"HAKUNA KUKAGULIWA CHETI BARABARANI" POLISI NA VIONGOZI WA MADEREVA WAFIKIA MWAFAKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 18

  • @JosephTibu
    @JosephTibu Год назад

    sawa tunashukuru kutoka congo 🇨🇩 lubumbashi

  • @RomanAloyce
    @RomanAloyce Год назад

    Safi sana ila tuwaombe waonqe na uonqzi wa vyuo vya udereva wapunquze ada hali ni mbaya sana uku lak 5 kwa Dereva ni kubwa ukilinqaniaha na posho tunazopata wakuu

  • @abelimembe6990
    @abelimembe6990 Год назад

    Safii mkuu

  • @helbertharrison8725
    @helbertharrison8725 5 месяцев назад

    Changamoto ya kutestiwa upya wakati wa kulenew leseni msiikalie kimya

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 Год назад

    Kiongozi Mkuu safi sana

  • @nkilatv6307
    @nkilatv6307 Год назад

    🙏 Saf sana

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Год назад

    Rambeni Asali kwa Kisi?? Viongozi wa hovyo haki ya madereva Tz haitopatikana mpaka kiyama??

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 Год назад +1

    Hii ilikuwa ni kampeni tu ya kututoa kwenye njia baada ya kuibuka sakata la sumu

  • @Mcchejoz
    @Mcchejoz Год назад +1

    👀

  • @rashidismail6593
    @rashidismail6593 11 месяцев назад

    Mimi nimepeleka copy ya cheti na cop ya leseni mwaka Jana mwezi wa 11 temeke yule mama alinifukuza Kama mbwa anaitaji cheti original dahh niliumia afu nimetoka mbali kweli

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Год назад +1

    HIZO LESENI HUWA WANATOA WAO ALAFU AWAZIAMINI WAO WENYEWE...NA KURENEW WANARENEW WENYEWE HII NI AJABU SANA SANA

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 Год назад +2

    Mimi nimesoma kabla y chuo cha NIT kuanza.cheti kilikuwa kina sainiwa na Rto kipindi hcho. Kwahyo vyeti hivyo vitakuwaje?

  • @AbdallahRashidi-b2d
    @AbdallahRashidi-b2d Год назад

    Tumesoma vetta toka mwez w 5 bado hatujapewa vyeti vyetu inakuwaje mkuu

  • @RamadhanJuma-ej7bf
    @RamadhanJuma-ej7bf Год назад

    Tupeni oloza ya hivyo vyuo wengine tulisoma zamsni itakuwaje

  • @juliussagati1395
    @juliussagati1395 Год назад

    Nahitaji kupata kopi ya kitambulisho change Cha Taifa no yangu 19770508151090000126

  • @RomanAloyce
    @RomanAloyce Год назад

    Safi sana ila tuwaombe waonqe na uonqzi wa vyuo vya udereva wapunquze ada hali ni mbaya sana uku lak 5 kwa Dereva ni kubwa ukilinqaniaha na posho tunazopata wakuu