Huu ndio MKONGO uliosababisha tatizo la INTERNET Afrika Mashariki, urefu na nguvu yake utakushangaza

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 192

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Месяц назад +14

    Huyu jamaa ni msomi Sana... mashalah.mungu akubaliki zaid

  • @sadiqrifay5448
    @sadiqrifay5448 Месяц назад +37

    Wanaomkubal ali masubi like hapa😀👉

  • @muscato50
    @muscato50 Месяц назад +24

    Huyu Ally Masubi ni noma anajua sana…

  • @user-gb1hn5ml8y
    @user-gb1hn5ml8y Месяц назад +9

    Niko south Africa Durban nimeshindwa kutuma pesa kwa voda na aertel ila tigo goood sana

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Месяц назад +22

    Huyu mungu jaman amejalia watu ufahamu wa ajabu

  • @succeslifeeducation9868
    @succeslifeeducation9868 Месяц назад +3

    Ally masudi bonge moja la mtoa speach na yupo deep kwwny maarifa

  • @yourvideostz1579
    @yourvideostz1579 Месяц назад +3

    Airtel nayo inafany kaz vizuri

  • @mapikomkindu565
    @mapikomkindu565 Месяц назад +2

    Airtel ipo vizuri kusini wants Africa tunawapata

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx Месяц назад +2

    Nataka kujua hii mfumo uliwekwa lini uko chini ya bahari??

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Месяц назад +7

    Kumbe na internet ina mkongo ntatafta maana ya mkongo

  • @user-hb7mq8lg9e
    @user-hb7mq8lg9e Месяц назад +2

    Sawa Maana Hali Sio Nzur Kimawasiliano..Ingawa Kwa Ss Vodacom Wamejitahid MAmbo Shwar🙏🙏🙏
    War🙏🙏

  • @wanzakleruu8648
    @wanzakleruu8648 Месяц назад +2

    Ali amekwiva kihabari. Hongera Sky

  • @walidsultan7486
    @walidsultan7486 Месяц назад +17

    Mambo ni poa kama una tumia fiber net.TTCL 🔥🔥🔥

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 Месяц назад +3

      Fiber yapatikan Playstor?

    • @msafirisaimoni9561
      @msafirisaimoni9561 Месяц назад +2

      Hata wenywe kuna muda unakata kata

    • @ZeProDJay
      @ZeProDJay Месяц назад +1

      TTCL wana mkongo wao unajitegemea tofauti na hawa SEACOM na EASSY waliokatikiwa mkongo wao..

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Месяц назад +3

    HATA TTCL TUKO POA TU UNYAMA KAMA WOTE BIG UP MY TTCL❤❤❤❤

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n Месяц назад +16

    Asante kwa elimu❤ila muendelee kutuelimisha je bando letu linaenda wapi? na bando ni nini pia chanzo cha internet ni nini yani inafuliwa kama Umeme wa kidatu au😂😂😂

    • @jefjacob12420
      @jefjacob12420 Месяц назад +1

      Nenda channel moja inaitwa "Perfect side tz" anaelezea kabisa

    • @tichalamar19
      @tichalamar19 Месяц назад +5

      Bando ni kama nauli ya mawasiliano uliyotuma kutoka kw computer moja mpka nyengine.. amesema hio izo nyaya zilizokatika zinatumia terabyte mbili..terabyte moja ni milions of bundles..
      So nyaya ni kama barabara.. bundles ni kma nauli

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Месяц назад +3

      ​@@tichalamar19sawa ila hiyo nauli wameweka kubwa sana

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy Месяц назад

      Chukulia mfano huu:
      Kwenye simu yako kuna Bluetooth, ukikutana na rafiki yako anayetaka umtumie picha/video kwa Bluetooth, utalazimika kuwasha Bluetooth yako naye awashe ya kakw, mtafanya pairing kisha utamtumia hiyo picha au video.
      Sasa Bando ni ruhusa ya wewe kumruhusu kufanya pairing ili aweze kupokea hiyo picha/video. Na hiyo ruhusa unailipia, sababu Bluetooth inakula charge, na itakupasa uchaji simu yako kwa LUKU unayoilipia, so rafiki yako inabidi akusaidie hilo kwa naye kulipia kidogo kwa wewe kwenda kuchaji simu.
      Lakini pia kama kutumia watu vitu kwa Bluetooth ndo kazi yako, inamaana na simu itanunuliwa spesho kwa ajili ya kazi hiyo na utamuweka mtu(unaye mlipa mshahara) mwenye elimu fulani kuweza kuwatumia watu vizuri vitu kwa Bluetooth.
      Hivyo vyote ni uwekezaji na ni gharama na vitahitaji watu wanaopokea vitu toka kwako(picha/video) wachangie gharama ya kuwekeza na kuziendesha, vikiharibika kufanya services,etc.
      Sasa kwa hapa hiyo Bluetooth ndio Network/Internet ila kwenye Bluetooth wewe ndio mmiliki wa vifaa vinavyowezesha hiyo Network/Internet

    • @user-cs5dh3qx1u
      @user-cs5dh3qx1u Месяц назад

      ​@@ramadhanmahongole9293 biashra hiyo mtu wangu watu wanapiga pesa

  • @NestymwampambaMwampamba
    @NestymwampambaMwampamba Месяц назад +2

    Kumbe ndivyo ilivyo nilikuwa sijui Asanten nimejifunza kitu❤❤

  • @upendo1020
    @upendo1020 Месяц назад +3

    Tigo wameamua kutumia server kutoka Nairobi

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr Месяц назад +3

    Fiber optic cable

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee Месяц назад +3

    "The Ugly bird became beautiful" hao ndo TTCL Kwa sasa 😁😁

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад +8

    Safi

    • @visionstudios6804
      @visionstudios6804 Месяц назад +1

      Bado aujaelewa tu?

    • @froma3732
      @froma3732 Месяц назад

      Tatizo watu wapo kutowa makosa hata hawasikilizi na wakisikiliza hawafahamu hapo ndio Kuna tatizo

  • @MohamedBotto
    @MohamedBotto Месяц назад +8

    Kidog nipeleke simu kwa fund nilijua imehalibika 😢😢 kumbe

  • @MapundaJackson007
    @MapundaJackson007 Месяц назад +3

    Safi sana kaka sky Kwa kutuhabarisha kuhusu hii INTERNET sisi tusiosoma

  • @hashimalsaadat4905
    @hashimalsaadat4905 Месяц назад +1

    Hapo Chakufanya Nikutafuta Fiber Yetu Ili Tuepukane Na Usumbufu Kama Huu
    Nawasilisha

  • @jesuslovesyou.repent.4473
    @jesuslovesyou.repent.4473 Месяц назад +3

    Kidogo mtandao umerudi now.

  • @FredNgakala
    @FredNgakala Месяц назад +2

    Kwaleo uduma ipo sawa

  • @anthonykamkolwe5766
    @anthonykamkolwe5766 Месяц назад +1

    KAZI NZURI SNS

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 Месяц назад

    Noma

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 Месяц назад

    Huyu jamaa mungu kamjalia anajua mambo mengi sna

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 Месяц назад

    Salute SNS

  • @Zillionking627
    @Zillionking627 Месяц назад +5

    Daaaaa kwa sababu ya mtandao nimechelewa sana wa 65 leo 😢😢😢😢 like zenu 😢

    • @chikundeboy9450
      @chikundeboy9450 Месяц назад +1

      Zitakusaidia nini😂😂

    • @Zillionking627
      @Zillionking627 Месяц назад

      @@chikundeboy9450 😂😂😂 wewe

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Месяц назад

      ​@@Zillionking627🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад +1

    Tofati ya space x na fiber ni nini kwene hili swala je wote wameathiliwa kama no kwanini tuendee na fiber kwa maslahi ya wachache ?

  • @antonymwangi2093
    @antonymwangi2093 Месяц назад

    Pia kenya iko hivo

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 Месяц назад

    So excited! Mm swali langu nataka tu kujua hizi waya ziliwekwa miaka gan ivi pia ilichukua mda gani sabab izi kilometers kuweka waya tena za majini inahitaji maelezo kwa kweli. Thanks. May be pia zinawekwa usawa gan wa bahari kutoka nchi kavu na inahitaji njia maalum kuzipitisha ama vepe?

  • @Kidabitangassa
    @Kidabitangassa Месяц назад +1

    Aliekata huo waya naenda kumloga

  • @katambomangale2185
    @katambomangale2185 Месяц назад

    Kenya tunaita chemistry jamaa anajua sana

  • @AkexLamek-vv1cv
    @AkexLamek-vv1cv Месяц назад +3

    wa kwanza mimi kutoka Congo Lubumbashi

  • @pineapplemelodymaster
    @pineapplemelodymaster Месяц назад +2

    Airtel fresh tu

  • @mosescharles1921
    @mosescharles1921 Месяц назад +1

    Hivi hawa watu waliyobuni internet wana hakili za kawiada au Kuna kitu Mungu katuficha

    • @JumaNgeni-ld5yb
      @JumaNgeni-ld5yb Месяц назад

      mwenyezimungu anasema elimu aliyotupatia ni kdg sana chanzo cha elimu muumba wetu

  • @mulinzikelvin
    @mulinzikelvin Месяц назад

    Dhaa iyo hali huwa inatokea sanaa kwa wagawaji wa intenet kupitia fibre optique kampuni ya cico nakumbuka mwaka juzi pa Burundi tumesumbuka tena sanaa wajikaze wabadili izo fibre optique zawo kama zimesha choka
    Sisi tulio somea département ya ingénieurie et technologie ( génie et gestion de télécommunications.) Iyo tunaelewa kiuraisi

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 Месяц назад

    TTCL wapo vizuri

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 Месяц назад

    Huku kwetu fresh

  • @Kts-news
    @Kts-news Месяц назад

    Pole sana 255 😢😢

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Месяц назад +1

    Interneto haijarudo 😂😂😂❤

  • @yahyatweitin
    @yahyatweitin Месяц назад

    Smart information

  • @user-oq8hw1et9r
    @user-oq8hw1et9r Месяц назад +1

    Ali anajua kila kitu 😂

  • @Gallo_Decoration
    @Gallo_Decoration Месяц назад

    Airtel kidogo ikopoa

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Месяц назад

    Ufafanuzi mzuri sana

  • @shabanzege3050
    @shabanzege3050 Месяц назад

    Kuna halotel ni nomaaaa sana nawasanua wanaaaaa

  • @aisha_mohammed5825
    @aisha_mohammed5825 Месяц назад +1

    Kenya ATleast

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Месяц назад

    big up sana millad

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar Месяц назад +1

      Huyu Sio Millad Bro Uyo Ni Sky Millad Kacopy Uku Utangazaji🙌🏻🙌🏻

  • @KAMTUPE
    @KAMTUPE Месяц назад

    Nipo hapa. Na sky.

  • @hosamhilary1877
    @hosamhilary1877 Месяц назад +2

    Sasaa si alisema huyu kuwa tatizo lilitokana na Solar storm? Naona aliwahi sana kutoa sababu bila ya confirmation.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 Месяц назад

      Hizi chanel za yohama, na vingine vya magetoni sio wakuwaamini sana.

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 Месяц назад

    Halotel ndio inapiga kazi aisee nimeangalia hadi mpira

  • @user-jh9yv1zp1l
    @user-jh9yv1zp1l Месяц назад

    Dah huy jamaa ally masud anajuw san kuchambua

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA Месяц назад +1

    Ama Malawi haipo Afrika???? Huo ni uwongo wanapitisha magendo yao hivyo ndio Afrika hii

  • @vintz338
    @vintz338 Месяц назад +3

    Mbna halotel ipo fresh saiv

  • @oketchmusic4838
    @oketchmusic4838 Месяц назад +1

    Ally masubi anajua Kila kitu 😂😂😂

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Месяц назад +1

    Ali masubi ni mtaalamu wa kila kitu kumbe

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Месяц назад

    Mbona zilioasirika zaidi ni voda na airtel na ndy zina 5g

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 Месяц назад +2

    Huyo ally masub haku asichokijua, jan amesem unternet imesababishwa cjui na madude gan, leo anausem mkongo

    • @Dienacademy
      @Dienacademy Месяц назад

      Hahaha anajua nadharia kwa kusoma tubmaandiko ila anakurupuka kutoa taarifa kabla ya kufanya research ya sababu husika inabidi awe makini kabla hajatoa clarification ya kitu baada ya kufanya research

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 Месяц назад

      @@Dienacademy yaan anasoma habar za google na kujifany anatoa taarifa lakin uhalisia kuna vitu ving saan anatakiwa awe mbobevu ndo aseme,

  • @maemusic1590
    @maemusic1590 Месяц назад +1

    #sns @sky Kigali Rwanda pia Kuna tatizo tokea Jana... Nilijua tatizo from your brother.... Mungu awazidishiye

  • @abubakariramadhani1372
    @abubakariramadhani1372 Месяц назад

    Ok

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Месяц назад

    Jitahidin mnunue cm
    Maana mm natumia Voda na cjaona hiyo hizo cku zote mnasema nawaangalia tu

  • @Whitegsm
    @Whitegsm Месяц назад

    Wa kwanza ❤

  • @rejius11
    @rejius11 Месяц назад

    Uyu jamaa ana uelewa wa hali ya juu sana, unaweza kuelewa na ukashindwa kuelezea watu hata wasio na uelewa ila sio kwa uyu jamaaa, hata kama huna elimu ya kutosha utaelewa tu.
    Apewe maua yake

  • @boaziamos1224
    @boaziamos1224 Месяц назад

    Mmmh na jyo solar Storm nayo ilikua ni nin
    Hapo dj sma sjaelewa

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 Месяц назад

    Ally yuko vizuri ila ingeshawishi sana kama iyo voice yake isingekua inatoka kwa njia ya simu yani itoke kwa voice ya kweli mfano kama ulivorecord

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 Месяц назад

    Hivi ni Mkongo Au Mkonga wa Intaneti

  • @waporimediatv5627
    @waporimediatv5627 Месяц назад

    Juzi mmesema solar storm leo mkongo umekatika

  • @anthonychristopherelachi7014
    @anthonychristopherelachi7014 Месяц назад

    Kenya lanterns napatikan

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 Месяц назад

    Mpaka leo jumanne 14/04/2024 inasumbua sna

  • @infinitydecor3157
    @infinitydecor3157 Месяц назад

    Tigo unyamaaaaa

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 Месяц назад

    Hapo inabidi utupe somo juu ya setelilsoti

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Месяц назад +1

    ✌️👊👍.

  • @snkhannassoro2404
    @snkhannassoro2404 Месяц назад +1

    Sns,,
    ni MKONGO au MKONGA???

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Wik nzma itarud

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h Месяц назад +1

    Airtel ndio mtandao ambao Internet iko sawa kuliko mitandao yote

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Месяц назад

    Wangekuwa wanatupa taarifa mapema kama tanesko wanavyo fanya ili watumiaji wa internet wasiingie kwenye hofu mpka wengine kuvunja cm zao kupeleka kwa mafundi wakizani ni mbovu

  • @hansharuna
    @hansharuna Месяц назад

    Ila juz masubi ulituambia mionz ya jua ndio ime7bisha network kudhindwa kufanya kaz

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 Месяц назад +4

    Tigo watapata wateja sanaaaa

  • @Tacherasasi
    @Tacherasasi Месяц назад

    Nini kazi ya satellite

  • @evemurugi3399
    @evemurugi3399 Месяц назад +1

    Nani alieweka kwa sea wire ,na Samaki waki haribu ,kwa kweli sinjui mambo mingi

    • @smarttv4184
      @smarttv4184 Месяц назад

      Ni ngum.sana samaki kuharib kwasabab huo waya una upana wa takriban 32cm uref wa rula lakn huo waya unaosafirisha data ni unene wake ni kama unywele wako...ina maana kawaya kanakofanya kazi kanarindwa na layer nying sana na ni kembamba sana

  • @godfreykeita9804
    @godfreykeita9804 Месяц назад

    Naomba namba ya Ally Masub, nmtumie hela ya maji

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 Месяц назад

    Ally soud ni mwamba san

  • @AkexLamek-vv1cv
    @AkexLamek-vv1cv Месяц назад

    hapa Congo Sisi tupo vyema kabisa Japo kuna itilafu kidogo piya ila siyo sana

  • @SheikhIssaAbnau
    @SheikhIssaAbnau Месяц назад

    Mwanzo Mulimdharau Mkwa mnasema sheet Sana. Ila watanzania tabia Yao wakiwa hawakujui hawana mpango na wewe

  • @jacobletema3681
    @jacobletema3681 Месяц назад

    Uliosababisha au unaosababisha? bado hakuna internet

  • @frankfortidas4683
    @frankfortidas4683 Месяц назад

    Jitahid tumuone ukimuhoji live na siyo tu sauti yake

  • @rojatv167
    @rojatv167 Месяц назад

    Hii nyimbo inqyo piga mwisho inatiwaje

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Месяц назад

    Yani ally masudi anajuwa Sana Sana mashalah..Yan ni msomi Sana anajuwa Kila kitu ..Yan huyu ni msomi haswa

  • @CROWNMEDIAKE
    @CROWNMEDIAKE Месяц назад

    Mbona mimi huku dubai yangu inafanya banaa

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA Месяц назад

    Malawi hapa tuko vizuri sana inamaanisha Malawi seakom haipo?

  • @kirungekirunge5920
    @kirungekirunge5920 Месяц назад

    mjue german ilillalamikia putin kawazingua wasiiffiche waseme kweli wamelikologa watalinywa

  • @TunuAdam-gc9rc
    @TunuAdam-gc9rc Месяц назад

    Natumia airtel iko poa tu

  • @MohamedAves
    @MohamedAves Месяц назад

    Ambao hatujaelewa hata kidog si tupo 😂

  • @a-africastudios225
    @a-africastudios225 Месяц назад

    Ni ungo kusema kuwa kutumia starlink ni ghali zaidi kulinganisha na cables...
    Research na urudi tena...

  • @user-ek4js1zk5c
    @user-ek4js1zk5c Месяц назад +1

    Ali masubi

  • @SadamHakizimana
    @SadamHakizimana Месяц назад +1

    Lakin sisi watu wa burundi tunatumia vizuri ilo tatizo liko uko uko kwene au na sisi tutafikiwa

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 Месяц назад

    mbona ali kila kitu anakijua

  • @michaelfrancis-ln9wt
    @michaelfrancis-ln9wt Месяц назад

    Watu wanatumia Mkongo sana Mpaka Mkongo Umeharibika sasa

    • @tyivbra
      @tyivbra Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂