🇹🇿 BASHUNGWA ASHUHUDIA UJENZI WA BARABARA YA NJIA NNE (KM.29) MKOANI MBEYA UKIANZA KWA KASI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2023
  • Kazi za ujenzi wa barabara ya njia nne kuanzia Nsalaga hadi Ifisi (km 29) zinaendelea mkoani Mbeya
    BASHUNGWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA NJIA NNE (KM.29) MKOANI MBEYA

Комментарии • 10

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 9 месяцев назад +1

    SAF SANA W ENDELEA KUCHAPA KAZI

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 9 месяцев назад +1

    Bashungwa anaonyesha ana kitu huyu

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 9 месяцев назад +1

    Msije mkasahau madaraja yakuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda upande wa pil kwa mfano kutoka Sido kwenda upande wa pil mwanjerwa

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 9 месяцев назад +1

    Acheni uongo kwa kasi wapi na baadae mambo hupotea ghafra na kimya kimya

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 9 месяцев назад +1

    Makosa yenu vipi mtawapa mikataba bila kukagua na vifaa kama vipo nk

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 9 месяцев назад +1

    Barabara itakayo vunja record ya kuchelewa kumalizika itamalizika miaka 20

    • @adammj6258
      @adammj6258 9 месяцев назад +1

      Huwa hamuitakii mema jamii yenu shida nn? Hadi uombee isiishe badala ya kuombea iishe??

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 9 месяцев назад

      ​@@adammj6258Kuna vitu vinahitaji utashi mdogo tu sio maombi, Wametumia kuondoa miti miezi 3 hiyo ni sign tosha kwamba hakuna kitu

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 9 месяцев назад

      Watanzania wengi akili zao wanazijua wenyewe. Rais hata akifanya jambo Nzuri hamuoni.

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 9 месяцев назад

      Kazi yenu ni kulaumu tu. Rais wangu fanya kazi. Sijawahi kupiga kura ila 2025 nitapiga kura Kwa ajili yako