Hii Recap niliifanya muda kidogo, kama miezi mitano nyuma, ilishindwa kuruka youtube sababu ilikuwa na copyright, ila kwa sasa tume-solve hilo imefanikiwa kuruka, kuna watu waliiona instagram niliipost yote, ila kuna wengine wa huku youtube hawakuiona so let’s enjoy hii kazi, tukiwa tunasubiri kazi za viwango vya juu zaidi kama kawaida yetu, am cooking for u guys❤😂…
Hii Recap niliifanya muda kidogo, kama miezi mitano nyuma, ilishindwa kuruka youtube sababu ilikuwa na copyright, ila kwa sasa tume-solve hilo imefanikiwa kuruka, kuna watu waliiona instagram niliipost yote, ila kuna wengine wa huku youtube hawakuiona so let’s enjoy hii kazi, tukiwa tunasubiri kazi za viwango vya juu zaidi kama kawaida yetu, am cooking for u guys❤😂…
Hamna noma kaka unatisha sana aisee
ndo nimeshangaa mbona nishaiona kumbe niliangalia insta
Nicee🎉
Juzi tuu nilitoka itizama Instagram MashaaAllah nzuri sichoki kuitizama ❤❤
Saivi ni mwendo wa band for band 😁😁😁🔥🙌
Hongeraa jamaa Kwa unyama mkalii😚😋heri ya Siku ya Kuzaliwaa love
Happy birthday konka ishi maisha mengi yenye kumpendeza Mungu na uzidi kutuburudisha
Ongela sana mwenyezi mungu akupe maisha malefu zaidi inshallah 🫶❤️🫶
Happy Birthday my love Izkonka 😂😂😂 jokes bhana Ila Mungu akupe maisha marefu tuendelee kufurahia kazi zako
Happy Birthday to you 🎂🎂 🎉 mungu akutunze na kukuepusha na mabaya tote 🙏🙏
Nakubali sana kaka angu konca
Happy birthday izonka🎉🎉
Mungu akuzidishie umri mrefu kakangu ❤❤❤❤❤❤
Konka salute kwako kaka. Vocal amaizing
Umepangilia matukio Konka. Happy Birthday big Boss🎉
Happy birthday 2u kipenz chetu izkonk 🎉🎉mungu akupe maisha marefu na akupe hitaj la moyo wako kila umuombapo happy birthday 🎂🎈🎂🎉🎉
Happy birthday,, nakupenda Sana we mkaka
Happy birthday konka Allah akupe afya tele uzidi kutufurahisha
Happy birthday to you mkali wa masauti na movie 🎉🎉🎉🎉
Uyo mwiz handsome jmn😊
Nzuri sana ❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 heri ya kuzaliwa my brother Izkonk
HAPPY BIRTHDAY MY SUPER IDOL, MAY ALLAH GRANTS YOU LONG LIFE AND GOOD HEALTH.
By Mirhat
Nimekuwa wa kwanza naomben like
Happy birthday to conkaa more life more successful mzee wa mipinduko
hongra kwa surprise y kutupa kazi nzur kwa siku mbili mfululizo tunaomba usikae sna mwmba uwe unatoa kazi kama hivi nakubali kazi zako
Thanks so much, nimeikumbuka sana hii movie
Napenda sana move zako we kaka
aisee Konka sijui km nmewahi au nmchelewa lkn HBD mwamba kazi njema na mafaminikio mema kwako mzee!
Happy birthday 🎂 konnkaaaa
Leo wakwanza LIKE zangu 10 😂😂😂asante mwamba tunainjoi naona leo mapema tuu ✌️✌️✌️
Shadia nakupenda nisalimie Anko J
Yani mwamba anajua mpaka anajua tena❤❤
+1 Happy turn top mwamba🎉shabiki yako kutoka Kenya🇰🇪
Unyama Sana kaka uyamasana unaweza Kazi Sana 🎉🎉🎉❤
Safii sanna
Happy birthday too you dear 🎉🎉🎉❤❤❤ ushi miaka mingi 🙏
B.dei boy🎉🎉
enjoy ur dei Boss
Nice movie ❤❤❤❤ alafu eti mambo POA me niyatima😂😂😂😂😂konka uko juuu Sana
Upo vizuri bro😮
Heri y kuzaliwa kipenzii🎉🎉🎉🎉
Ongela sana kaka
Happy birthday @izkonka🎉 Maisha marefu n yenye mafanikio kako mpenz❤
Wanaomkubar huyu mwamba tujuwane Kwa like 🎉❤❤❤
Happy birthday kaka ishi sna tu kwajili yetu 🎉🎉🎉
nipewe like zangu nikiwa zanzibar
❤❤
Happy birthday konka ❤
Happy Birthday E7b🎉🎉
Happy birthday konka🎉..Mungu akubariki katika harakati zako
Oya konka, creativity kubwa uliyotumia humu 🙌🙌🙌
Humu umeua sana mzee 🙌🏻
🎉🎉🎉 ishi maisha marefu bosse nawapata vema sana kutoka Congo 🇨🇩 mujini Lubumbashi
Happy birthday to your❤🎉 mungu akupe maisha malefu na sautyyako iwenzuri ivyoivyo
Happy birthday🎂🎂🥳🥳
Happy birthday konka
Nakubali mwamba
Nakubari mzee konka
Long lyfe blood.. you do well .🎉💯💯
Happy birthday boy😍🎂🎊
Happy Birthday konk
Aah kumbe wakwanza😮
🎉🎉🎉 ishi maisha marefu boss
konkaaaaaaaaaa more life familiaaaaa god bless you
Hhappy birthday to you Izi konka🎉🎂🎂
Happy birthday 🎂 Allah akujaalie umri mrefu wenye manufaa tele akuepushe na husda za waja akuoengeze nguvu kwny kipaji chako inshallah 🙏
Nzuri🎉❤❤❤❤❤❤❤
Unyama sana👊👊
Niceee😊🎉🎉🎉
Happy birthday 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 mr konka
Big up bro ❤❤
Happy birthday to you ❤ Mungu akutunzeeeee😊
Waiting other one again
Bdai 🎂🎂🎂 boy
Ngoma inaanziq mjini chumbani 🔥🔥🔥
Nakubali san
Eti mambo ..poa..Mwenzako mi ni yatima 😹💔👋🏻
Happy birthday bro mungu akubarik 🎉🎉😊
Happy birthday mwamba konkaa 🎉
Kisses la kutuleta katkat my crush happy birthday to in advance 🥳🥳
Uishi Miaka mingi konka 🎉uzidi kutuletea kazi za maana, nimependa hapo eti "mambo mwenzako mimi ni yatima" 😅
Daaa nimeitafuta sana hii recap jamani ❤❤🎉
🎉🔥🔥Nyc movie📌📌
IZ KONKA Big up sn bro
Wakwanza leo like zanguuuh tuko pamoja kaka
Happy belated birthday IZKONKA🎉
Waoo kaka mung akubarik san kwasik yak yakuzaliwa
🎉🎉happy birthday kipenz
Happy birthday our beloved friend ❤❤❤❤
Happy Birthday,🎉 ila unajua sana
Happy birthday mzee wa kuwaleta katikati🤣🤣
Konkaa💪🙌🔥
Happy birthday 🎉izkonka❤
Happy birthday,Mungu azidi kuku bariki🎉🎉🎉❤❤
Unyama konka❤❤❤
Happy birthday bro 🎉
Oooh jamani nilikuwa sijuh kama birthday yako ila nahisi sijachelewa kuku wish happy birthday iz KONKA 🎉
Konka pongezi kwake nakubali
Parabéns e feliz aniversário E 7bits, muitas felicitações, desejo te sucesso e dedicação na sua batalha 🎉
Wa Kwanzaa
Happy birthday izkonka🎉 uishi milele kamanda
Asante, japo sjazaliwa leo wazee😂
Happy Birthday to you Dear Brother 🎉❤❤🇲🇿🇲🇿🥳🥳🥳
Umetisha Sana konkaaa naqubar
Happy birthday dear
Kaka ii nimeielew sana kaka asante kwaa kunikumbuaha
More love kwa izkonka