TAMBUA WITO WAKO - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 103

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 2 года назад +7

    Mm nikisaidia watu wasiojiweza huwa napata furaha sanaaa. Na sauti hii inaongea na mm tangu nikiwa mdogo primary huko na nishaanza kuufanyia kazi ndani ya familia. Naomba Mungu biashara zangu zikae sawa zikue nisaidie wengi zaidi, ikiwezekana baadhi yao nibadili maisha yao kwa kuwajengea na kuwapa mitaji kujikwamua walipo.
    Yaaraby Nisimamie na uniongoze 🙏Nitafurahi sanaa nikivitimiza kabla sijaondoka chini ya jua hili.

  • @sigelaluhunga1558
    @sigelaluhunga1558 2 года назад +1

    Vijana wenzangu tumtumie huyu ndugu yetu ni wa kizazi hiki mungu azidi kukulinda

  • @stevensamwel4854
    @stevensamwel4854 2 года назад +3

    Kinachonitesa hapa chini ya jua ni kuona mtu ana shida yoyote ile awe mzima au mgonjwa na asa walemavu Ninajua na mauvu sana Tamara yangu ni kumsaidia kila nimuonae mbele yangu ata kusikia mtu ana shida ata jengo la kanisa lolote at msikiti nauzunika sana ila nashindwa uwezo wa kufanya, mtu kama mimi nifanyeje!

  • @mosesmligo9614
    @mosesmligo9614 Год назад +1

    Nimesikiliza watu tofauti tofauti sijawaelewa nashangaa kwako nimekuelewa adi basi ..we jamaa atari😂😂..be blessed mtumish wa Yehova

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 2 года назад +6

    Wito wangu KUOMBEA Wagonjwa hospitali

  • @marypanga9291
    @marypanga9291 2 года назад +3

    Yeah kwangu mimi ni maumivu na sauti

  • @isakariemanuel9524
    @isakariemanuel9524 2 года назад +7

    Kusaidia watu wasiojiweza!
    Yatima wajane walemavu na kuwapa hamasa,kwamba bdo wananafasi kwenye haya maisha🙏

  • @agneskasiani9019
    @agneskasiani9019 2 года назад +1

    Dah nashukulu sana mchungaji Mimi napenda kuimba na nikiona mtu anaimba vizuri hasa kuabudu napata maumivu yaani Kama na Mimi nifanye Kama yeye Ila sijajua nifanyeje kufikia kusudi hili

  • @meryfrank5272
    @meryfrank5272 2 года назад +4

    Barikiwa sana kaka ata mm sijawahi kufurahia kaz ninayofanya mda mwingn ata wakubwa zangu mda mwingn wakitifanyia kitu ambacho chakifai naumia sana . Nataman ata niwaambie hii sawa ,

  • @samsonisaack5145
    @samsonisaack5145 2 года назад

    Akika sikukosea kukufanya kua kama Rulu modo wangu Nashukuru Mwalimu wangu kwa Nondo unazo tupa kila Siku

  • @simonrwiza9553
    @simonrwiza9553 2 года назад +4

    Mungu amekufanya nuru kwetu

  • @gamavidal5067
    @gamavidal5067 2 года назад

    Ishara ambayo huwa nimeigundua ni kuwa na na maumivu haswa kwa watoto wasiojiweza kufikia ndoto zao haswa yatima ni muda mrefu sana ila nashukuru Mungu kwa kuwa sikuwa hi kujua kuwa Huo ndio wito wangu ila cha kipekee zaidi nashukuru Mungu kwa kuwa hata ninachosomea kinaniandaa kwenda kuwasaidia watoto wanaoishi mazingira magumu, nasoma nursing by now but I have strong feeling that nipo on good way to fulfill my purpose

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b 7 месяцев назад

    Kizazi cha sasa mna raha sana natamani watu kama Joel tungewasikia miaka mingi iliyopita

  • @mikeroh489
    @mikeroh489 2 года назад

    Jambo la kwanza na la mwisho. Ni mambo niliyowai pitia kuhusu wito

  • @RuthNyalagu-sj9mz
    @RuthNyalagu-sj9mz Год назад

    Mimi passion yangu ni kuimba hasa nyimbo za kuabudu

  • @josephnyamhanga6411
    @josephnyamhanga6411 2 года назад +3

    Kaka unatisha sanaaaa
    Nataman Vijana wote wangekuwa wanasikiliza mawaidha yako

  • @dominicemanuel748
    @dominicemanuel748 2 года назад +1

    Dah !!! Unatisha sana kaka

  • @hezronmangulamangula9718
    @hezronmangulamangula9718 2 года назад

    Asante kaka nanauka binafsi napenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na kumiliki nyumba nzuri hapo nitakuwa ok

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 2 года назад

    2016, nilianza kusikia
    Mzigo wa wakujiunga na huduma
    Frani na niliamini kila mtu akijiuna
    Na huduma hiyo atavuka, nilitumia nguvu
    Kubwa kushawishi watu hata kukasilika nilipopingwa, 2017
    Nilipita kipindi kigumu sana, nikiwa
    Bado nimechanganyikiwa, nikaamua
    Kuunga mkono huduma hiyo, maisha
    Yangu yalibadilika, najua kusoma na
    Kuandika tu, lakini tangu nitii sauti
    Ya ndani, nimeona Mungu akinitunza
    Kwa namna ya ajabu mpaka naogopa, nimepitia shida kama
    Zote lakini nilipo tii wito, yaje
    Yatakayo kuja moyo wangu umejaa
    Shukrani kwa Mungu, binafsi nimekwelewa sana, namshukuru
    Mungu kwa ajili yako, nimegundua
    Ukitii wito utakupa unacho kiihitaji
    Ubarikiwe sana.

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 2 года назад +9

    Shukran brother nice lesson, mm napenda Sana kusoma nna plan mpaka nifike PhD, mungu akiniwezesha July naenda masomo India degree of anaesthesia, siwezi kukaa bila kufanya ibada nahisi mungu namkosea Sana mungu kila nikikaa nawaza ibada

  • @mohamedabbas6613
    @mohamedabbas6613 2 года назад +3

    Tunamshukuru Muumba Kwa kuwapa waja wake Power ya kuwaempower wengine thanks you bro 👍

  • @moseschriss9448
    @moseschriss9448 2 года назад +2

    Kila unochokisema nikweli kabisa maana me HakunA kitu kinacho niumiza kichwa kama kuimba Asante mungu 🙏 akubaliki

  • @ericndahani5152
    @ericndahani5152 2 года назад +3

    I love you so much joel Nanauka The grace of God be upon you, leo wito wangu umekamilika, sina Mengi ya kusema lakini Najua Mungu amesema na Mimi,

  • @afrikana_
    @afrikana_ 2 года назад

    Umenisaidia sana kwa mengi, nakumbuka kupitia kitabu chako cha mbinu sitini nilifanikiwa kufanye vyema kwenye masomo yangu ya kidato cha sita.. Miaka kadhaa mbele ntapokuwa mkulima tajiri zaidi Tanzania ntashuhudia ulivyonifungua akili,ndimi shadrack, asante nanauka joel

  • @JonhPanga
    @JonhPanga Год назад

    Asantee sana kaka kwa masomo yako kwan nazd kujitambua skad sk,god bless u.🙏🙏🙏

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 2 года назад +1

    Shukran Ndugu Nanauka Joel 📚📚📚📚🎙️.........

  • @sosymavoice4390
    @sosymavoice4390 2 года назад

    Joel mungu akubariki kaz ya mikono yako

  • @lucasmganga3625
    @lucasmganga3625 2 года назад +2

    Bro uko vizuri sana maundisho yako yamenifanya biashara yangu isonge mbele sana kila panapo kucha pia umenifanya na mm nieleweke kwa watu kwa kuwafundisha kile ninacho jifunza kwako MUNGU AZIDI KUKUPA KHERI NA BARAKA NYINGI ZA KUISHI

    • @agnesmndala1335
      @agnesmndala1335 2 года назад

      Ooooooh asantee Sana bro, Mimi nimeshasikia wito wangu lakini sielewi nianzie wapi...hua hata naota ndoto nawaombea,wagonjwa wenye shida, nawashauri,...Mimi ni muuguzi lakini bado Kuna kitu kingine zaidi....naweza nikakuota nashida fulani na kikuuliza na kweli naotaga watu wengi na inakua kweli Sasa sielewi nifanyeje ili nikue katika hilo

  • @leonardmadelemo3043
    @leonardmadelemo3043 2 года назад

    Napenda kufanya biashara niwe international business man nataman tena sana tu,

  • @yosephalupala2678
    @yosephalupala2678 7 месяцев назад

    Napenda kuwa sister wazazi hawakotayari

  • @mychanneltz4466
    @mychanneltz4466 2 года назад +3

    Best best ever your always at the top

  • @godfreymressa7103
    @godfreymressa7103 2 года назад +1

    Ahsante Joel ... Mungu pamoja nawe hakika

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 года назад

      A
      Ameen Ameen 🙏🏼

    • @gabrielmkailwa
      @gabrielmkailwa Год назад

      Nashukuru Joel niko kwenye kipindi kigumu kuyaishi hayo yote maana kila siku natamani kuyatimiza yale ninayoyatamani kuyatimiza kwenye jamii yangu. Ukweli ninakosa amani ninapowaona wahitaji na kuna mda hujikuta ninalia sana japokua uwezo wa kufanya jambo kwa ajili yao bado sina japo kwa kiasi nafanya. Ni dua yangu Mungu anisaidie kuacha japo alama ya mtu ambae hatajiita tena yatima au mjane kupitia maisha yangu. Ubarikiwe Joel

  • @arichedayson4506
    @arichedayson4506 2 года назад +2

    Now I do understand
    I was blind, it was hard to understand my self, now I do .
    Thank you for your kindness umenisaidia mtu kama mm .May God bless you so you can touch other people and make changes.

  • @rchrismbarikiwa
    @rchrismbarikiwa 2 года назад +3

    Nakupenda Sana Sir Joel umetumwa na Mungu Zidi kubarikiwa

  • @barakacharles7749
    @barakacharles7749 2 года назад +2

    Thank you kaka mafundisho yako nimazuli sana balikiwa na mungu, napenda sana kukusikiliza nakumbuka kua nilinunua gesi na baiskeli na kuanza kujipikia nilipo sikiliza somo lako la uchumi hakika nilipo sasa sipo nilipo kua mungu akuzidishie maisha pia akupe mwisho mwema I love you nanauka

  • @martinrusato2361
    @martinrusato2361 2 года назад +4

    Kiukweli mpaka namaliza kuangalia video hii machozi yana nitoka umegusa hisia zangu KAKA JOEL NANAUKA Mungu akubali katika nafasi yako itambulike zaidi.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 года назад

      Hongera kwa kujitambua🙏🏼

  • @mohamedngota8535
    @mohamedngota8535 2 года назад +1

    There is something that me restless

  • @Madam255
    @Madam255 7 месяцев назад

    Mimi natamani sana siku moja niweze kuwasaidia wanafunzi wanaoshindwa kuendelea kwenye masomo ili watimize ndoto zao

  • @mwl.mushionlinetv5925
    @mwl.mushionlinetv5925 2 года назад +2

    Asante Sana kaka Joel. Nazidi kujifunza toka kwako 🙏🙏

  • @pilichuli4449
    @pilichuli4449 2 года назад +2

    Barikiwa sana kaka

  • @zuudelight2155
    @zuudelight2155 2 года назад +2

    Thanks bro I have been hearing a inner voice in me ,but I have been working on it and let it go but through your message I am on it again

  • @THENEXTGEN_forexacademy
    @THENEXTGEN_forexacademy 2 года назад +3

    Tunamba mafunzo ya hisa na uwekezaji

  • @lucyloy7995
    @lucyloy7995 2 года назад

    Asante brother..Mungu akubariki..

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph Месяц назад

    Asante dk joel nanauka😊

  • @jacklinentabo2380
    @jacklinentabo2380 2 года назад

    Asante Sana kaka Joel, you make my thinking capacity to increase on a higher level day in day out, nmejitambua Sasa,, yaani umenifungua macho kabisaaaa!! Be blessed

  • @ignassylivestar5346
    @ignassylivestar5346 2 года назад

    Kak Mungu akubariki 👌

  • @colinrichard4167
    @colinrichard4167 2 года назад

    Kupiga vifaa vya music yana nikisiki Mtu anapiga. Duh yan

  • @amanimakury9686
    @amanimakury9686 2 года назад +1

    Asante kutumia moyo

  • @francoiskasangala7237
    @francoiskasangala7237 2 года назад +2

    Congo-Kinshasa I naku ku Bali and éle Zaidi n'a Zaidi kutu amcha

    • @cyriloemilian1345
      @cyriloemilian1345 2 года назад

      Asante sana mchungaji kwa mafundisho kwa sasa mi mhajiliwa wa kampuni binafsi apa dsm wito wangu nataka kuwa mfanyabiashala mkubwa nami niajili watu nishaanza kuchukua atua ila changamoto ni nyingi mchungaji

    • @mussamasegese4603
      @mussamasegese4603 2 года назад

      God bless you

  • @elizabethemanuel2122
    @elizabethemanuel2122 2 года назад +1

    Natalia doctor mkubwa san

  • @pilichuli4449
    @pilichuli4449 2 года назад +2

    Yaaaaaniiii unatupa nguvu kua kumbe tutaweza maana ndoto na ulipo haviusiani ila unajikuta unajiuliza kwani alikua vile amezaliwa navyo jibu hapana unawaza adi mpaka

  • @amaaissa9713
    @amaaissa9713 2 года назад

    Ahsante kaka joel

  • @frankmsangi
    @frankmsangi 2 года назад +1

    Broo kusudi lako linagusa maisha yetu💖🔥🙏Mungu akubariki sana broo katika kazi yako uendelee kufanya broo bila kuchoka🙏

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza 2 года назад

    Unakuw San Kaka
    Barikiwa sana

  • @tedytitus7205
    @tedytitus7205 2 года назад

    Nasikiaga maumivu sana nikiwaona watoto

  • @frankmsangi
    @frankmsangi 2 года назад +1

    kabla sijakuangalia broo napata shauku ya kukuangalia unafanya kazi nzuri sana broo nakukubali sana yan kila siku nakuangalia broo unanivutia sana katk maisha yang umebadilisha sana maisha yang kwa ujumla

  • @eliachengula9023
    @eliachengula9023 2 года назад

    Nice bro, you real teach me

  • @JenipherLeopod
    @JenipherLeopod Год назад

    Asante sana kaka najifunza mengi kupitia vipindi vyako

  • @andrewngarya2112
    @andrewngarya2112 2 года назад

    Kaka nawashukuru kwa namna mnayo tujenga kitabia na kiroho karibun dodoma mm kijana wenu fundi gereji sido

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 года назад

    Ubarikiwe mkuu

  • @SaidiMalogo-hy3pe
    @SaidiMalogo-hy3pe Год назад

    Natamani niwe mponyaji

  • @mathsnewdiscoveries
    @mathsnewdiscoveries 2 года назад

    Mungu akubariki Pastor Joel Nanauka , naomba unisaidie kwa ushauri wako please ,Mimi niko Arusha napenda sana Hisabati na pia namshukuru sana Mungu kwa kunisaidia kuona alicho kipanda kwangu kipaji cha kuvumbua mahesabu au Hesabu mpya nimeshavumbua Theorems ,Formulas, Series, New numbers, Conjectures,laws etc in mathematics, naomba unishauri nifanyeje nizisajili duniani kwenye systems za elimu na mavumbuzi, naomba namba zako please. Ahsante.

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 2 года назад +2

    Isaya 57:18-19,Zaburi 147:15.

  • @mohamedngota8535
    @mohamedngota8535 2 года назад +2

    God bless you Joel nanauka 🙏

  • @enockaward7346
    @enockaward7346 2 года назад +1

    Nakubari bro

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 2 года назад +3

    Wito wangu kuandika vitabu jambo hili limezungumza ndani yangu kwa zaidi ya miaka 15

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 11 месяцев назад

    Kaka Noel mimi ni mwalimu wa shule private, lakini sauti yangu inaniambia niuze nyanya na mboga mboga ndo nitafanikiwa dahhh😭😭😭

  • @iddysalim6331
    @iddysalim6331 2 года назад

    No more talk brother 🙏🙏🙏

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 года назад

    Shukraniii

  • @auilg969
    @auilg969 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana Mwl Joel, natamani sana nipate namba yako

  • @ShuhudaKaitano-oz7jq
    @ShuhudaKaitano-oz7jq Год назад

    Shalom... kwa ulivyo elezea hapo...najiona nipo.kwenye kipengele cha nne..for sure napenda kusikiliza nyimbo na mziki pia.. na nijambo ambalo ningependa kulifanya zaidi kusikiliza tuu...ila kuimba sijui na kupiga mziki sijui kabisaa..so how naweza jua kama hii ni kusudi calling...nitawezaje kuweka impact kwa watu kwa kusikiliza tuu?.. yaani how can it be calling

  • @joowzeyboyjoowzee4474
    @joowzeyboyjoowzee4474 2 года назад +1

    Thank you

  • @africangoldenmusic8061
    @africangoldenmusic8061 2 года назад

    ukweli mtupu

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 2 года назад

    Asntee

  • @faidaruzamuka2218
    @faidaruzamuka2218 2 года назад

    Naimba namba Yako

  • @mcchristmass7647
    @mcchristmass7647 2 года назад

    Asante

  • @petrojackson7127
    @petrojackson7127 2 года назад

    Ndiyo kaka nilishawahi kupata hizo ishara lakini mpaka sasa sijajua wapi pakuanzia i need your help please

  • @divasteven5503
    @divasteven5503 2 года назад +1

    Ishara namba tatu inanihusu

  • @ibinwazir3635
    @ibinwazir3635 2 года назад +1

    See you at the top

  • @briansenga584
    @briansenga584 2 года назад

    Brother am Brian
    Kwa hayo yote manne kwakweli yote yanatokea ndani yangu sanaa mara ya mwisho ni leo asubuhi Yan napata sauti ya ndani na vitu ambavyo vinanipa maumivu Yan vinakuwa Kila siku yakipita masaa Yan mpaka naangalia video hii naona Kama unaniambia mm peke yangu 😌 kwakweli daaah najikuta Moyo unauma Sanaa naona Kama namzigo ndani yangu ambao ninadeni nao.

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 года назад

    Kaka Mimi kwa sasa Ni Dereva BAJAJ be for nilikua FUNDI MAGARI Mechanics Yaani Nimejikuta nipo kwenye Udereva kwa SABABU Ya Pesa Tu ILA Moyoni huwa nakosa Amani kufanya Udereva

  • @emmanuelsimpokolwe8309
    @emmanuelsimpokolwe8309 Год назад

    asatesana bulo umeni imalishasana

  • @godfreymressa7103
    @godfreymressa7103 2 года назад +3

    Ahsante Joel ... Mungu pamoja nawe hakika