Naaam ni kweli mwalim anaposema kujipata ni kwamba kujitambua pia vinaambatana!! Yaan kuna mambo tunayafanya yanaomdoa utu wetu namanisha kutumia bila kuingiza unajikuta unajipoteza kujitambua ni neno muhim kwa kila anaejitafta!! Mwalim joel unaendelea kutujaza maarifa ambayo hatukuwai kuipata shuleni moaka ujiongeze mwenyewe asee!! Asante sana mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
Kumjali mwingine katika anayoyapitia hii Nimeelewa zaidi, Kwani unakuwa Kama umempa deni hivi hivyo nae atajitahidi kuona namna ya kuhakikisha analipa fadhila
Jambo kubwa sana ni kujitafuta na kujipata, unaweza kujua kabisa unachotakiwa kufanya, na deep down unajua kabisa unatakiwa kubadilika, tatizo ni kuamua kubalilika na kufuata kile unachotakiwa kufanya, kuamua kuondoka kwenye comfort zone.
Hakika umekuwa mtu muhimu sana katika jamii za kiafrika na HASA 🇹🇿 TANZANIZA
Naaam ni kweli mwalim anaposema kujipata ni kwamba kujitambua pia vinaambatana!! Yaan kuna mambo tunayafanya yanaomdoa utu wetu namanisha kutumia bila kuingiza unajikuta unajipoteza kujitambua ni neno muhim kwa kila anaejitafta!! Mwalim joel unaendelea kutujaza maarifa ambayo hatukuwai kuipata shuleni moaka ujiongeze mwenyewe asee!! Asante sana mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
I'm😊
Nakushukuru sana kaka maana unanifanya niwe na hasira sana na kuona kama nimechelewa kujitafuta
Wakwanza kutoka kenya 🎉🎉 asant kw masom unaendelea kutupa kak
🎉🎉joel
See you At the Top❤
Kumjali mwingine katika anayoyapitia hii Nimeelewa zaidi, Kwani unakuwa Kama umempa deni hivi hivyo nae atajitahidi kuona namna ya kuhakikisha analipa fadhila
Nikweli
mimi huwa namaliza bando coz of these guy
Endelea kuwekeza kwenye MAARIFA ✈️
Ahsante Sana kwa darasa lako nakuelewa
1: THAMINI WATU ✈️
2:brand kwenye field yangu
3:ujasiri kwenye kukabiliana na Watu
4: kujitafuta hadi nijipate::::hii ni ya wakati wote
Success ☑️
Mungu maisha marefu kaka joel
God bless you our Mentor
Jambo kubwa sana ni kujitafuta na kujipata, unaweza kujua kabisa unachotakiwa kufanya, na deep down unajua kabisa unatakiwa kubadilika, tatizo ni kuamua kubalilika na kufuata kile unachotakiwa kufanya, kuamua kuondoka kwenye comfort zone.
Tunashukuru broo nimekuelewa Sana apo kwenye kuvalue watu wengini
Ipo siku nitashuhudia uku wa Mungu kupitia mafundisho yako
AMEN🙏
Mwalimu vipi kuusu sisi ambao tupo nje na Tanzania tunawezaje kujiunga😢😢😢😢
Kaka barikiwa zaidi kila iitwapo leo
Mwlm nashukulu kwa masomo yako mzuri je ntafanyeje ili nijipate.
Nashukuru sana ndugu yangu nimefurahia somo hili
Im waiting
Very true mimi najuwa kabisa hapa nilipo sipo napotakiwa kuwa ila napatumia kama daraja ili nifike pale napotakiwa kuwa
Hii namba 4 ni adhimu sana
❤❤
Asante kaka Joel kw kuendelea kutufungua....kila series sikosi ku share....🙏🙏🙏
Kaka naendelea kujifunza vingi kutoka kwako 😭
I'm waiting 🇹🇿
Same here
Salute brother 👊
For sure
Ahsante Kaka Joel
Asante sana Mwalimu! Nimejifunza kitu leo
Powerful
Thank be blessed
Kwa kaka Joel hakuna haja ya kuja na Gadii ni Akili zako tu 😂
Najutia kutokujua mafundisho yako mapema hakika unanisaidia sana mafundisho yako
🙏🙏
Kaka naendelea kujifunza vingi kutoka kwako, 😭
🙏🙏🎉🎉🇨🇩
3:31
Hakika wewe ni mwamba mentally fit
Kaka unajiunga vp na mafundisho yako mana nimeichek namba hii Whatsapp haipo nielekeze unafanyaje.?
2:34