Tuombe Amani - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 219

  • @KennedyLudovicky
    @KennedyLudovicky 2 месяца назад +165

    Kama umekuja kutizama wimbo uu baada ya mambo yanayotokea chini Kwa sasa like hapa, kisha tuendelee kuiombea Amani Nchi yetu 😢😢

  • @OBAMAMMAREKANIMASSAWE
    @OBAMAMMAREKANIMASSAWE 2 месяца назад +63

    Kama ume kuja hapa tarehe 12 MWEZI 9 2024 na ume guswa na uhu wimbo na ulikwepo hujui kama Kuna nyimbo kama ihi tz gonga like 😢

    • @ngoshakulwa8348
      @ngoshakulwa8348 2 месяца назад +3

      Mi nimekuja tarehe 14.09.2024. Wimbo umebena jumbe mzito na haujachuja

    • @JosephNgussa-r9r
      @JosephNgussa-r9r Месяц назад

      Mungu atujalie tudumu na amani yetu

  • @JulianaNduhiye-rm3jt
    @JulianaNduhiye-rm3jt 8 месяцев назад +22

    Wimbo mzuri,wakati wa Magufuli ulikuwa bado kipindi hicho,Bora Magufuli alimlilia Mungu,Pumzika kwa amani John Magufuli😢😢

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 2 месяца назад +40

    Kama na wewe umekuja huku mwezi huu like

  • @rayjay7017
    @rayjay7017 Год назад +98

    Wangapi wamekuja hapa baada ya kupata chorus pale TikTok

  • @janethngowi9171
    @janethngowi9171 5 дней назад

    Naenda kupiga kura muda si mrefu kumchagua mwenyekiti wangu wa mtaa
    Mungu tunaomba amani

  • @SelinaHankungwe
    @SelinaHankungwe 9 дней назад +1

    Barikiwa huduma ya kimungu

  • @rachelkihaka9204
    @rachelkihaka9204 2 года назад +33

    😭😭😭 wimbo super ila kwa sasa Bora hayati Magufuli

  • @noelaedward3503
    @noelaedward3503 Год назад +12

    Bora hayati magufuli

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 Год назад +13

    Huu wimbo ukiusikilza indeep afu ukamkumbuka Magufuli unaweza ukalia😢

  • @veronicambithe5640
    @veronicambithe5640 2 года назад +31

    Wakenya nasi tuombe Mungu atupe kiongozi aliyebora, mwenye Hekima, Busara na atakaye linda Amani kwa nguvu zake zote. Hallelujah.. Amina.

  • @IssaMgeta-ej6ue
    @IssaMgeta-ej6ue 2 месяца назад +12

    Niwaone Waliyo kuja kutizama wimbo uuhu Baada Ya Mambo yanayo endelea inchini tujuane...❤

  • @CastorySangee
    @CastorySangee Месяц назад +7

    Ambao wameguswa na wimbo huu tuktane hapa❤

  • @LITTACUEA
    @LITTACUEA 2 месяца назад +11

    Tunaomba Mungu atujalie Jasiri kama Mzee Magu .

  • @andrewmukuru6357
    @andrewmukuru6357 Месяц назад +5

    Maombi kwa inchi ya Jamhuri ya Kenya!!!!!!!

  • @BarugizeJustine
    @BarugizeJustine Год назад +4

    Dah😢😢😢 tutakukumbuka sana rais wetu hayat jpm mungu azidi kukupumzisha salama..

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 Год назад +10

    Kwa kweli, Bora hayati nyerere, na Bora hayati magufuli, MUNGU atupe replace ment

    • @jamessamwel9456
      @jamessamwel9456 2 месяца назад

      Hajamtaja dictator uchwara wako hapa😂

    • @bundaman8542
      @bundaman8542 Месяц назад

      Sisi tumeutizama miaka mingi. Na wengine wanautafsiri vinginevyo. Mchungaji Abiudi Misholi ni mtu wa haki maana historia ya maisha yake

  • @marselinadena7618
    @marselinadena7618 10 дней назад

    Mchungaji Abihudi Misholi, mwenye mahubiri magumu yanachoma, usipofanya shingo ngumu ukimsikiliza na kuyatendea kazi mbinguni unaingia, asante pastor

  • @euginemudaki4805
    @euginemudaki4805 Год назад +6

    Ni Antony Mejah Kutoto kutoka Kenya, napenda wimbo huo, Nina imani Mwenyezi Mungu atanijalia kuwa Rais wa Kenya siku moja. Amina.

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 2 месяца назад +3

    Huu wimbo umenigusa licha mm sio mtanzania ila nakumbuka tulipo hingia Tanzania kwakua 1966 mkapa ndo yupo ushiwani wazazi kipindi icho wanahiyombea inchi yangu ya Kongo iwe na amani kama Tanzania ili turudi nyumbani, Mungu ikumbuke RDCongo ikumbuke pua TZ pamoja na bara letu pendwa Africa leo machafuko yapo mahali pote ila tukumbuke siwezi penda nyumba ya jirani iwe na machozi na mm niwe na machozi nani atahifazi mwegine 😢😢😢😢😢😢😢

  • @MashaSayi-ui7dz
    @MashaSayi-ui7dz Год назад +6

    MUNGU alilibariki TANZANIA yetu kupitia wimbo huu. Ahsante

  • @neemasamwel9545
    @neemasamwel9545 2 месяца назад +11

    Aiseee huyu baba aliona ya mbeleni au aisee nimejikuta nalia

  • @wahisiatv2871
    @wahisiatv2871 Месяц назад +16

    KAMA umekuja kuangalia tena tarehe 26/10/2024 tunaelekea uchaguzi like hapa

  • @elienteziryayo3767
    @elienteziryayo3767 Год назад +2

    Wimbo mzuri sana muwufanye cover muongeze magufuli kwajuu uyu wimbo umetoka zamani mbele magufuli atawale

  • @simonpetro3896
    @simonpetro3896 2 месяца назад +8

    Leo hii tarhe 24/09/2024 nimekuja kuisikiliza huu wimbo..dah...😢😢😢😢

  • @ThomasAidanKomba
    @ThomasAidanKomba 17 дней назад

    Naomba urudiwe tena na uwe na kikwete Magufuli Samia. Wimbo huu upewe Tuzo maalum.

  • @JescawaziriMwaikugile-n5c
    @JescawaziriMwaikugile-n5c 25 дней назад +1

    Ngoka like kama unaskiliza hii nyimbo 2024

  • @fabiankiio2638
    @fabiankiio2638 2 месяца назад +2

    Am a Kenyan but I really I miss the late John pombe Mangufuli

  • @PaulOrenge-eo4hb
    @PaulOrenge-eo4hb 2 месяца назад +5

    Wamama wanamlilia Mama Samia Suluhu Hasan,Bora hayati Nyerere,,Bora mheshimiwa Mwinyi,Bora Mheshimiwa Mkapa watamlillia Mungu.😢😢😢😢Majirani wetu Kutoka Kenya Amkeni wacheni Kutishwa Kenya 🇰🇪 yawahimiza

  • @sarahsulle9722
    @sarahsulle9722 2 года назад +7

    Tanzania yangu nakupenda sana

  • @FloraRwiza
    @FloraRwiza 19 дней назад

    Kama na Wewe umesikia wibo hu na ujaja uku kama Mimi like kwangu na comment

  • @stewardjohans9989
    @stewardjohans9989 Год назад +3

    Bora magufuli piaa ❤ much love

  • @MariaNsajigwa
    @MariaNsajigwa 22 дня назад

    Huu wimbo kwasasa ukisema niuweke uimbe ntapelekwa jela Mana Sasa hatujiamini

  • @morismwandogo8595
    @morismwandogo8595 Год назад +3

    This song reminds me of my late father!! 2006 as we were always listening to our small radio.

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 2 месяца назад +2

    Mtukufu rais John pombe mangufuli continue Resting In Peace 😢😢😢

  • @abeidsabuni5026
    @abeidsabuni5026 2 месяца назад +1

    Hakika la msingi tumuombe Mungu atupe amani.... Tuchague amani Kwa maana ndio msingi wa maisha yetu.... Japo mambo hayapo sawa!!!!!!

  • @lucykimario5550
    @lucykimario5550 23 дня назад

    na kweli tunamlilia Mungu tukikumbuka ya nyuma

  • @rahmaally9159
    @rahmaally9159 4 месяца назад +2

    Tanzania nchi yangu 🙏tunaomba amani 🙏

  • @GodwinMgongo-xi2bm
    @GodwinMgongo-xi2bm Год назад +4

    Umetisha Sana mcha mungu ubalikiwe

  • @plasmascreen2459
    @plasmascreen2459 2 месяца назад +1

    Kama umekuja hapa kwa sababu uliona huu wimbo kauposto kigogo tujuane ❤❤❤

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 месяца назад +3

    Kweli roho mtakatifu anajuwa mambo ya unabii huu wimbo ulitabili mambo yanayoonekana sasa

  • @EmanuelAllan
    @EmanuelAllan 2 месяца назад +2

    HAtimae Leo tumeukumbuka huu wimbo😢😢😭😭

  • @jerbinmosha2095
    @jerbinmosha2095 12 дней назад

    Nyimbo nzur sana 2024 kwameku

  • @ChristinaKiria-r2j
    @ChristinaKiria-r2j Месяц назад

    Tujuan tuliokuj Leo hii tareh31/10/2024 kuisikilz huu wmbo, Mungu atulindee

  • @bundaman8542
    @bundaman8542 Месяц назад

    Wenzako tuliona na tunaufahamu miaka mingi. Tunamfahamu Mch. Abiudi Misholi mtu na historia yake ya wokovu. Hana mrengo wowote ni mtu wa maana sana . Anaimba kuwekeza imani yake mbinguni na siyo duniani

  • @veronicadaudi-f2z
    @veronicadaudi-f2z Месяц назад

    Nahao ndio walikua viongoz wazuri baada ya hapo akaja magufuli stor ikaishia hapo ya kupata kiongoz mzur mweny kujal maslai ya taifa na cyo binafs😢😢mungu awalaze mahali pema peponi😭😭🙏

  • @JustineAloyce-lu8ux
    @JustineAloyce-lu8ux 2 месяца назад +1

    Kama upo unausikiliza huu wimbo 2024 tujuane

  • @FelixKiomoka
    @FelixKiomoka Год назад +1

    Bora Nyerere Bora mwinyi Bora mkapa Bora ayati magufuli😢😢😢 ao wengine wapite ivii☹️

  • @GraceMandara
    @GraceMandara 2 месяца назад +1

    Tupo tunalia sasa Samia anatunyosha 😭😭😭😭. Mungu ibariki TANZANIA mwakan kweny uchaguzi😭🙏🙏🙏🙏

  • @sarahfisoo5689
    @sarahfisoo5689 2 месяца назад +4

    Huu wimbo umenitoa tiktok hakika kuna unabii unaenda kutimia kutoka katik wimbo huu tunakilasababu ya kuiom bea hili taifa nchi imevurugika sahiv,,,, 😢😢😢😢😢😢

  • @jenniferalfredy4316
    @jenniferalfredy4316 2 месяца назад +1

    28/9/2024 Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu🙏

  • @LITTACUEA
    @LITTACUEA 2 месяца назад +3

    Kweli bora pia Baba Magufuli

  • @HannahElykana-k2z
    @HannahElykana-k2z Месяц назад

    Mch.Abihud Mungu akujarie sana nyimbo zako zina ujumbe mzr

  • @mossesramadhani501
    @mossesramadhani501 Год назад +5

    Bora magu

  • @apostledr.peterkathalu4465
    @apostledr.peterkathalu4465 2 месяца назад +1

    I like your music ministry Man of God. Great grace upon you.

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 2 месяца назад +1

    Wow!what a nicely soloist ❤❤❤❤❤

  • @jumasaimon8647
    @jumasaimon8647 2 года назад +4

    Ubarikiwe uzidi sana sana katika huduma mwana wa misholi

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 2 месяца назад +1

    Tunahiitajiiii amaniii Tz yetuu 😢😢😢😢mungu tusaidiee

  • @mbalilax162
    @mbalilax162 2 месяца назад +1

    Wimbo wa maana kabisa!!....2025 gonna hit more!!

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 2 месяца назад +1

    All the way from tiktok ❤❤❤❤

  • @AnisiaKamala-nq1yk
    @AnisiaKamala-nq1yk Год назад +2

    Mungu ibark Tanzania ata inch zingine🙏🙏🙏😁

  • @JosephNandi-k9g
    @JosephNandi-k9g 24 дня назад

    Amina kwa wimbo wa ushauri

  • @DevothaEdward-zb4nr
    @DevothaEdward-zb4nr 2 месяца назад

    Mungu aendelee kulinda nchi yetu

  • @MarthaTaigo-ok5st
    @MarthaTaigo-ok5st 2 месяца назад

    Haki kwa kweli Baba aliimba nimekumbuka yanayo endelea nimeutafuta huu mwimbo 😭 The way Watanzania wanavyo lalamika na kulia juu ya mambo mbalimbali yanayo endelea Nchini lakini tuzidi kutiana moyo kwani Mungu Yuko upande wetu daima

  • @naomikabalika876
    @naomikabalika876 2 месяца назад +1

    EeMungu tuhurumie wa tanzania😭😭😭😭😭😭

  • @RobertChengo-o2w
    @RobertChengo-o2w 2 месяца назад +1

    Natokwa na machozi ndani yangu.
    Huu wimbo JAMENI

  • @RachaelNyerere-tt6qz
    @RachaelNyerere-tt6qz 2 месяца назад +1

    😭😭😭 napenda hii wimbo sana I wish Kenya kungekuwa hivi aky tungekuwa mbali ki financial

  • @RichardBoniphas-zm7yj
    @RichardBoniphas-zm7yj 2 месяца назад

    Ehhhee Mungu ingilia kati taifa letu viongozi hawalindi amani zaidi tunazidi kulia machozi Tena mazito ehhheeee Mungu tupe Musa sahihi kwakuwa hatuhitaji mengi kwakuwa umetupatia tupe rehema baba

  • @Carolinempoyola
    @Carolinempoyola Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @Emmanuel-b4g1n
    @Emmanuel-b4g1n 3 месяца назад +2

    Hakika wimbo huu wani bariki,na wanihimiza kwa maombi.🇰🇪🇰🇪🙏🙏

  • @josephtula5525
    @josephtula5525 Год назад +1

    Na tunalia kweli maana hatuelewi nchi inaendaje kwa sasa 😢😢

  • @JenniferJophrey
    @JenniferJophrey Месяц назад

    Leo tareh16/mwenz wa10 nimekuj kutazam huuu wimbo nimelia San ukatili jis unavy endelea juz mtaan kwetu mmama kamuuwa mtoto wa jiran yake kamkatakat na paga

  • @HannahElykana-k2z
    @HannahElykana-k2z Месяц назад

    Mwenyez tujarie Aman nchi kote

  • @StuartiMzava
    @StuartiMzava Месяц назад

    Mchungaji aliona mbali sana

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm Месяц назад

    Muuuuuh mungu asimame nasi

  • @KassimjumachangaChanga
    @KassimjumachangaChanga Месяц назад

    Wlimbo umenigusa sana

  • @ShukuAngel
    @ShukuAngel 2 месяца назад +8

    September 2024 bora hayati magufuli ila nyimbo imeniliza😭😭😭😭😭

  • @jacklineurmi2564
    @jacklineurmi2564 2 года назад +3

    Amani ipatikane kwa nchi zote

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 3 месяца назад +1

    nmependa huu wimbo uimbwe kila mahal ili watu wauckie..

  • @KenyanopinionTV
    @KenyanopinionTV Год назад +4

    Too bad Tanzanians didn't see that God was warning them about Jakaya Kikwete's administration. The man obliterated Tanzania and Maghufuli tried to repair the broken nation and some itchy person had to get him out of the way. Suluhu today is no solution and Tanzania has to sing... Bora hayati nyerere, bora mweshimiwa mwinyi, bora mweshimiwa mkapa, bora mweshimiwa pombe,... Pole sana ndugu zangu watanzania. Twawapenda toka Kenya.

    • @jamcomeir8503
      @jamcomeir8503 10 месяцев назад +1

      We nawe pita hivi...kwani hiyo nyimbo si alikuwa anaomba kiongozi ataelinda amani au hujasikiliza ujumbe wa nyimbo....haya kuna vita imetokea kwenye utawala wa kikwete? Pambaneni na hali zenu

    • @Baba-nm4qz
      @Baba-nm4qz 2 месяца назад +1

      We nae ni matako ya kuku nini,kama kuna Rais aliinua uchumi wa Tanzania ni Kikwete.Katika kipindi cha Kikwete hakukua na utekaji na wapinzani walipewa haki ya kukosoa huyo JpM kipindi chake watu wengi walipotea.

    • @Baba-nm4qz
      @Baba-nm4qz 2 месяца назад +1

      We nae ni matako ya kuku nini,kama kuna Rais aliinua uchumi wa Tanzania ni Kikwete.Katika kipindi cha Kikwete hakukua na utekaji na wapinzani walipewa haki ya kukosoa huyo JpM kipindi chake watu wengi walipotea.

    • @theemperor8229
      @theemperor8229 2 месяца назад

      ​@@Baba-nm4qz Chacha wangwe unamkumbuka, David mwangosi, Dr Ulimboka, Amina Chifupa??

  • @tadeibaraka6201
    @tadeibaraka6201 Месяц назад +2

    Nyimbo itaishi vizazi na vizazi😢

  • @alexapinde235
    @alexapinde235 2 года назад +3

    much respect to you man of God💪🕊

  • @KisakaSteve
    @KisakaSteve 2 месяца назад +2

    Ipo siku huu wimbo utaimbwa

  • @Maria-kp8oc
    @Maria-kp8oc 2 месяца назад

    Huu ni unanabii unaotokea kwa sasa ktk nchi yetu ya Tanzania 😢😢😢

  • @Big_47
    @Big_47 2 месяца назад

    Mungu ibariki Tanzania 🤲

  • @hosianamosha389
    @hosianamosha389 2 месяца назад

    Mungu Tunaomba Utuvushe Watanganyika Sawa na Zaburi Ya 23

  • @MariyamSimba-ub7lz
    @MariyamSimba-ub7lz 2 месяца назад

    Dah wimbo umeniliza kwa haya yanayoendelea ktk Nchi yetu

  • @AbeliSwila
    @AbeliSwila 2 месяца назад

    Aliona mbali sana mungu amubaliki abiud mishonali

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga Месяц назад

    Saiv ni bora magufuli ati

  • @emmymushaija
    @emmymushaija Месяц назад

    People of nowdays they don't like things that makes sense 🙄🙄😢😢 imagine how this song haven't yet get million of viewers and subscribers 🤔😔😔😔😥😰

  • @mnyilingatv
    @mnyilingatv 2 месяца назад +2

    Dah

  • @hildamakoi4906
    @hildamakoi4906 11 месяцев назад

    Mungu ibariki Tanzania 🎉

  • @minaaaldo.1510
    @minaaaldo.1510 2 месяца назад +1

    huu utabiri kabisa

  • @LucasArmandoArmando-wl3bt
    @LucasArmandoArmando-wl3bt 2 месяца назад

    kwa Kweli wimbo huu unaujumbe sana

  • @EliaPundugu
    @EliaPundugu 2 месяца назад

    Nabarikwa. Sana Mtumish wa mungu

  • @daudkimario
    @daudkimario Месяц назад

    Ipo vizur

  • @donniealex7676
    @donniealex7676 2 месяца назад

    Daaah ulikuwa mbele ya muda

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 2 месяца назад

    Mtumishi ulianza ukazeeka Kisha ukawa kijana

  • @ElizabethDamiani-mp7qn
    @ElizabethDamiani-mp7qn 2 месяца назад +11

    Huu wimbo nashindwa kupata TikTok nifanyeje

  • @richardesnath9822
    @richardesnath9822 2 месяца назад

    well done Mtumishi wa Mungu