"KAZI KAZI" TAZAMA WAZIRI ULEGA ALIVYOSHTUKIZA 'SITE' USIKU, ATOA MAAGIZO HAYA KUHUSU UJENZI WA BRT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 дек 2024

Комментарии •

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu День назад +1

    Waziri uhakikishe kazi inaubora kuna udhaifu sana kwa makandalasi na wahandisi wanao wasimamia wakandalasi. Usikubali kulambishwa asali au kucheka na nyani utavuna mab....

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 дня назад +1

    Olega hoyee safi Sanaa

  • @KelvinFransis
    @KelvinFransis День назад

    Njoo huwanja wa Afkon wazir huku kunakazia siyo kaz mmesema uwanza ni wabilion miambili naa lakin watu wanalipwa kwa wiki na wanalipwa mpaka 10000 kwel tanzania ivi katuloga nan

  • @irenekalinga323
    @irenekalinga323 День назад

    Naogopa kusema lakini ni vituko

  • @anicetymkwaya6530
    @anicetymkwaya6530 3 дня назад +1

    Mh. Waziri wetu wa ujenzi
    Nenda kakague Barbara ya Tarime Nyamwaga Nyamongo. Mkandalasi kaishaondoka site na njia ya pembeni imeharbika sana wananchi wanateseka sana! Nini kauli ya serikali?

  • @section8ight174
    @section8ight174 3 дня назад

    Hivi huyu waziri anavyotembea usiku namna hii bila ulinzi mkali sasa atamlaumu nani kitu kikitokea? Let’s keep our elected officials safe, please & thank you!!

    • @malikally2253
      @malikally2253 3 дня назад +3

      Ulinzi wa nn na wakati analindwa na mungu

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 дня назад

      He is not an elected minister but he is an appointed minister .

    • @section8ight174
      @section8ight174 2 дня назад

      @@malikally2253 prayer without works is futile! Let’s be extra vigilant with our lives , we’ve only got the one so make it count!!

    • @section8ight174
      @section8ight174 2 дня назад

      @@Kabwela776 Great! Point still stands!

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 2 дня назад +1

      Tanzania is safe..kwani umejulia wapi hana walinzi? Nu lazima yuko na Sekret polisi