WAZIRI ULEGA: BARABARA YA MBANDE - MSONGOLA (3.8 KM), UKAMILIKE KWA WAKATI NA UBORA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 19

  • @luswagawamba2232
    @luswagawamba2232 2 дня назад

    Ulega mheshimiwa vikindu sangatini tunatka barabara nzuriiii pleaseeee

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 3 дня назад +2

    Na mbagara vikindu ni lini wakuu au tuendelee kuteseka na shida zetu

  • @OmaryMkungwa
    @OmaryMkungwa 3 дня назад +2

    Barabara miaka kumi aiishi siasa TU tushawachoka

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 дня назад

      Sio Kazi Rahisi Kama Uzaniavyo. Hata Mtoto Hakui Mara Moja.

  • @JumaTimbanga
    @JumaTimbanga 2 дня назад

    Tunaomba mtutengenezee Barabara ya mbande msongola

  • @luswagawamba2232
    @luswagawamba2232 2 дня назад

    Mh wazir,mbunge vikindu sangatini lini tunataka kujua

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 дня назад

    kitunda kuna hospital ,,hospitali ya amana hivi mama zetu wanakimbizwaje kujifungua...mimi nimewahi kubeba mama wa uchungu harafu magari yalikuwa yanakwama ....usiombe ikukute hii njia ni aibu ...bora msingeweka hospital watu waelewe moja...tusaidien jimbo hili lina serikali tupu ....

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 5 дней назад

    Kwa sillaa ni Waziri wa nini sasa hivi...?

  • @TajiriPoti
    @TajiriPoti 4 дня назад

    Jamani mbunge jerry unatuacha mombasa diwani na mkoremba kwa nn msituhurumie cc sio chadema jaman

  • @GodfreyKitaly
    @GodfreyKitaly 4 дня назад

    Mweshima Toka ulipofika hakuna kina choendelea mpaka sasa

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 3 дня назад

    Kaka usitusahau na huku kwako mkuranga
    Barabara ya mwanambaya mbande kaka inatia huruma tusaidie tunakutemea

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 дня назад

    huyu eti kijana

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 дня назад

    yaan huyu SLAA HAPA BANANA KITUNDA
    KIVULE TO MSONGOLA

  • @TajiriPoti
    @TajiriPoti 4 дня назад

    Ubaguzi umeanza

  • @OmaryShop-f6w
    @OmaryShop-f6w 3 дня назад

    Hivi wewe hiki kipande cha kongoe rozando mwanambaya kwako kwanini usjuhurumie mwenyewe!! Da!!