Mashabiki tuchunge sana midomo yetu! Inawaharibu wachezaji wetu! Bora tujitahidi kufunga midomo yetu na kuwaachia benchi la ufundi na viongozi kuamua! Mashabiki tunapowakandia wachezaji wanaposhuka kiwango kidogo inawakatisha sana tamaa wachezaji wetu! Ona sasa Kibu tuliyekuwa tunamkandia amesharudi kwenye kiwango chake na juzi anatutoa kimasomaso! Lile shuti lilikuwa ni kombora la nyuklia💪
nikiitazama na kuisikiliza hii interview namkumbuka Baraka Mpenja pale lunyasi baada ya Kibu kufunga goli la pili Baraka alisema "usimkatie mtu tamaa" Kibu ana kitu naomba mashabiki wenzangu wa simba tusimkatie tamaa"SIMBA NGUVU MOJA💪"
Amebadilika sana yaonesha huyu kocha mbrazil ni mzuri sana wana simba tuweni na subra ikiwa kambadilisha kibo na kumfanya tegemeo la simba sio mchezo na mkubali
Mm nishabiki wa yanga lkn nimevutiwa kufuatilia interview ya kibu kutokana na changa moto alizokua akipitia,tuckate tamaa kwenye maisha,Kibu amenifunza kitu💪
Hiyo game ya finali Kumuyamge na Eleven Stars naikumbuka nilikuwa Bukoba. Ilikuwaga gumzo mkoa mziama hiyo Eleven Stars ya Mutukula walikuwa ni Waganda watupu. Hongera Kibu
Nimemkumbuka Kibu Denis Pale Kwenye timu Ya Young Boys Pale Kigoma Daah Bro Ulikuwa Level Nyingine Brother Niliona Mzuka Wako - Watu Walikuita Msuva..!
mzee wetu magori alitabiri utakuwa tishio afrika. naona maneno yake yanaenda kutimia. kibu upo vizuri sana pamoja na baadhi ya mashabiki wa simba kutaka kukutoa kwenye reli lakini umekuwa mtulivu. kibu utafika mbali sana
Nyinyi wa Tanzania mna zarau sana kibu mkali tokea kigoma kwenye team Ya Young Boys Hata huyo Ezekiel rafiki yake wa team ya Aliance sio poa ni moto kuliko hata kibu mwenyewe….bahati nzuri yeye tupo nae hapa USA sasaivi
Tuwavumilie wachezaji wetu,sometimes wanapitia kipindi kigumu cha uchezaji wao,hata maisha ya kawaida kwenye nyumba zetu baadhi ya wakati yanatetereka,tuwavumilie,i love u Simba❤❤
*Watu wa nyumbani tunamjua Kibu Denis tangu Young Boys EF3 enzi hizo anaupiga mwingi kinoma noma,Mungu hamtupi mja wake cha msingi tuendelee kupambana*
Wa Tanzania mna zarau sana kibu mkali tokea kigoma kwenye team Ya Young Boys Hata huyo Ezekiel rafiki yake wa team ya Aliance sio poa ni moto kuliko hata kibu mwenyewe….bahati nzuri yeye tupo nae hapa USA sasaivi
Kibu d mimi nimmoja yawatu ninae simama KILa Mahala kukutetea kuwa wewe nibonge lamchezaji sema vipindi vya mpito vipo kwa kila binadam. Mungu azidi kukublles kibu uwe na afya njema Ili uwashangaze wale watesi wako wote. Good luck kibu denis.🦁💪
Utakua umecheza fotbool,ndiyo bana unamtetea! Washangiliji hawawezi jua uwezo wa kibuD, mie Hadi Leo ninamkubali sana Sawa dogo,sema mikelele mingi ndiyo inamtoa kwny reli yule nae bonge la mchezaji
mimi siujui sana mpira, ila baada ya kukufwatilia mechi zile za kwanza kwanza tangu umesajiliwa simba nilikukubali mpaka leo kibu nakukubali, nakuombea kwa mungu ufike mbali zaidi ya hapo ulipo,
Naaam interview kubwa Sana hii interview ya mtoto wa maskini mpambanaji mwenye njaa kali mkubwa MUNGU tu maisha hayana mwenyewe bwanaa all the best kibu D mkandaji interview haichoshi kusikiliza
Duuh!! Maisha ni safari kweli nimeamini. Kumbe #KIBU_DENIS Nyumbani ni #Lubengera?!!! Mwambao wa Ziwa #Tanganyika Barabara ya kuelekea #Hifadhi_ya_Taifa ya #Milima_ya_Mahale. Ndio nyumbani huko. Aiseeh!! #Mungu Mkubwa sana. Akubariki uzidi kuzifikia ndoto zako. #Nguvu_Moja💪
Kaka kibu unisamehe sana kama niliwah kkukosea, sasa naenda kkufollow na ntakuwa shabiki yako namba moja kudadeki hata ukilud kamuyange yaani nakushabikia hukohuko
Bidii hajawahi kumtupa mtu. Huyu Kijana alidharauliwa sana. Sasa Mungu anawathibitishia waliomdharau kuwa walikosea. Kama ataendelea na unyenyekevu huu na asinyanyue mabega na kulewa sifa basi Mungu atamuinua sana. Sitoshangaa siku moja nikimkuta nje ya nchi, haswa klabu kubwa za Afrika hata Ulaya. Kila la kheri Kibu Denis
Nmegundua kumbe hii interview ni ya zaman sanaaa yan mwanzo wa msimu lakn wamekuja kupost baada ya mech ya dabi na baada ya kumkanda mtan na Kibu akiwa miongon mwa waongozaji wa ukandaji wa mtani lengo kuendelea kuwakumbusha mkandaj wao
Mashabiki tuchunge sana midomo yetu! Inawaharibu wachezaji wetu! Bora tujitahidi kufunga midomo yetu na kuwaachia benchi la ufundi na viongozi kuamua! Mashabiki tunapowakandia wachezaji wanaposhuka kiwango kidogo inawakatisha sana tamaa wachezaji wetu! Ona sasa Kibu tuliyekuwa tunamkandia amesharudi kwenye kiwango chake na juzi anatutoa kimasomaso! Lile shuti lilikuwa ni kombora la nyuklia💪
Hakika midomo nitatizo.
Interview nzuri sana, Mungu akutunze na kuzidi kukuza kiwango chako Kibu D.
Ila Ahmed anajua kuhoji vizuri sana. Full utulivu na kumsikiliza mtu amalize then swali. Big up sana man.
nikiitazama na kuisikiliza hii interview namkumbuka Baraka Mpenja pale lunyasi baada ya Kibu kufunga goli la pili Baraka alisema "usimkatie mtu tamaa" Kibu ana kitu naomba mashabiki wenzangu wa simba tusimkatie tamaa"SIMBA NGUVU MOJA💪"
Sahihi
Sanatu wahasituna pambana
Jamaa anakitu huyu nisehem tu ya mpra wat mwingine huwa unagoma ila ipo siku jamaa atazibitishat
Sijawahi mkatia tamaa kibu
Sijawah mkataa kibu maan mpira unamkataa kila mmoja
Keep It Up RastaMan..Umeitafuta fursa kwa juhudi zako..
Amebadilika sana yaonesha huyu kocha mbrazil ni mzuri sana wana simba tuweni na subra ikiwa kambadilisha kibo na kumfanya tegemeo la simba sio mchezo na mkubali
Jamaa anafaa kuwa wakara. Alitambua magarasa kule Ngara akamuelekeza walipo Wachezaji. Big up Kib Dider Drogba.
Red Star ya Kasulu Mjini🎉🎉
Mm nishabiki wa yanga lkn nimevutiwa kufuatilia interview ya kibu kutokana na changa moto alizokua akipitia,tuckate tamaa kwenye maisha,Kibu amenifunza kitu💪
Mwenzenu niko hapa mwana yamga ila hii interview nimeipenda
licha ya kujituma kibu unanidhamu sana uwanjan sijawahi kukuona unamfokea mtu au mpinzani ukifanyiwa rafu
Mpole sanaa
Pongezi sana kibu, izo rasta juz umewachezesha rege pale kwa mkapa noumaa
Hiyo game ya finali Kumuyamge na Eleven Stars naikumbuka nilikuwa Bukoba. Ilikuwaga gumzo mkoa mziama hiyo Eleven Stars ya Mutukula walikuwa ni Waganda watupu. Hongera Kibu
From black American I’m always proud of kibu d❤❤
😂Where is black america?
@@victoraugustino4832 😂😂😂
Black yaa nyokwe! kwendraa
From kwa Putin urusi magomeni nalipenda hili riha lenzetu la Kigoma 😂😂😂
Nimemkumbuka Kibu Denis Pale Kwenye timu Ya Young Boys Pale Kigoma Daah Bro Ulikuwa Level Nyingine Brother Niliona Mzuka Wako - Watu Walikuita Msuva..!
Kuna ile unakuwa star wa kufunga magoli, lakini kuna ule ustar unakuwa the big star ukidondosha utopolo,
One love Mha mwezangu
This one is ICONIC interview what a story
Kiukweli mdogo wangu kibu nakupenda sana nilikuwa najisikia vibaya sana kwa kweliuliyokuwa unapitia,mimi binafsi nakuombeaga sana
Every successful man has a painful story to tell and each painfull story has a successful ending,,,, hongera kibu umetokea mbali....
watoto wa kishua waliovikuta wapo kwenye hilo kundi ?
kasulu moja nakukubali kaka kama nakuona ukiwa na RED STAR KASULU
No one can stop reggae
Kigoma akutokagi fara we are the best for everything 🙏🏾 keep going bra 👊🏾
Sawa kigoma hatoki fara lakin huyu kigoma ni mpitaj tu kibu a boy from Congo
Nakumbuka kipindi hicho upo team ya mtahani ukitwa jina la msuva daah umetoka mbali pambana bro 🔥🔥🔥
ilikua wap!?
mzee wetu magori alitabiri utakuwa tishio afrika. naona maneno yake yanaenda kutimia. kibu upo vizuri sana pamoja na baadhi ya mashabiki wa simba kutaka kukutoa kwenye reli lakini umekuwa mtulivu. kibu utafika mbali sana
Nyinyi wa Tanzania mna zarau sana kibu mkali tokea kigoma kwenye team Ya Young Boys
Hata huyo Ezekiel rafiki yake wa team ya Aliance sio poa ni moto kuliko hata kibu mwenyewe….bahati nzuri yeye tupo nae hapa USA sasaivi
Labda USA ya buza
@@modestebirindwa8693 Eze hakuwa Tishio kama KIbu mzee tulio
@@thehunter5920 we matako kweli kibu mwenyewe hana jua Eze sio level zake
@@thehunter5920 atakua Usaliva Arusha
Kila mtu kwenye maisha ana historia yake.keep walking brother ulumugabho🥴
Very humble aise Huwa tunawakosea sana wachezaj kwasababu wenyew ndio wanajiandaa kuliko mfumo kuwaandaa .
Huyo jamaa muongo sio mtu wa kigoma ni mkimbizi huyo amepata tu ulaia wa tanzania .leo kuwafunga yanga ndio amekua mungu wenu duuuu wewe fara kweli
Mimi ni simba acheni kumpa sifa huyo jamaa hana chochte kile
@@wilsongeorge1353 pole sana african akuna mkimbizi hapa sote niwapitaji na machafuko yanapo tokea kwa ndugu zetu tusi wabague kwani kesho yako uijui
@@wilsongeorge1353acha wivu wewe mbembe
@@wilsongeorge1353 Roho mbaya ya nini kaka ?
Hacha majungu kwenye mafanikio ya mwezako hayakusaidii kitu.
Pambania ya kwako.
Work hard Kibu Mungu ndiye mpaji
Mtoto wa nyumbani Kibu D💪✌️
Safi sana mchezaji wetu
Kweli maisha ni safari ndefu nemeenjoy sana na kujifunza mengi kutoka kwenye live story ya Mwamba Kibu D ni bonge la stori
Tuwavumilie wachezaji wetu,sometimes wanapitia kipindi kigumu cha uchezaji wao,hata maisha ya kawaida kwenye nyumba zetu baadhi ya wakati yanatetereka,tuwavumilie,i love u Simba❤❤
umetuheshimisha kibu😍
Kweli kabisa! Midomo yetu ndo inayowaharibu wachezaji wetu! Bora tujitahidi kufunga midomo yetu na kuwaachia benchi la ufundi na viongozi kuamua! Mashabiki wanapowakandia wachezaji wanaposhuka kiwango inawakatisha sana tamaa wachezaji wetu!
Kweli kuanzia leo Kibu nmemsamehe na Mungu anisamehe nilikuwa namsema vibaya
Kibu dii hongera sanaa tunakup endaa Simba nguvu moja ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Dah!; Mwambaa Kweli Huyuu Kibu Denis Prosper 💪💪💪💪.
Kibu D Mungu akubariki sana na akupe afya njema 🙏🙏🙏
Kibu kijana mstarabu sana Mungu akutunze
Ninachokipenda kwako dogo,ni nidhamu YAKO,utafika mbali Sana 🔥🔥🔥
*Watu wa nyumbani tunamjua Kibu Denis tangu Young Boys EF3 enzi hizo anaupiga mwingi kinoma noma,Mungu hamtupi mja wake cha msingi tuendelee kupambana*
Vema
Wa Tanzania mna zarau sana kibu mkali tokea kigoma kwenye team Ya Young Boys
Hata huyo Ezekiel rafiki yake wa team ya Aliance sio poa ni moto kuliko hata kibu mwenyewe….bahati nzuri yeye tupo nae hapa USA sasaivi
Very humble
Very Humble Man… 👏🏽 KIBU D
True.
Kabisa yani
KIGOMA FINEST 🙌💥
One love
Duh! Bonge la Interview! Tamu sana! Yani hadidhi flani hivi amazing! Jamaa anajua sana kusimulia! Safi sana!
Great Interview Ever 💪
Kumbe kibu wa nyumbani mpk nyakanaz umefika bro
Kibu wewe ❤ nauongeze mazoezi ya binafsi hasa mashuti ya mbali hongera sana tunakutegeme taifa hili wewe moto
Kibu d mimi nimmoja yawatu ninae simama KILa Mahala kukutetea kuwa wewe nibonge lamchezaji sema vipindi vya mpito vipo kwa kila binadam. Mungu azidi kukublles kibu uwe na afya njema Ili uwashangaze wale watesi wako wote. Good luck kibu denis.🦁💪
Utakua umecheza fotbool,ndiyo bana unamtetea! Washangiliji hawawezi jua uwezo wa kibuD, mie Hadi Leo ninamkubali sana Sawa dogo,sema mikelele mingi ndiyo inamtoa kwny reli yule nae bonge la mchezaji
Sure,
I salute you
Kibu Kama kibu💪
No one can stop Regee
Kibu Denis from lubengera kigoma . Kigoma all the best on foot ball
Kibu Tunaomba utusamehe sisi utusamehe sana, 😢😢
Hongera sana Kibu Dennis Rasta man umetuheshimisha, Mungu aendelee kukupigania Uzidi kupiga hatua
Dah mshkaji yuko very hubble sura siyoroho mshkaji pisi shida hana kabisa mungu akubarik KIBU D interview iko moto sana
MUNGU hatuachi watu wake, KIGOMA kisiwa Cha vipaji🔥🙏💪🇹🇿, biggup KIB D, karibu KASULU MJINI uwekeze pia
Warozi huku
@@eliazalgwambie6316 warozi pia NI neema ya MUNGU,kuwapa kipawa hicho ili kubalance Dunia
mimi siujui sana mpira, ila baada ya kukufwatilia mechi zile za kwanza kwanza tangu umesajiliwa simba nilikukubali mpaka leo kibu nakukubali, nakuombea kwa mungu ufike mbali zaidi ya hapo ulipo,
I'm always proud of KIBU. ❤ I'm happy when he misses scoring a goal because we all learn from our mistakes ❤
Sure
Kibu d kibu denga ana kitu, namuona akifika mbali.
Kweli mwamba umetisha pambana ufike mbali
Unajuhud sana kibu ongeza kujiamini ongeza utulivu pia ongeza usahihi wa matendo ndan ya uwanja
Naaam interview kubwa Sana hii interview ya mtoto wa maskini mpambanaji mwenye njaa kali mkubwa MUNGU tu maisha hayana mwenyewe bwanaa all the best kibu D mkandaji interview haichoshi kusikiliza
Tulimchukia Sana jamaa Ila akubali maisha bila lawama uwezi kufika nchi ya ahadi Ila tunaomba mashabiki wengi utusamehe
Hongera sana bro, mengi umeyapitia lakini mwishoni umewine. Kaka hongera sana
Mungu akubarik k
Mungu akulinde kibu D sio kwa goli lile
Mungu akujalie kibu d
Duuh!! Maisha ni safari kweli nimeamini. Kumbe #KIBU_DENIS Nyumbani ni #Lubengera?!!! Mwambao wa Ziwa #Tanganyika Barabara ya kuelekea #Hifadhi_ya_Taifa ya #Milima_ya_Mahale. Ndio nyumbani huko. Aiseeh!! #Mungu Mkubwa sana. Akubariki uzidi kuzifikia ndoto zako. #Nguvu_Moja💪
✊
Daah!! Kumbe jamaa wa nyumbani huyo
@@daudiwilliam1971 kijiji kikubwa sana mpaka usimjue??
@@3malis kaka yaani hicho kijiji cha #Lubengera anacho tokea Bwana #Kibu kipo njiani nakipita nikiwa naelekea nyumbani kwetu. Ila hapo alipotokea napafahamu japo Sijawahi ishi.
@@daudiwilliam1971 ahaaa apo nmekupata
Mungu akujalie kibu d kwenyemihangaiko watu wanatokea mbali sana asee mungu akujalie ufike mbali sana
Ukimsikiliza kibu history yake Kuna kitu unajifunza usikate tamaa na jambo lolote ukiamua na kumtanguliza Mungu inawezekana
Kibu Denis msuva young boys tumekumisi wewe na crisia bro😢 ila Mungu abariki kipaji chako bro 💯💯🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿
ilikua wap.iyo.young boys
Kaka kibu unisamehe sana kama niliwah kkukosea, sasa naenda kkufollow na ntakuwa shabiki yako namba moja kudadeki hata ukilud kamuyange yaani nakushabikia hukohuko
Hersi alitaka akufanye Kama Feisal Una bahati
Bidii hajawahi kumtupa mtu. Huyu Kijana alidharauliwa sana. Sasa Mungu anawathibitishia waliomdharau kuwa walikosea. Kama ataendelea na unyenyekevu huu na asinyanyue mabega na kulewa sifa basi Mungu atamuinua sana. Sitoshangaa siku moja nikimkuta nje ya nchi, haswa klabu kubwa za Afrika hata Ulaya. Kila la kheri Kibu Denis
Kibu D 🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏
Sisi aooo💪💪💪
wachezaji wakitanzania wenye juhudi kwasasa ni wachache sana akiwepo na jibu mungu atamfikisha mbali no master what
KIGOMA FINEST KIBU DENGA
Very humble 💪
Kibu is talented star big up Rasta man🤷
Ubarikiwe sana kijana Kibu Denis, umefanya vizuri na Mungu akuwezeshe uendelee mbele ⚽⚽⚽🦁🦁🦁👍👍
Ndio maana unapambana kumbe unapenda Simba love much KIBU d
Now ur improved a lot
Keep up kibu Denis
Starehe Ya Kibu Ni Ngumuuuuu Sanaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀
❤❤nice
Kumbe una sauti nzuri hivyo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Kibu D mkandaji ❤❤😊
Umewanyoosha yanga
KIBU HANA TAMAA KABISA...
Interesting interview 🙏
naomba wote mliomsema vibaya kibu, mumuombe msamaha, mungu anawaona
Red star ndo team pedwa mkoani Kigoma
Nmegundua kumbe hii interview ni ya zaman sanaaa yan mwanzo wa msimu lakn wamekuja kupost baada ya mech ya dabi na baada ya kumkanda mtan na Kibu akiwa miongon mwa waongozaji wa ukandaji wa mtani lengo kuendelea kuwakumbusha mkandaj wao
Interview ipo 🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu akutunze sana Kb
YOUR GOOD PLAYER
KIBU D Mungu Akutangulie Katika Safari yako ya Mpira,, nategemea Miaka ijayo Tutakuona CHELSEA Pale UK.
Kibu Drogba 🔥👏👏
Pongez kwake
Kibu dee🎉
Kilalakheri kb mwenyez mungu akupemafanikiomema🙏
mzee wa msumari wa moto
Nadhani hii interview na nyingine zingewekwa kwa episode........... ni nzuri sana na zingekatwa ingekuwa poa zaidi
Good blessing for you my friend 🙏❤ kibu
God bless you bro...#kibu
Mungu akutangulie
Nice interview 👏👏👏👏mungu azidi kukubariki kibu
Kila la heri brother kwenye safari yako ya mpira
Mtu poa, hambo, mkweli sn na muungwana. Ahsante Kibu kwa intavyuu nzuri sana.