MAAGIZO MAZITO ya NAIBU WAZIRI MKUU, MGAO wa UMEME BAADA ya KUTEMBELEA MRADI wa BWAWA la RUFIJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 62

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Год назад +2

    Mh Huwa nakuelewaga sana M'Mungu akuongoze wewe na Rais wetu Mpendwa aliye kuchagua wewe Hakika hajakosea

  • @pastorypetro6861
    @pastorypetro6861 Год назад +7

    Iv ni mkoa upi amba bado hauna mvua muheshimiwa Doto????? Mbona siasa zimekuwa kubwa kuliko ukweli????

  • @GodfreyMwambwalo-ev9nh
    @GodfreyMwambwalo-ev9nh Год назад

    Mwenyezi Mungu Akujalie afya njema uendelee na kazi unaongea vizuri sana ubarikiwe sana

  • @mrajani786
    @mrajani786 Год назад +1

    Next president of Tanzania deputy prime minister

  • @qasammamachinya4448
    @qasammamachinya4448 Год назад +2

    Mwenyezi mungu akuongoze,vyema kutokomeza azaa hii, ya umeme kukatka mara Kwa mara nchini,,🇹🇿 tuko pamoja sana, mh. Biteko

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Год назад +2

    Mungu akubariki kwa hilo, hata sisi wananchi hatujala sikukuu kwa uchumi mbaya unaosababishwa na ukosefu wa Umeme tutajitahidi kulipa kodi rafiki, ili serikali iboreshe huduma za msingi kwa jamii kwa bei rafiki. Aidha tunatamani juhudi hizi hizi zifanyike na serikali kutupatia wananchi katiba mpya yenye maslahi kwa wote, bila kujali maslahi binafsi. Mungu mbariki mama Tanzania, Amen

  • @Sangaadam
    @Sangaadam Год назад +1

    MH.Waziri umeongea kisomi Sana tofauti kabisa na wanaongea ili kutafuta sifa na popularity bila kuliangalia tatizo liko sehemu ipi maana zilitolewa AHADI nyingi Sana toka kipindi kirefu sana na hatukuona kuanza kwa uzalishaji Sasa tunaamini litaanza km mlivyo panga

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 Год назад +1

    Maneno tu tuna taka umeme

  • @MakilinDausi-x2t
    @MakilinDausi-x2t Год назад

    Safi sana ❤

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s Год назад +2

    Yaani kama sisi huku arusha maeneo ya olast tuko gizani na sidhani kama tutarushiwa sasahiv labda had alfajir tunateseka sana kwani vip hayo majenereta hamjamaliza kuuza????😂😂😂😂😂

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 Год назад

    Uhhhh kumbe na kwenye gasi Kuna stress bomu likilipuka ni balaaa

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua Год назад +2

    Warm wabatakaumeme kwa shughuli zao za uchumi hali ni ngumu sana kwao

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Год назад +1

    MUNG AWAJARIE HILI TARIZO LA UMEME LIISHE

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Год назад +2

    Kwa nini wataalam wa TANESCO hawataki kusikiliza kuhusu uvunaji wa umeme kwa kutumia mionzi ya jua, kuna maeneo mengi Tanzania wangeweza kuinvest kwenye solar power plant kubwa tu, ama ni elimu finyu waliyo nayo kuhusu alternative energy kama solar energy? Kuna nchi zinavuna na kuuza umeme wa solar kwenye scale kubwa sana kuliko hata matumizi ya umeme wa Tanzania kwa Taifa zima. Jimbo la California kwa mfano linavuma zaidi ya 60% ya umeme wanaoutumia ni solar sourced!
    TANESCO waje na mfumo wa kuwapa wateja wao solar panels, wangeanza na Dar Es Salaam ambako wateja wao wangeweza kuzalisha umeme kwenye majumba zao na kuuweka kwenye mfumo wao wa TANESCO, hii ingesaidia kuwa na smart grid system nchini.

    • @darasahuru6819
      @darasahuru6819 Год назад

      Kuna mradi wa solar 150 MW umeshaanza ujenzi phase 1 ya 50MW Simiyu . Kuna miradi mingine ipo kwenye plans Singida, Dodoma, Iringa, Shinyanga na Mwanza. Pia kuna 5MW za IPP inaoperate ipo Kigoma wana plan ya 10MW expansion Kigoma na plant mpya ya 10MW Dodoma.
      Na sio solar tu, kuna mradi wa wind power upo njiani Singida na geothermal Mbeya. Hydopower ya Malagarasi pia imeanza.
      Tanzania hatujalala kwenye renewables, ni suala la muda tu.

  • @rwekazamugasha6448
    @rwekazamugasha6448 Год назад +1

    Tanzania ya umeme kila kijiji inakaribia. Pongezi kwa wote wanayo nia kutoa ktk mgao.

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o Год назад

    Maneno mengiiiiiiiiiiiiiiooooiiii watanzania wanataka umeme tumechokaaaaaa

  • @noelmtao2735
    @noelmtao2735 Год назад +2

    Tusisahau pia kuanza kufikiria umeme wa uhakika "renewable energy" wa upepo, jua na thermal energy kutoka ardhini. Mvua na hali ya hii ya uchafuzi wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi haitabiriki!

    • @athumaniamiri880
      @athumaniamiri880 Год назад +1

      Nikweli mvua zikikata bwawa halina maji inakuwa changamoto umeongea jambo jema mkuu

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Год назад

    Mmmh yetu macho

  • @eliamsikundi
    @eliamsikundi Год назад

    Naomba kufikisha ujumbe kwamba mkoa wa pwani baadhi ya sehemu kama eneo liitwalo mihande MITA zilizofungwa nyingi sio mzima ni mbovu Kuna baadhi wameripoti Tanesco tunaomba serikali ifuatiliwe.

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Год назад +3

    Ze Comedy inaendelea. Hoyeeeeee!!!

  • @revocatussebastian2427
    @revocatussebastian2427 Год назад

    Mimi siamini kama huo mradi utasaidia umeme usikatwe ilihali Tanesco wamejijengea iyo tabia kama kipindi hiki cha mvua nyingi mito imejaa nabdo wanakata umeme inamana kuna watu wanaikwamisha serikali kwamasilahi binafsi wauze majenereta na Sola hao niwaujumu uchumi

  • @abuubilal2646
    @abuubilal2646 Год назад +3

    Tujenge vinu vya nyuklia ni umeme wa uhakika

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Год назад

    Na hii mvua inayonyesha inanyesha wapi ??

  • @EwardWilbroad
    @EwardWilbroad Год назад

    Vema sana waziri wetu. Chini ya uongozi wenu tutatoboa. Tuwekeze kikamilifu kwenye umeme na nchi yetu kiuchumi itaenda mbele.

  • @bongo39
    @bongo39 Год назад

    Basi huku mnaendelea na hilo na huku daresalaam basi mgebadilisha vifaa ili kusiwe tena na kukatika umeme yani kila siku tokea mgao hamna mpaka leo kuna mgao sie wakazi wa daresalaam umeme ukatike lazima haipiti siku bila umeme kukatika

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Год назад

    Wengine wanawaza eti Makonda, taka juu ya taka. Achieni wenye akili nynyi CHOKA MBAYA'!!!

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 11 месяцев назад

    Hata umeme ukiwepo wa kutosha tanesco bado wataleta mgao tu, mbona raisi Magu hakukua na mgao na umeme ni huo huo, i hate them

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 Год назад

    Hii nchi bado watu hawajaanza kusoma,wanakusanya vyeti tu,safari ni ndefu .

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Год назад

    Sola Vipi Dr Biteko jua Si tunaro

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 Год назад

    RIP MAGU 😢😢😢😢 MATUMBO YAO TU YAMEJAA KWA WIZI, huu mradi alianzisha Magu lakini wameshindwa kumalizia

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 Год назад

    Mbona Unazungumza Kidhaifu Mr Waziri?????

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Год назад

    Yaaani huyu ndo awe rais wa nchi hii Hamna nchinhii inahitaji kiongoz mkali yaan tunadanganywa eti maji jaman

  • @kamanda007
    @kamanda007 Год назад

    Anapiga mdomo tuu, siamini mpaka nimeona umeme wa kutosha, hawa wanasiasa akili ni sifuri matumbo yamejaa

  • @johnjoel5012
    @johnjoel5012 Год назад +1

    Mvua yote hii eti bwawani maji yamepungua duuuu genereta kila kona ni kelele biashara tu. Hayati Magufuli aliyaona.😂

    • @MhendiMartin
      @MhendiMartin Год назад

      kwa kweli uamuzi mgumu haupo kabisa siamini hata kidogo kama Magu angekuwepo kila kitu tayari mtabembelezana hadi 2025

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz Год назад

    Sawa waziri wetu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Год назад

    Maji yanapunguaje wakati mvua zinanyesha? Mbona wakati wa Magufuli haukuwa ukikatika hivi?

  • @andrewmwita119
    @andrewmwita119 Год назад

    Mzee baba mbona unaongea kwa unyonge mzee

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Год назад

    Mh Biteko tunakutegemea ww kijana kwa NN tudanganyane mchana kweupe. Bro mmmmh mvua nyingi sn inenyesha tunadanganywa hapa kana kwamba maji yamepungua.. niombe usidanganywe kirahisi hivyo bro naomba SN pambana unadanganywa hapo magufuli alishusha mvua sahiz wanakata umeme wanavyotaka na ww unatudanganya waziwazi eti maji yamepungua aibu hiii . Mvua inanyesha kila sehemu

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 Год назад

    Hilo bwawa ni busara likawa na sehemu inayoruhusu upanuzi, nchi iwe na kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 Год назад

    Mpunguze Bei ya umeme,tuachane na mkaa

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Год назад

    Hii ndo nchi pekee kwenye maswala ya maendeleo hainaga plan b kabsa,mnategemeaje umeme wa maji KilA mwaka?HV hamwez kwenda nchi za wenzetu mkajifunza?HV mlikuwa na haraka gan ya tren ya umeme?kwann hzo pesa zisingetumika kuboresha umeme kwanza?

  • @philemonnongu3222
    @philemonnongu3222 Год назад

    Wabeja bhabha

  • @partysekemi5
    @partysekemi5 Год назад

    Hustahili nafazi hauoni aibu kusema tatizo la maji?? 😅 imani imani kwaniujui imani bila matendo imekufa

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Год назад +1

      Unaonekana hata hujasikiliza na kuelewa, punguza mhemko sikiliza jambo ulielewe kwanza

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 Год назад

    Huo upumbavu wenu wa kudanganya watu kwa kutumia maneno ya kisiasa unamwisho wake bwawa la rufiji halina maaelezo eti kwenda kwenye vyombo vya habari na kuita watu na kuongea hakuna haja hiyo nyie ni kufanya tu kama sehemu ya wajibu wenu

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Год назад

    Mweshimiwa Waziri maelezo yako ni mazuri sana sasa kinachotakiwa ni ufuatiliaji ili wayatimize yote practically.
    Kwa watumishi wa nchi hii wengi hawana uzalendo,inatakiwa wakati mwingine maamuzi ya ghafla yafanyike kunusuru shirika na pia kazi zitimizwe inavyotakiwa .Nimekusikiukiongelea juu ya kuwa na mpango wa muda mrefu kwa kuzingatia matumizi/mahitaji ya umeme

    • @elioimer8423
      @elioimer8423 Год назад

      Kama unasema watumishi hawana uzalendo sasa kwa nini bado wako kwenye ajira. Au unamaanisha uporaji na upigaji mwingi hivyo viwango duni ndio mpango nzima.

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Год назад

    We we sasaiv una mana bola wampe makonda io nafas yako kesho. Tu nchi zima umeme auto katika habadani wewe ufai toka apo

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 Год назад

    Arusha arusha tunakatiwa hovyo arumeru ndio hovyohovyo kama kutaendelea hivi kura kwangu nawatu wote hakuna

  • @dicksonkyando8989
    @dicksonkyando8989 Год назад +2

    Rais ajaye