KWANINI JAJI MKUU ANASEMA HIVI?/MHE. MPANGO NI MAKAMU WA PILI AU NI MAKAMU WA RAIS JMT.?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 окт 2024

Комментарии • 100

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 3 года назад +8

    Jaji mkuu anaupiga mwingi

  • @adamraphael1074
    @adamraphael1074 3 года назад +4

    Imeeleweka vzr

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 года назад +11

    CCM WAMEJITENGENEZEA KATIBA KWA MASLAHI YAO, KATIBA OVYO KABISA, TUNATAKA KATIBA MPYA.

  • @kasimumughuna201
    @kasimumughuna201 3 года назад +2

    Safii nimeupenda uchambuzi huu

  • @mussabinford9872
    @mussabinford9872 3 года назад

    Mpo vzr snaa big up

  • @dedankapongo7490
    @dedankapongo7490 3 года назад +6

    Stanislaus Lambat your the Best Presenter ever

    • @egdldm4981
      @egdldm4981 3 года назад +1

      This is my first time to listen to this program and to be honest, I have tuned to this program accidentally however I do agree with you that Stanislaus Lambat is a good presenter who has more room and space to do even better.

  • @hashimmziray7416
    @hashimmziray7416 7 месяцев назад

    kiitifaki yupo sawa Makamu wa Rais ni wa pili kiitifaki hivyo Rais ni Na .1 na Makamu ni NA.2

  • @blackwingsattorneys4986
    @blackwingsattorneys4986 3 года назад +6

    Neno Makamu wa Rais wa pili lilikoma mnamo mwaka 1995 baada ya kuepo kwa Mfumo wa vyama vingi. Ibara ya 47 ya katiba ya JMT inajieleza

  • @noelsiay6062
    @noelsiay6062 3 года назад +4

    Hati ya Muungano tunaijua!?, tumeona!? Tumeisoma!? Kuna jambo ndani yake

  • @yohanamhanzi6797
    @yohanamhanzi6797 3 года назад +1

    Mtafute Professor mwenyewe atufafanulie hili

  • @nelibaba
    @nelibaba 3 года назад +2

    Haya mambo yatawachanganya sana..

  • @deusdeditmganilwa2122
    @deusdeditmganilwa2122 3 года назад +4

    Huyu mwanasheria kijana yupo vizuri Sana.
    Anafaa kuwa mwanasheria mkuu wa serikari

  • @ayubunsajigwa3935
    @ayubunsajigwa3935 3 года назад +3

    Hivi mahakama na wanasheria Jaji mkuu akikosea harekebishwi ,Mara zote wamekuwa wakimsikia wamekaa kimya ,ina maana kuna ukweli uliyojificha ambao hauwezi kuwekwa wazi ,kama JAJI amesema kwa mazoea ya nyuma .Je ofisi ya JAJI halijaona hilo kumkumbusha ,

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 3 года назад +1

    Duh ww mtangazaji upo vizuri

  • @abdulfadhilsaid4327
    @abdulfadhilsaid4327 3 года назад

    Nimependa iii

  • @eagtbondelaamani.2952
    @eagtbondelaamani.2952 3 года назад

    Karibu EAGT Bonde la amani mpiji magohe Dar es salaam

  • @thomasbrotherscotractorslt1299
    @thomasbrotherscotractorslt1299 11 месяцев назад

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RogersKitua
    @RogersKitua 8 месяцев назад

    Katiba ya sasa haikufuta nafasi ya makamu wa pili

  • @fetehomar27
    @fetehomar27 3 года назад +3

    1

    • @salummsigiti6615
      @salummsigiti6615 3 года назад

      Jaji Mkuu satoshi japo, auditor kufundisha tu. Jaji Mkuu utakuwaje na kitete mbele ya Rais?

    • @salummsigiti6615
      @salummsigiti6615 3 года назад

      Arudi kufundisha tu.

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 3 года назад +4

    Mara tano zote? Basi hajakosea, ni makusudi kabisa. Na huyu ni Jaji na kwa hiyo anavunja katiba ya JMT kwa makusudi!!

    • @salummsigiti6615
      @salummsigiti6615 3 года назад

      Jaji Mkuu hajui idara ya 47 ya Katiba, tuko hatarini aisee.

  • @akyoofitiael8916
    @akyoofitiael8916 10 месяцев назад

    Muhulizeni jaji mkuu Ana maana gani

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 3 года назад

    Ni nzuri jaji mkuu atuweke sawa watanzania.

  • @abelkilumbu9205
    @abelkilumbu9205 3 года назад +1

    🙌🙌

  • @lucaskarawa8401
    @lucaskarawa8401 10 месяцев назад

    Katika Sheria ni kwamba mama Samia ndiye alikuwa makamu aliyechaguliwa kama makamu hivyo likitokea makamu kuwa rais basi atateuliwa makamu mwingiene hapo hakuna uchaguzi wote kikatiba ni makamu isipokuwa Moja raisi na mwengine makamu huo ni uwelewa wangu

  • @saimonmkindi62
    @saimonmkindi62 2 года назад +1

    Makamu wa kwanza wa Rais
    Wakati anatoka bara wakati wote
    Mzee sefu wakati wa Magufuli alikuwa ni makamu wa pili

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 3 года назад +1

    Akili Hana huyo mzee sijui kafikaje hapo duh

  • @tukutanebetheltv
    @tukutanebetheltv Год назад +1

    abduru wakili ndiye alichukua nafasi ya uraisi baada ya machafuko wala siyo mwinji

    • @mohdchuma78
      @mohdchuma78 Год назад

      Abdul wakil ni rais wa zanzibar wa awamu ya 4 na mzee mwinyi ni awamu ya 3

  • @patricmchuma2203
    @patricmchuma2203 10 месяцев назад

    Nadhani uyo jaji mkuu ana zingatia mkataba wa muungano ndio maana makamu wa rais anamtaja Kama makamu wa pili, nionavyo Mimi,

  • @miltonjohn1402
    @miltonjohn1402 3 года назад +2

    Wazanzibar wanaubaguzi Sana, ukitaka kuamini naenda zanzibar. Huko kwao zanzinzibar wanatubagua Sana watanganyika. Wanatuita machogo. Kupata nyumba ya kupanga kama ww siyo muislam ni shida. Wakati huku bara yanazurura tu kama mbwa.

    • @capteinchuimchafu7894
      @capteinchuimchafu7894 2 года назад

      Kweli kbca wasenge tu

    • @AhmadaTahir-cu8se
      @AhmadaTahir-cu8se Год назад

      Mshenzi mmoja wewe Pundaaa. Acha unaafiki wako wewee. Hapa nilipo Mimi kwenye nyumba Wazanzibari tumo wawili na Wabara wapo watatu tena wanatoka Bukoba na Kagera.

    • @AhmadaTahir-cu8se
      @AhmadaTahir-cu8se Год назад

      Na mwenye Nyumba no3Mzanzibari amabae kawaweka na tunaishi nao vizuri Sanaa. Sasa acha ujibwa wako mshenzi mmoja wewe. Kama ubaguzi unao wewe peke yako khaaaa. Na hao Wabara walipo hapa ndani woote ni wakiristo waenda Makanisani

    • @seifhabib5987
      @seifhabib5987 10 месяцев назад

      Mbwa Baba yako Mshenzi ww

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 3 года назад +2

    Nimependa mdahalo

  • @boniphacemwalikiamos4516
    @boniphacemwalikiamos4516 2 года назад

    Mbona Hamjatupa Mwisho wa/ kauli ya / Suluhisho Sasa kuhusu Kauli ya Jaji Mkuu. Mnatuacha hewani!🙈😟

  • @jamesassanga8581
    @jamesassanga8581 11 месяцев назад

    Jaji anaandikiwa hotuba na anaisoma kabla hajapresent,kama ni kosa iweje asome hivyohivyo?

  • @MORINGELOMANYAKI
    @MORINGELOMANYAKI 10 месяцев назад

    Yuko wapi basi huyo makamu wa rais wa kwanzaa? Mbona kama mnatufichaa?

  • @JimmyKisesi
    @JimmyKisesi 10 месяцев назад

    hapana kabsa waseme 2 ukweri huyu màkamu hari yake kabsa😂

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 3 года назад +1

    Asihukumiwe bila kusikilizwa, Kwa mujibu wa sheria

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 2 года назад +3

    MAKAMU WA KWANZA NI RAIS WA ZANZIBAR FULL STOP ,,BADO HAWAKUIFUTA NHIYO KWENYE KATIBA ILIOPITWA

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 3 года назад +2

    Nasubili uteuzi nimsikilize tena

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 3 года назад

    Dar 24, mpelekeeni Mh.Jaji kipaza sauti

  • @shamtaus6721
    @shamtaus6721 3 года назад +2

    Jaji mkuu anaweza kuwa mbumbumbu au zuzu. Hii ni hatari kwa utekelezaji ,ulinzi na kuhifadhi wa katiba ya nchi yetu.

    • @rafikim4976
      @rafikim4976 2 года назад

      real? kuwa mzalendo basi

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 3 года назад +3

    Hapa utata mtupu,nahisi viongozi warudi kwa Wananchi watuelimishe vizuri.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 3 месяца назад

    Ni Mzee umuli musimulaumu

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 года назад +3

    Yaani Mungu ameipatia kisiwa kimoja Tanzania imekuwa balaa je? kama angeipatia visiwa vingi kama Ugiriki sijui ingekuwaje ? Nathani ingekuwa songombingo maana Ugiriki ina visiwa vingi nawala hawana mzozo wowote ila kisiwa kimoja tu ndio wameshea na wa Turuki kiitwacho Syprus tu

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 3 года назад

      Cyprus

    • @jimmymnuano7165
      @jimmymnuano7165 3 года назад

      @@othumanlorenzo260 ile niliandika kigiriki

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 3 года назад +1

      Tanzania kuna visiwa vingi mno, vilivyo vikubwa ni ZNZ, Pemba na Mafia, ila kuna utitiri kwee Indian ocean

    • @raymondkavumo2921
      @raymondkavumo2921 3 года назад

      Unguja,pemba,mafia,ukerewe bado havijawa vingi tu?

  • @twahapeter3517
    @twahapeter3517 2 года назад

    TuJiulize kwanza kwanini jaji mkuu anaapisha wote Raisi Na Makamu wake ?Lazima kutakuwa Na makamu 1 .

  • @georgecharles6901
    @georgecharles6901 3 года назад +2

    Mjadala uko vyema sana, naufatilia vizuri

  • @leahmgunda177
    @leahmgunda177 3 года назад +1

    Imeandikwa katika katiba au ni maelezo tu!!??

  • @RambombusuleMachimu
    @RambombusuleMachimu 10 месяцев назад

    Pore

  • @margarethkitalu3105
    @margarethkitalu3105 2 года назад

    Sasa makamu wa kwanza Ni nani, na kama wa pili ... huu ni utata.

  • @luhunajrfidelis7172
    @luhunajrfidelis7172 3 года назад +1

    Rais wa zanziba ndio makamu wa kwanza wa rais ni iko wazi

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 года назад

    Sasa hii ni dhahiri wazi kuwa vyeo wanapeana kishkaji na hata ukifikia wakati wa kustaafu wanajisahaulisha hivyo hatuna jaji kwa maana halisi hatuna mahakama inayosimamia sheria na ndio maana hata ukizungumzia katiba hawaelewi!

  • @mweisigepoul6803
    @mweisigepoul6803 3 года назад +1

    Nchi sasaivi inachapwa

  • @frbm1729
    @frbm1729 3 года назад

    Hui nchi inavyokwenda yawezekana Hata katika ishachakachuliwa maana viongozi wengi wamejaa viburi tu.

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 3 года назад

    Je katba ilufanyiwa malegebisho kupokea mfumo wa viama ving

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 3 года назад

    Jaji Mkuu na profesa wa sheria na mlinzi mkuu wa sheria za Tanzania amesema alivyosema. Angesema mwingine angepata msukosuko wa kutosha!! Hao wa Mahakama ukikosea tu Franc badala ya Frank ....watakuzodoa !!

  • @benswai8099
    @benswai8099 3 года назад +1

    Uchambuzi wa kisomi kwa kweli

    • @francismsisi3799
      @francismsisi3799 2 года назад

      Hapa inawezekana ni sawa kikatiba Rais huchaguliwa kiawamu,awamu ya 6 tutafsiri haina Rais ila aliyepo bado ni makamo wa Rais na huyu nae ni makamo wa Rais, kwa hiyo ndiyo kusema hii awamu ya 6 kuna makamo wawili. Na kwa tafsiri hii ikiwa kisheria itakubalika Rais ndiye makamo wa kwanza na makamo wake atakuwa makamo wa pili wa Rais.
      Lkn waandishi wa habari wangefika kumuuliza Jaji mkuu awatafsirie kwani kuuliza siyo ujinga na pia siyo tusi.Ahsanteni kwa mdahalo murua

  • @maxwellking9399
    @maxwellking9399 3 года назад +1

    Kwa ufupi ni kuwa Jaji Mkuu yuko absolutely wrong - Kwani hakuna nafasi ya Makamu wa Pili wa Rais. Binafsi nashangaa na kusikitika kuona kuwa serikali imeshidwa kumuwajibisha. Na tukumbuke Jaji Mkuu ni Mtu msomi, ni professa wa sheria, akionekana kama mtu makini hivyo huwezi kutegemea kufanya kosa la hovyo kama hilo mara zaidi ya nne kwenye kadamnasi ya watu wasomi.

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 3 года назад

    Hizi nafasi mbili za makamu wa rais wa kwanza na kazi yake na makamu wa rais wa pili na kazi yake naona kama hapa huu mfumo wa utendaji kazi wa makamu hawa ni ufujaji wa pesa za wananchi maana kazi yao ni moja.

    • @davideliachim6275
      @davideliachim6275 2 года назад

      Nadhani ndio maana ikaitwa serikali ya umoja wa kitaifa. Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar yupo kwa ajili ya kuhakikisha wapinzani(ambao ni wengi pia karibu walingane wa chama tawala) wanakuwa na usemi katika utekelezaji wa shughuli za serikali kupitia mtu wao kuwa mshauri mkuu wa rais kwenye utakelezaji wa shughuli za serikali yake(Ilani ya chama tawala iliyopewa dhamana na wananchi walio wengi) kwa manufaa ya wananchi wote.
      Makamu wa pili wa rais yeye yupo kwa ajili ya kumsaidia rais kwenye shughuli anazohitaji mtu atakayezitekeleza kwa namna ambayo serikali itakuwa imeleta maendeleo, ila ni chama tawala pekee ndio kitapata sifa ya kuleta hayo maendeleo kupitia watu wake kuonekana ndio waandaaji na watekelezaji wa kila kitu..Mambo ya wanasiasa hayo ya kupenda sifa ili kila akatano zikikata uwaongezee ulaji🤣🤣

  • @jafaryally2037
    @jafaryally2037 2 года назад

    Mjadala nimeupenda, lugha gongana lakini kuna maana yake ndani yake tuleeteni upande wa pili

  • @kiatu
    @kiatu 2 года назад

    Sasa hao majaji, wasomi pia wanakwama au wanakwamishwa na nini?

  • @elipidtesha5466
    @elipidtesha5466 3 года назад

    Ulim kuteleza ni kawaida.kibinadamuu

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 3 года назад

      Sio ulimi kiteleza bila shaka kuna jambo nyuma yake.

  • @haidaris.kalunga9541
    @haidaris.kalunga9541 3 года назад +2

    Awamu ya sita haijafanya uchaguzi. Makamu wa kwanza ni Mama Samia,baada ya katiba kumpa kiti Cha urais ameteuliwa mhe. Mpango bila kuingia ktk kampeni za uchaguzi. Awamu hii ambayo wabunge wanahudumu imekuwa na makamu wawili. Raisi ni mmoja kwa vile yule ametangulia mbele za haki

    • @athumanijuma3085
      @athumanijuma3085 2 года назад

      Mbona hata Magufuli hajafa mbona jaji alimtaja Samia kama makamu wa pili?

    • @peterkabeke362
      @peterkabeke362 Год назад

      Jamaa vip ww

  • @jacksonkalinga7148
    @jacksonkalinga7148 3 года назад

    @27:50 😆😆

  • @epson5446
    @epson5446 3 года назад

    Kawawa alikoma umakamu wa pili wa Rais mwaka 1977

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 3 года назад

    Si mfuate jaji mkuu mumuulize

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 10 месяцев назад

    Live goose on i need Tanganyika

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 года назад

    Kwahiyo makamu wa kwanza ni nani sasa?

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 года назад +1

      Mwinyi

    • @doubleimpact9749
      @doubleimpact9749 2 года назад

      Hapa walikuwa watutegulie kitendawili kwa kumfuata Jaji mwenyewe lkn sidhani kama jaji atalizungumzia itabakia kuwa ni siri yake mwenyewe tu

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 3 года назад

    Makamo wa kwanza na wa pili wanatambulikaje ktk katiba ya jamuhuri ya Muungano?

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 3 года назад +2

    Sasa kiitifaki mbona inakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano ndiyo namba 1,namba 2 makamo wa Rais bara, namba 3 anakuwa Rais wa Zanzibar,namba 4 Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Sasa huyo Makamo wa Rais wa kwanza wa Rais ni nani?

  • @jamaljiddawy6636
    @jamaljiddawy6636 2 года назад

    Neno hilo liliibuka wakati wa Magufuli. Samia anaendeleza alicho kikuta

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 3 года назад

    Hii Katiba inatakiwa kupitiwa upya. Ni lini Mtanganyika ataweza kutawala Zanzibar? Tumeona Wazanzibar wamepata fursa mara mbili kututawala Watanganyika. Ni vyema kama likitokea ombwe la U Rais wa Tanganyika tufanye uchaguzi upya.

  • @saimonmkindi62
    @saimonmkindi62 2 года назад +1

    Makamu wa kwanza wa Rais
    Wakati anatoka bara wakati wote
    Mzee sefu wakati wa Magufuli alikuwa ni makamu wa pili