudisha nn...halafu tufikir vitu vingin havina maaana...Zanzibar jina lake lilikuwa hilo hilo ila Tanganyika ndio lilibadilika kwa kuchukua maneno machache kutoka ktk jina Zanzibar kuunda Tanzania.
Hii ni aibu nchi mbili tofauti lkn bendera inayotumika na jina linalotumika ni la Muungano kwann linapokuja suala kama hili la Mataifa upande wa bara wasitumie jina lao la Tanganyika na wapeperushe bendera yao ya Tanganyika kama inavofanya Zanzibar inatumia jina lake na Bendera yake!!!??
@AminiMsellem-gk3yy Mpira una impact kubwa sio sawa kuandika Tanzania bara na Zanzibar ata maan halisi y jina Tanzania inapotea labd iwe knyume na tulivorithishwa, utawaeleza vp vzazi vjavyo km hz kumbukumbu ztabak hv??
@AziCure munawaza siasa tu fanyeni kazi masuala tanganyika sijui zanzibar inasaidia nini. Si tunaangalia mpira munajadili bandera ila watu wengine bwan🤣🤣🤣🤣
@AziCure kwa Mungu hakuna utanganyika wala uzanzibari bro musipoteze mda kujadili hayo mambo alafu unajadili sihemu sio kabisaa sisi tumeconcentrate kuanhalia mpira we unaleta mada ya bandera dah Yaani ni Sawa watu wako CASINO wanakula starehe we unaenda kutoa mawaiza ndo unachokifanya wewe hapa unaleta siasa watu tuko busy kuangalia mpira🤣🤣🤣🤣
Nasikitika kuwa kumbe walimu walitupotosha kule mashuleni walituambia kuwa Tanganyika waliungana na zanzibar ndo ikapatikana Tanzania kumbe sio kweli bali ni Tanzania bara waliungana na Zanzibar ndo ikapatikana TANZANIA.
1} Uwanja uongezewe taa 2) Promotion ya safarihii mapinduzi cup si ya kama mwaka jana. 3)sija ona mashambulizi kutoka Tanganyika vipi alie tengeneza hii clip naona Zanzibar wame fika zaidi kwenye goli la Tanganyika.
Hakunaga nchi inaitwa Tanganyika acha kujitoa ufaham labda kama unadam ya kijeruman ndo maana unalikumbuka usifanye Wazee wetu wakaanza kuota ndoto mbaya za mateso ya wakolon tunakuomba kumbukumbu zako wafuate akina Hitler mpige nao stori
Ayo nimawazo yako nachuki binafsi hakuna watu hawana habari namashindano yamapinduzi kama wazanzibar ilanyny wabara ndio munojaza viwanja huku Zanzibar kwaupuuzi huu
Mnajifanya mbaubaguzi lakini hamna lolote njaa kalitu punguzen roho mbaya mnajikuta lakin hamna lolote yani vitu vingi mnategemea kutoka bara, ukifika bandari ya bagamoyo,tanga na dar utagundua vitu kiasigan vinatoka bara vinakuja huko afu mnajifanya waarabu weusi hamna lolote
Msiwe naharaka ndio maji yanaanza kujitenga na mchele Tanganyika ninchi moja na Zanzibar ninchi nyengine acheni propaganda zawasiojielewa Kwa maslah Yao kupitia kitu kinachoitwa muungano Wala haupo
Kazi ya walensi kalia iyo raisi wa TFF eti Tanzania bara na Zanzibar ndo wamecheza iyo mechi hata havinogi😆😆 Uchawa wa siasa umeingia mpaka kwenye mipira mambo ya chawa wa mama ayo🙌🙌 Eti Hivyo ndio vimesababisha ligi usimame miezi mitatu aisee😂😂😂😂
Tanzania hawana wachezaji ligi ya Tanzania bara insgara yani yanga na simba kutokana na wachezaji kutoka nje Tu bila hivyo hiyo ligi ya bara ingekuwa haina ladha
@JabirHaji-vj2nf amna sio kila kitu muungano blo kuna vitu singing aviitaji ata muungano ni vya ngazi ya chini ila viongozi ndio wanavikalia. Me najua mpila wa zenji sana ona ligi ya vijana wadogo imeshakufa na inaendelea kufa talatibu iko ni kigezo kimoja tu ukiangalia kuna vingi. Asa I've blo vitu vya TFF?
@@IssaAli-s8ynahisi hata wewe hujui kitu manaa kilichopo ni Tanganyika na zanzibar unapata tanzania baada ya muungano nyinyi Watanganyika tuuu usijiite tanzania bara au ivi Iwe wabara not tanzania bara
Zanzibar❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jezy hawana, jina hawana, nchi hawana, na uwanja hawana, na goal tumewatia duuuh Ilove zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤
Eti wabara hawalipendi kombe hili 😂😂😂cc wa Zanzibar we appreciate it,,,,,,,, Zanzibar is a beautiful country Masha Allah,,,👍👍👍❤️
Tanzania mna viwanja nyenye kimataifa vingi mno,, huu uwanja mzuri,, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Sisi tumeacha chuki na ubaguz 😊
Bado upo kwe matengenezo mkubwa kma roofing na vitu vyengine
Nyinyi endeleeni kuzungumza english ukizungusha english kenya umeshaendelea hata kama una njaa
Si urongo wana viwanda vizuri sana.....kenya hatuishi kuvikarabati viwanda vyetu lakini utakuta baada ya mda vimeanza kuharibika tena.....management hua si nzuri
Miiraj Alii sasa huyo kwani hapa amezungumza kizungu?
Hivi kuna nchi ya Tanzania bara na Tanzania zanzibar au ni Tanganyika na Zanzibar?
Tanganyik tu awo
We kweli unatudhihirishia walimu walifanya kazi ya bure😂
😂 hapana ni Tanzania bara na Tanzania visiwan, nb Kam unataka kuzita zote zote@@Khamis-n8p
@@josiastarjoh1540walikua wakilipwa ama wangegoma
Ndo ushangae sasa
Andikeni Tanganyika n Zanzibar
Watanganyika kalimeni tumbaku mpira wa zanzibar hamuuwezi😂😂😂😂
Zanzibar vipaji vipo ila wanatuzarau sana awatuwezi tanzania wala urojo tupo vizur
Naomba mungu atutoe kwny mikono ya wakolon weus hata sisi tunahitaji kuwa huru
siku Mungu akitotoa kwenye ukoloni huo basi tutabaki na ubaguzi wa Unguja na Pemba ambao ni mbaya kuliko unavyofikiria bora tubaki huku huku naona kuna salama saaana
Ubaguzi haunaga kikomo, ukishatengana na tz bara, laana itawatafuna utataka utengane na pemba, ukimaliza utakuja dini, ukimaliza utakuja vyama vy siasa ukimaliza utakuja familia.. ukimaliz utabaki peke ako.. hii dunia tunapita hamna mwenye wako.. ww ni mwili tu, wili wako ungezaliwa mbeya leo ungekua mtu wa bara, kuweni na akikili waarabu weusi jaman eeh ivo vichwa chapati ndo havinaga akili kiasi hichi?
Wanaitenganisha inch pasopo kujua ivi unategemea nin pind ya mashabiki wa tim izi mbili wakikutana huu sio uzalendo wa kuudumisha muungano fanyeni vitu ambavyo vitatufanya kuwa nchi moja leo hii wananch wakae upande taifa gani kati ya tim izo mbil kunawakati unaweza kujiona unatengeneza kumbe unaalb ni ushaul tu.
Kawaida hio c nikama Schottland,Wales,England nakadhalika ni united but kila mtu na lake
Bro hakuna atakae Fanya ujinga huo hizi ni nchi mbili tofauti zilizoungana ndomana hapo unaiyona bendera ya zanzibar halafu unajua historia ya hiotimu ya zanzibar 😂😂😂😂
Thanks much
Finest 🎉
Hao bado niwadogo tu hawawez kuichezea Zanzibar heroes😂😂
mhh nilijua tu baada ya kuona mashindano yatakuwa kwa nchi na c club hy yatatokea mana izo comment 😅😢
Nihaibu sana 😅😅😅 sawa sawa na ngorongoro hiro icheze na taifa 🌟 star ilitakiwa zanzibar icheze na ngorongoro hiro sio team ya taifa ni uchizi na upungufu wamafikilio kwa viongozi tulio nao
Yaani ili li nchi ni la ajabu wanabigwa na kisiwa cha watu M2 wakati wao ni 59M apo ndo unasema bora wakalime mambo ya mpira hawayawezi
@@wartv730 Ndugu yangu wartv Mimi nimesema sijasikia hata cku Moja Kilimanjaro stars ikiwafunga Zanzibar wakaanza kunitusi
Zanzibar heroes vs Tanganyika 😂😂😂
Tunapigwa na kitu kizito Yani nchi moja Ina Tim za taifa mbili
Michezo ni Urafiki
Michezo ni Udugu
Michezo ni Uzalendo
Watani Kuleni SEMBE Sana Muwafunge KENYA na BURKINAFASSO Tukutane Fainali
Hao wanao kula sembe sana ndio wamesha pigwa 1😅
Kiwanja kizuri
Badilisheni basi na huko mashuleni watoto wafundishwe kuwa Zanzibar iliungana na Tanzania bara na sio Tanganyika
Tatizo sio shuleni,hulizeni anaye tamka hayo maneno ameyatoa wapi?
Tanganyika Tanganyika acheni kutufanya mazuzu kusema Tanganyika sio kosa la jinai sematu Tanganyika ndio kwaoo
Wakati kombe hili linahusisha nchi bas ni lazima isemwe Tanganyika na Zanzibar.
Upo sawa kiongozi
Nilijua tu Tanganyika tutafungwa
Kama nitakuwa nimesahau tafadhali nikumbusheni, lini Kilimanjaro stars ikaishinda Zanzibar heroes? Timu mbovu mbovu kupindukia, hovyooooooooo
Wewe kweli k kwahy ukimfunga ndo umekuwa bora umecheza na timu b unaongea usenge
Na Zanzibar pia b
@JustinejJohn-gg1ch Mimi nimetaka nifahamishwe wewe unanitukana hayo ndiyo majibu ya swali langu? Hata Mimi nayajuwa matusi kama nikikutukana utatafuta chimbo la kujificha, haya bhana twende tu tutafika safari yetu
@@ZaidAKissinza bora umpuze ama watu watashindwa kukutafautisha na yeye
Ingia RUclips andika mara ya mwisho kati ya Zanzibar heroes vs Kilimanjaro stars halafu muulize yule kipa salula aliyekuwa malindi akukumbushe Ditram nchimbi ni nani maana mnajisahaulisha punguani wewe,siasa ndio inaua soka lenu kama kenya
Sipendi ujinga huu mimi eti Tanzania bara kwa nni msiseme Tanganyika na Zanzibar?
Wanaona aibu kujiita Tanganyika hawependi Nchi yao hawajui kua Zanzibar huru inakuja soon
Huku kinachotufanya tuwe wajinga hatufundishwi asiliyetu kinachotutambulisha kigoma ziwatanganyika tupobize nawasanii wamuziki na siasa kuliko nuhalisiawetu
@@jumamuhd620 hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
@@jumamuhd620 hamna zanzibar huru.. pekeenu hamjiwez hata dunia ianze tena, mkitengana na bara waarabu wa oman watawatawala tena.. trust me hajiwezi mana hakili hamna mmezibwa akili na dini yenu io.. imagine watu waliwatesa mababu zenu na kuwafanya watumwa.. af leo mnawafuata kua dini yao ndo sawa.
Sisi Tanganyika ndio maboya wenzetu wanakila kitu serikali yao bunge na hata raisi wao sisi sasa😂😂😂😅
Tanzania bara ama Tanganyika ?
Zanzibar heroes 1-0 Tanganyika 😂😂😂
Zanzibar ni nchi inayo jitegemea na ndy mana wana Rais wao ila sisi huku Tanzania bara hatuna Rais bali tuna Rais wa muungano tu amba anaongoza Tanzania bara na Tanzania visiwani
Tatizo jina lenu baya,Tanganyika-Tanga ni kuzurura ovyo-nyika-ni mapori madogo madogo ndio maana viongozi wenu waona aibu.
@@johnchikoga2778wewe mwenyewe unayumba...usiseme sisi huku Tanzania bara sema sisi huku Tanganyika
hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.@@wakizimbaniwakizimbani6596
@@bestman3651.hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
@@wakizimbaniwakizimbani6596.hivi wewe ulisaini nyaraka ya muungano , unajjua ata rangi yake, nchi ni mbili( baada ya muungano) Tanzania bara Au Tanzania na Tanzania visiwani Au Zanzibar (Unguja na Pemba) , na jina la muungano ni United republic of Tanzania ( Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) , majina yalibadilika baada ya muungano.
Mtengenezaji wa jezi za Zanzibar kwanini ametengeza km zile za Yanga?
Yanga ni club ya Zanzibar yenye makao makuu yake Dar es Salam, ndo mana jezi zao zinafanana
Wote wametumia mbunifu mmoja Ngowi
Nd rais wen walik tufikish
Asante
Watanganyika sisi kwa mpira hamutuwezi
Zanzibar ni Brazil ndogo au Spain ndogo kwa mpira
Hapa bado sijaelewa fei toto yuko Africa cup na Tanzania hapa yuachezea Zanzibar
Hakuna Tanzania bara Na Tanzania ZANZIBAR isipokuwa Kuna Tanzania Tanganyika na Tanzania ZANZIBAR
tanzania visiwani na tanzania bara
Zanzibar hamna ligi ndomana wameamua kufanya hivi
Imargine tukiwa na league tutakufanyeni nini?
Hatuna ligi hali ndo hii je tukiwa na ligi si mtakufa tano
Hawa wa Tanganyika kwanini wasitafute Jez zao wanaziazir Jez za Taif LA muungani
Nchi ni Moja tuuu Tanzania ila hii kombe la Mapinduzi ndio Lina nchi mbili Tanzania Zanzibar na Tanzania bara
Zanzibar na Tanganyika bana
asant azam
Wacheni ujinga uo, lengo la haya mashindano ni kuimarisha umoja na mshikamano wetu na sio kutambulishana sijui Tanganyika na znz.
Waafrika kazi yetu ni kutoa makosa tu na sio kujenga umoja.
Fala
jersey za team ya taifa ya Tanzania inavaliwa na Tanzania bara ingalikuwa ni kitu kimoja na Z'bar kwan hamna jersey za Tanzani bara??
Tanganyika
Nimetizama coments nyingi wengi wa wao wapo ktk majina...Hayo majina ni baada ya Muungano kwann mnalazimisha Tanganyika iwepo...kwani ikiwepo ndio inarudisha nn...halafu tufikir vitu vingin havina maaana...Zanzibar jina lake lilikuwa hilo hilo ila Tanganyika ndio lilibadilika kwa kuchukua maneno machache kutoka ktk jina Zanzibar kuunda Tanzania.
Sawa mbona zanzibar imekuwa vile vile kabla ya muungano mpka uwo muungano lakin tanzania inageuzwa geuzwa tu hawajui waitwe nan hawan uniq yao😂😂😂😂😂😂
Samahani niulize TU kwani Kuna kipengele chochote ambacho kinaonesha ufuto wa jina Tanganyika kisheria
@@AlyAly-n8r kamuulize Amaan Abeid Karume
*kwanini na sisi tusiitwe jozani au forodhani heroes kma wao hawataki kujiita TANGANYIKA
Hii ni aibu nchi mbili tofauti lkn bendera inayotumika na jina linalotumika ni la Muungano kwann linapokuja suala kama hili la Mataifa upande wa bara wasitumie jina lao la Tanganyika na wapeperushe bendera yao ya Tanganyika kama inavofanya Zanzibar inatumia jina lake na Bendera yake!!!??
😊Tanzania bara pia wamevaa jezi za Muungano yaani,
Wabongo ni my wetu tu🤣
Kuna kisiwani Pemba
Kuna Zanzibar
Pia kuna TANZANIA BARA
Hapa ndipo tulipofika
Jee hii timu ni ya wapi?
zanzibar ni muunganiko wa visiwa viwili pemba na unguja ndo unapata zanzibar
Kwaiyo hakuna unguja au😂😂😂we ni punga tu
Hujaelewa ww huyo yy kaongea kilichopo sasa sio uhalisia wake@@kassimayoubmohd6313
Tutamkumbuka sana Nyerere.
Hapo hakuna nchimbili mpaka Tanganyika iibuke kutoka mafichoni
Hapo kuna zanzibar na tanzania bara au tanganyika
Acha ubaguzi
Tanzania bara na Zanzibar ndio nini mbona Tanganyika haiwekwi au siku ya muungano ndo ilikuwa kifo cha Tanzanyika ?
Tunaagalia soccer hatuko kujadili siasa
Nkiangalia bendera z hz nchi,, ko kale kaunjano ndo😂😂😂
Bora mngewek Tanzania visiwan vs Tanzania bara sio hv,,,yaan hatuelewek😂😂
Tunaangalia soccer siasa waachie karume n'a nyerere 😂😂😂😂
@AminiMsellem-gk3yy Mpira una impact kubwa sio sawa kuandika Tanzania bara na Zanzibar ata maan halisi y jina Tanzania inapotea labd iwe knyume na tulivorithishwa, utawaeleza vp vzazi vjavyo km hz kumbukumbu ztabak hv??
@AziCure munawaza siasa tu fanyeni kazi masuala tanganyika sijui zanzibar inasaidia nini.
Si tunaangalia mpira munajadili bandera ila watu wengine bwan🤣🤣🤣🤣
@AziCure kwa Mungu hakuna utanganyika wala uzanzibari bro musipoteze mda kujadili hayo mambo alafu unajadili sihemu sio kabisaa sisi tumeconcentrate kuanhalia mpira we unaleta mada ya bandera dah
Yaani ni Sawa watu wako CASINO wanakula starehe we unaenda kutoa mawaiza ndo unachokifanya wewe hapa unaleta siasa watu tuko busy kuangalia mpira🤣🤣🤣🤣
HAO TUSHAWAZOEA BORA TUSIPANGIWE NAO KWANI TWAWAONEA TU
Kama ndondo cup
Sema tofauti yake ni uwanja wa kapeti😂😂
Comments zote za kisenge Bora muungano usiwepo tu
Watanzania Bora muimbe tu.Mpira mpirani hamko. Shida ligi yenu mnakuza Wachezaji wa nchi kusahau wa ndani.Aziz Ki wa Yanga ni Mtanzani?
Nyinyi NI wabaguaji mbona hamleti game ya Kenya na Burkina faso
Nasikitika kuwa kumbe walimu walitupotosha kule mashuleni walituambia kuwa Tanganyika waliungana na zanzibar ndo ikapatikana Tanzania kumbe sio kweli bali ni Tanzania bara waliungana na Zanzibar ndo ikapatikana TANZANIA.
Hhhhhhhhhh unadhidi kujidanganyaa😂😂😂😂😂😂
@@omarmohammed5157 Huo ndo ukweli kwani zanzibar sio Tanzania, kwanini wasiandike Tanzania bara na Tanzania visiwani.
Kwann msiite tm ya tanganyika kuliko Tanzania bara
Hawa mbona wamevaa jezi za Taifa Stars ya Tanzania
1} Uwanja uongezewe taa
2) Promotion ya safarihii mapinduzi cup si ya kama mwaka jana.
3)sija ona mashambulizi kutoka Tanganyika vipi alie tengeneza hii clip naona Zanzibar wame fika zaidi kwenye goli la Tanganyika.
Hakunaga nchi inaitwa Tanganyika acha kujitoa ufaham labda kama unadam ya kijeruman ndo maana unalikumbuka usifanye Wazee wetu wakaanza kuota ndoto mbaya za mateso ya wakolon tunakuomba kumbukumbu zako wafuate akina Hitler mpige nao stori
Tanganyika na zanzibar
Metacha sio kipa
Feisal salum fei toto engeenn
Kwn ZANZIBAR na Tanzania baara wapi Kuna vipaji wengi waa mpira
Hawatuwezi wabara
Cc tunajua jana zanzibar na tanganyika asa kuna wehu tanganyika wanaita Tanzania
Macho yote caf hatuna mpango napo huko wazanzibar mapinduzi kama world cup😂😂
Ayo nimawazo yako nachuki binafsi hakuna watu hawana habari namashindano yamapinduzi kama wazanzibar ilanyny wabara ndio munojaza viwanja huku Zanzibar kwaupuuzi huu
Kumbe sisi sote ni watanzania
Na sote ni ndugu
ss hv ht tukifungwa na tim yyt sw sio hawa wa tanganyika wenda na pori hawalitaki jin lao 😂😂😂😂😂
Hahahhaa nikweli kiongozi yaani kufungwa na hawa vichogo ningeumia sanaaa
@mohdhaji550 nd iv mzee hawa sio wenzet mm ht tukitolew ss nk radhi
Mnajifanya mbaubaguzi lakini hamna lolote njaa kalitu punguzen roho mbaya mnajikuta lakin hamna lolote yani vitu vingi mnategemea kutoka bara, ukifika bandari ya bagamoyo,tanga na dar utagundua vitu kiasigan vinatoka bara vinakuja huko afu mnajifanya waarabu weusi hamna lolote
@shabanangonyani4038 punguz choyo ww nitajie nchi 1 ambay haitegemei kutk bara jingin wach ujing iy haijaw kt bd chog
Me Nashaur Serikali iombe Zanzibar Ishiriki ktk MBC n Ata CAF
NBC
Titizo majezi mabaya hamna ubunifu
Jezi ndo zinacheza?😂😂😂😂
Ndio mana tunataka mamlaka kamili kwa upuuzi wenu kama huo
Tuko busy kuangalia soccer hatupo apa kujadili siasa😂😂😂😂
kwa nini isiitwe tanzania visiwani na tanzania bara au basi iwe tanganyika vs zanzibar I think will make sense
You're right! Zanzibar Vs Tanganyika! 😅
Zanzibar na Tanganyika
@@JCMaxima so sahih iv iliv nd sahih
Msiwe naharaka ndio maji yanaanza kujitenga na mchele Tanganyika ninchi moja na Zanzibar ninchi nyengine acheni propaganda zawasiojielewa Kwa maslah Yao kupitia kitu kinachoitwa muungano Wala haupo
Mmmmh eti Zanzibar na Tanzania bara mmh ndo nini Sasa si Bora Sasa Kila mtu ajijue mapema
Fei
Kazi ya walensi kalia iyo raisi wa TFF eti Tanzania bara na Zanzibar ndo wamecheza iyo mechi hata havinogi😆😆
Uchawa wa siasa umeingia mpaka kwenye mipira mambo ya chawa wa mama ayo🙌🙌
Eti Hivyo ndio vimesababisha ligi usimame miezi mitatu aisee😂😂😂😂
Acha kuropoka ww, watu wanajiandaa na chan , mapinduzi cup hat wiki 2 hazifiki
@kassimayoubmohd6313 ona ili chawa lingine
@@pacomezouzoua9175 siasa utakuumiza mzee, huu ni mpira mamb ya siasa peleka huko,hat mpira hujui
Mwez wa pili hpo kuna mashindano ya Chan ,kam hujui mpira ulizia kwa wenzako 😂😂😂😂
@@kassimayoubmohd6313 we kobe sasa unanielezea mm mambo ambayo nayajua😆😆
Fei mchezaji Bora wa Dunia
Ni kweli anawashinda kina Messi na cr7😂😂😂
Na hapo amekosekana mudathir
kumbe uyu skudu makudubela Mzanzabari.
Siasa tuh nd mbele ilo ni boli mambo ya bara sijui nin uko muhim feisal 1 tuh bc
Amnakitu apo
WATANGANYIKA WANAONA AIBU KUITAJA NCHI YAO😂😂😂AIBU KUBWA.WATANGANYIKA WAJINGA SANA
Mjinga wewe unayetawaliwa na mkoloni mweusi
Wana force sana ila sisi wa bara hatulipendi hilo kombe la mkosi😂
Tanzania hawana wachezaji ligi ya Tanzania bara insgara yani yanga na simba kutokana na wachezaji kutoka nje Tu bila hivyo hiyo ligi ya bara ingekuwa haina ladha
kwan lig ya zanzibar ina ladha?😅😅😅
Ndugu hujawaona kinamzize mohamed huseni kapombe kina job tunatimu bhn
Wasilalamike wakichaguliwa wachezaji wa simba na yanga tu ona uozo wa leo
Zanzibar amkeni mna vijana wenye aikili ya mpila ila uwa amuwaendelezi mkafika mbali mnamatatizo uongozi mbovu wa chama cheque cha mpila.
Sio mpila ni mpira
Mpila au MPIRA
Tatizo muungano ndo unao tubana
@JabirHaji-vj2nf amna sio kila kitu muungano blo kuna vitu singing aviitaji ata muungano ni vya ngazi ya chini ila viongozi ndio wanavikalia. Me najua mpila wa zenji sana ona ligi ya vijana wadogo imeshakufa na inaendelea kufa talatibu iko ni kigezo kimoja tu ukiangalia kuna vingi. Asa I've blo vitu vya TFF?
Nyimbo za mataifa yote mawili hazipo kwani
Tunaangalia soccer siasa mwachie karume n'a nyerere 😂😂😂😂
Mbona hawa watanganyika mbona nchiyao hawaitaki sasahv fajita Tanzania bara
Wazanzibar bana,wakifungwa wanaongea maneno mbofumbofu na wakishinda pia maneno mbofumbofu ,yaan huu muungano unawauma kweli yaan kini ndo hivyo mtulie nyie madogo ,mababu zenu ndo mkawalilie😂
Kimoja kimekukaaa vzr😂😂😂😂
mtangazaji wewe makuzi kweli nini maana ya Tanzania Bara na Zanzibar?
Unaonekana walimu wako walipata kazi kubwa sana darasani.
@@IssaAli-s8ynahisi hata wewe hujui kitu manaa kilichopo ni Tanganyika na zanzibar unapata tanzania baada ya muungano nyinyi Watanganyika tuuu usijiite tanzania bara au ivi Iwe wabara not tanzania bara
ruclips.net/video/LWfsj1Im_ME/видео.htmlsi=3rmJlwQ4rTL_V_Rj
Tanganyika
Hii timu ya Tanganyika ni mbovu hasa...!
Tanganyika