GB 64 APAGAWA NA USHINDI WA SIMBA, AHOUA AMEZALIWA KUFUNGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 81

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 16 дней назад +6

    Dah! Bro GB 64. You're very well. That's true my Dear Brother.

  • @ombeniemmanuel
    @ombeniemmanuel 15 дней назад +3

    Simba yangu nawapenda wachezaji wote na viongozi wote na fadlu Davis ashukuliwe aisee mungu baba wa mbinguni simama na simba yetu amen by ombeni Emmanuel from kishili mwanza

  • @FaidaShija
    @FaidaShija 16 дней назад +8

    Nakubar kaka 🎉🎉

  • @mr.cuthbert2161
    @mr.cuthbert2161 16 дней назад +7

    Ila chemalone hata kama camara anaenda kucheza mpira asiridhike akasimama anatakiwa kuwahi nyuma ya kipa kulinda goli.. chochote kinaweza kutokea.. simba nguvu moja.

  • @AbdallahPeter-b4s
    @AbdallahPeter-b4s 16 дней назад +5

    Umetisha kaka

  • @ombeniemmanuel
    @ombeniemmanuel 15 дней назад +1

    Very seriously king 🦁 for good football ⚽

  • @Orgy-go1gj
    @Orgy-go1gj 16 дней назад +2

    Big up GB 360 ubaya ubwela Tunisia wameitika.❤❤❤❤❤❤

  • @ZainulJuma
    @ZainulJuma 16 дней назад +3

    Gooooood

  • @AdamSabuni-x3v
    @AdamSabuni-x3v 16 дней назад +27

    Kunachizi lingine linawaza simba ikutane na yangatu mishabiki ya yanga mingine nikweli ubongo ulishachanganyika na vinyesi kweli yanaonawivu saaana badala ya kupongeza ndo mana majina kibao ,mara topolo ,mara ndala ,mara vyura

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 16 дней назад +3

      Yanga wote wana Mtindio wa Ubongo

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 16 дней назад +2

      MANARA HADJ ,ALISHASEMA WENYE AKILI NI 2 TU😂😂😂😂

    • @TabithaLukindo
      @TabithaLukindo 16 дней назад +1

      hahahahahaha 😂😂😂 nakuambia watafungua mpaka maduka ya ndiz 😂😂😂😂

    • @AphaYolam
      @AphaYolam 15 дней назад +1

      Hahahaha ndomana hayafiki mbali

    • @MungeJr-u7x
      @MungeJr-u7x 12 дней назад

      @@AdamSabuni-x3v
      Wanawazaga ujingaa muda wotee Nd maana wanajiita MWIKO nyumaa

  • @MayPchaula
    @MayPchaula 16 дней назад +4

    WAWOOOOOOOO!

  • @alichakamdune
    @alichakamdune 15 дней назад +3

    GB 64 oe unyama sana,wambie Simba hakuna wakumutisha🎉🎉

  • @LeticiaHansbert
    @LeticiaHansbert 15 дней назад

    Mungu ibariki simba Kila iitwapo Leo tuwaombee Sana wachezaj wetu. Mungu tulindie furaha yetu👏

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 16 дней назад +8

    Kimehesabu bado hatujaenda robo fainali.Tunahitaji walau sare tu kule angola dhidi ya bravo

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 16 дней назад +1

      ndio maana yake yani tumeshapita mechi 2 mkononi inshaallah

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 15 дней назад +1

      Bravo tunamfunga kwake na yule mwarabu kwa mkapa hatoki hutoamini

    • @SashaTimothy
      @SashaTimothy 15 дней назад

      ​@@DennisFandihakika brother

    • @DomnHppy
      @DomnHppy 14 дней назад

      Weee nae toa utopolo wako hapo ndioo tumeenda ivyooo

  • @KideuMtoto
    @KideuMtoto 16 дней назад +3

    Naipenda simba jaman

  • @sanyyusuph4438
    @sanyyusuph4438 15 дней назад +2

    Safi sana gb64

  • @tumaini37
    @tumaini37 16 дней назад +5

    Ahsante GB64, somo zuriii🎉🎉🎉

  • @egidysylvesteregidysylvest5285
    @egidysylvesteregidysylvest5285 16 дней назад +2

    Big up simba

  • @mosesmlogani8112
    @mosesmlogani8112 15 дней назад +1

    Huu sasa ndo ushabiki wenye burudani.....ukweli, mbwembwe na ujuaji!!! Saaafi sana🤫🤫

  • @janethrwambali2782
    @janethrwambali2782 16 дней назад +2

    Nyama tutazikuta chiniiii Jamani Wanasimba

  • @IbrahimAlharthi-i4d
    @IbrahimAlharthi-i4d 15 дней назад

    God is Great And Willing. We believe in prayers and not insults, thus we prayed and He approved
    Our prayers resulting our beloved Lion's thunderous roars being heard across the continent and elsewhere. Thanks God

  • @KhadijaYahya-f6b
    @KhadijaYahya-f6b 15 дней назад +2

    Nakukubali kaka

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 15 дней назад +1

    GB 64 🔥🔥👏👏👏👏👏👏

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 16 дней назад +2

    Ok thank you

  • @HajiMwanz-to3vg
    @HajiMwanz-to3vg 16 дней назад +1

    Simba nguvu mojaaa UBAYA UBWELA

  • @KHALIDMULILO
    @KHALIDMULILO 15 дней назад +2

    Umetisha GB64 huna baya hata kidogo ❤

  • @OnesmoSimbeye
    @OnesmoSimbeye 13 дней назад

    Xanaaa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 16 дней назад +3

    GB 64 nakukubali sana kaka

  • @AbdoMatten
    @AbdoMatten 15 дней назад

    GB 🔥🔥🔥

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 15 дней назад +2

    😂😂😂😂 Ubaya ubwelaaaa 🦁

  • @Christopher-c1x
    @Christopher-c1x 15 дней назад

    wanasimba wenzangu nawakumbusha kurudisha SHUKURANI KWA MUNGU kwani kwa uweza wake tulipata ushindi away tufanye hivyo ili tupate kibali tena Cha kumuomba tena v bravo

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 15 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @ShijaMasolwa-e9u
    @ShijaMasolwa-e9u 15 дней назад

    good brother

  • @issaabdallah499
    @issaabdallah499 15 дней назад

    Naipenda Simba jaman nyie

  • @shabaninayopa-nw9cf
    @shabaninayopa-nw9cf 16 дней назад +1

    Simba nguvu 1

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 16 дней назад +1

    hongera vijana wetu

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 16 дней назад +3

    Smba tunawaza kimataifa, atuwawazi uto sisi😂😂😂😂 ubaya UBWELA midomo fyuuuuuu

  • @selinathindwa9754
    @selinathindwa9754 16 дней назад +2

    Kipa aaa😂

  • @LustyFighter
    @LustyFighter 13 дней назад

    Mfikishe hii tuna mtaka SABULI KONDO simba viongozi hamuon

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 16 дней назад +2

    😂😂😂😂😂big up brother Gb64

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 16 дней назад +4

    Gb unanichekesha jamani yanga wamepakwa mafuta,na wakavalishwa nguo lakin hawaendi popote hahahahaha

    • @jascinthakameleki104
      @jascinthakameleki104 16 дней назад

      GB kiboko. Ana maneno ya shombo Sana😂😂😂😂😂👌

  • @IssaMsinga
    @IssaMsinga 16 дней назад +2

    Kaka GB 64 nakubal sana kaz yako

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 15 дней назад

    Pamoja sana

  • @joachimgolola62
    @joachimgolola62 16 дней назад +1

    Kweli nyama tumezikuta chini ubaya ubwela

  • @ShabaniKindaile
    @ShabaniKindaile 16 дней назад +2

    Unyama ni mwingi

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 15 дней назад +1

    Ubaya ubwela kama wote tmekubali

  • @ShaibuIbbu
    @ShaibuIbbu 16 дней назад +2

    Ubaya ubwela

  • @Lenatus-l9i
    @Lenatus-l9i 16 дней назад +1

    Wamesale

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 16 дней назад +1

    Mungu ni mwema😂😂😂😂

  • @muhsinisheni6380
    @muhsinisheni6380 15 дней назад

    Ubaya. Ubwela ongezea neno unoga

  • @DaudiLengai-ym5fx
    @DaudiLengai-ym5fx 16 дней назад +2

    GB 64 we ni kiboko

  • @JacksonNachivula
    @JacksonNachivula 15 дней назад

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unavalishwa nguo zaaaaa sukukuuuuuu na kutoka utoki🤣🤣🤣🤣

  • @teddysituma3303
    @teddysituma3303 15 дней назад

    Ubaya ubwelaaaa😂😂😂😂😂

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 15 дней назад

    Utopolo alicheza na Tp mzembe

  • @issamtengela7152
    @issamtengela7152 15 дней назад

    Nakubali G64😂😂😂

  • @TamarChirwa
    @TamarChirwa 15 дней назад

    Nakuelewa gb 64 tupo pamoja

  • @abelyrobat1780
    @abelyrobat1780 16 дней назад +1

    Unyama mwingi jamaa

  • @marcohaali
    @marcohaali 15 дней назад

    Guyu ni GB 640

  • @marcohaali
    @marcohaali 15 дней назад

    Huyu ni GB 640

  • @AsumwikeLwinga
    @AsumwikeLwinga 15 дней назад

    bigi ww unajua bigi muchome muchaw

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 15 дней назад

    Tena mpanzu yule Yale 2 aliyopiga pembeni mwa gori bahati yao wagekoma Waarabu.

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 15 дней назад

    🏆🦁♥️♥️♥️♥️🙏💪💪💪💪👏👏👏👏👏👏

  • @JosephShaluwa
    @JosephShaluwa 16 дней назад +3

    ubaya ubwege 🎉🎉🎉ila usiombe utane na yanga utaloa

    • @AletasMbawala-si5kj
      @AletasMbawala-si5kj 16 дней назад

      Mxhamba mmoj wew ndo tuxha xhinda hivo 🐸🐸💩💩

    • @kastorjoseph-f3n
      @kastorjoseph-f3n 15 дней назад +1

      Unawaza ujinga tuuu😂😂😂😂😂

    • @KhamisAlawi-n1k
      @KhamisAlawi-n1k 15 дней назад

      Utopwinyo unateseka ukiwa wapi?👌🤣🤣🤣

    • @MungeJr-u7x
      @MungeJr-u7x 15 дней назад

      @@JosephShaluwa
      Mawazo ya kiutopolo hayoooo wachawii wakubwa nyie mnajivunia uganga, Hadi mroge Nd mshinde game...Amefungwa mwarabu wa Tunisia lakini anaeumia ni chura wa jangwani matokeo yetu yanakuhusu, au ni kisabengo,,,Mlibweka Sana kuwa hatutashinda kiko wapiii nzii wa kijani nyie mmeishiwa maneno Sasa mnatapatapa,,,utafikiri mna ukoo na hao wame zenu wa Tunisia,,

    • @LucasAnderson-t8h
      @LucasAnderson-t8h 15 дней назад

      We chura wakike acha shobo utapakatwa

  • @GregoryRobert-b1b
    @GregoryRobert-b1b 15 дней назад

    𝑵𝒂𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒂𝒌𝒂 𝒎𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂

  • @abuusadick9891
    @abuusadick9891 15 дней назад

    Yanga ni uchawi to wanaa waroga wachezaji wa Simba hado cheh maloonii wamemrooga viongozi waliangaalie kwa jicho la umakini, apoo

  • @Jeremiasassume
    @Jeremiasassume 15 дней назад

    Ubaya ubwela