ALIKIBA AMTAMBULISHA RIYAMA ALLY MTANGAZAJI MPYA WA CROWN MEDIA
HTML-код
- Опубликовано: 30 июн 2024
- Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online Развлечения
Asanteni madada, asante Riyama
Napenda mapasho yko na kiswahili chako kitamu
Nakupenda habibtiy riyama mie yr sister from oman
Nchi yet oyoooo🎉❤❤❤
Kwakwel hapa ni nyumbani
Upo vizuri riyama
Crown 👑 media
Wee!! Safi sn❤
Bro na kukubali komaa na jiji madogo wasikupite
Mashallah mashallah
Riama karibu crown jinsi nnavyokupendaga sikosei crown. Kelele zako kipaji zimekupa ajira🎉🎉🎉😂😂
King kiba
💯💯
Mfalme pambe
❤❤🎉
❤❤❤
Uyu apewe kipindi chataharabu maana riyama😅