WATU WALIOBEBA MAFANIKIO YA WATU WENGINE - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Комментарии • 58

  • @CosmasSamwel-rh2ez
    @CosmasSamwel-rh2ez Год назад +1

    Let God bless you bro

  • @isackamalamso751
    @isackamalamso751 Год назад +1

    Umenifundishaa mambo mengi sanaa nimekufatiliaa kwa mda mrefu sanaa hatimae ndoto yangu yakujenga ilitimiaa

  • @tumainijastus326
    @tumainijastus326 Год назад

    Fika mbali sana mkuu

  • @naomyfurahini4329
    @naomyfurahini4329 Год назад +1

    Aisee umesema na Mimi Kabisa... MUNGU akubariki MNO.

  • @Shabirimohamedpictures255
    @Shabirimohamedpictures255 Год назад +3

    Mungu akubariki kaka

  • @happyiskaka
    @happyiskaka Год назад

    Barikiwa Sana

  • @bonifacezabron-vz3ic
    @bonifacezabron-vz3ic Год назад

    asante sana leo umenisaidia kujua vitu muhimu na hii imeniongezea nguvu kuendelea kupamban

  • @RebeckaJames
    @RebeckaJames Год назад

    Bro Mungu akutunze,,,,umenibeba sana aisee

  • @danielmayunga1162
    @danielmayunga1162 10 месяцев назад

    Joel, Ninamzigo mkubwa napingwa kila kona, nikisogeatu kidogo narudishwa, kila mtu anaona sina mwelekeo. Lakin sababu kubwa inayofanya wani treat hivyo ni kazi walio niambia nisomee na baada ya kumaliza nimegoma kuajiliwa nayo. I wish siku nikutane na ww, sijui ni lin but naamin ipo siku tutakutana bro. See you at the top.

  • @moviesreview101
    @moviesreview101 Год назад +1

    I'm learning a lot

  • @mzeezidane4060
    @mzeezidane4060 Год назад

    Number boss bado Number

  • @BarakaMwantengule
    @BarakaMwantengule Год назад

    Mungu akubaliki yaani ata sasa ndo yanatokea kwangu

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 Год назад +1

    Shukrani

  • @magesajoseph
    @magesajoseph Год назад

    Asante sana kaka mimi niko pamoja na wewe mpaka nifanikiwe

  • @issahatibu2131
    @issahatibu2131 Год назад

    nakuelewa sana kak ❤

  • @gloriakawago6223
    @gloriakawago6223 Год назад

    Kabisa kaka Joel, yaan nimeagiza tu bidhaa China, hata haijafika bado tayar kuna mtu kaniomba niwe namuagizia na yeye kupitia mimi, Mungu ana makusud kabisa na mm ingawa nimepitia magum mno ya kunivunja moyo had kukataliwa na nilie mpenda, lkn sijawah kata tamaa, see you at the Top

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa 2 месяца назад

    Shukurani Sana naendelea kujifunza

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 Год назад

    Aisee🤔 Kuna point Ninajiona kbs🤔Mungu Atusaidie sana! Shukrani sana Bro.Joel Nanauka, Nimepata kitu kikubwa sana!🤔✍️✍️✍️ Mungu akutunze sana🙏🙏🙏

  • @DeboraMenard
    @DeboraMenard Год назад

    Ubarikiwe sana kaka

  • @mwitakihani686
    @mwitakihani686 Год назад

    Ni kweli hakika Joel umenitoa mbali

  • @michaelkayoka1615
    @michaelkayoka1615 Год назад +1

    Amina Amina Amina unaendelea kunitia moyo sana na umekuwa mkombozi wa family yangu ubalikiwe sana

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Год назад

    Nikweli mwalimu kwa unachakisema

  • @MajengoNyuki-vz2wb
    @MajengoNyuki-vz2wb Год назад

    Kaka ahsante Sana umechukua nafas kubwa ya kunifungua akili mungu atakulipa zaid

  • @DottoAmon-bs2cr
    @DottoAmon-bs2cr 5 месяцев назад

    Asantee mtaalam nimejifunza kitu

  • @jservantofgodgosplemusic6943
    @jservantofgodgosplemusic6943 Год назад

    Nami nimekutana na hiyo hari na nipo nayo hata sasa, Hari yangu imekuwa ya changamoto sana.

  • @stevensamwel4854
    @stevensamwel4854 Год назад +1

    Mimi pia ni muanga wa familia kama hiyo, naendelea kupata maarifa kutoka kwako na Mungu ananijalia kutambua na kuona mambo makubwa hivyo Ubarikiwe kwa ujuzi huu, kusoma vitabu vinanipa nguvu ya kusonga mbele.

  • @HeriethSylvester-dm3nb
    @HeriethSylvester-dm3nb Год назад

    Ahsante kaka kwa somo zuri

  • @farajakibona6047
    @farajakibona6047 Год назад

    Asante kaka nimekuelewa , Mungu anisaidie katika kujua kuwa majalibu yangu yanaendana na kile nilicho beba

  • @emilyjoshua8093
    @emilyjoshua8093 Год назад +1

    Thanks good advice ❤

  • @MichaelMkuki
    @MichaelMkuki Год назад

    Asanteee Sana umenisaidiaa

  • @MrJuma-in5io
    @MrJuma-in5io Год назад

    Kazi nzuri sana

  • @CetricIndeje-th2vs
    @CetricIndeje-th2vs Год назад

    Uko sawa kaka

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 Год назад

    Kwakweli hakuna ninacho poteza ninapo angalia video zako hapa Nina subiria nyingine Kwa hamu sana.

  • @sokotvonline8845
    @sokotvonline8845 Год назад

    Bro You Are Geneous, Aisee Unajua Yaaan

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

  • @bahatikulwa56
    @bahatikulwa56 Год назад

    Mungu akubarikinitajitahidi niwe nacho iko kitabu

  • @AlyKhalifani
    @AlyKhalifani Год назад

    Ukweli brother mungu akupe maisha marefu

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x Год назад

    Barikiwa sana kwa mafundisho kaka

  • @sukivlog885
    @sukivlog885 Год назад

    I learn many thing here.

  • @joycerichard1031
    @joycerichard1031 Год назад

    ubarikiwe sana, napenda na ninafuatilia sana mafundisho yako.

  • @RichardSanga-y6y
    @RichardSanga-y6y Год назад

    Be blessed sanaaa😊

  • @agreymwakapila7695
    @agreymwakapila7695 Год назад

    Amina 🙏 Kwa mafundisho mazuri.

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Год назад

    Asante sana kweli kabisa

  • @elijohofficial1049
    @elijohofficial1049 Год назад

    vitabu vyako vimenibadilisha sana kaka joel be blessed❤

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Год назад

    ASANTE

  • @mzeezidane4060
    @mzeezidane4060 Год назад

    Thank you so much... kitabu kinapatikana wapi??

  • @STEPHANAssenga
    @STEPHANAssenga Год назад

    Namba hakuna a kaka

  • @Kametajr
    @Kametajr Год назад

    Kaka kitabu Cha ishi ndoto yako nitakipataje kwa hapa arusha

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Год назад

    Jamani namba mimi sizioni😢

  • @sinceregwahhu1507
    @sinceregwahhu1507 Год назад

    Nahitaji kitabu kaka

  • @divasteven5503
    @divasteven5503 Год назад

    Mbona hakuna namba?