CHID BENZ ALIVYOWASHANGAZA MASHABIKI ZAKE/ DJ CHOKA ASHIKWA NA BUTWAA -

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @rogermazombo9744
    @rogermazombo9744 4 года назад +281

    Wasafi please mu saidiyeni Benzino kutoa iyo ngoma itakuwa kali sana ambao wame kubali iyo ngoma na wana penda itoke tujuwane kwa ma like apa

  • @itumbajoh5399
    @itumbajoh5399 4 года назад +24

    This man has extraordinary skills very genius and well talented.. you can see he suddenly changed with vocal synchronised..✴

  • @tetetvlamu9224
    @tetetvlamu9224 4 года назад +49

    Chid bro mm ni bro wako, kutoka lamu kenya wallahi naskia Raha kukuona big love bro

  • @tidyclevertz
    @tidyclevertz 4 года назад +73

    ONCE A CHIDI BEENZ ALWAYS A CHIZI BEENZ, NAKUBALI SANA HUYU MWAMBA

    • @aliabmugh2362
      @aliabmugh2362 4 года назад +1

      Mimi ni nani nisidondoshe komenti love wkb

    • @themagadir
      @themagadir 4 года назад

      Once Chidi Benz always Chidi Benz

  • @sponsertv5009
    @sponsertv5009 4 года назад +35

    Daaaah yani hapa nimelia yani daah chid so chid go chid talented more than fire

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 4 года назад +12

    Oyooooooo Wasafi hatareeee. With love from Embakasi, Nairobi. Chidi Chuma....... Wacha maneno weka muziki

  • @harunafillipo8584
    @harunafillipo8584 4 года назад +187

    Bonge la kionjo alie lielewa kama mm like hapo

  • @jaymalebo2159
    @jaymalebo2159 4 года назад +3

    huyu mwambaa ni hatari kapandaa na bit hapo hapo mistar hapo hapo eeh bwaanaa respect xna chid benzz♡♡

  • @fezzydawisso4235
    @fezzydawisso4235 4 года назад +422

    Anae kubaliana na Mimi chiddy benzi ni genius gonga like

    • @hamidmakamejuma3518
      @hamidmakamejuma3518 4 года назад +4

      Chizi uyu ila media tu ndo zonimfanya aonekane anaongea point , hamna kitu

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 года назад +1

      Genius gani Sasa....hahahaaa.....wabongo bwana...!

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 4 года назад +1

      Ismail Yusuph waBongo tunaongoza kwa story za vijiweni 😁, Genius sijajua watu wanauelewa gani kuhusu u Genius .

    • @dan-konjembe5913
      @dan-konjembe5913 4 года назад

      🎶🎶🎶🎶🎶🎶🙌🙌🙌🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾👍

    • @arinatsynkush7325
      @arinatsynkush7325 4 года назад

      Explain the meaning of the word Genius.

  • @john_mlacha5390
    @john_mlacha5390 4 года назад +16

    Anae mkubali chidy gonga like kama zote❤❤❤one love brooh

  • @slasherkwanjajr3251
    @slasherkwanjajr3251 4 года назад +166

    Kipindi Kizuri Sn Ila Muwe Na Security Nzuri Maana Ipo Siku Kuna Msanii Anaweza Akapaniki Kutokana Na Mawazo Ya Mashabiki

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 года назад +6

      Kabisa kama kwa yule jamaa wa rasta kidogo amuwakie

    • @kisesalusambo9452
      @kisesalusambo9452 4 года назад +2

      Mb a kipindi wameiga Cha ETV kabisa

    • @dairyhairy6269
      @dairyhairy6269 4 года назад +3

      Acha weye hichi kipindi kimeanza kitambo saana

    • @dairyhairy6269
      @dairyhairy6269 4 года назад +3

      Wasafi wabunifu saana sema etv ifanye iige

    • @okeyokarolipaul4893
      @okeyokarolipaul4893 4 года назад +3

      @@kisesalusambo9452 tunaoga na tunafanya kuwaliko, habari ya mjini 😂, penye diamond yuko hakuanguki

  • @zarohjuma2151
    @zarohjuma2151 3 года назад +6

    Chidi Benz is one of a kind. The Best Rapper of All Times REAL OG. he is hilarious and serious at the same time Big Up Mo Town Sanya. One Love from +254

  • @farajastanley3480
    @farajastanley3480 4 года назад +45

    mo town sanya ... wana tulikumis kinouma coz ua the best in street shows..

  • @omaryrashid4720
    @omaryrashid4720 4 года назад +7

    Uwa sipendagi kucoment ila kwa huyu mwamba ni nyokooooooooo
    Nakubalii Xana punch zake

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 4 года назад +11

    nimependaa sanaa mnavyo mpaa uhuru msanii love this

  • @SirdickOmondi
    @SirdickOmondi 4 года назад +6

    Like Chidi ever since.....cheki chidi alivyojibu Kibusara na kistarabu... Best ever Rapper East Africa.

  • @damianmachilutv1167
    @damianmachilutv1167 4 года назад +5

    Kama unajua unajua tu, CHID BENZ anajua sanaaaaa MUNGU amuwezeshe atoke alipo ila anapishana na hela nyingi sana huyu jamaa

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 года назад +1

    Sanaa inakuwaa.mpka raha.

  • @_HelloX_
    @_HelloX_ 4 года назад +16

    Kusema ukweli chidy anafaa sana kua motivational speaker, anaongea vitu kuntu sana #1♥️

  • @ramadhanirashid7798
    @ramadhanirashid7798 4 года назад +2

    Jamaaaa ni noma jamaa namkubali long

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 4 года назад +68

    Dah! Mazee
    Chiddi ni mnyama sana, kama unakubali Chiddi kafanya unyama studio gonga like twende sawa

  • @brain_ujazo
    @brain_ujazo 4 года назад +10

    Hii ingekua na Session mbili safi sana. Bugalee na Chidi wangekua na Hiibsession pia ingekua Vema Zaidi

  • @baqaryamry3415
    @baqaryamry3415 4 года назад +8

    Naombeni like za producer wadau

  • @godwinmwasimbatv7307
    @godwinmwasimbatv7307 4 года назад +3

    Bongeeee la show motown sanya..big up kwa wasafi hawajawahi mkatia tamaa chid benz chumaa

  • @michaelnassoro5669
    @michaelnassoro5669 4 года назад +36

    Ukiaachana na chid, uyo alieedit hii kitu n muuaji wa namna ya flyover.......Daah em ngoja niangalie tna

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 4 года назад +101

    Chidi bana nilipomkubali zaidi kwenye hii video, pale alipotoa sigara akampa jamaa, papo hapo akapiga darasa la madhara ya sigara. NOMA SANA!!!

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 года назад

      Hahaaa’ wabwia unga Ndo walivyo....!...Akianza kukuelezea madhara ya unga huku anakusihi usijiingize na ww’ unaweza kujiuliza Kwa nini Sasa yy ANAUBWIA...? ....hahahahaaa...!

    • @saidabdallah3193
      @saidabdallah3193 4 года назад +3

      Ismail Yusuph sio wabwia unga, watu wote wenye akili walijikuta kwenye ubwiaji wa unga, uvutaji wa sigara ama pombe watakushauri usijaribu hizo vitu kwa sababu ukishaingia hata kama hupendi na unataka kuacha kazi yake sio ndogo. Na hiyo ni kwa sababu hivyo vitu vina addiction strong hatari once you are in you are fucked up!

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 года назад

      #SaidAbdallah ....Ah.!...wabwia unga wako tofauti sana juu ya kuasa ‘ hawalingani na hao wanywa pombe au wavuta sigara ‘...!

    • @salamakombo3257
      @salamakombo3257 4 года назад

      Kweli kampokonya kabadili adi rahaaaaa

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 4 года назад

      Watu wa sigara tupooo

  • @denisksylivester7846
    @denisksylivester7846 4 года назад +18

    Bonge moja la pind.. Big up Wasafi media for the creativity 🔥#MO TWN SANYA 👊

  • @hanxbrown4511
    @hanxbrown4511 4 года назад +1

    Nampitishaaaaa

  • @michaelmzinga4741
    @michaelmzinga4741 4 года назад +26

    Chid benz is my favourite rapper since day one.

  • @francekabelege2998
    @francekabelege2998 4 года назад

    Chii chiii chiii chiiii chidi benzii babu ww ni fire game linakukubal aisee achia goma ilo watu tuluke kwanjaaaaaa naqubali pia kwake sanya kazi nzur anafanya big up broo afu nilikua simjui buga reeee ni chaliii flani iv machachaliii kazi nzuriiii ma beat yake nayaskiaga kwa rosareeee atareeee xan buga reeee Aaaaaaaaaaa my bubaaaaa my bu my bu my bubaaaaaaaaaa🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎤

  • @laulenciaevarist6249
    @laulenciaevarist6249 4 года назад +3

    Hakuna mkali wa hip hop kama MNYAMA CHID BENZ KAMA UNAMKUBALI gonga like kama zote timu #CHIDBENZ ALL THE BEST BRO

  • @chrislee4292
    @chrislee4292 3 года назад +1

    Mugalee yuko vizuri 🤣🤣nimependa alicho kifanya .kumbe ukijikubali unafanikiwa .gonga like Kama nawe umekubali Kama mmi

  • @ibrahimkhatibu4561
    @ibrahimkhatibu4561 4 года назад +18

    Hii ngomaa itokee jamn nzur sn ❤️❤️

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 4 года назад +1

    Mkongwe salute mwanzo misho piga kazi one day utarudi na utakaa sawa utasimama mikazo tu

  • @salehfarid1003
    @salehfarid1003 4 года назад +22

    Nakubali Kazi alll the way China .... MO TOWN SANYA🔥🔥🔥

  • @bregadiakamote3604
    @bregadiakamote3604 4 года назад +1

    Acheni masiala WASAFI fanyeni juu chini iyo Ngoma itoke ya Chidi ni kali kinomaa🔥🔥🔥 My love My Hubaa......

  • @donomar6876
    @donomar6876 4 года назад +62

    RESPECT THE OG CHIDI BENZ ....GREATEST OF ALL TIME ...SALUTE MWAMBA CHUMA

  • @mwadinihaji565
    @mwadinihaji565 4 года назад +1

    Very nice wasafi wabunifu Sana kwa vipindi nakupiqien mkofi👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @macksonkinenge4319
    @macksonkinenge4319 4 года назад +24

    Ili Jamaa Jitu Kweli sijui alirogwa na Nani kumamake chidi benzi chumaa 💥

  • @mvuyekurevincent8923
    @mvuyekurevincent8923 3 года назад +1

    Nimeipenda hii. Surprised ya dj na alivyo Chana Ebana hatali. Kinoma

  • @enockalphonce695
    @enockalphonce695 4 года назад +6

    Duuuuuh wasafi tv nyie ni balaaaaaaa chid wew mwisho

  • @majotv3405
    @majotv3405 4 года назад +9

    Chidi benzini hatari huyu mwambaa anatisha 🔥🔥🔥🔥 ngoma kali sana

  • @seifalhanmohd9100
    @seifalhanmohd9100 4 года назад

    Jid benzi kiukweli kashuka sana sabab ayo yak anayotumia yamembadilisha anatakiwa ajitambue ili awez kukaa vizur katika gem y mziki big up sana chidi ww n msanii mkubwa ila inabid ubadilike

  • @jafarykitike6385
    @jafarykitike6385 4 года назад +5

    Bugaleeee namuelewa kitambo sana. Ni bonge la pro yaan

  • @mohamedsoud985
    @mohamedsoud985 4 года назад +1

    born talented tayar mwanangu chidi..hata uamshwe ucngzn unao uwezo wakutoa ki2..mwngne aige kama hvo bila kutengeneza ujanja flan kama atatoboa hvo

  • @brightonwalter6682
    @brightonwalter6682 4 года назад +15

    Dah naenjoy mpk Bora kusikiliza wasaf kuliko kusikiliza madem viswaswad wnatia nuksi

  • @fauzhaji7149
    @fauzhaji7149 4 года назад +1

    You are talented you are something else. Just to let you know even lily Wayne cant do that ..bro you are genius talented Tanzanian artist which African never witnessed yet ..believe me ..sit down and think twice .what you really want in life ..YOU ARE STAR BRO MUCH MUCH RESPECT BRO

  • @saidhussein1120
    @saidhussein1120 4 года назад +8

    Hiyo ngoma ya chid mahabuba aliyotoa ghafla kwa Buga bora aitoe imetulia sana

  • @devothatesha1776
    @devothatesha1776 4 года назад +1

    Daaaaaah sauti ya gharama hakuna kama Chid Chid kubaliii sanaaa ❤💝💥💥KINGKONN

  • @kaigepoultryfarm9123
    @kaigepoultryfarm9123 4 года назад +16

    Nakubali season poa Sana 🔥🔥💥💥

  • @kalumtengapeter5932
    @kalumtengapeter5932 2 года назад +1

    Penda sana hii is chid benz noma sana

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 4 года назад +66

    Mimi binafsi CHID BENZ namshabikia toka longtime lakin toka aingie kwenye madawa ikasemekana ameacha simuelewi kunaonekana Kama anatakiwa afanyiwe Counselling arudi Kama zamani kwani hata akifanya interview unaona anatatizo fulan Kama usiriasi haupo.Unakua hicho kipindi nikizuri Sana kinapromo Kali Sana so ndio hivyo

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 4 года назад

      Uyu kuacha madawa ndoto

    • @mussamsella5801
      @mussamsella5801 4 года назад +8

      Ukitaka kumuelewa chidbeenz anachoongea kwanza yafute akirini mwako mapito yake aliyopitia halafu tumia akiri ya kawaida tuu utamuelewa.

    • @chundabadimtanzania9046
      @chundabadimtanzania9046 4 года назад

      @@fatemaligalawa4151 kwann asiweze

    • @isackhassan6551
      @isackhassan6551 4 года назад

      Kwani unga mnaona km nini nyie mbona watu wengi tu wanaacha kwanini Chidi

  • @henrypatrick7312
    @henrypatrick7312 4 года назад

    Huyo mdada wa kwanza IQ yake sio ya huku bro, anajua sana alafu bonge la lecturer , popote alipo apokee salute zake kwangu.

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 4 года назад +6

    Wakenya oyeeee 🤣🤣🤣🤣 wapi likes za chidi

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 года назад

    Mungu Akuzidishie Ujuzi wakutunga Ngoma Kali zaidi Chid benz

  • @hdady0037
    @hdady0037 4 года назад +7

    Mm namkubali chid benz sana 🔥🔥🙏🙏🙏🌹🌹🌹🙅‍♂️

  • @treycarlos3583
    @treycarlos3583 4 года назад +1

    Bonge la beat 🤙🏽 chiiiiiii chiiii chiii chiii chiiii benZZZZZZZ unajua sana brother

  • @newstvonline1336
    @newstvonline1336 4 года назад +3

    Daaah!!! CHID BENZ ni BONGE la mtu jamani, yaani CHID ni BONGE la Rapa East & coast Africa...nimependa jinsi alivyoichafua hiyo Beat hapo Studio.... sijawahi kumchukia Wala kumchoka Chi, Chi, Chi ,Chi, CHID Beeeeenz

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 4 года назад

    Mimi nakuombea mungu ata sigara uwache na pombe love yuo chidi

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 4 года назад +12

    Kumuhoji chidi kazi sanaa

    • @KMLotin
      @KMLotin 4 года назад +2

      😂😂😂coz anamuhoji muandishi kuliko anavyohojiwa yeye😂😂😂

    • @tusajigwemathias3758
      @tusajigwemathias3758 4 года назад

      Yaani kwanza hana uvumilivu wa kutulia kwenye gari anatoka.. Maswali baada ya kujibu ndio anahojii hahahaaaaa chidi hatareee

  • @miastelamagoma1161
    @miastelamagoma1161 4 года назад

    Nakuombea Mungu Chid usiguse teeenaaaa bangeee wa ule ungaaa ulee you the bestiiiii

  • @RTVOfficial
    @RTVOfficial 4 года назад +13

    Thanks for the good job love from 254

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 4 года назад

    CHIDI GENIUS PERIOD KUMUELEWA INABIDI UME NA NUSU HATA YA AKILI ZAKE KWA MANENO YAKE MWENYEWE " NINA ONGEA CONTENT GB 20 WEWE KICHWA CHAKO MB 1 HUWEZI NIELEWA"

  • @hancyboy6812
    @hancyboy6812 4 года назад +29

    Kama umeielewa hii ngoma kama mimi like hapa

  • @hoseajohn110
    @hoseajohn110 4 года назад

    Daaah huyu mwamba nomaaa anakiwasha kama zaman aachie hiyo ngoma basii

  • @steventhomas8046
    @steventhomas8046 2 года назад +3

    Ukweli jamani me huwa nakuja hapa kila baada ya muda kwajili ya kipande icho Cha nyimbo alieimba chidi kwa kweli ni bonge la song

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 года назад +1

    Nakubal sana chid

  • @francismacha2584
    @francismacha2584 4 года назад +6

    NO COMMENT.... Wasafi On Top.
    Worldwide 🔥

  • @ezronuwezo4113
    @ezronuwezo4113 4 года назад +1

    Sijawai acha kumkubali chidbenz ni nouuma

  • @mathewlive77
    @mathewlive77 4 года назад +44

    Kama hawajamaaa wanaifatisha ngoma ya darasa wamekuvunja mbav jua tuko pamoja apa..... 😂😂😂😂😂

  • @nicky3025
    @nicky3025 4 года назад +1

    Huyo Bhughalee ni mnoma mzee🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @jsmastory5770
    @jsmastory5770 4 года назад +8

    UPANUE WIGO
    kuna baadhi ya marafiki huwa tunawachukulia kawaida kwenye maisha lakini ni watu wa muhimu sana.

  • @hadijamarijani8943
    @hadijamarijani8943 4 года назад +1

    Hapo sasa!!!! Unapomzungumzia mwenyewe alafu yupo kwa pembeniiiiiiiii mhmhmhmhmhmhmhh

  • @pezasally8204
    @pezasally8204 4 года назад +31

    Wasafi Mungu anawaona 😂😂😂 hizo head phone ni fire huyo jamaa wa black kauwa

    • @greklauryn6277
      @greklauryn6277 4 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka hadi basi

    • @sherrysalim50
      @sherrysalim50 4 года назад +1

      Wauwah kajua kunichekesha 🤣🤣😂😂😂

    • @shardalove1159
      @shardalove1159 4 года назад

      Heheheee

  • @jullyrichy5938
    @jullyrichy5938 4 года назад +1

    Sema MO town sanya kaka tafuta tu identity yko yaan nkikusukia tu ile nmesikia tu namuonaaa jonijooo yule completely umecoppy mzee #wasafi #hivinikweli

  • @victoruswazi3593
    @victoruswazi3593 4 года назад +10

    Sasa Uyu jamaa w T-shet nyeusi na Nyeupe yenye mistari so Funny 😬😬🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪

  • @benedictmwambanga9544
    @benedictmwambanga9544 4 года назад +1

    Hapo kwa studio chedi bz plz fanyia huo mziki , baba mziko mzito
    Hip hop ya maana
    Bigup chedi bez 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏

  • @mtindothedone4958
    @mtindothedone4958 4 года назад +28

    Duuuh Chidy Nomaa Huwaga sina mzuka na comment Ila kwa Chidy nimecomment

  • @hdboytz2124
    @hdboytz2124 4 года назад

    Buggarlee...ntakutafuta baba nichek uwezekano tufanye kitu kaka@@@💥💥💥💥💥💥

  • @okeyokarolipaul4893
    @okeyokarolipaul4893 4 года назад +6

    Darasa uko wapi, walevi wanaimba wimbo wako vibaya 😂😂😂😂😂

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 года назад +2

    Dah! Jamaa ana sence of humour sema huezi kumlaumu kwa nn aliingia kwenye hio maneno mbaya bt inshallah mungu yuko na ww, big up focus

  • @elizabethmangapii7477
    @elizabethmangapii7477 4 года назад +145

    Jamani hawa wasafi ni wabunifu sana binafsi kuna muda fulani nilikuwa sijawaelewa ila sasa wako juu kwa ubunifu....chidy katisha jamani huyu jamaa ana akili sema basi tu

    • @mubussnestv5057
      @mubussnestv5057 4 года назад +2

      Tatizonmchezo mwingi

    • @vennvictor5784
      @vennvictor5784 4 года назад +1

      Sanaaaa

    • @vennvictor5784
      @vennvictor5784 4 года назад +1

      Daaaaaaaa nomaa aanaaaaaaaaaaaa

    • @ibrahimtekelo304
      @ibrahimtekelo304 4 года назад +9

      Hiki kipindi sio wanebuni bali wamejiongeza mara ya kwanza naona ubunifu kama huu ilikuwa kwa 50 cent hivyo safi kiasi ila hawajabuni ila wamecopy

    • @fadhiliromwald
      @fadhiliromwald 4 года назад +1

      Ibrahim Tekelo wamekopi wap

  • @martinpaul8887
    @martinpaul8887 4 года назад

    Daah chid kanenepaa aseee,, big up katoka mbaliii sanaaa

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 4 года назад +17

    Uko kwenye kuimba ngoma ya Darasa aisee Dah😂😂😂😂

  • @josephamakobe8404
    @josephamakobe8404 4 года назад

    Toka Kenya 254 naona chidbenz karudisha mwili ,,,apo sawa kieleweke

  • @justinemomanyi9197
    @justinemomanyi9197 4 года назад +3

    benz amalizie iyo ngoma kwa uyo producer tafadhali. It could be a breakthrough kwa uyo producer

  • @mussasaidali5720
    @mussasaidali5720 4 года назад +1

    😄😄😄😄🤣 anco chid banaaa nomaa sana love my brother

  • @lameckntahondi8073
    @lameckntahondi8073 4 года назад +29

    Kaka hikii kipindiii nilikimisi na nilikitafuta na kukitetea sana nailinivunjaa moyoo kilipokuwa hakipoo bora kimerudi

    • @juniorcx0114
      @juniorcx0114 4 года назад +1

      Jaman 👌🔥 🔥 Chafu yaooo NEMBO 🇹🇿💪🏿 YA TAIFA DIAMOND Platinum nimesikia Jina lake mpe talfa yake

    • @elshaarawymuhabesh316
      @elshaarawymuhabesh316 4 года назад

      Nami nimefurahia kurudi

  • @haleemomar3856
    @haleemomar3856 4 года назад +1

    Huyu dj mkali... sanaa Big hilo Jiwe nimelielewa

  • @paullusewa2693
    @paullusewa2693 4 года назад +5

    such a very talented brother.. Chid Go Chid soo...

  • @suhnuh942
    @suhnuh942 4 года назад

    chidy nuxxxxxiiiiii c kwa corus ile hyo jamaa ni hafai🙌🙌🙌🙌

  • @onesmojoseph8829
    @onesmojoseph8829 4 года назад +9

    😂😂😂😂😂 Huyo mseng mwenye tishet nyeus muongo huyo 😂😂😂😂😂😂😂

  • @msohustler5188
    @msohustler5188 4 года назад

    Daah nimecheka xana show kaliiii masela wanavyopita na mashairi wametisha

  • @maxozone3762
    @maxozone3762 4 года назад +20

    Big up nice programme

  • @alimasoud4856
    @alimasoud4856 4 года назад

    Saluti Chidi benzi yani wewe ndio uliobaki bada ya albat mangwea nakukubali sana one love

  • @martinerichard5827
    @martinerichard5827 4 года назад +3

    Daaah so funny hiyo ngoma ya darasa, huyo mwenye black

  • @peterjoseph4454
    @peterjoseph4454 4 года назад +1

    Benzino genius, bugariee baddest

  • @ahmedally5260
    @ahmedally5260 4 года назад +15

    Ile beat studio na vocals next level Audio itamaliziwa?

  • @abdallahkhatib2830
    @abdallahkhatib2830 4 года назад

    Dah kweli ww mkali sana please Chid hebu record hiyo nyimbo itakuwa kali sana nimeikubali vibaya sana pls pls pls record it will be good song

  • @Derevamkongwe6864
    @Derevamkongwe6864 4 года назад +12

    Chidy hiyo nyimbo imalizie usiiwache bonge la ngoma wewe kweli ni noma ndugu