WANAFANYA MAKOSA MADOGO WANAJIKUTA KWENYE MATATIZO MAKUBWA | EPISODE 4 - 6

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии •

  • @SKYWALKER_THE_DON-o9p
    @SKYWALKER_THE_DON-o9p 10 часов назад +7

    Dah movie imetulia xaana na inahitaji utuliv wa hali ya juu xana

  • @ellah_tz
    @ellah_tz 10 часов назад +4

    Duuuh so nice jaman , tuliambiwa tuwe tunatulia tukiwa darasana leo ona sasa 😂😂😂😂

  • @IbraahKizz
    @IbraahKizz 10 часов назад +42

    Na ona umetimiza tulichokuw tuna kitaka movie kama hiz ni bala mnoo sis kama watazamaji tunapend movie za kichawi kbx Wanao pend kam hiz gonga ap tuone... Nabatakae som hii comment abarikiwe na mwenye zi mungu semeni amiin

    • @sabrinamkandawile6017
      @sabrinamkandawile6017 10 часов назад +1

      Kwl kabsaaa

    • @HadijaVinyu
      @HadijaVinyu 9 часов назад

      Mm pia napenda sana

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 9 часов назад

      ruclips.net/video/pWrZCZ3-fZs/видео.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 9 часов назад

      ​@@sabrinamkandawile6017ruclips.net/video/pWrZCZ3-fZs/видео.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

    • @MwanakheriAbdallah
      @MwanakheriAbdallah 7 часов назад

      Move kali sanaa uchoki mtu kuangalia

  • @EdwinBicco
    @EdwinBicco 10 часов назад +3

    Konka Leo uhakika mwanang ❤

  • @SalumKalulu
    @SalumKalulu 8 часов назад +4

    Binafsi huwa sipendi movie zenye story rahisi napenda kuangalia filamu zenye story ngumu kama hii na enjoy nikiumiza kichwa Big up mzee konkaa

  • @FatmasaidAhmed-ws1rs
    @FatmasaidAhmed-ws1rs 8 часов назад +3

    Hii ni tamu Hadi sitamani iishe wallah 😢🇸🇦🇰🇪 mtu wangu uko juu kuliko yoyote hao wote wanaigiza hawakupati wallah keep it up tuko pamoja Sanaa Hadi nahisi rahaa

  • @shaithtamim4933
    @shaithtamim4933 10 часов назад +3

    The first leo konka

  • @isayakafanabo2579
    @isayakafanabo2579 10 часов назад +3

    Nakubali mzee

  • @JSam-zb5wu
    @JSam-zb5wu 8 часов назад +3

    Naqbal bro umetisha sanaaaaaaa hii recap kali sanaaaaa

  • @NeemaBaraka-r6o
    @NeemaBaraka-r6o 10 часов назад +3

    Hii jaman e7bit mbona ujanipigia sm kama umeachia kaka yangu tunakupenda sana🎉🎉🎉💯

  • @evamichaelrubebe1153
    @evamichaelrubebe1153 10 часов назад +4

    ❤❤

  • @KassimuKikundazi-b8y
    @KassimuKikundazi-b8y 7 часов назад +1

    Mmmh ooyaaa hii ngoma bila ku2liza akili😂😂hutoboii mzee😂😂😂,ila🫵🫵🙌Umetisha mjombaa👊

  • @BintalyB
    @BintalyB 10 часов назад +1

    Nmewahii leo ckuchelewa sana ❤❤nmrfika ndani tyri

  • @elizabethkalaghe
    @elizabethkalaghe 10 часов назад +5

    Angekuwa mtu mwengine hawezi kutafsiri hii movie ni ngumu mno😊

  • @Gequearmando
    @Gequearmando 9 часов назад +2

    Unyama sana mwamba i'm from Moz 🇲🇿 mandar vir LIKE

  • @yoazasingo8235
    @yoazasingo8235 10 часов назад +2

    Asee ni bonge La series na umeielezea vyema big up sana IZ

  • @HUpendo
    @HUpendo 10 часов назад +1

    Kaka unajuwa paka unakelaa jamaniiiii❤❤❤❤

  • @JoshuaSafiel
    @JoshuaSafiel 10 часов назад +2

    Tumeisubiri Kwa hamu hiii😂😂😂

  • @yonamaduma6284
    @yonamaduma6284 10 часов назад +1

    Story kali🔥🔥movie kali 🔥 #Konka unaua sana hauna mpinzani🫡🙌🙌🙌🙌

  • @isharaBenoit
    @isharaBenoit 3 часа назад

    Yani you movie ni bongi la movie nikali sana Kwa kutochelewa❤❤❤❤❤❤❤

  • @nsajigwamwakobela7658
    @nsajigwamwakobela7658 6 часов назад +2

    Htr mzee

  • @dianamichael6812
    @dianamichael6812 10 часов назад +2

    Kumbe 😂😂bikr dili Nigeria nd maan Ned nonko anapendag mabikra😅😅😅eeh helaaa izii😂😂

  • @Samsan-vl9og
    @Samsan-vl9og 10 часов назад +1

    Nilikuwa nasubiri Kwa hamu sana hii 🎉🎉

  • @Rafiipastore
    @Rafiipastore 10 часов назад +2

    kaz nzur rafiki❤

  • @JacksinJacjson
    @JacksinJacjson 10 часов назад

    🎉 wa kwaza leo jaman

  • @E7OTTY
    @E7OTTY 10 часов назад +1

    Sema konka umetisha xana.......nomaa xana... 😅

  • @GammaKing-x5r
    @GammaKing-x5r 10 часов назад +1

    Daah shit nsha changanyikiwaa ngoja nkaanze upya s1 😢

  • @jaywilliam8059
    @jaywilliam8059 8 часов назад +3

    😂 Bro humzingo kweli hafu humenihacha kwenye huwondo flani hivi nahisubiri kwahamu saaaana mwendelezo ebu tupe title kamili basi ya movie ila hi fungamwaka

  • @MohanWsk
    @MohanWsk 10 часов назад +1

    TANZANIA 🇹🇿 TUNAKIKAO TUJE APA HARAKA SANA MAANA 😂😂😂😂BADO NIPO NASHANGAA NATUMIA AKILI KUANGALIA II MOVE

  • @calvinmathiace9512
    @calvinmathiace9512 4 часа назад

    Daah yani nilikuwa natamani isiishe kudadeki🔥🔥🔥🔥🫡

  • @LeillaNdayizeye
    @LeillaNdayizeye 4 часа назад

    Unanikosha roho saana konkaa ❤❤❤🎉🎉🎉 next pls🥺

  • @JoyceDavid-v9p
    @JoyceDavid-v9p 9 часов назад

    Muendelezo Tafadhar Unafanya Vizur Sanaa Jamaniii 👏👏👏😘

  • @urbanizeTz-nz7td
    @urbanizeTz-nz7td 8 часов назад +1

    Dude ni la moto saana kaka umetisha KONKA mapenzi 😅😅🔥🔥🔥🙌

  • @MwasitiMohamed
    @MwasitiMohamed 10 часов назад +5

    Leo nimewahi naomben like❤❤😊

  • @Eliasmwita-w8b
    @Eliasmwita-w8b 6 часов назад +2

    baba una balaaa

  • @NasarSaid-z5s
    @NasarSaid-z5s 7 часов назад +1

    Kali sana inahitaji akili kaka umeweza

  • @maselenkende1898
    @maselenkende1898 9 часов назад +2

    Konka ww fundi bro
    Nakiona kipaji kikubwa katika jicho latatu na utakua star mkubwa miaka miwili mbeleni

  • @BellahDonna-k5s
    @BellahDonna-k5s 9 часов назад +1

    Upewe maua yakoo mkuu😊😍

  • @jaywilliam8059
    @jaywilliam8059 10 часов назад

    yani mzingo nimehuwona bro yani kbala hata sijamalizia huwodo ila humzingo nimehupenda kinyama ❤❤❤❤

  • @musalupala1284
    @musalupala1284 10 часов назад +2

    Wa kwanza

  • @FareedKiponza
    @FareedKiponza 2 часа назад

    Brother u always kill it we endekelea kulea vyuma ila malizia hii kwanza mzee

  • @mwalimungoda
    @mwalimungoda 10 часов назад +2

    Unyama unaendelea

  • @judithsijaona9875
    @judithsijaona9875 10 часов назад +1

    Kwel hii ukikaz kichwa kidg umeachwa😅😅😅

  • @wadantz123
    @wadantz123 10 часов назад +2

    Wakwanza 🎉😢

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 10 часов назад

    Asante konkaaaa❤nyie mkuje huku muone muendelezo❤

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu 8 часов назад +1

    Safi Sana Brown kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 9 часов назад +3

    Tunaomba nyengine usichelewe movie kari sana

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 9 часов назад

      KARIBU SIMULIZI 255🍿KWA RECAP KALI 👇
      ruclips.net/video/pWrZCZ3-fZs/видео.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

  • @dominicstephano854
    @dominicstephano854 10 часов назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @AloyceLaulence
    @AloyceLaulence 10 часов назад

    Aww wakwanza leoo😅like zang hapa

  • @Mzawadi
    @Mzawadi 13 минут назад +1

    Daaaaaaaah 🙀

  • @GloriaSilindu
    @GloriaSilindu 6 часов назад

    Ni htriiii inayofuata itoke massive wengne htn pa kwenda😂❤

  • @omaryiddy-v9b
    @omaryiddy-v9b 10 часов назад

    Uko sawa sema tu unachelewa mkuu

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 9 часов назад +1

    huna baya ucheleweshi kbsa Asante❤❤❤❤❤

  • @MolelyMolely
    @MolelyMolely 10 часов назад +1

    Nimegundua watu mnalala huku😅😅

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 8 часов назад +1

    Ally Rodric south Africa nakukubali Sana

  • @FebroniaMayemba
    @FebroniaMayemba 10 часов назад

    Wow ..Nilimic sana sauti yako ❤

  • @weddyKamathi-q6q
    @weddyKamathi-q6q 10 часов назад

    Leo niwai bana asye❤❤❤

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 10 часов назад

    Ila wat notification kweli ziko on dakika tu mmejaaa

  • @Tiffanyhussein-s5f
    @Tiffanyhussein-s5f 10 часов назад +1

    Mie mbon nimebaki njiani 😅😅😅😅

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance 5 часов назад

    Kazi nzuri kabisa 🎉🎉🎉

  • @DorewnDorry-sb8wt
    @DorewnDorry-sb8wt 10 часов назад

    Weweee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o 8 часов назад +1

    Yani nlivyokwa makini unaeza dhani ntatuzwa tuzo kwa kuwa msikilizaji bora😂😂😂

  • @shivokenya8761
    @shivokenya8761 10 часов назад +2

    Big up bro 🔥🔥

  • @RoseWilliam-d8r
    @RoseWilliam-d8r 10 часов назад +1

    Sielew bn😂😂

  • @christianmyava9135
    @christianmyava9135 10 часов назад +2

    Nakua wakwanza sikuizi like zangu

  • @NelsonManase-j1b
    @NelsonManase-j1b 8 часов назад +1

    Utulivu mwingi imefana konka

  • @EverGodrick
    @EverGodrick 10 часов назад +1

    Konka ❤❤❤

  • @KhalidiMajidi
    @KhalidiMajidi 8 часов назад +1

    Ww ninnouma kaka duh!!🙌🙌🙌🙌

  • @VidothedonyVido
    @VidothedonyVido 10 часов назад +1

    Wakwanzaa sasaiv

  • @ChjksHave
    @ChjksHave 10 часов назад

    Nimeidaka kwa juu😂😂❤❤

  • @SanuraAhmedsultan
    @SanuraAhmedsultan 10 часов назад

    Wa kwanza naombeni like zangu ❤

  • @PatrickVenance
    @PatrickVenance 10 часов назад

    Nice job bro inatoa mawazo kabisa

  • @MgenYazid-nu4te
    @MgenYazid-nu4te 9 часов назад +1

    This movie is so confusing but interesting u are great enough to understand and explain it to us 💗

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 9 часов назад

      KARIBU SIMULIZI 255🍿KWA RECAP KALI👇
      ruclips.net/video/pWrZCZ3-fZs/видео.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

  • @WillenssOchai
    @WillenssOchai 4 часа назад

    Yani iko bomba kaka ❤❤

  • @DhHd-f4n
    @DhHd-f4n 7 часов назад +1

    Noma san🎉🎉❤❤

  • @JafariAbdalah-e5f
    @JafariAbdalah-e5f 10 часов назад

    Unyama sana konka🙌🙌

  • @LyidiaRupia
    @LyidiaRupia 5 часов назад

    Iko 🔥🔥🔥

  • @DivineNDAYISHIMIYE-mz1mu
    @DivineNDAYISHIMIYE-mz1mu 10 часов назад +1

    Leo Wakwanza Mimi Like for Me🇧🇮🇧🇮

  • @hassanlikha
    @hassanlikha 8 часов назад +1

    Unajua kak we noma movie ya kufikilika mno yan hatariiii

  • @isharaBenoit
    @isharaBenoit 4 часа назад

    Noma sana movie nikali sana

  • @mwinyiado1129
    @mwinyiado1129 10 часов назад

    Namba moj leo zee la beat

  • @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
    @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 8 часов назад +5

    Eti naomba kuuliza hizi pia ni za ki Nigeria au? Hii Pete nahitaji Kuna mtu ananizingua balaah😂

    • @SimoniThomasi
      @SimoniThomasi 7 часов назад

      😅😅😅😅jamn

    • @RaiyanBaruti
      @RaiyanBaruti 7 часов назад

      😂😂😂 nimecheka kwasauti looooh 😢

  • @IbrahimMadebe
    @IbrahimMadebe 9 часов назад

    Huu mzigo bro noma sana unataka umakini sana💥

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 9 часов назад

      ruclips.net/video/pWrZCZ3-fZs/видео.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

  • @safiBaguma
    @safiBaguma 10 часов назад

    Mungu akulinde wew unaye soma hiii comment❤

  • @Babyzuhraonelove
    @Babyzuhraonelove 10 часов назад

    🎉🎉🎉🎉🎉 number one usisahau ku subscribe

  • @NtuloOutfit-fd5ku
    @NtuloOutfit-fd5ku 8 часов назад +1

    fanya kutulete ududu wa mwendelezo kaka

  • @NiiteChagu
    @NiiteChagu 8 часов назад +1

    Bonge moja la movie

  • @JoyceElias-y5h
    @JoyceElias-y5h 5 часов назад

    Asante babaaa❤❤

  • @EfraziaEzekiel
    @EfraziaEzekiel 5 часов назад

    Nouma saaan🎉

  • @GreysonMwakibinga
    @GreysonMwakibinga 7 часов назад

    Daaaa unajua mpaka unakera aise😂😂😂😂

  • @MonaEd-o4z
    @MonaEd-o4z 9 часов назад

    Unyama mwingi sana kaka 🎉🎉🎉🎉🎉 yako ayo

  • @HalimaHuseni-jc1fe
    @HalimaHuseni-jc1fe 10 часов назад

    Umetisha sana kinkonk

  • @RahimIsumail
    @RahimIsumail 8 часов назад +1

    Unajuaaa kaka

  • @bahariramadhani8067
    @bahariramadhani8067 8 часов назад +1

    Unatisha sana bro

  • @GucciJackson-q1n
    @GucciJackson-q1n 7 часов назад

    Kazi nzuri ningekua na buku ningekuoa unywe soda

  • @LucyGathoni-z9u
    @LucyGathoni-z9u 8 часов назад +3

    Tunataka hio ingine

  • @DorewnDorry-sb8wt
    @DorewnDorry-sb8wt 10 часов назад

    Hapaaa nilikuwaa nasubiriii tyuu jmn

  • @ramadhaniilali6114
    @ramadhaniilali6114 7 часов назад

    Congratulations bro kazi unaiweza kweli kweli 🫡

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 10 часов назад

    Uwiiii Anyways naenda kuanza upya hili nielewe. nishaachwa bakubwa sn

  • @braizerdylan940
    @braizerdylan940 7 часов назад +1

    Noma sana mzeeh