CHINA alivyompita MAREKANI kwenye soko la MAGARI ya UMEME, BYD yaipiku TESLA, Elon aliwacheka 2011

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 92

  • @jeremiahevodius925
    @jeremiahevodius925 Месяц назад +6

    China nakupenda endelea na kazi nzuli unatulaishia sana upatikanaji wa vitu ambanyo sisi wengine tuliona kuvipata ni kama ndoto kama gar,sim nk

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Месяц назад +9

    Sio magari tu kila kit China yuk juu saiv❤❤❤

  • @joycekonga4095
    @joycekonga4095 Месяц назад +3

    aisee uchambuzi wa Ally inafanya sns kua bora zaidi 🔥🔥🔥

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz Месяц назад +2

    Safi sana SnS kwa kazi nzuri. Tunahitaji content nyingi za namna hii

  • @oswardmwalukasa6948
    @oswardmwalukasa6948 Месяц назад +7

    Huyu Ally Masoud anajua kila kitu. Ameifanya SNS iwe ya kipekee sana. Hongera sana kwa maboresho ya channel yetu pendwa

  • @erickmorro8852
    @erickmorro8852 Месяц назад +6

    BYD is the future of eMobility, worldwide. Hapo Tanzania kuna company moja inaitwa eMo Mobility yenyewe inauza Bodaboda na TukTuk za umeme na kutumia batteries za lithium

    • @VivecCarol
      @VivecCarol Месяц назад

      Hii kitu magufuli alikua anataka ianze hapa hapa tz tuwe tunatengeneza magari ya umeme basi tu mambo yameenda kombo sana 😢

  • @ommygraphics4355
    @ommygraphics4355 27 дней назад

    Kweli aisee hii inatufunza watu tusiwadharau wanaoanza kujitafuta uwenda baadae wao wakawa bora kuliko wewe uliyeanza. Big up BYD na simulizi na sauti.

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 Месяц назад +7

    Umesahau Tesla wananunua Mabetrii toka kwao na Kingine Watu wakaangalie Beijing Auto Show 2024 iliyofanyika Juzi

    • @modrizii
      @modrizii Месяц назад

      Umeongea fact

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q Месяц назад +6

    Japan kwisha kazi

  • @starjay3052
    @starjay3052 Месяц назад +2

    kampuni iyo me mwenyewe naikubali sana sema ndio ivo muda bado lazima nije nimilikie gali zao ni jambo la muda tu alafu watu nawambiaga wa china 🇨🇳 wapo vizuli sema watu wengi walikalili

  • @adolfmatta7792
    @adolfmatta7792 Месяц назад +6

    china 🙋‍♂

  • @beingothman
    @beingothman Месяц назад +2

    MashaAllah

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations Месяц назад +1

    Hongera yao BYD

  • @jrlamar8925
    @jrlamar8925 28 дней назад

    HUYU ALLY anajua kuchambua kuliko yule shombe shombe

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 Месяц назад +22

    Watu wengi hapa hawafatilii Mambo ya Msingi Duniani wako Busy na Umbea sana Huyu jamaa anazungumza Ukweli Mwaka Jana BYD ndo imeongoza Mauzo Duniani Kote na Soko Kubwa ni Ulaya hasa German sasa Mm tu anasema unasema Uongo alete facts bax kama Sio kweli na hata kwenye CM Huwaei wanatoa CM kali kuliko Iphone na Samsung lkn wabongo wao wanajua hizo tu

    • @marymayeye7947
      @marymayeye7947 Месяц назад

      Wewe ambaa aufatilie kutengeneza nini kando nakupiana Mimba, hata kijiti cha kuchokora meno

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Месяц назад

      Hiv cc hapa bongo tuna hokijua n nn kama sio kuongeza viwanda vya pombe

    • @tomsijohni
      @tomsijohni Месяц назад

      Ni kweli kabisa watu wanapenda umbea sana 😂

    • @jumalihumbo5314
      @jumalihumbo5314 Месяц назад

      China washateka soko la dunia🎉🎉🎉

    • @Awatee
      @Awatee Месяц назад

      ​@@FerdinandCharles-ko7de😂😂😂😂

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Месяц назад +3

    isitoshe bei. Yao rahisi kuliko tesla

  • @starjay3052
    @starjay3052 Месяц назад +2

    alafu watu kitu wasichokijua mchina anatengeneza vitu vizuli ela yako tu

  • @eliofootz6519
    @eliofootz6519 Месяц назад +3

    Wow🎉

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu Месяц назад

    Nawana gali nzuri sana

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Месяц назад

    Wooow niceeee

  • @geofreyamosi9235
    @geofreyamosi9235 Месяц назад +1

    technology inakua

  • @user-xb1pf2vj5l
    @user-xb1pf2vj5l Месяц назад

    That is true meaning of never give up

  • @masoudmtonda5291
    @masoudmtonda5291 Месяц назад +2

    Kaka Ali masoud anatakawi ajipange zaidi. Asiellezi kimajumuisho majumuisho. Anatakiwa azame kwenye facts na statistics. Afanye reserch pia awe anajua kuwa majibu yake yanasikilizwa na watu tofauti tofauti kiakili

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 Месяц назад +1

    China lengo Lao niku kuwa number moja duniani kwa kila kitu.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Model y tesla

  • @pilotmadata5791
    @pilotmadata5791 Месяц назад +4

    Elon musk hawezi kukubali, utasikia tu kaja na njia nyingine.

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche Месяц назад +4

      Mchina sio wa ivyo

    • @HamzaMbasha
      @HamzaMbasha Месяц назад +1

      Mchina kumzuia ni shughuli ukileta nyingine wanaleta kama hiyo alafu wanaongezea kitu..

    • @its_khalidy_46
      @its_khalidy_46 Месяц назад

      Una mjua mchina vizuri?

  • @salumadam2862
    @salumadam2862 Месяц назад

    😮😮😮

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 Месяц назад

    President Ruto njooo huku 😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪

  • @daviddeus6437
    @daviddeus6437 Месяц назад

    Lakin wanzilish wa magari ya umeme ni wamarekan idia ya watu imeibwa na wachina

  • @richshayo4924
    @richshayo4924 Месяц назад

    Mko sana biased against Marekani kwa gari za umeme ni Tesla tu ? Vipi gari kama za RiVIAN zinazotengenezwa hapa California recently na ni very expensive kuliko tesla taxizo mnapenda cheap stuff na ushabiki

  • @sheilajuma8963
    @sheilajuma8963 Месяц назад

    Chambo cha dotto magari maisha hayana mwenyewe

  • @jebace
    @jebace Месяц назад

    Fourth quarter 2023 BYD iliongoza lakini first quarter 2024 Tesla claimed the title for deliveries, kwahiyo tukizungumzia anayeongoza kwa sasa ni Tesla kwa mauzo ya first quarter yaani kutoka mwezi January February na March, then baada ya hapo tunasubiri nani ataongoza mauzo kwa second quarter of the year 2024 yaani kuanzia mwezi April May na June .Maelezo yanatolewa hapa sns kwa suala la mauzo ni yanahusu habari ya mwaka jana 2023 fourth quarter October November December BYD aliongoza lakini kwa sasa 2024 first quarter Tesla anaongoza.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Месяц назад

      In terms of unit production byd is still leading by far.remember byd's e vehicles is very diversified makes even buses used in amaerica the only weekness of ByD is that he doesn't have oversee markets like tesla.hope that's enough 4 today.

    • @jebace
      @jebace Месяц назад

      @thefactbook...1607 bro u r right leading by units production but the comparison here is pure electrical vehicles sedan not buses not cybertrucks,not hybrid not plug in,that's why in pure EV tesla is leading in this year first quarter comparing to building your dreams.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Месяц назад

      @@jebace another thing you should note ni kuwa china ev market iko na 55% of total global ev market share then hapo US anafuatia.sio kama in net worth BYD(81b usd) anamzidi Tesla(566b usd).lakini anaeuza unit's nyng ni BYD maana cost zake za production zipo chini byd average price ni 25K huku Tesla ni 45K.imepelekea mpaka tesla nae alitoa punguzo ili a keep up with the pace.

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 Месяц назад

      Achen wivu

  • @user-gv8pf6if9m
    @user-gv8pf6if9m Месяц назад

    Hichi kitu alikizungumzia john jackson akiwa china

  • @tonnysgalleries5848
    @tonnysgalleries5848 Месяц назад

    Me nakubalina na hilo, ila changamoto ya China huwa ni QUALITY.
    Sawa gari ni competitive na ni cheap ila kwa experience LONGEVITY itakua kidogo sana ndo changamoto ya China.
    For instance kwa watu wa logistics watakua wanafahamu HOWO company inatangeneza trailer ili ku compete na Scania. Howo ni cheap ila baada ya mwaka .....like teke teke utafanya repair mpka uchanganyikiwe.
    So nakubaliana na sales lakn naamini quality ya TESLA ipo juu zaidi.

    • @dicksonexavery726
      @dicksonexavery726 Месяц назад

      Pengine ila ukiona mpaka Ulaya kateka soko ujue magari yao BYD yana ubora!

    • @ce-08
      @ce-08 Месяц назад

      Mchina anakuuzia kitu kutokana na pesa yako unahisi vbidhaa zinazokuja Africa ni sawa na znazoenda Marekani? zinaweza zikawa sawa lakini sio zote pia zinaweza zikawa sawa kimuonekano lakini sio katika quality sababu afrika hatuwez kuafford bei zao hvyo kinachotokea china anatengeneza muundo ule ule kwa quality ya chini anakuja kuuza Africa sababu ndyo bei tunayoweza kununua

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 Месяц назад

      Bizaa ni nzur nyie mmeshamezeshwa uwongo wa magharibi

    • @tonnysgalleries5848
      @tonnysgalleries5848 Месяц назад

      @@swalehemusa4546 hapana mkuu.
      Lazima kwenda na analysis na METRICS, si tunaona jinsi Chinese based products (imported) zinavyokua???? Zinavutia ila quality hapana kwakweli.
      Wala hatu rely magharibi

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony Месяц назад

    wanachi syo mchezo

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Tesla inajenga viwanda 4 nje ya nchi

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад +1

    Uongo

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Tesla kiboko

  • @daviddeus6437
    @daviddeus6437 Месяц назад

    Ayo magari feki atuyataki kama masim yao ya teckno na infinix

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f Месяц назад

      Huna Hela kk Kuna huwawei ni balaa au honor sema wanachofanya wanaangalia uchumi wetu Africa na nchi enyew

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 Месяц назад

      Wivu tabia yakike

    • @its_khalidy_46
      @its_khalidy_46 Месяц назад

      Hujitambui wewe, mchina ni kama maji usipokunywa unaoga nina uhakika hapo ulipo una zaidi ya vifaa viwili vya mchina unatumia!😅

    • @jumabisale9974
      @jumabisale9974 Месяц назад

      Sio viwili 70 ya vifaa vyake made in China

  • @DaudiDawson
    @DaudiDawson Месяц назад

    Mbona Elon ndo mwenye hela kuliko hao wachina kutokana na mauzo

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Tesla iko juuu model x

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Tesla inaongoza

    • @255kessy5
      @255kessy5 Месяц назад +1

      German ndio alikuwa mfalme wa combustible engene na Ana hofu juu ya ubora na technolojia ya wachina wewe upo hapo lupalama unaleta ujuaji😂😂😂😂😂😂

    • @Mamodel-Park
      @Mamodel-Park Месяц назад

      Umewahi kupewa lift nini?

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Wamecopy tesla

    • @Luzwiro27
      @Luzwiro27 Месяц назад +2

      Sio kwa ubaya lakini hii itasaidia watu wengi wamiliki hizi gari rejea kwenye sim za smartphone zamani ilikua wanamiliki watu wenye uwezo tu ila mchina alivyo copy sasa hivi kila .mtu anamiliki sim aitakayo

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 Месяц назад +1

      Safii Sanaa kwa kumbukmb, Kuna baadhi si tu kuiamini bali wanaiabudu Marekani kwa Kila kitu. Pongezi Sana kwa Machina. Ameturahisishia vyombo vya usafiri Kama bodaboda, mabasi,miundombinu,vifaa vya ujenzi,vifaa vya kilimo,mawasiliano n.k

  • @sundaygeorge2200
    @sundaygeorge2200 Месяц назад +1

    Kwa sababu ya bei nafuu lakini ukweli halisi viwango vya bidhaa CHINA bado yupo Chini

    • @VedastoKeya-vt8pf
      @VedastoKeya-vt8pf Месяц назад

      Amempiga kwenye Hera yake kuiweka isipande sana thaman Kwa Hera zingne tofaut na dola ndiomaana ametushika sana Africa sio.

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f Месяц назад

      Hapana huna Hela sande 😂😂😂 me natumia huwawei simu yangu ya harakat aiseeh ni balaaa

    • @its_khalidy_46
      @its_khalidy_46 Месяц назад

      Inawezekana mchina bidhaa zake zipo chini kweli,,,ila Nina uhakika asilimia 100 mchina akitoa bishaa zake zote za ki electric sokoni,,,wewe hapo utaishi maisha magumu sana,,,,mshukuru mchina acha ujuaji mzee😂

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 Месяц назад +1

    Hi ndio vita yenyewe ya America kwa China 🇨🇳!! Na bado China ni tishio kwa America kila sector sasahivi

    • @VivecCarol
      @VivecCarol Месяц назад

      🎉😂😂😂na sasa wanaanza zongwe kwa TikTok

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Месяц назад

      @@VivecCarol vita vya kiuchumi ni vita hatar sana, Xi Jinping last time alisema hakuna atakae weza kuzima ustawi wa China

  • @clemencemosha2043
    @clemencemosha2043 Месяц назад

    Serikali ya China imetoa ruzuku kubwa kwa viwanda vya uundaji wa magari ya nishati ya umeme...hivyo masoko ya nchi za magharibi wanailalamikia serikali ya China kuendelea kutoa ruzuku kwa hayo makapuni ya magari...ushindani usio wa haki!

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 Месяц назад

      Sasa kwani wao hawana serikali ? China wamefanya hvyo coz wanajua baada ya kukubalika watapata faida yao akili kwa Mchina Mchina anabalaa ktk dunia ya teknologia ya leo anawatu wakutosha wenye ujuzi

    • @jumabisale9974
      @jumabisale9974 Месяц назад

      Na wao wafanye