Tabora United 0-4 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 06/07/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 165

  • @abdillahrashidnassor7973
    @abdillahrashidnassor7973 11 месяцев назад +7

    Simba Nguvu Moja ❤❤❤🦁🦁🦁🦁

  • @AloneKamwela
    @AloneKamwela 11 месяцев назад +41

    Wapili Leo naombeni like zangu wa Simba ❤❤

    • @HanceGeorge
      @HanceGeorge 11 месяцев назад

      Acheni usenge kumamakoo

    • @franciskasanga-j5g
      @franciskasanga-j5g 11 месяцев назад

      Matusi ya Nini sasa

    • @HawaMheza
      @HawaMheza 11 месяцев назад

      @@HanceGeorge lamama yakobungo kilamtu analitia vidole!!

    • @jumannekashindye332
      @jumannekashindye332 11 месяцев назад

      ​@@HanceGeorgeheyyy tell me

  • @IbamoChannauke
    @IbamoChannauke 11 месяцев назад +4

    This is Simba ❤❤❤

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 11 месяцев назад +9

    Team ya Simba tujuane Kwa Like Kama umefurahishwa leo

  • @DevidNestory-dk6nr
    @DevidNestory-dk6nr 11 месяцев назад +9

    Kama hamna mauwa ya bechika msinipe like zenu

  • @HanceGeorge
    @HanceGeorge 11 месяцев назад +2

    Simba nguvu mojaa 🔥🔥🔥

  • @msangirstz
    @msangirstz 11 месяцев назад +4

    Number One

  • @sekijatv
    @sekijatv 11 месяцев назад +3

    Huaga hizo like mzifanyia kazi gani basi namimi naziomba

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤utatumaliza chama

  • @KruthumMkuka
    @KruthumMkuka 11 месяцев назад +2

    uwanja upo sawa namimi miaka 34 na simba wamefunga 4❤

  • @TibaMussa-h5l
    @TibaMussa-h5l 11 месяцев назад +2

    Jmn Raha ❤❤❤❤

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN 11 месяцев назад +4

    🎉🎉🎉🎉chama jamani mungu akupe nini

  • @RehemaMohamedi-n4o
    @RehemaMohamedi-n4o 11 месяцев назад +2

    This is simbaaaa 💪

  • @edithanicodemu8690
    @edithanicodemu8690 11 месяцев назад

    I love Simba forever ❤️❤️❤️❤️

  • @MatiBaraka
    @MatiBaraka 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤ simba yangu

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 11 месяцев назад +8

    Kusema ukweli Chama ni habari nyingine kabisa

  • @lusajomwaigwisya5748
    @lusajomwaigwisya5748 11 месяцев назад +1

    Big up simba

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 11 месяцев назад +7

    saido ache uchoyo wa pasi kwa akina jobe na fredy

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 11 месяцев назад +1

    🦁💪🏿 moyaas❤

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 11 месяцев назад +4

    Golkeeper ni shati kwelikweli 😂😂😂😂

  • @fatumajongo
    @fatumajongo 7 месяцев назад +2

    Simba sc

  • @godfreywilliam824
    @godfreywilliam824 11 месяцев назад +3

    ❤❤❤

  • @jaccobojaccobo2611
    @jaccobojaccobo2611 11 месяцев назад +1

    Poa sana❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 11 месяцев назад +4

    Kibu anajituma ndiyo, lakn nafikiri kocha anapaswa kumrekebisha
    Vitu vidogo, ili awe msaada kwa timu ya simba, otherwise ataendelea kupoteza mipira zaidi

  • @RahimMkakia
    @RahimMkakia 11 месяцев назад +1

    superb🎉

  • @millianebee
    @millianebee 11 месяцев назад +2

    Jamani wapenzi wa mpira hivi viwanja vingine jamani mbona kama shirikisho la mpira halivioni maana hizi nyasi aisee hapana ebu tujaribu kupiga kelele zile nyasi zilizowekwa uwanja wa taifa kwanini zisiwekwe na kwenye viwanja vya mikoani

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 11 месяцев назад +4

    😂😂 kweli wazee wa kazi mtu kabebwa na mtu anakimbia

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 11 месяцев назад +5

    Daah kanuti kadi ya pili iyo mchezo wa Azam atamiss

    • @ibrahimuKidevu
      @ibrahimuKidevu 11 месяцев назад

      Kadi tatu

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 11 месяцев назад

      @@ibrahimuKidevu tatu iyo vip kigoma amepata Moja na Leo Moja

    • @ibrahimuKidevu
      @ibrahimuKidevu 11 месяцев назад

      @@AminaLibisa nmemaanisha tatu ndo hatakiwi kuchez mchezi unaofuata

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 11 месяцев назад +1

      @@ibrahimuKidevu sawa Nimeuliza Leo live chat nimepata jibu maana nilikua sielewi nilisha vurugwa kanuti ni muhimu katika mchezo ws ijumaa

  • @SimonSamweli-v6u
    @SimonSamweli-v6u 11 месяцев назад +4

    Utopoloooo mnafel wapi.. mbona hamkosi visa vya kuongea.. jana kuna mtu kasema tukimfunga tabora United popote tukimuona tu mnyonge... Wana young jaribuni kuheshimu na kujiheshim maana mnapoelekea mtakuja kutuvisha kesi za bure hadi mnakera

  • @damianmathias8446
    @damianmathias8446 11 месяцев назад +4

    Kama kawaida ya kanoute akaipata njano

  • @SalumMohamed-cf4bb
    @SalumMohamed-cf4bb 11 месяцев назад +7

    huyu chama akiamua nihatari

  • @G.mosser
    @G.mosser 11 месяцев назад +5

    Kuna m2 ana mechi mbili gaol 2 na mwenzake mechi mbili goal 1 na Asst 1 Sasa yule wa upande wapili ana mechi mbili lakn alicho nacho Sasa ni kad za njano mbili na elf1200😅😅😅😅😅😅😅

  • @ibnhassanbakar4706
    @ibnhassanbakar4706 11 месяцев назад

    Alieona tarehe 06/07/2024 hongera zenu!!😂😂

  • @ShabaniJuma-z1j
    @ShabaniJuma-z1j 11 месяцев назад +5

    Ivi uyo kipa cjamwelewa au ndio uchawi kafungajwe vile magori yote anayatizama tuu

    • @mkanyafamily
      @mkanyafamily 11 месяцев назад +2

      Hayana utofauti na yale magoal matano alofungwa MANURA na YANGA

  • @upepobeka6877
    @upepobeka6877 11 месяцев назад +1

    Walistahili kugungwa kumi.timu imeoza sana

  • @erickjastine1439
    @erickjastine1439 11 месяцев назад +5

    5:38 Utanishukuru baadae😂

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 11 месяцев назад

      Hatari😂

    • @ibrahimuKidevu
      @ibrahimuKidevu 11 месяцев назад

      ​@@Joe-tr2vkmtu jina 🙌🙌

  • @dgt6303
    @dgt6303 11 месяцев назад

    Huyu chama acha atusumbue tu coz hakuna mbadala wake❤

  • @godylion2219
    @godylion2219 11 месяцев назад +5

    Azam naombeni picha ya yule shabik wasimba yule mdada mle tuonyesha tafadhal😂😂😂😂

    • @druzazi2534
      @druzazi2534 11 месяцев назад

      Jina mtu😂😂

    • @godylion2219
      @godylion2219 11 месяцев назад

      @@druzazi2534 kuna mdada alipita kwenye screen pale nihatar kama wale wa afcon kbsa

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 11 месяцев назад +1

    🦁🦁❤❤🔥🔥

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 11 месяцев назад +2

    Huyu golikipa ni senge kazi anainama analaumu mpira anaangalia kwa macho 😅

  • @japhetaverin-ou9rp
    @japhetaverin-ou9rp 11 месяцев назад +3

    Ila huyu kipa duu😅😅

  • @SADICKKIBONA-ky2sx
    @SADICKKIBONA-ky2sx 11 месяцев назад +2

    MTU JINA!!!!!!!!

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 11 месяцев назад +2

    Ila chamaaaa😂

  • @joycekaishozi1177
    @joycekaishozi1177 11 месяцев назад +1

    mtu jina😮

  • @michaelmeja-i5z
    @michaelmeja-i5z 11 месяцев назад +1

    Inauma sana timu za mpira kuuziana mechi

  • @Dullah_tz
    @Dullah_tz 11 месяцев назад +5

    Hilo kipa au ni pazia🙄

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 11 месяцев назад +5

    mtu jina ananyea mbali sana 😅

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 11 месяцев назад +2

    Ni furaha tumeshinda ila huyo kipa Tabora wakamuweke kichwa kwenye himaya ya nyuki avimbe kwanza

  • @witnesskihaga2241
    @witnesskihaga2241 11 месяцев назад +4

    Hiii ndy SIMBA SASA

  • @JeniphaSilapola
    @JeniphaSilapola 11 месяцев назад +3

    Mhmh amna kipa hapo

  • @luluray2115
    @luluray2115 11 месяцев назад +1

  • @masoudymichael
    @masoudymichael 11 месяцев назад +3

    MTu jinA😂

  • @Amiltonmichael
    @Amiltonmichael 11 месяцев назад +3

    Achaneni na mpira kwanza..namtafuta huyo MTU JINA kwa udi na uvumba

  • @gervasdenis7286
    @gervasdenis7286 11 месяцев назад

    Daah maskini r k 😢😢😢😢

  • @fahadrashid9754
    @fahadrashid9754 11 месяцев назад +4

    Nataman yanga jana tungempata uyu kipa😊

  • @OmaryWassi-hc9bw
    @OmaryWassi-hc9bw 11 месяцев назад +4

    Kituao kinachofata azam

  • @sungwambuga4800
    @sungwambuga4800 11 месяцев назад +2

    Mtu jina

  • @TheDinhoDesign
    @TheDinhoDesign 11 месяцев назад

    Angalia backline inavyo cheza, utagundua kuna kitu hakiko sawa kwenye hii mechi.

  • @champion.906
    @champion.906 11 месяцев назад +2

    Nimefurah tumeshinda ila timu nyepesi hizi zitatufanya tusifanye vizuri kimataifa..kipa unafunga style yeyote unataka tutamsumbua mamelodi kweli?

    • @shijamakoye6544
      @shijamakoye6544 11 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂 kwani unafikili huyo golikipa anadakaga hivyo ni Leo tu anajua mwenyewe kwa nini anadaka hivyo 😂😂😂😂

  • @shijamakoye6544
    @shijamakoye6544 11 месяцев назад +1

    Hili golikipa hata ulikute jalalani huwezi kuliokota 😂😂😂😂😂

  • @RahabuKiparen
    @RahabuKiparen 11 месяцев назад +1

    Kipa kauza mechi bila kubisha

  • @terrybenjamini1368
    @terrybenjamini1368 11 месяцев назад +1

    ♥♥♥♥♥🦁💪🏻1🌹🌹🌹🌹

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 11 месяцев назад +1

    Hawa nao waliahaidiwa milioni 100 nini mbona

  • @EidBwazua
    @EidBwazua 11 месяцев назад +4

    😂hongeleni baskelj ya kunolea visu

    • @HawaMheza
      @HawaMheza 11 месяцев назад

      Tunashukuru mnoaji!!!

  • @nestorypatrick2114
    @nestorypatrick2114 11 месяцев назад +1

    Me shabiki wa simba ila kwa magoli aya mengine unaona kabisa kipa wa tabora anatakiwa kuchunguzwa

  • @KaroliMagana
    @KaroliMagana 11 месяцев назад +1

    Kipa hata hana habari kuna jambo

  • @michaelmeja-i5z
    @michaelmeja-i5z 11 месяцев назад +1

    Hii mechi bila kupepesa macho tabora wameuza

  • @AbdiAbdi-qs7dc
    @AbdiAbdi-qs7dc 11 месяцев назад

    ❤💪💪💪💪

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 11 месяцев назад +3

    😂😂bango limeenda na kibendera chezea upepo wa kibu wewe😅

  • @josephjeremiah-x5v
    @josephjeremiah-x5v 11 месяцев назад +1

    Kiper mesenge kauza gem

  • @AbuuRajabu-w3n
    @AbuuRajabu-w3n 11 месяцев назад

    noma sana

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 11 месяцев назад +2

    MUANDISHI JICHO LIPO KILA KONA UMEONA MTU JINA 😂😂

  • @Keputchelo1621
    @Keputchelo1621 8 месяцев назад

    Hiyo tarehe hapo umakini haupo

  • @Rukia-g2l
    @Rukia-g2l 11 месяцев назад +2

    Kama umeona tumenunua mechi na nyie si mnunue

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 11 месяцев назад +1

    Hamna kipa hapo

  • @ibrahimiqrah4125
    @ibrahimiqrah4125 11 месяцев назад +2

    Kipa au bwagaja

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 11 месяцев назад +1

    Narudirudia kuangaliq

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 11 месяцев назад +4

    simba kwa mchezo huu wa tabora msijisifu mchezo wamchongo kipa ameachia makusudi mchezo umeuzwa kama kipa mwenyewe ndio hivi wanashuka daraja kipa chake kaweka mfukoni

    • @BarakaKusalula-c6x
      @BarakaKusalula-c6x 11 месяцев назад +1

      Kiba wa mchongo tu anyway muhimu point tatu😅😅

    • @JamesJoseph-vd7ep
      @JamesJoseph-vd7ep 11 месяцев назад +1

      huna akili magoli yamepigwa kwa akili ndio maaana unaona hivyo kadake wewe

    • @zaiogy5787
      @zaiogy5787 11 месяцев назад

      Na Manila nae aliweka chake mfukoni???

  • @UkweliMwamlima-p6s
    @UkweliMwamlima-p6s 11 месяцев назад

    0:23

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 11 месяцев назад +4

    Kunamtu atakuja kupigwa 10

  • @DripGood-js4ss
    @DripGood-js4ss 11 месяцев назад +1

    Hii mech bahasha imetolewa wachezaji w tabora km hawapo uwanjani

  • @azpilicuetainternational1234
    @azpilicuetainternational1234 11 месяцев назад

    Hongereni sana

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 11 месяцев назад

    Humu timu hamna 😂😂😂😂😂

  • @suzyshirima4365
    @suzyshirima4365 11 месяцев назад +1

    Aliyeweka hii post arekebishe tarehe imeandikwa 6/7/2024😂😂hii ni February 2024au ni marudio ya 2023?

  • @WaziriAmiri-e7b
    @WaziriAmiri-e7b 11 месяцев назад

    Wambiye makoloo hao 😅😅😅

  • @theresiamahuma2000
    @theresiamahuma2000 11 месяцев назад

    Nani yuko nyumbani

  • @SiliviniNziva
    @SiliviniNziva 11 месяцев назад

    😮

  • @DaudNgodilo
    @DaudNgodilo 11 месяцев назад

    Hahaaaa ila hayo magoli bhana

  • @MohammedhamadiHaji-uy4pn
    @MohammedhamadiHaji-uy4pn 11 месяцев назад +1

    Mechi yenyewe mumenunua

    • @timothnakiz-zb4rz
      @timothnakiz-zb4rz 11 месяцев назад +3

      Eeeeh Babaako ndo alitudalalia

    • @Immahjr
      @Immahjr 11 месяцев назад

      Kutoka Kwa nan

    • @HawaMheza
      @HawaMheza 11 месяцев назад +1

      Kumbuka wewendotoaji helatabora anasubiri helayake yupomlangoni anakusubiria wewekakwambia utoke harakaanasikia usingizi anataka kwenda kulala so Fanya harakaasije akakushtaki Kwan tff!!!!

    • @JamesJoseph-vd7ep
      @JamesJoseph-vd7ep 11 месяцев назад

      mnaumia mno kanunueni na nyie c mna hela

  • @josephjeremiah-x5v
    @josephjeremiah-x5v 11 месяцев назад

    Mbona wachezaj hawadjituk kipa msrnge

  • @charlesmtatiro8534
    @charlesmtatiro8534 11 месяцев назад

    Kipa haachi maokoto

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 11 месяцев назад +1

    Baada ya kufunga hv vigoli vinne mmejiona mnaweeeza😅😅 na mmeanza kuongea xaxa nyie subr mlambwe na lambalamba tarehe 9 alaf tuwasubr wanne 2wavue Tena Kono la nyan!! Ningexhangaa ety mfunge m2 Tano mmekuwa yanga? Sisi tu ndo tuna huo uwezo!!

    • @edithanicodemu8690
      @edithanicodemu8690 11 месяцев назад

      Uwezo wa kubebwa gongowazi nyie ety tano mbwa nyie njoeni turudiane nyie wenye kupata goli dk za jioni

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 11 месяцев назад +3

    sipendi mnavyolazimisha ayoub akubalike na mashabaki ilihalo tunajua uwezo wake.Tunamtaka Ally salumu

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 11 месяцев назад +2

    Hili ligoolkeep n libovu!! Sis yanga ndo kiboko wa madunduka

    • @f.a6043
      @f.a6043 11 месяцев назад +1

      🐸🐸🐸👈🏾😂😂😂

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 11 месяцев назад +2

      Unateseka kutoka vidimbwi fc

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 11 месяцев назад +1

      Si mliwapiga moja? Ligolikipa lingekua bovu ungelipiga kumi

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 11 месяцев назад +1

      Back hujasema utopolo😂😂😂

    • @abedysteven4930
      @abedysteven4930 11 месяцев назад

      @@BigZhumbe wanne utafka mtachezea zingne 5 kama Kono la nyan!!

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 11 месяцев назад +2

    Simba nguvu moja❤❤❤

  • @AishaRashid-vh3mo
    @AishaRashid-vh3mo 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @absm8084
    @absm8084 11 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @SaggyAlphonce
    @SaggyAlphonce 11 месяцев назад +2

    ❤❤

  • @erastocastory-lt8wv
    @erastocastory-lt8wv 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤