GB 64 APAGAWA NA MAGOLI YA KIBU DENIS, HUYU NI SHUJAA WETU LEO SIMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 48

  • @AlbinusRomanus
    @AlbinusRomanus 16 часов назад +8

    Simba nomaaa sanaaaa ❤❤❤❤❤❤simba nguvu moja

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q 15 часов назад +14

    Kibu, valentain nomaa, kagoma na insipector beki kisiki leo wamenifurahisha aise hongera sana mmetuheshimisha

  • @RamadhanMohd-q8l
    @RamadhanMohd-q8l 15 часов назад +22

    Kam una mkubali gb gong like🎉🎉

  • @SalmaAbdalah-dv6et
    @SalmaAbdalah-dv6et 16 часов назад +7

    Dah,kaka ang nakukubali sana ukweli mtupu

  • @bernardokomba609
    @bernardokomba609 15 часов назад +5

    He's amazing

  • @EdwardMizambwa
    @EdwardMizambwa 5 часов назад +2

    BM 2. Kibu Denis

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 4 часа назад +2

    Hiki ulichosema cha kuharibiana mechi ndio ukweli na Ateba awahiwe atapotea kabisa ukiangalia anaonekana uwezo wake unapotea kila siku

  • @AnordSalvatory-s9b
    @AnordSalvatory-s9b 16 часов назад +13

    Gb unajua ila che maloni amezingua nasio mara 1 aanze benchi kwanza

    • @MungeJr-u7x
      @MungeJr-u7x 15 часов назад

      Makosa ya kimchezo yanarekebishika

    • @beathamdage8151
      @beathamdage8151 11 часов назад +1

      Kabisaaa

    • @AbdallahPeter-b4s
      @AbdallahPeter-b4s 7 часов назад

      Hanze benchi wewe ujui mpira

    • @SamuelGosbert2002
      @SamuelGosbert2002 7 часов назад

      🎉jana che maloni mpira ulimkataa ila so mbovu kama unavyo sema games inayofata yupo first eleven ❤❤🎉🎉🎉

    • @gabrewtv2141
      @gabrewtv2141 5 часов назад +1

      Wew haujui kucoment acha.

  • @StambulyKapopo
    @StambulyKapopo 16 часов назад +3

    Simba nguvu 1

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 15 часов назад +3

    Tiisha sana 64GB unaelezea vizuri sana,mnyama 👹 anatisha sana🏹🔥

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 14 часов назад +3

    UBAYA UBWELA😂😂😂🎉🎉

  • @SHABANIHALADI
    @SHABANIHALADI 2 часа назад

    Safi sana gb tutulie mashabiki

  • @DanielmirenKojo
    @DanielmirenKojo 8 часов назад +3

    Huyu bw anayeongea anasema ukweli na asipuuzwe kamwe

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 2 часа назад

    Huyu jamaa anajua sana

  • @LucyChiwiko
    @LucyChiwiko 8 часов назад

    ❤❤❤GB 64 Uko Vizuri brook

  • @chrisabbas8085
    @chrisabbas8085 13 часов назад +4

    GB unaakili kubw xn, kwanza uwanja umechezew huu, mpira tuliochza leo kw mkapa sio wetu kbx, viongoz wawe makini

  • @SpiroNovati
    @SpiroNovati 12 часов назад +2

    Kaka daa ww nimkweli

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 часа назад

    Bwana ee me nashukuru TU tumeshinda Ila hatuna furaha kabisa ya Tim yetu unacheza kama haitaki kushinda yn mchezo unachezwa nyuma na ktkt mbele pahovyo sana vile walivyo pushi mwisho kwann wasinge pushi tangu mapema walipo rudisha goli

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 15 часов назад +1

    GB 64 kaongea ukweli. Jamaa anaujua Mpira kwelikweli, kutoka Gikombaa Nairobi msaliwa wa rombo kilimanjaro

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 14 часов назад +1

    Ilikua dakika ya 97 na sekunde zake ila ss tunajua tumeshinda maana wakumaliza mchezo ni muamuzi tu

  • @WashingtonZablon
    @WashingtonZablon 15 часов назад +1

    Mr GB 64 Kuna jamaa anaitwa ambokile ALISEMA Simba itatia HAIBU Taifa kufungwa so mpaka sasa ana pata aibu na hyo yanga yake yenye point moja kama mwanya lake ndo maana alifukuzwa kwenye media fulani sita taja jina

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q 15 часов назад

    Umeongea vizuri sana wenye ufahamu tunakuelewa sana

  • @gibsoncharukula264
    @gibsoncharukula264 4 часа назад

    Gb kocha amuturize che maron

  • @AnordSalvatory-s9b
    @AnordSalvatory-s9b 16 часов назад +3

    Unajua

  • @SUPERMANAGERVIBEZ
    @SUPERMANAGERVIBEZ 13 часов назад

    FROM RWANDA KIGALI GB64 NAKUFUATILIA

  • @DaudiNasari-o9r
    @DaudiNasari-o9r 14 часов назад

    Simba Ali kipundu.jamn

  • @DaudiNasari-o9r
    @DaudiNasari-o9r 14 часов назад

    Mm mwenye namiss raaaaaa

  • @JarufuSalum
    @JarufuSalum 7 часов назад

    Che malone mbn huwa anarudia makosa yale yale bila kukosea kwak tumesabsbish kuruhus magoli mawil tofaut lile Hamza alilojifunza

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 13 часов назад

    Ok

  • @networkeryuzzo09
    @networkeryuzzo09 15 часов назад

    Mlio angalia mpira nisimulieni kidg bas mchezaj gani kafany vyema ukiachana na kibu denga alie funga

  • @Jofumaster3
    @Jofumaster3 16 часов назад +1

    Wanajisumbua bule

    • @VanBoy-v1i
      @VanBoy-v1i 16 часов назад

      Gb kiukweli mm binafsi sijapata pesa ila natamani sana tena sana walau nikutane na wewe walau kdogo tu nikupe soda 🥤 kaka unaongelea vzr mpira naiona nafasi ya uongozi ndani ya simba plz nataka namba ako kama utojali

  • @MTEMELUSAKANYAESPOIRE
    @MTEMELUSAKANYAESPOIRE 8 часов назад

    Gb 64 kwakweli wewe ungekuwa nabii yatosha brooo

  • @KingDrew-hw6uc
    @KingDrew-hw6uc 6 часов назад

    Lakini kumbukeni refa alimaliza mpira wakati Simba inashambuliwa na costal mmesahau

  • @MilajBaton
    @MilajBaton 6 часов назад

    Joshua mutar ila amezingua

  • @williamtv2260
    @williamtv2260 8 часов назад

    Ametuchosha malon

  • @RashirdThabit
    @RashirdThabit 8 часов назад

    Oya we gb64 fungus radio yako ya michezo

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 15 часов назад

    Umenena. Vyema

  • @YussufBuji25
    @YussufBuji25 7 часов назад

    Libolo je mbona husemi?

  • @mwemajulius5036
    @mwemajulius5036 14 часов назад

    😂😂