FADLU ASIPOKUA MAKINI KWENYE MBINU ITAMPA WAKATI MGUMU/KIBU NI BALAA/WACHEZAJI WAWAJIBIKE UWANJANI
HTML-код
- Опубликовано: 16 дек 2024
- Simba imepata ushindi muhimu katika mchezo dhidi ya CS Sfaxien na kuweka matumai ya kufuzu kuzidi kua makubwa lakini ushindi pekee hautoshi kuna baadhi ya mambo ambayo Kocha Fadlu anapaswa kuyabadilisha ili kumpa uhakika wa kusalia Simba SC kwa muda mrefu zaidi
Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili uweze kupewa utaratibu wa jinsi ya kuungwa