Magoli | Yanga SC 1-3 Tabora United | NBC Premier League 07/11/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии •

  • @RamadhanRajabu-hi6op
    @RamadhanRajabu-hi6op 2 месяца назад +6

    Mungu ajaliee yanga wafungwe kila mechi sema amiiin

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 2 месяца назад +50

    Kama ww umefurahishwa matokeo hayo weka like hapa ubaya Ubwela tu

    • @ElizabethLukosya-lv2vf
      @ElizabethLukosya-lv2vf 2 месяца назад +1

      Wamecheza kwa haki bila dhuluma 🎉🎉

    • @estergidion8390
      @estergidion8390 2 месяца назад +3

      Ni ubwela tu kwa kweli.

    • @ZulphaMsangi-s9g
      @ZulphaMsangi-s9g 2 месяца назад +2

      Kabisa Uto wakicheza kwa haki matokeo ndo haya 😂😂😂 ubaya ubwela

    • @JeyderNgendanyi
      @JeyderNgendanyi 2 месяца назад

      Hayo ni maandalizi muda so mrefu inakuwa mchawi

    • @ShabaniKindaile
      @ShabaniKindaile 2 месяца назад

      @@JeyderNgendanyi nyuki hakumbatiwi shemeji kakosa penati

  • @Usambalaa
    @Usambalaa 2 месяца назад +261

    Wa kwanza kutoka msimbazi😅😅 wana simba gonga like

    • @ShabaniKindaile
      @ShabaniKindaile 2 месяца назад +12

      Wachawi wamefungwa

    • @missphay
      @missphay 2 месяца назад +3

      Afu wooooyooooooooo🐸😂😂😂😂😂

    • @AlbertLambert-b4p
      @AlbertLambert-b4p 2 месяца назад +3

      Ama kweli. Uchawi na sindano BUREE kabisa. mganga kapiga ela...

    • @KhadijaKisinga-rw4ds
      @KhadijaKisinga-rw4ds 2 месяца назад +3

      💖💖💖💖💖

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo 2 месяца назад

      Msemaji wao si alisena kwa usajili huu Kuna timu hazitapeleka wachezaji uwanjani. Na msemo wao wewe huogopi au yanga hiii utaifungajeeee.na kiitikio chake ni mbona imefungwaaaaaaaaaaaaaa. Walitucheka sana tulipotoka droo na costi Sasa ni zamu yeti nasi kufurahiiiiiiiiiiiiiii ❤❤❤❤❤😂😂😂😂.

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 2 месяца назад +20

    Penat ya dhuluma na wakakosa😂Simba mwenzangu like hapa ubaya ubwela😂❤

  • @GiftLucas-e3j
    @GiftLucas-e3j 2 месяца назад +22

    Wa mwisho kutoka msimbazi like hapa 😂😂😂😂

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 2 месяца назад +8

    Asante Hamisa mobeto umeifanya KAZI yako vzr

    • @JoJo-xh7ph
      @JoJo-xh7ph 2 месяца назад

      Yaani kanyonya uroto wote wa Aziz Kiaz

  • @SatwantHoogan
    @SatwantHoogan 2 месяца назад +4

    Nililala Vizuri Sanaa siku iyo,😂 na kula chakula kizuri kwa furaha niliyoipata!😂Safi Sanaa Tabora Utd..👍🏻❤

  • @MartinEmmanuel-eh7fu
    @MartinEmmanuel-eh7fu 2 месяца назад +3

    Hongereni sana tabora united ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 месяца назад +3

    Mdaka mishale leo kawa mdaka futa😅😅😅 Spider camara aheshimiwe❤

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 2 месяца назад +6

    Yanga Leo mnge Toka sifuri mna bahati kipa wao aliumia bila hivyo mnge lia leo hata hivyo makipa wao wote tabora wako vzr hongera Tabora❤❤

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 2 месяца назад +2

    Magoli ya uhakika xnaa hongera Tbr u,,,❤❤Simba nguvu moja😂😂

  • @daseselele5198
    @daseselele5198 2 месяца назад +2

    Ahsante sana Tabora utd Kwa ushindi mnono namna hiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ZaynabadamZaymzur
    @ZaynabadamZaymzur 2 месяца назад +5

    Naenjoy sana yanga ikifungwa 😂

  • @SalumHassan-w1j
    @SalumHassan-w1j 2 месяца назад +6

    Simba oyeeeeeee🎉🎉🎉

    • @Simbagelo
      @Simbagelo 2 месяца назад +2

      Oyeeeee!!!!

    • @Simbagelo
      @Simbagelo 2 месяца назад +1

      Oyeeeee!!

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px 2 месяца назад +6

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mcheka huchekwa pia

  • @BarakaHubwa
    @BarakaHubwa 2 месяца назад +4

    Diara Leo kama cyo kupewa chochote na tabora basi tuseme haikuwa siku nzuri kwake kiukweli hayo magoli cyo ya kufungwa diara anyway hongera tabora kwa ushindi mmetukumbusha kuwajibika zaidi ligi bado mbichi panapo majaliwa yake mola Next around tutakutana tukiwa imara zaidi Hongereni Sana🙏

    • @daudiMichaeli
      @daudiMichaeli 2 месяца назад +1

      Ww ni mwana michezo haswa pole Sana mwananchi mwenzangu ndio mpira unamatokeo matatu,win loose or draw,We are green and yellow,Daima mbele

  • @EliaKornelio
    @EliaKornelio 2 месяца назад +4

    I like taboraaa❤❤❤❤❤

  • @omaryjumahamisi8626
    @omaryjumahamisi8626 2 месяца назад +10

    Wakwanza naombeni likes 😂😂 YANGA hii unaifungajee 😂😂

  • @JoshuDogo
    @JoshuDogo 2 месяца назад +1

    Congratulations 👏👏👏👏 yanga African moral game very nice 👍 misijali punguseni jasibah because next am very sure when 👏👏👏👏

  • @TausiChande-n3m
    @TausiChande-n3m 2 месяца назад +4

    Hamisa umeifanya kaz yako yako vzur kwa Sana chukua maua y'all🌷🌷🌷

  • @JumaNente
    @JumaNente 2 месяца назад +3

    Yanga raha sana itatuua kwa furaha

  • @networkeryuzzo09
    @networkeryuzzo09 2 месяца назад +4

    Tuliofurahia ushindi wa leo em tutambueni kwa like wana lunyasi wenzangu

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 2 месяца назад +6

    Wachawi vikongwe wamefungwa tena jaman mimiiiiiiii 😂😂😂

  • @ELOHIMWORSHIPMINISTRIES
    @ELOHIMWORSHIPMINISTRIES 2 месяца назад +3

    Yanga chaliiiiiiiiii Duuuu

  • @IyfatMemes
    @IyfatMemes 2 месяца назад +4

    Yanga hiii unaifungajeeeeeeee😂😂

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p 2 месяца назад +3

    Kubebwa kote penati na dakika 8 lakini chaliiiii😂😂😂😂

  • @Maalim_Seif_-_Zanzibar
    @Maalim_Seif_-_Zanzibar 2 месяца назад +2

    Ubaya Ubwela ❤

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 2 месяца назад +1

    Hivi Yanga hii unaifungajee😂😂
    Kikosi bora kabisa,
    Kikosi Imara kabisa,
    Kinawachezaji wenye quality ya hali ya juu sanaa..😂😂😂
    Tabora United Asanteni sana🙏

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 2 месяца назад +2

    Tabora leo mmenikosha 🎉🎉🎉

  • @yohanaamos7796
    @yohanaamos7796 2 месяца назад +4

    saf sana tabora 😂😂

  • @AdenAdrion
    @AdenAdrion 2 месяца назад +4

    Hii yanga kwisha habari

  • @yohanaluhende8517
    @yohanaluhende8517 2 месяца назад +13

    Af lefa nae sijui anaugomvi na yanga, tabora wanashangilia yey anawarudisha haraka uwanjani wakaongeze jingine tena😂😂

    • @EdenJuice
      @EdenJuice 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jackieroberts4868
      @jackieroberts4868 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jackieroberts4868
      @jackieroberts4868 2 месяца назад

      Mdaka mishale

    • @MohamedKalatula
      @MohamedKalatula Месяц назад

      Nkweli ata mm nmeona watu wanashangilia yy ananuna

  • @VictorOmisson
    @VictorOmisson 2 месяца назад +2

    yaaa tatu safii bila iyana, no offside trick Wala makandokando yoyote, safiiii

  • @TizzoMaulidi
    @TizzoMaulidi 2 месяца назад +3

    Yanga hii unaifungajeeeeee😢

  • @tayt4086
    @tayt4086 2 месяца назад +2

    Karibu mtamuelewa mzee magomaa 😂😂😂😂

  • @DaudiKitaulo
    @DaudiKitaulo 2 месяца назад +5

    Hii yanga awajalipwa hela

  • @AlbertLambert-b4p
    @AlbertLambert-b4p 2 месяца назад +2

    Eeeeeh !!! Hehehhehehehe😅😅😂😂😂😂😂😂. Haya mambo. Hayaaa nyieeee. Hahaha😂😂😂😂😂😂

  • @AndreaMasonga
    @AndreaMasonga 2 месяца назад +5

    Yanga hii unaifungaje eeee😅😅

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 2 месяца назад +5

    Tulio Lia kwa furah yanga kufungwa tujuane

  • @OmarKombo-q3b
    @OmarKombo-q3b 2 месяца назад +2

    Hy nd yanga jaman bila kuloga had penat jaman😢😢😢

    • @bbclondonulimwenguwasoka6126
      @bbclondonulimwenguwasoka6126 2 месяца назад +1

      Matumizi ya sindano

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo 2 месяца назад +1

      Aziz kii kesha bemendwa.hamna kitu hapo sifa tuu zimemjaa.😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @almasijunior103
    @almasijunior103 2 месяца назад +3

    Yotee amedaka kwa machoo 👀👀👀 ⚽⚽

  • @EliwazaGoodluck
    @EliwazaGoodluck 2 месяца назад +1

    Mmehurumiwa mkapewa la kugutia machozi dadekiiiii. ❤❤❤

  • @DoriyceYohana
    @DoriyceYohana 2 месяца назад +7

    Nan amemuona mobeto akicheka😂😂

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 2 месяца назад +5

    Kayoko njoo waokoe kama ulivyo waokoa kwenye Derby dhidi ya simba sc 😂😂

  • @JailosShalu
    @JailosShalu 2 месяца назад +4

    Wala yanga hawajafungwa kwani yanga inafungwaje 🤣🤣🤣

  • @Tashmaorg
    @Tashmaorg 2 месяца назад +1

    Wamefungwa tena hukuuuuuu😂😂😂😂😂❤

  • @seremusicofficial
    @seremusicofficial 2 месяца назад +5

    Yanga halisi bila kayoko😅😅😅😅

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 месяца назад +6

    HAMISA MOBETO HONGERA SANA

  • @murshidyabdallah1356
    @murshidyabdallah1356 2 месяца назад +3

    Tabora mmenifurahisha sana

  • @hamadiluhizo-zs3iy
    @hamadiluhizo-zs3iy 2 месяца назад +4

    Hawawezi Hao bila kudungwa misindano!!😂

  • @2050bydesign
    @2050bydesign 2 месяца назад +4

    Aziz ki anapiga penati upande ule ule kila siku

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 2 месяца назад +4

    Waekewe bango na wao 3 moja 😅

  • @RainazJunior45
    @RainazJunior45 2 месяца назад +4

    Marehem alikuwa na mdomo sana🤣😂

  • @Bancetv
    @Bancetv 2 месяца назад +5

    Azam tv burudani Kwa wote

    • @ZulfaShomari-m8c
      @ZulfaShomari-m8c 2 месяца назад

      Ongerasa na tabora❤😅😅😅😅😅

  • @glodikasereka4744
    @glodikasereka4744 2 месяца назад +1

    Coach Anicet thé best man

  • @AsyaJuma-o7w
    @AsyaJuma-o7w 2 месяца назад +2

    😘😘😘😘😘

  • @ZahraSalum-h7f
    @ZahraSalum-h7f 2 месяца назад +5

    Leo wamenyweshwa supu ya matobolwa 😂😂😂😂

  • @MartineHusein
    @MartineHusein 2 месяца назад +2

    Asante tabora mdomo umeukata vzuri

  • @khamismassoud8533
    @khamismassoud8533 2 месяца назад +7

    muosha huoshwa😂😂😂😂😂😂😂

  • @HusseinMajor
    @HusseinMajor 2 месяца назад +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 месяца назад +3

    Kunakitu chakujifunza apa wakati wa uteuzi wa Timu ya taifa ,makocha wamekalilishwa simba na yanga na wachezaj wa nnje wakat tunavijana wa ndani hatuwap nafas..😢

  • @RashidiMajilanga-x4l
    @RashidiMajilanga-x4l 2 месяца назад +4

    Ila yanga kumfunga Simba ni msaada wa marefa sio uwezo

  • @MuhannadSuleiman4
    @MuhannadSuleiman4 2 месяца назад +8

    Kama wewe umefurahi weka like 40 tuu

  • @OmarAli-zz5sl
    @OmarAli-zz5sl 2 месяца назад +2

    Yanga hii inafungwajeeeee jamni naulizaaaa

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 2 месяца назад +2

    Itabidi apigiwe magoti Mzee Magoma, la sivyo itakuwa balaa😄

  • @zedekiahjulius6
    @zedekiahjulius6 2 месяца назад +2

    Chikola got eyes on goal

  • @DiannaJumanne-de1kk
    @DiannaJumanne-de1kk 2 месяца назад +5

    Tulio muona mobetoo tujuane😮

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 месяца назад +2

    Marefa tumechoka kuwabeba wazee acha wafungwe😅😅😅😅 Diara bila bacca ni bovu kuoiko makipa wote hapa NBC😢😢😅😅😅

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 месяца назад +2

    Sijui leo nani kaficha SINDANO zetu. Tabora wametupiga za uso!!

  • @JoshuangengeyaNgauwo-y9n
    @JoshuangengeyaNgauwo-y9n 2 месяца назад +2

    Daaaaa Hawa tukikutana nao watakula nyingi sana mbaka 90 20:0 mnabebwa hambebeki😅😅😅😅

  • @lameckaugustine1972
    @lameckaugustine1972 2 месяца назад +6

    Memkwa tutawajua msimo umeanza kuchangamka

  • @OssyKyakwe-h5t
    @OssyKyakwe-h5t 2 месяца назад +1

    Shikolaaaaaàaa😂😂😂😂😂😂

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 месяца назад +4

    Kwahiyo baka ndo kila kitu hapo bila baka amna kitu lokhooo

  • @mecktridamussa1419
    @mecktridamussa1419 2 месяца назад +3

    Hivi hata marudio penalty haifungwi tu😂😢

  • @mwanahamisimilinga4441
    @mwanahamisimilinga4441 2 месяца назад +1

    Wacha wee ❤❤❤❤❤ chikola

  • @KhalfanHaji-ec4lo
    @KhalfanHaji-ec4lo 2 месяца назад +3

    sitaki mtu yeyote a like coment yangu😂😂😂

  • @magrethkasabuku1632
    @magrethkasabuku1632 2 месяца назад

    Hongeraaaa sanaaa taboraaaa❤❤❤❤

  • @Platnertz
    @Platnertz 2 месяца назад +4

    Yanga hii utaifungajeeee hhhh

  • @fransdembe4504
    @fransdembe4504 2 месяца назад +7

    Aliyefunga goli la 3 ni federico mtupu wa real Madrid

    • @DinaDaudi-k2q
      @DinaDaudi-k2q 2 месяца назад

      Goli la UEFA kabisa😅😅

    • @ChristinaLucas-rx7bb
      @ChristinaLucas-rx7bb 2 месяца назад

      Angetoka,real,ange,enjoysana😂😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @theblessedmusic5411
    @theblessedmusic5411 2 месяца назад +2

    Ila Azizi

  • @MtalemwaElenest
    @MtalemwaElenest 2 месяца назад +7

    Nyuma mwiko😅😅

  • @samweldaniel7982
    @samweldaniel7982 2 месяца назад +3

    Yanga halisi ndo hii, ila Refa kajitahidi kuwabeba sana. Ile penalty nyepesi sana

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 2 месяца назад +4

    Uyo refa amewaongezea adi dakika 8 lakini wapi😂😂😂😂

  • @aleoforex6945
    @aleoforex6945 2 месяца назад +2

    Ndomana nawapenda Azam, mapema Sana, haina kupoa, tuone watu walivyokandwa😂😂😂

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 2 месяца назад +1

    Safi sana na badoooooo😂😂😂😂😅😅😅

  • @HassanSadiki-u1z
    @HassanSadiki-u1z 2 месяца назад

    Sitaki niwaingilie kwenye hili jambo mimi napitatyuuu😊😊😊❤❤❤

  • @SharifaNgulipa
    @SharifaNgulipa 2 месяца назад +4

    tabora wamenipa raha😂😂😂

  • @Jjm172
    @Jjm172 2 месяца назад +2

    TABORA 🙌🏻

  • @Elishajr3
    @Elishajr3 2 месяца назад +4

    Nilidhema sikudhema?😅 Nimefurahi dhana dhana dho much

  • @mandejemazengo3321
    @mandejemazengo3321 2 месяца назад +4

    Mzigo mzito mpe mnyamwezi😅

  • @ScienceandTalent
    @ScienceandTalent 2 месяца назад +5

    Wamerudi kwenye levo yao sasa...

  • @GwamaksmsyaniGmsyani
    @GwamaksmsyaniGmsyani 2 месяца назад +1

    Daaah Aiseeeh Hamonize Ashtakiwe huo wimbo

  • @2ndkingdom05
    @2ndkingdom05 2 месяца назад +2

    kweli mzigo mkubwa mpe mnyamwezi

  • @moshifrank9622
    @moshifrank9622 2 месяца назад +4

    Yanga wakilambishiwa vitu vitamu wanalegea 😂😂😂😂😂

  • @anthonyshirima8805
    @anthonyshirima8805 2 месяца назад +3

    Na bado refa alikua amegemea upande wa Yanga asilimia 80%

  • @Simbagelo
    @Simbagelo 2 месяца назад +7

    Yanga hii mnaifungwaje jaman 😂😂 tabora tujibu jaman

  • @ntakirutimanaclever2002
    @ntakirutimanaclever2002 2 месяца назад +3

    Impossible penalty, and lost it😂😂😂

  • @SalumHassan-w1j
    @SalumHassan-w1j 2 месяца назад +4

    Binafsi nimefurah san yanga ni wabovu naamini walikua wanabebwa tu saiv marefa wanaogopa kubeba team watafkuzwa kazi

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 2 месяца назад +3

    Nimegundua mtangazini ni Yanga

  • @Rn.kaduma
    @Rn.kaduma 2 месяца назад +2

    Huo ndio mpira msie mtegemea ndiyo anaye kuja kukuliza 😂