For as much as i love the big 3, Yanga, Simba and Azam. I thank Tabora's technical team and the players because this shows that this teams can be beaten. Most teams in Tanzania gives "this so big teams" too much respect and that kills the excitement of the game. Now the league is more open. Competitive league will yield more quality across the country. In that sense it will benefit the nation squad selection... Good luck Yanga all the best on the next game.
Huyo aliyerusha Chupa Kwa Refa, alitakiwa atafutwe na apigwe marufuku kuingia viwanjani, Ili iwe somo Kwa wengine, na iwe ni fundisho Kwa Marefa wakiwa wanafanya kazi yao.. Mana Kuna Siku Mtu atakuja kurusha mawe au hata kitu chenye ncha kali
Second season syndrome imewaaffect sana young....msimu uliopita yanga ilitumia nguvu nyingi sana kwenye mashindano yote and some players were inform....this season they can't replicate last seasons performances because they look tired....
They look tired yes,but we must ask ourselves what has made them tired.Is it dropping or the players haven't been paid. What's the reason behind? It's just out there they've been using dopping 😂
Marefa wetu Hawa hamuna kitu. hv hiyo penlt na ile ya baka kwa kibu, pia mudathir kwa mukwala ile sku ya debry ipi inabeba unzto zaidi. Sema nni tabora. Licha ya refa kutaka kuwakatisha Tamaa na zile kadi za hivyo bado tabora hawakuchoka kupambana.
Wallah nimeomba saanaaaa Leo tabora ishindee mechi hii asanteh 🙏 Allah kwa yanga kufungwaa
ALLAH QUAREEM IS ONE 🎉
kam ume enjoy mechi hii gonga like apo
Poleni Wana yanga💚💚💛💛
Kama we SIMBA 🦁like hapa
Wa kwanza leo jamani kutoka unyamani ubaya ubwela. Kama wewe ni mwanasimba na umefurahia kilichotokea gonga like hapa. 😂😂😂😂
Tupo wengi tumepata raha jana na leo nyieee 😍
Wamejua leo
Hahahhahaaaaaa tabola hatari
Mwengaaaa baba niko karibu yako
Hii ndiyo Yanga ya musimu huu
Kama ww mwana simba ume furahi na jambo hili like apa😅😅
yang bigwa leo haikuwa siku nzuri kwetu❤❤
Hello kama wewe ubaya ubwela uwezi acha kunifollow na like
Nimefurahi sana yanga kufungwa safi sana safi sana
For as much as i love the big 3, Yanga, Simba and Azam. I thank Tabora's technical team and the players because this shows that this teams can be beaten. Most teams in Tanzania gives "this so big teams" too much respect and that kills the excitement of the game. Now the league is more open. Competitive league will yield more quality across the country. In that sense it will benefit the nation squad selection... Good luck Yanga all the best on the next game.
👏👏👏👏👏👏👏 simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏🙏
Chama huyoo...Chama huyoo kalala kuamka wamefungwa tenaa... Ubaya ubwela tuu 🤣🤣🤣😅😅❤️🦁
Wooosh! What a volley ! What a goal.
Yanga ni kama wameshiba na mafanikio, they show symptoms of complacency. They need this beating to refocus.
Hongera Tabora 👋👋👋👋
Tusiochoka kuangalia hi mech tujuane😂😂😂😂
2pooooo
an w achaa tu na tupo weng haswaa😂😂
Tukoapa 😂
mie nikiwa xna kz naptia
Ubaya ubwela kama wewe mwana simba tia gwala hapa😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅asante sana azam kwa dakika za kutosha ni kama episode ya 107😂😂
Tabora ni Timu bora sana. Big up
hawana timu watashuka dalaja yangaaa🎉
Absolutely
😂😂😂
wameshenyentwa 😅😅😅😅😊kisawa sawa
Mobetto job done ✅✅❤❤
Yanga ni bingwa tu, hakuna kinachomzuia Yanga kuchukua ubingwa 💚💛💚
😂
Nikiwaga na mawazo tyu nakuja zangu kuiangalia hii mechi ivi leo ni 2025 na enjoy tyu🥰🥰😜
❤ yanga inafungwaje😅
Wallah rahaaaaaa❤❤❤❤
Nimefurahi sanaaaa yanga kufungwa
Nmkuj irudia burudan😂😂😂
Mimi zaidi kwa kweli Furaha imepitiliza
hii ndiyo Yanga walio kuwa Wanasema inafungwaje Simba Mbele kwa mbele 👑 Ubaya ubwela
Kabisa❤
Hussen masalanga waoooooo
Kutoka Goal 5, kimoja Cha nguruwe, sasa mwala miguu ya bajaji😁😁😁😁,
Coach mbinu 0
Yanga hii utaifugwaje leo hii imefugwaje
Asnte asnte Tabora United 👀❤️❤️❤️❤️👊
Unatexeka ukiwa wapiiiiiiiiiii. Hiii yanga unaifingajeeeeee
Kwa mara ya kwanza highlights dk 18😂😂😂😂😂
Azam wamefurahi mno😂
@@mohammedkidody5618 😆😅
Ila mobeto mungu anakuona
Yanga kuna jambo linaendelea chinichini 😢 kama una kubali gonga like
Mzee magoma huyo
Yaani mbona lipo na linajulikana wameambiwa waache hicho wanacho Fanya wasije wakaliingiza taifa kwenye shida😂
Yanga vumilieni tatu sio nyingi kwa uwezo wa Mungu
Msonda alio piga hapo alikua anajiona raphina wa Barcelona ama 😂😂😂😂
What a goal 1 st
Huyo aliyerusha Chupa Kwa Refa, alitakiwa atafutwe na apigwe marufuku kuingia viwanjani, Ili iwe somo Kwa wengine, na iwe ni fundisho Kwa Marefa wakiwa wanafanya kazi yao..
Mana Kuna Siku Mtu atakuja kurusha mawe au hata kitu chenye ncha kali
Awoooooooo yan yanga hii kitu narejerejea kuangalia inanipa raha
Ofeni ofeni chikolaaaa chikolaaaa welcome simba sasa brother
Hii mechi msiitoe azam nitakuwa naiangalia kila ninapokuwa na mawazo inasaidia sana
Kama mim tuu😅😅😅 nikiwaga na mawazo tyu nakuja kuisaka
😂😂😂😂😂
❤😂😂😂😂nime injoi mnooooo
Yanga leo mbona kama wamezeeka sana
Dawa za kujidunga HAMNA GSM kapata faida ataiacha timu muda c mrefu
Hongera sana wajukuu zangu wanyanyembe leo mmenipa raha mmewasusumula
Yani Hawa yanga walizani ni utani mpaka walipofungwa goli la tatu ndo wakajua kwamba tabora hawatanii tutafungwa nyingi😂😂😂
WAZEE BILA SINDANO INAWEZEKANAAAAA 😂😂😂
Yang hii waifungaj 😅😅😅😅
Asante sana tabora❤❤
Sanasana
Mm nimefurahi sana 😅😅😅
😅😅😅😅😅😅😅watafungwa sana bado
Nani kamuona hamisa mobeto 😂😂😂😂
😢😢 tumepoteza points 3 kwa Tabora united kabisa Yanga hii? Imenishangaza sana... Anyway asiyekubali kushindwa si mshindani
UTOPOLO bila ya kubebwa hawashind😅
Janja janja fc wamepewa penati lakin bado imexhndkana
Penati. Ya. Mchongo. Nayo. Imekataa yaani. Leo. Kivumbi kweli😂😂😂
Leo hii imetimia simba kia namba moja
Simba wamesajili talent yanga wamesajili sindano na waganga😂😂😂
Hawa walibebwa lakini wapi😂. Ila suala la sindano za kusisimua misuli hatujasahau kabisa
Kimewalamba leo😂😂😂
Yanga wamezibitiwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu, sasa imeanza kula kwao
Haswa umenena GSM na Hers wametumika sana kuharibu wachezaji
Kurujuani
@MfunjoWabaBoydays ulikuwa unawadunga wewe hizo sindano acheni kuzusha habari za uongo
TFF angalieni refa wa pembeni kapigwa na chupa ya maji hii sio sawa kwa mpira wetu
😊😊❤❤❤❤❤❤❤
Kam umeenjoy haya matokeo sema UBAYA UBWELA
pamoja na kugawa kadi nyingi pamoja na penat ya mchongo ila mungu ni mwaminifu
From the look of things the referee was on side of Yanga
Leo mmeona muweke highlights dakika 18 ila azam 😒
😂😂😂😂😂 yanga hii unaifungaje jmn 😂😂😂😂 sjui ht nacheka nnn😂😂
Diarra anabebwa na baka jamani mmeona 😮😮
Second season syndrome imewaaffect sana young....msimu uliopita yanga ilitumia nguvu nyingi sana kwenye mashindano yote and some players were inform....this season they can't replicate last seasons performances because they look tired....
They look tired yes,but we must ask ourselves what has made them tired.Is it dropping or the players haven't been paid.
What's the reason behind? It's just out there they've been using dopping 😂
Wewe ubaya ubwela❤❤❤❤❤
Yanga mbovu kitambo sema mashabiki wa yanga wabishi sema watakubali kiaina😁🏃🏃
Marefa wetu Hawa hamuna kitu. hv hiyo penlt na ile ya baka kwa kibu, pia mudathir kwa mukwala ile sku ya debry ipi inabeba unzto zaidi. Sema nni tabora. Licha ya refa kutaka kuwakatisha Tamaa na zile kadi za hivyo bado tabora hawakuchoka kupambana.
YANGA walikuwa kipindi chote hiki wanatumia dawa za kuongeza nguvu sasa kwishnei waliona chamazi ndio KWA kujificha😂
Hii inaitwa usimjaribu bwana mungu wako😊😊
Tulimtuma chama anafanya vizuri yanga kwishnei
Ubaya ubwela❤❤❤❤❤
Wangapi tumerudia kuangalia hii leo tarehe 28 Nov
Enjoy Enjoy😂😂😂
Tabora inawachezaji wazuri sana
Courage a vous et bonne continuation 🎉
Penat gan hii
inaitwaa penat yakiufundii😂😂
Kweli uchaw nomaaaaa
Shabiki kampiga na maji lanzi men began wakati akinyosha kibendela kua ni offside goli la dube
Camera 📸 yako safi sana
bado mechi 1 gamondi kutimuliwa
Leo namba zote mudathir kapiga netwerk errol
Penalty yamchongo ndomana wamekosa
Napenda simba na yanga zikifungwa❤ tumezidi kukariri
Mechi bora ligi kuuu msimu huu😂😂
Simba tumefurahi vibaya mno😂
Tena saaaana😂
Yanga hii inafungwaje
Poleni Wana yanga😂
Wiki hii yanga kila sehemu mnalabwa, juzi ice cream leo asali mmelambishwa, hahahaha
Hatimae ligi inasimama kwa maumivu Yanga 😂😂😂😂
Kipa wa tabora hapo dakika ya 52 anadondoka kwa maumivu nani kamuona Pacome ameshika kichwa 😹😹😹
Aisee leo tumeingia kwenye mfumo😢
Kwani yanga inafungwaje?
Yanga bingwa😂
Matokeo haya yamesababisha nimchinje jogoo wangu! Kweli usifanye maamuzi ukiwa na furaha saizi najuta
Pole joshua ata ivo hii ni furah yetu sote hamna ulichopoteza
@AnnaJayden-k4m nimempoteza jogoo wangu wa mbegu
Kwan yanga inafungwag bas😊😊😊😊😅😂❤
Yani yanga bila kujidunga hatuwezi mpira,
Hiyo ndio kweli wasipodunga Wana kuwa Katwi😂twi