Jinsi ya kupika Karanga Za Mayai Za Kuvutia Na Zakipekee / Unique Twist on Peanut Snacks!
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- #karangaZamayai
#coatedpeanut
INGREDIENTS
3 Eggs
3 Cups of flour
1 Cup of powdered sugar
1tbsp of salt mixed in 3tbsp of water
1kg of peanut/ground nuts
1litre of cooking oil
Procedures
•Mix 1 tbsp of salt in 3 tbsp of water in a bowl then mix.
•Take a frying pan and set it on a stove then add 1kg of groundnut/peanut at medium heat then add the mixture of Salt with water to the frying pan, and fry the groundnuts until the salt has dried for 8 to 10mins.
•When done leave the peanut/groundnut to cool for 10 minutes.
•Then in a bowl add 3 eggs and 1 cup of powdered sugar and mix until the mixture turns white the 1 kg of peanut/groundnuts then mix well using a spatula then add 11/2 Cup of flour to the mixture then continue mixing using a spatula until every peanut/groundnut is coated with the flour.
•Set aside the mixture then to a flat surface pour flour then take the mixture of the peanut/groundnut and pour it on the flour then use your fingers to coat the flour in each peanut/groundnut until all the mixture is done while adding the remaining flour until all the peanut are coated with flour on top.
•When done place a frying pan on the stove the 1litre of cooking oil to the frying pan then wait until the oil is hot then add the coated groundnuts to the hot cooking oil and fry then until the color starts to change and turn pale brown then remove the peanut/groundnut from the stove.
•Repait this process until the peanut/groundnut is all done and don't overcrowd your peanuts in the cooking oil.
•When done leave the peanut to cool and then ready to eat.
MAITAJI
Mayai 3
Unga wa ngano vikombe 3
Sukari ya unga kikombe 1
Kijiko 1 cha chakula cha chumvi na maji vijiko 3
1kg ya Karanga
Mafuta ya kula lita 1
#karanga
#peanut
#karangazamayai
Mmmh, hapana kwa kweli. Njia ndefu mnooo. Jaribuni hii, kwa muda wa dk 10 tu unakuwa umeshamakiza. Chukua karanga weka kwenye chombo kipana. Weka mayai, changanya kwa dk 2 ivi. Kisha weka sukari, pia changanya kwa dk 2. Kisha weka unga wa ngano changanya mpaka ziwe moja moja. Baada ya hapo anza kukaanga kwenye mafuta. Zinakuwa nzuri balaaaaa❤. Thanks.
Babe pishi ni moja ila kila mtu anatumia njia anayopenda so we tumia unayoona inakufaa na rahisi kwako... Iyo njia sipendagi karanga zinavyokua ndio maana natumia hii so we tumia unayopenda tu
Mim.ndo naanza byashara nianze na vipimo vngap dear
Karanga kilo moja , mayai 2 makubwa au matatu , unga nusu robo na sukari robo ila punguza kidogo itakua nyingi kwaiyo iwe 190-200 gram
Nataka nijifunze Zaid contact
0737158132
Nataka nijifunze vizuri
Sawa
Goid
vipi zinakulipa
Sio sana...karanga inabidi upike nyingi ili uone faida ila nikidogo
Mimi niko Congo nakupenda
Asante sana❤️thank you for the support
Nakupenda pia
Asante maana nilikuwa cjui hata pa kuanzia vipi sukari kiasi gani kwa kilo ya karanga
Unatumia kikombe kimoja cha measuring cup au chukua Robo alaf punguza kidogo au kama unamizani ni gram 200
Samahani naomba kuuliza kwa kilo moja unga kiasi gani unatumika?
Nusu hadi nusu na robo inategemea na mayai uliyotumia
Sawa asante
❤
NiVizuri!
Asante
baby samahan nataman kujua kiwango cha sukar maji chumvi pamoja na unga 😓.. i really wanna try out
Kwa Sukari Unatumia kikombe kimoja cha measuring cup au chukua Robo alaf punguza kidogo au kama unamizani ni gram 200
Unga ni kama nusu na robo au nusu inategemea na ukubwa wa mayai
Chumvi weka kijiko kikubwa kimoja
Mbona sauti unaitoa kimapozi saana?
KWA uckivu wangu naona ndivyo ALIVYO sauti yake sio pozi
0:10 0:10
minna
??
Ongeza sauti jamani.
Okay
Hongera Sana Hadi zinatamanisha jamani ntapika
Asante jaribu ni nzuri sana
Lii
naweza kutumia karanga zozote au
Yes unaweza
6:00 6:00 6:00 6:00
Tutamaliza leo kwa kamoj kamoj apo nina kilo nne😢😢😢 unatudanganya ben
😂😂pole aisee mkiwa wawili sio kazi hata me nimezoea ila unaweza changanya kawaida tu kwenye bakuli
kalang unaanz kuzilowek kwanz au
Sikushauri uziloeke maana zitavunjika na kulainika sana
❤❤❤
🙏
Samahani mayai ya kisasa au ya kienyeji
Kienyeji
Kwani unaongeaje Kama huna meno jamani ila nimelipenda darasa
Khee😂😂😂 angalia vitendo tu
Mapishi yakupika kalanga za mayai
Mapishi ya karanga za mayai ni tamu sana Asante kwa mafunzo
Asante
Dada uwongeze sauti unaongea sauti ya chini sana
Ooh pole...nitajitahidi
@@Claimlorie sawa tupo pamoja
Hizi process 😂😂 karanga Mojamoja
Ila zinatoka nzuri sana jaribu alaf ukizoea unaona kawaida
Kwakwel mojamoja kazi kwel duh ila itabid tu hamna namna
Unaweza tumia njia nyingine ila hazitoki kama hizi
Sukari ni ipi ni hii yakawaida au ipi?
Ndio unaweza isaga iwe unga ukatumia
Wengine mnatoa wapi karanga nzuri hvo wengine tuna nnua 2kgs tunakuja pata kg 1na nusu😢
Sijajua kwa unapokaa ila zunguka hadi upate unazozipenda ndio ununue
Nice
Thanks
Thanks
You are welcome
Njia yako ni ndefi kama kilo 1 unatumis dk 45 mara 2 ikiwa 5kgs si siku mbili duh!!!
Hapo sasa inategemea na ubora wa karanga zako unavyotaka ila me nimezoea natumiaga iyo na sipikagi karanga nyingi sana
Unga wa ngano au
Ndio wa Ngano nusu
hii y maji maji ulioweka wakat unachanganya mayai na maji ni nn
Sijakuelewa my dear
Mmh unatumia njia ndefu as kam unakaang kilo 10
Natumia njia rahisi nikiwa napika nyingi au napunguza ila njia hii ya karanga zinakua nzuri sana na tamu
That's a very long process, next time eka mixer yako ya mayai kidogo kidogo kwenye karanga then nyuunyizia unga kidogo kwa kutumia chijio rusha rusha then add mayai then unga tusha keep doing it and see diamond karanga hii hapa😂😂and thank me later
😂😂😂sometimes nafanyaga hivyo ila naonaga karanga zinakua na miunga ila nitatry tena. Thank you by the way❤️
@@Claimlorie use the same bakule yenye matundu after yo done kuchuja unga or chujuo kubwa la chuma rusharusha then let it rest ili mayai yanyonye unga mchache ulobaki
I will try this today then thanks
@@Claimlorie U welcome