#live

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 36

  • @StevenHella
    @StevenHella День назад +4

    BIG UP mwanangu unajua mpira

  • @DanielChaula
    @DanielChaula День назад +2

    Noma sana watani

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko День назад +1

    Ubayaaaa ubwelaaaa ❤❤❤

  • @jumakassimu3633
    @jumakassimu3633 20 часов назад

    Wasitulogee tuu Ahou wetu Namfunika Kwa damu Yesu lolote baya lisimpate katika Jina la Yesu

  • @peterpetermdaku1691
    @peterpetermdaku1691 День назад +4

    Kipimo sahihi cha yanga ni ally hilal tu mamae😂

  • @SadickSofiya
    @SadickSofiya 22 часа назад

    Nachekaa sanaa

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ День назад +2

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys, Ubaya Ubwelaa❤🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM

  • @franccoz94
    @franccoz94 День назад +6

    HILI UTOPOLO LINAHANGAIKA SANAAA

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 День назад

    Daaah eti Maombi yamedunda 🙌🙌🙌

  • @SelemaniRashid-y4d
    @SelemaniRashid-y4d День назад +1

    😂😂😂😂sana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 День назад +2

    HAO WACHAMBUZI WANAOMTAJA MPANZU WAACHE KABISA HAWA NDY WANAOWAPA PRESHA WACHEZAJI.

  • @Aivanipetter
    @Aivanipetter День назад +2

    Maua mengi kwa ambokile

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 День назад

    Uyu jamaa kigeugeu Sana si alikuwa anasema houa anacheza kitoto Sasa kakuwa tayari😂😂😂

  • @abdalahhassan5759
    @abdalahhassan5759 День назад

    Huyu bwana mnafki lakin yanga mzuri tu

  • @DavidMgedzi-p1h
    @DavidMgedzi-p1h День назад

    We jamaa mnafiki sana hujui mpira mara simba mbovu mara tumepigwa saizi unaongea utoporo Gani?najua kesho utageuka na kuongea tofauti

  • @abdalahhassan5759
    @abdalahhassan5759 День назад

    Huyu mnafki mpira wenyewe ajui na licensing la yanga ila linajificha kwenye mazur ya simba yan jinga.kwel

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 День назад +4

    Huyu Bwana ni comedy , ni Nani asieiona hii Mazembe kuwa ni mbovu, hata usajili wamefungiwa

    • @KayagwaElisha
      @KayagwaElisha День назад +1

      Mbona Mc Alger alitoka nae sare kama ni mbovu?

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 День назад

      ​@@KayagwaElisha Wote wabovu.😂

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 День назад

      Huyu ni chizi,Mimi simkubali uchambuzi wake,hawezi kuikubali Simba,lazima ataingiza kitu uonekane Simba Iko chini ya Uto,huyo anaemaifu kabaki na miguu ya stuli,pambavu huyu

  • @ryasasanga2951
    @ryasasanga2951 День назад

    Dah😂😂

  • @MachameMachame-tx3bk
    @MachameMachame-tx3bk День назад

    Ubaya ubwera simba nguvu moja

  • @AbdalaMohamedi-jk2yc
    @AbdalaMohamedi-jk2yc День назад

    Tulieni yule mpanzu n mtu na nusu yaan ni hatar

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley День назад

    Simba wa mwongezee watu WA wilitu WA maana kabisa ,

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 День назад

    Anaongea kama kafiwa kwa uchungu Simba kushinda,aibu imempta

  • @LaizerSalumu
    @LaizerSalumu День назад +1

    😂😂😂😂 mbna kama amelewa😂

  • @VictorIshengoma-v4y
    @VictorIshengoma-v4y День назад +1

    😅😅😅😅😅

  • @MaulidKisase
    @MaulidKisase День назад

    Kuna mbuyu wenye mwanya na huyu jamaa niwatu ambao hawaeleweki maongezi yao

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c День назад +1

    Chuma cha mjerumani 😂

  • @sarumubashiru
    @sarumubashiru День назад

    Chuma cha mjeruman

  • @LaizerSalumu
    @LaizerSalumu День назад

    Uyu komedy

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani День назад

    Bado simba inajengwa subirini

  • @boscomwanisongole9173
    @boscomwanisongole9173 День назад

    Hili jamaa bana no color

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 День назад

    😅😂😂😂

  • @AnciscoKayombo
    @AnciscoKayombo День назад

    Huyu jamaa hana lolote, leo anasema hivi kesho vile huko nyuma alimbeza leo kabadilika, huyu ni upepo na moshi 😮

  • @VenanceMgema-xu6bq
    @VenanceMgema-xu6bq День назад

    Chapombe wa utopolo