UJENZI BARABARA KIGOMA KIZUNGUMKUTI, TANGU 2021 HAKUNA HATA LAMI, NAIBU WAZIRI AELEZA HAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 дек 2024

Комментарии •

  • @williamjohn6463
    @williamjohn6463 11 месяцев назад

    Kwanini tusiwape makandarasi wetu na wapo na wanaweza. Tunatakiwa kuwawezesha watu wetu tufanye wenyewe kazi hizi.

    • @BadoMartense
      @BadoMartense 5 месяцев назад +1

      Miradi itakayo dumu hawaifanyi kwa kujaribu, kwa hiyo watu wetu ni kuanziya kwa vidogo ambavyo sio vigumu. Usipende ushabiki ndugu, ni vizuri kubadili mkandarasi ili kutafuta aliye bora na sio kuchukua chukua tu

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 11 месяцев назад +1

    Waziri toa maelekezo ya muda, ndo kazi hiyo

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 11 месяцев назад +3

    Waziri Kwa Niaba ya Serikali kaeni chini muangalie namna ya kuvunja mkataba huo bilà kuathiri Nchi.

  • @naligiatomaso5006
    @naligiatomaso5006 11 месяцев назад +2

    Tatzo campun hii ya stecol imesha kuwa wezi Sana mda wte wanawaza mafuta2 Kaz 00

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 11 месяцев назад +1

    Ndio tunapo Mkumbuka Magu

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 11 месяцев назад +3

    Pili wachina wanaleta Umafia sasa nchi Tanzania kutokana ni kampuni nyinyi hasa za barabara upewa wao kwa wingi na wesha tujua Uzaifu wa Serikali ya Tanzania kuhusu ufatiliaji

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 11 месяцев назад +3

    Msipokua makini watakupakieni rangi nyeusi halafu baada ya nwezi 1 barabara ishakua mbovu

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 11 месяцев назад +1

    Wachina wanasabotaji Tanzania na uwenda kuna watanzania wanadili nao wanadai teti kuna vita waongo Tanzania hakuna vita China hakuna vita

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 11 месяцев назад

    Alf mnajifanya kufatilia mbo mengi kipindi hiki Cha karibia na uchaguzi , kiufupi ninyinpia ni tatizo

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 11 месяцев назад

    Happy ukifatilia utakuta tatizo limeanzia Kwa watu wetu, Wala hakuna lolote

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 11 месяцев назад +3

    Wacha wapingwe mpaka wakome kitu kikifanyika kiujanja ujanja kinaenda hivyo hivyo ukifatilia kwa undani utakuja kuta kuna upigaji .

    • @BupinaAlex
      @BupinaAlex 11 месяцев назад

      😂😂hiyomkweli kabisa ahawa jamaa siyo poaa

  • @KasimuSudi
    @KasimuSudi 11 месяцев назад +1

    Vita inahusika nini na barabara wakati kilakitu kipo tanzania

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 11 месяцев назад +1

    Tunachukua mda mref sana kufanya monitoring and evaluation ila each service needs regulatory and supervisory authority ambayo ni will be answerable directly to the minister

  • @davidfredpeter7077
    @davidfredpeter7077 11 месяцев назад +2

    Nadhani huyu contractor aili underbid na huwa anapewa yule mwenye the lowest price.sasa mdhara yake ndio haya pale garama zina panda kutokana na external factor.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 11 месяцев назад +2

    Kwani wahusika si wapo kuna mipango mibaya lakini tunaongea kama kawaida sanaa hapo watumishi WA serikali wanawashika maskio ili wavute mpunga nilazima Kwa serious blabla tu

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 11 месяцев назад

    Nilikua kigoma mwaka 2019 nikakuta wanatengeneza, mikarudi 2021 nikakuta wako pale pale, nikarudi 2022 nikawakuta wako pale pale. Nadhani kuna haja ya SERIKALI kuchukua hatua za kusheria

  • @BupinaAlex
    @BupinaAlex 11 месяцев назад

    Wake wawaondoe tuu kwani Hawa jamaa wezi Sana kibarua anatakiwa alipwe sh 16200 lakini wao wanalipa sh 12500 je pesa hiyo nyingine wanapeleka wapi serkali ukifuatilia inadanganywa kuwa makubaliano ndiyo yanayo fanyika na ndiyo chanzo chanmradi kudumaa pia wafanyakazi Wana mikataba hewa dah namskiliza kiongozi atajichetua tuu dah viongozi tokeni maofisin njoon kwenye mradi bwana na Kama usimamiz ni huu bado Sana 😢

  • @AnaniaBulaya-rc3jv
    @AnaniaBulaya-rc3jv 11 месяцев назад

    Anasingizia vita kwani vita ilikuwa Tanzania.?

  • @absm8084
    @absm8084 11 месяцев назад +1

    😢😢😢

  • @pastorygeorge3062
    @pastorygeorge3062 11 месяцев назад

    Mnavituko kwel yaan kazi mnawapa wenyewe kulalamika tena nyie hawajamaliza mrad huu mnawapa tena mrad mwingine