Recap hii imepitia changamoto nyingi, ndio maana imechelewa kuruka hapa RUclips, watu walioni-follow instagram wanaelewa, nashukuru kwa support na love yenu❤🎉…
Jamn brooo yan katika ngoma tamu y mwaka2024 hii n no moja maana haiishi hamu yani yan sijui nisemaje n tamu baraaahhhh leta nyingne kam hiii ma love❤🙌🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Konka nakuomba usilete tena recap za kutisha😂😂wengine tunaishi peke etu😢🙌 Sema hii movie kali bana kweli ilihitaji muda na akili nyingi,, hongera sana 🎉
Hongera kijana una saut zuri pia una kipaji katka kazi yako hii mungu azidi kukikuza kipaji chako alfu saiv tunakuona imekuwa powa zaid mi ni mdau wako Number 1❤
Konka! 😌Swali lako inanibidi nichukuwe mda nilitafakari. Mana nipo kwenye serious relationship. Nawala sijawahi atamara moja kuwaza kuhusu sacrifice kwa mtu ninaye mpenda😢 Much love for you from Sweden 🇸🇪😘
Recap hii imepitia changamoto nyingi, ndio maana imechelewa kuruka hapa RUclips, watu walioni-follow instagram wanaelewa, nashukuru kwa support na love yenu❤🎉…
❤
❤❤❤❤
Tulikumic sann nakupenda jmn
Tuliona na tukavumilia❤
Tunakubali mwamba kazi nzur
Sijawahi kukutana na movie nzuri kama hii Kati ya zote ulizozifanyia recap hongera sana
IZKONKA uyu mzigo ni bala kbx... Nataman uwe una tuletea mizig kam hiiy mnasemaj watazamaji...kama una ungan na mim tia alam ap 🎉
😂😂😂 ya kichawi
Kwel mm napend km iz
Noma sana nasaport
🎉
Noma san hii
Huyu kaka anasauti nzuri jamn we kaka siwezi ishi Bila wewe🎉
Heee Lucy ww mbon umechangamka ivooo jomn ww nah😂😂
@CatherineHansi-kp9lo 😂😂😂😂😂😂😂
Duh! Nyege tu
@@ingabireshakira9631 sio nyege sauti tuu
@@ingabireshakira9631😅😅😅
Jamn brooo yan katika ngoma tamu y mwaka2024 hii n no moja maana haiishi hamu yani yan sijui nisemaje n tamu baraaahhhh leta nyingne kam hiii ma love❤🙌🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
NIGERIA KWA MOVIE WAPO 70 years ahead kwa Tanzania wallah damn bonge moja la movie
Muvi nzuri sana aise❤ I love it hongera kwa KAZI nzuri pia sauti yako italindima vizuri sana
Kazi yenye changamoto ndio inakuwaga kali sana kaka,pole kwa changamoto ulizopitia broo
Movie hii bila kutuliza akili huwezi ielewa
Big up @konka
Mpaka unadondosha iyo maik😅😅😅😅inamanisha ulitaman uwe kwenye huo mpambano😅😅😅😅 ila izkonka👐👐👐😉
😂😂😂😂
Izkonka n 🔥
@@Halimaesther-hq3xx 😆😆😆😆
Hii movie konkaa kweli ilikubidi uifanye kwa ututlivu sana hongera sana kwa hii fireee🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
At least kuna watu wananielewa
@@e7bits_tzkwakwel nikupe honger kanz nzr sanaa tan nimeenjy sanaa mung akuprik n akupe afy njem uendlee na kz yk❤🎉
@@e7bits_tz unaeleweka bro we kumbe unadhani hueleweki.wengine wanakaza akili.wanafanya kama tumekuajiri
Appreciate boy
sana mim najiliwazaga kabisa 😢🎉😂ongera kak@@e7bits_tz
Hahaaa kama umefurahi kusikia mic imeanguka acha like hapa😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
hongra mungu akupe nguvu y kuendleza kipaji chako nakukubali mwmba❤❤❤❤
Mzigooooo Wa Mtoooooooooo Vibayaa Mnooo🔥🔥🔥🔥
Leo na mimi nimekua wa kwanza mnipe likes japo hazina faida,. Tumpe konka mauwa yake kapambana sana kuipandisha hii jana ilishushwa
Yani naww uliingia kweny pambano ukadondosha maiki😂😃😄😅😆 kazi nzuri tunakuppenda😍
Hey this is the best of the best..I mean it's like wow 😍 do you know what makes this even better..is ur voice..u are such a good narrator 🥰👏
Wow, thank you!
Kazi nzuri sana kakangu mungu akubariki sana konkaa ❤❤❤❤❤❤
Sauti yako tu dah unaweza sana broh👊🥰
Napenda sana movie zko n nzuri halafu unazitafsiri vizur honger bro 👏
broooo hii ni kali kinomaaaa🎉😂
Bomba sana na sauti yako nzuri pia. Inavutia kusikiliza kijana
Nimekuelewa xaxa kwann una kaa mda mlefu bila kuachia mzigo mzee unajua unachokifanya kaz zinaeleweka 🎉🎉🎉
Kaka umetisha Sana akili kubwaa Sana imetumika kw Melissa big upp🙌
konka,mwana uko juu🎉🎉🎉,asante
Mmh in Africa movie kali zipo Nigeria aisee salute.
The creativity is on another level ma men ❤️🥰
Sijawahai kuenjoy recap nzuri kama hii konkaaaaa nimekupenda bureee Leo nimeeonjoy kwa kweli❤❤
Hii ndo best movie kwangu ya kufungia mwaka
Napenda sna saut yako sio mm ata wanaume wenzako pia wankupenda sna tunataman uwe na movie nyingi za kutofasili hassa vipande♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹🛍️🇹🇿
Ebaanaaah hii kali sana
Oyaa umeuwa sanaa hii kazi duuu Yan ni nondo sana
Uwiiiiii ligi imewaka moto aiseeeeee🎉🎉🎉🎉
Nipe no yako nkupe buku ukanunue juinsi na maandazi ukonge nyoyoo jmn hii kaliii chukua maua yako kijana🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hila wa Nigeria kwenye movie wapo mbali sana bongo atufikii moto wao
Saaaanaa jamniiii
@ClementinaClemence-u8z Yani wapo mbali sana
Wanatia raha kuwa angalia@@IreneIsambi
Umetisha sana mwamba nakukubali kinoooma kazi zako nazielewa sana
Hii recap ni unyama nomaaa sana mwanang konkaaa
Nimerudia kwa mara ya Tatu duuuh ngoma hii kali konkaaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤
Ni mizukaaa hadi maiki chaliii
wakapiga busu zito wakadondokea ktandan sherehee too🎉 mtu n 1 to IZKONKA🙌
Ahsantee my brother prs uwe unatuwekea km hizi tafadhali umetisha san🎉❤🎉❤🎉❤
Oya wee bonge la movie 🔥🔥🔥
Hii kaz iko poah sana... Shetan anasema akimuhitaj atampigia😂😂😂
Yaaaniii iyi moja Kali saaaanaaa sijawahi ona mwanzo from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ilove you burundi
@najimmbarouk4529 thank you
Yan nimeipenda nikaona niangalie kwa mara nyingine ya 2 😂😂😂 IZKONKA respect 🎉🎉🎉❤
Leo sijachelewa sana 🧡
Alooo huu mzigo ni wa motoooo mzee wa IZKONKA...bigup man
Ni nzuri hatareeeeee
We hiz movie unatoa wap lakin daaaah Kali mno❤🔥🔥🔥🔥🔥
Me napenda sauti yako2 😂😂😂😂😂😂
Hujawah niangusha konka🎉🎉🎉 bonge moja la recap😊
Bonge la movie. Sijawahi kukoment lakini hi chukuwa mauwa yako .,😉😆😆😉napia naomba like jamani❤️❤️❤️💚💚
Daaaaaaaaah konka umetisha sana ❤
team konka tujuane kwa like 🎉🎉🎉
Brother kwa hii k2 upewe mauwa yako🎉 tusiwe wanafki 💪🏻
Pamoja sana!❤
Nakupenda bureee❤️❤️😍😍😍😍
Ni nzur sanaah ije nyenqine kama hii❤
Jmn bongeee la movee nimeipndaa buree 😍🥰😀
Oyaaaa mamaeeee hii bonge la movieee 💥💥💥
Du umetisha bloo ❤❤❤❤❤ penda sana ww
❤Ubarikiye
Daaah mwanang Konka we n balaaa hii mizigo unajua kuitendea hakiii sanaaa ngoma n kaliii sana aiseeee
Bless
Hii kali nimeipenda sana.
Wa pili naombeni likes zangu😂 leo kama unaipenda e7bits
Konka hizi move zs aina hii nj nzuri uwe leta za aina hii❤
Washabiki wako tunaumia, kwanini huwa haziingii Trending?😢😢😢
😭😭😭
@@e7bits_tzkwa views unazopata kaka, ilitakiwa uwe unaingia kwenye Trending za Nchi tena kwa kasi kubwa sanaaa. Lakini one Day Yes 🎉🎉🎉
Konka nakuomba usilete tena recap za kutisha😂😂wengine tunaishi peke etu😢🙌
Sema hii movie kali bana kweli ilihitaji muda na akili nyingi,, hongera sana 🎉
Siku hizi umelewa sana sifa kuachia movie mpk ubembelezwe
😂hivi unahis kuandaa hiv ni rahdi ni lazim atake time kwa ajili yakupata kitu kizur 😌kunamda tuwe waelewa kweny kazi ya mtu
Kuandaa kaz sio rahis usimlaum pia nayy anamajukum mengn
Kama unahisi kuandaa rahisi tutafsilie wewe
Ni kwl
Anza wewe kufanya uwe unatoa kila saaa , mtu huwa anatoa taarifa zikitokea changamoto shida hata instagram haupo kazi kulalamika tu hapa 😒
mzee unajua kuelezea movie, big up sana bro
Oyaaaa broooo umetisha kinyama we ni mwamba kabisaaa🎉🎉🎉
Iko bomba sana ❤️🔥 🔥
Daaah aiseee huu mzigo ni balaaa 🔥🔥🔥
mwamba unajua kujitofautisha na wengine...kudos
🔥🔥🔥🔥🔥
Oya movie Kali sana sema tu ilivoisha imetuacha vibaya
Izkonka story yako ni tamuuu sana jmn ina mafunzo mengi sana ubarikiwe 🙏🙏
Your genius bro fungua chuo uwe na cirse ya story teller ni wamoto sana bro
Izkonka uko vizuri MaashaAllah
Hongera izkonka Umebalikiwa sauti mashallah
Movie nzuri sana🥰🥰🥰
😂😂Nilijuwa nibonge lamtu ila unasauti nzur sana ongera sana kaka
Hongera kijana una saut zuri pia una kipaji katka kazi yako hii mungu azidi kukikuza kipaji chako alfu saiv tunakuona imekuwa powa zaid mi ni mdau wako Number 1❤
Konka! 😌Swali lako inanibidi nichukuwe mda nilitafakari. Mana nipo kwenye serious relationship. Nawala sijawahi atamara moja kuwaza kuhusu sacrifice kwa mtu ninaye mpenda😢
Much love for you from Sweden 🇸🇪😘
Humu umepiga kwenye mshono mzee wangu bigup
We katoto me mahangazi Nakupenda sana siwezi ishi bila ww
Nkupenda kwa video zako fupi ❤❤❤
Ngoma imekwenda mpaka dk25 unyana sana bora saiv unakwenda palefu natumaini utaweka movie full kuwa story😅❤❤❤❤😅
Huu mzigo ni wa moto kinoma umeenda nayo sawa hadi tumeielewa Big Up bro
Nzuri Sana nakubali kinoma endelea kupika mavitu tuko pamoja bro🎉🎉❤❤
Hii noma sana kaka🔥🙌🙌🙌🙌🙌
KONKA keep it up my G Hii IMEENDA 🔥🚀🚀🙌 kuandaa recap sio mchezo so keep moving my G
Daaa video nzuri kinoma
Huuu move iyo Kaz kweli nakubal SAAN konka
Kali kinoma❤❤❤❤❤❤🎉
Sema izkonka unajua saana kupanglia mpka mtu anaelewa yaan mpka laaha
Yaan unatisha sanaa hdii co phw big up more
Konkaa tupe nyinginee yenye uchawiuchawii❤❤❤
Uyu kaka mzuri jaman vokeee bonge la bwana yaan🖐️😂😂 li hand some mnoo likaka vokee🔥❣️
Ahsante Sanaa Konkaa Umepambana Sana Kutuletea Hii Mali
Jamaaa anatisha sana unajua man