Mimi naamini hapa Tanzania makocha wajitahidi Sana kumfuatilia huyu Mzee WA data, kunamapungufu mengi ambayo anayazungumza kuhusu makocha na team Kwa ujumlaaa, uzima uwe nawee Mzee WA data
cs sfaxien inabidi wafungiwe kwasababu walikuwa wanalala sana halafu watu wamekalili kuwa zikiongezwa dkk za nyongeza zikiiisha ndio bas kitu ambacho sio sahihi
Facts,,, numbers' evidence,,, honest,,, data,,,,,
Special professor,,,mbwaduke
Very nice, work up brooo👏👏👏
Hongera sana mzeee wa data nilikugoja sanaaa leo
Safi sana Mchambuzi hodari ❤❤❤🎉🎉🎉
Mimi naamini hapa Tanzania makocha wajitahidi Sana kumfuatilia huyu Mzee WA data, kunamapungufu mengi ambayo anayazungumza kuhusu makocha na team Kwa ujumlaaa, uzima uwe nawee Mzee WA data
How ...kwanini usiseme awe kocha tu sasa 😅😅😅
Ubaya ubwela kama wote tmekubali ❤❤❤❤
Magoli ya vichwa yote Rasta zinapeperuka tu, wanasimba tunainjoi..... Tabia ya wagawa utamu ni wanakaza sana kama Utopolo alivyomkazia Mazembe 😂😂😂😂
Assalaam alaykum
Nilikuwa nakusubiri kwa ham sana mzee wangu mungu azidi kukulinda
Aamyin! Shukran sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
natamani ungekua mshauri wa benchi la ufundi la simba
Hapa ndo kwenye data sasa
Mzee wa data malizia jina kibu Denis aka mabululu😂😂❤❤❤
Ha ha ha haaa! Ahsante kwa sana kuendelea kutuunga mkono!
@MbwadukeStats ❤️❤️💪tupo pamoja na wew mzee wa data
Mzee wa data nakukubali sana
Kazi nzuri kaka
cs sfaxien inabidi wafungiwe kwasababu walikuwa wanalala sana halafu watu wamekalili kuwa zikiongezwa dkk za nyongeza zikiiisha ndio bas kitu ambacho sio sahihi
na wanaleta vulugu wakati wao ndo walikuwa wanapoteza time
Fact
Kaz nzur
Naombeni nicheze badala ya mutale na mukwala ntawapa point mapema sana.
Mchambuzi wangu bora wa mda wote tuko pamoja
Nimesubir upload yako nipate uchambuzi furaha ikamilike
Shukran Jazeera mzee wa data,,
Mzee unajua
Ndio maana cmkubali miraji , Hana data za kisomi ni dhana tuu.