Mauzo ya iPhone yashuka kwa 10% duniani! Hizi hapa ndizo sababu, Mchina anahusika!

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 139

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 Месяц назад +31

    Kama unapenda samsung nipe like

    • @user-lm7bm2lr5f
      @user-lm7bm2lr5f Месяц назад

      Nani anaipenda sasa Samsung ni trash

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Месяц назад

      👍

    • @charstonesimon7121
      @charstonesimon7121 Месяц назад

      @@user-lm7bm2lr5f kaanza kuharibu samsung s20-s24 amefanya kurudia kitu kilekile ila jina tofauti.

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 Месяц назад +9

    Samsung na huawei na google pixels hongera yetu 🎉❤🎉❤🎉

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior Месяц назад +8

    Huawei wapo juu sana..especially upande wa camera🤞💞

  • @user-ig3qn9zw6b
    @user-ig3qn9zw6b Месяц назад +15

    Huuuu Ally hua namwelewa sana. Chakwanza hachambui kwa kujigamba ao kwa kujisifu na kubishiana na watu. Kiufupi anachambua kihalisia

    • @lucasmartin431
      @lucasmartin431 Месяц назад

      We tulia sema Mchambuzi Mzuri basi inatosha, Mbona na wewe unamsagia kunguni Mchambuzi mwingine.
      Wewe ni kama hiyo unae mkataa ....Tofauti yako na yeye wewe ni msikilizaji hujui chochote na yeye ni Mchambuzi Mtaalam. Kwa Maneno machache Wewe ni 🚮

  • @eddietaxidriverzanzibar4395
    @eddietaxidriverzanzibar4395 Месяц назад +5

    Ikishuka ikipanda My favorite ni IPhone 2 na forever 🔥🔥🔥😁🙌

  • @veryboyplatnumz3506
    @veryboyplatnumz3506 Месяц назад +28

    Wanangu wa pixel tujuane

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 Месяц назад +4

    Watu wameanza kupata akili kidogo.

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 Месяц назад +4

    Lazima ya shuke S24 ni hatari na Huawei pura 70 ni Atari sana

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Месяц назад +6

    Mimi natumia Huawei ni simu nzuri sana ni kwamba tu waafrika tunafuata mkumbo wa kuaminishwa kwamba iphone ni Bora

    • @omarifadhili651
      @omarifadhili651 Месяц назад

      Huawei baba Lao kuanzia betrii mpk muonekano

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km Месяц назад

      @@omarifadhili651 kabisa pia hata Bei zake zipo juuu kuliko simu yoyote Duniani

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 Месяц назад +19

    Kaka huyu anajuwa kuchambuwa kwa kweli ni kiboko

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere Месяц назад +5

    Nasikiliza hapa ❤

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Месяц назад +4

    Fitna uwa inakurejeya we ulie ianzisha sio uongo kabisa.
    Mmarekani kabana watu ulimwengu mzima kwa miaka nenda rudi ila sasa mambo yanaanza kubadilika taratibuuuu

  • @techbossbernardo2093
    @techbossbernardo2093 Месяц назад +2

    Perfect elaboration

  • @thehurricaneshow216
    @thehurricaneshow216 Месяц назад +2

    Team samsung on top

  • @user-rt1wf6se5f
    @user-rt1wf6se5f Месяц назад +4

    Huwawei 🇨🇳 tupo hapa machine kitambo 5G 😂😂

  • @Socialtz
    @Socialtz Месяц назад +3

    Hatari asee😢

  • @mothedon202
    @mothedon202 Месяц назад +1

    IPhone have been on top for decades but you can't maintain that for ever, every brand have a upp and down that's normal in any business.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Mauzo yapaa sana

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 Месяц назад +1

    S,24 AI

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 Месяц назад

    Masubi nimekuelewa sana maelezo yako....mimi ua nawambia rafiki zangu Iphone anamshart yasiyokua na maana ni ubinafsi wake likin hana makubwa kiviile. sasa nadhani kwa uchambuzi huu watanielwa maana Masubi kapita mulemule kwenye mabishano yangu.... ayo mashitaku kuhusu iPhone kama waliniona!

  • @user-xn2ih2br7y
    @user-xn2ih2br7y Месяц назад +3

    Hata wafenyeje Apple tuko juu na c wezi hama hata zikatoka simu gani c wezi hama Apple

    • @visionstudios6804
      @visionstudios6804 Месяц назад

      Sio shida zetu

    • @michaeldoroleo4864
      @michaeldoroleo4864 Месяц назад +2

      Apple kampuni sio nyinyi wateja😂😂,nyinyi wateja hakuna kitu mnachojua zaidi ya kununua bidhaa tu.

    • @user-xn2ih2br7y
      @user-xn2ih2br7y Месяц назад

      @@michaeldoroleo4864 wachina hao wamepanic toweni hata Huawei ngapi hivyo ni vita tu vya biashara

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Месяц назад

      Choko ww

  • @danmusa2980
    @danmusa2980 Месяц назад +1

    huyu jamaa anajua ila 💯.

  • @MR_BANDE
    @MR_BANDE Месяц назад +1

    Naomb sapoti❤❤

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Месяц назад

    Naichukia mno iPhone na siwezi nunua bidhaa zao .. sio kwa sababu sina pesa ila nachukia kampuni wanaoibia wateja.

  • @makibadatela7865
    @makibadatela7865 Месяц назад +2

    Kibiashara kutengeneza monopoli ya soko huo ndio mchezo wa soko ( Moat ) ukipata mteja abaki kuwa wako muda mrefu zaidi, Kesi za Marekani si lazima zifanikiwe hata wakati wa Monopoli ya Window ya Microsoft ila hawakuamua kuivuja Company kwa wakati huo, Nokia hakuangushwa na Sumsung kwa ushindani wa soko ila ni tatizo la Nokia kutokubali kutumia Software ya Android na hapo ndipo Nokia na Blackberry zilipo jimaliza.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Месяц назад

      Mchambuzi kasema if you fail to inovate you will face your demice hvyo ndo ilivyokuwa kwa b.berry, nokia and kodac na wengine wengi mjomba.ckiliza vzuri.

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 Месяц назад

      wewe nimchanbuzi bora kabisa. watu wana upgrade nokia wamekwamilia kwa windows tu

    • @michaeldoroleo4864
      @michaeldoroleo4864 Месяц назад +1

      Mchambuzi kaongea vyema,kwamba monopoli inatakiwa iwe katika misingi ya ubunifu,sio ubabe.
      Iphone iliingia sokoni kwa ubunifu na upekee,mbeleni ikabadiri gia angani,sasa wenye nguvu wanataka wamrudishe kwenye mstari,aanze kupambana na wenzake kuleta feature mpya sio kuziboresha za zamani na kujipigia mifaida bila kutoboka ktk research.

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere Месяц назад +1

    TUSBRIE IYO SIMU YAO MPYA

  • @Eng2460
    @Eng2460 Месяц назад +1

    Ally Masoud🫡🫡🤝🤝

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 Месяц назад +3

    lazima zishuke mana mtaani watu wote wanatumia pxel tena usiombe upigwe picha usiku

  • @johnthesimba4764
    @johnthesimba4764 Месяц назад +3

    Ally masubi mtu mbaya sana kwa uchambuzi..tumehamia kwenye biashara sasa mabomu tumeeka pembeni kidogo😂😂

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 Месяц назад +4

    Huwawei haiwezi kua simu

    • @idrisjuma2259
      @idrisjuma2259 Месяц назад +2

      Ni kweli, Huawei ni zaidi ya simu

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 Месяц назад

      nilikua nasibiri hii coment

    • @idrisjuma2259
      @idrisjuma2259 Месяц назад

      @@geomangi6123 Hajazifahamu bado

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 Месяц назад +2

    Nina Samsung yangu ina karibia miaka 8 sijawahi hata badili chaji weee Samsung simu na nusu

    • @karimhamisi4627
      @karimhamisi4627 Месяц назад

      Sasa miaka minane inamaana unatumia 2G sasa

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 Месяц назад

      @@karimhamisi4627 unajua Samsung note8 imetoka mwaka gani? 4g toka miaka hiyo labda hujui huku kwenye nchi za wenzetu tofauti Sana na Tanzania

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 Месяц назад

    Huawei ni simu ya maana sana, niko na Huawei nova 3i miaka mitano sasa na haina shida yoyote

  • @user-md9iy9qn1k
    @user-md9iy9qn1k Месяц назад +3

    Sio kweli iPhone ni problem ingine labda Africa hawana pesa hakuuza iPhone

  • @officialkachu3388
    @officialkachu3388 Месяц назад +5

    Yan hii tarifa angeichambua dj smaa tunge faid sana

    • @charlesmtesigwa2923
      @charlesmtesigwa2923 Месяц назад +2

      Hapana yule anatatizo la kuchagua side habalance story yake

  • @bakarially253
    @bakarially253 Месяц назад

    Yani kushuka kwa 10% unasema ni kidogo? Daaah kweli hapa rudia tena maana kwenye swala la biashara ukisikia kamapuni imeshuka kwa 10% ogopa sana andugu

  • @user-xn2ih2br7y
    @user-xn2ih2br7y Месяц назад +1

    Iphone tuko juuu😂😂😂 wanga wafe

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 Месяц назад +9

    Ali masoud ni mwamba.san kwenye ufafanuzi kuliko dj smaa🎉

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Месяц назад +2

      Ndio, haegemei upande

    • @lodricophd728
      @lodricophd728 Месяц назад +4

      Kila mtu anastyle yake ya uchambuzi sasa unataka dj sma awe ally.. bro acheni izo

    • @starjay3052
      @starjay3052 Месяц назад +1

      @@lodricophd728amini

    • @fatumaninga5522
      @fatumaninga5522 Месяц назад +2

      Wabongo kitu mnachojua ni kushindana tuu Kila mtu na aina yake lakini bado mnataka kushindanisha sio kila mtu maisha yake

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 Месяц назад

      Hisia zako za dini ndo zinakufanya umchukie dj sma jitafakali Anko

  • @izack9191
    @izack9191 Месяц назад +1

    Samsung ilianza kutumia AI kwa sim zake mpya S24 zilizo toka mwaka huu mwezi wa pili na pia shida za apple hawanaga ubunifu tola 2011 hadi sasa hivi hawajabadilisha chochote kwenye sim Yao labda camera na mfumo wa kuchajia.

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 Месяц назад

      kama back ground ya zile app za apple jaman tang hawabadilik kila appl ndan iko vile vile mweny apple pro max 11 12 13 14 15 wote wakishika hamna hata tofauti had mtu aseme

    • @ustazanzibartechnicalsuppo999
      @ustazanzibartechnicalsuppo999 Месяц назад

      hicho ndicho hata wazungu wenyewe wanakilalamikia lkni waswahili akili zao zpo kwenye uchi tu

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Месяц назад +2

    Muwe mnatoa zawadi kwa wasikilizaj wenu sns😂😂😂😂tunawafuatilia sn

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Месяц назад

    binafsi sijawahi kuzipenda cm za apple lakin pia sijui ni kwa nin hazikai na chaji

  • @dalalizanzibar9583
    @dalalizanzibar9583 Месяц назад +3

    Wanaofurahia habari hii ni watu ambao hawatumii iPhone.. 😅 watu mnachuki sana

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 Месяц назад

      Wanatakiwa wajue Iphone sio ya kila mtu. Yaani mimi bila MACHO MATATU sitoboi😁

    • @michaeldoroleo4864
      @michaeldoroleo4864 Месяц назад

      Sasa wewe unachukia habari hii na unatumia iphone 12 huoni kwamba unapoteza muda😂😂😂

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar Месяц назад

      Fact

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Месяц назад

      Iphone wanatumia mashoga

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 Месяц назад

    China anahusika kiasi kikubwa kwa IPhone ku shake

  • @abasmligo4323
    @abasmligo4323 Месяц назад +2

    iPhones ni namba moja hata iwe vip yaani ukipanda daladala ikilia tuuh watu hugeuka 😂😂

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 Месяц назад

    yakishuka wewe inakuuma nini😂😂

  • @pumpandnozeltec3019
    @pumpandnozeltec3019 Месяц назад +5

    Kumekucha huyu iphone alicho mfanyia blackberry atalipa😂

    • @abdulsambi9011
      @abdulsambi9011 Месяц назад +1

      BlackBerry hakufanyiwa kitu na mtu.. nikwamba ndio simu iliyovujisha siri za serikali ya Marekani. Na baada yabkubainika kampuni ikafunhiwa🤝

    • @abdulsambi9011
      @abdulsambi9011 Месяц назад

      BlackBerry hakufanyiwa kitu na mtu.. nikwamba ndio simu iliyovujisha siri za serikali ya Marekani. Na baada yabkubainika kampuni ikafunhiwa🤝

    • @michaeldoroleo4864
      @michaeldoroleo4864 Месяц назад

      BB ni kiburi kilimzoa,na Apple wanamtumia kama shule,hawawezi kukubali mafuriko yawabebe,type C tayari wameweka,sideloading inakuja,RTC chart from google wataiweka tu,
      Na mwisho kabisa itakuwa uwe na iphone au simu nyingine utapata perfomance ile ile ktk airpods,ipad,imac,macbook nk

  • @kanboi5
    @kanboi5 Месяц назад

    HUAWEI IS BEST ❤❤❤

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад

    Ata miee simu ina macho matatu na sio iphon

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Месяц назад

      Baby ninunulie tekno

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy Месяц назад

    Asilimia 500😂😂

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 Месяц назад

      Ukisoma Maths Haiwezi shangaa Percentage Zinauwezo wa kuwa Zaidi 100 brother usishangae😂 Tafsri Ya Asilimia Kupita Mia Ni Kuvuka Malengo Uliyojiwekea . Rudi class

  • @daviddeus6437
    @daviddeus6437 Месяц назад +4

    iPhone uwez linganisha na sim za kijinga kijinga Kama Huawei,Teckno,infinix iphone ni brand ataukiwanayo unaonekana unamaisha ulisha mwona chrisbrown ,davido,diamond wakitumia Ayo masim yen amtasema wamefilisika

    • @ayk20
      @ayk20 Месяц назад +1

      Ukisikiliza vizuri sio kuwa iphon ndo sm bora ila wana brand bora kibiaashara

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 Месяц назад +5

      Comment yako yaonyesha wewe ni mjinga kiasi gani

    • @Zrss602
      @Zrss602 Месяц назад

      😂

    • @thetrailerzone2791
      @thetrailerzone2791 Месяц назад +1

      Endeleeni kujipa moyo

    • @yuzlongodfrey1622
      @yuzlongodfrey1622 Месяц назад +4

      bado una akili ya kitoto.. mi natumia 15 pro max na kuna vitu huwez meet satisfaction ya kwenye samsung na huawei

  • @royphotostore6535
    @royphotostore6535 Месяц назад +1

    Hiyo pura k*mamake iphone lazima apigwe pumbu😂😂😂😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    We huna era nenda madkan iPhone inauza xana acha wiv

  • @Abdulmajid79072
    @Abdulmajid79072 Месяц назад

    dead 🤣🤣🤣🤣

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    iPhone babalao

  • @aminaniyubushbozi5799
    @aminaniyubushbozi5799 Месяц назад

    Buy samsung 😂😂