UKAGUZI WA VYETI NA LESENI ZA UDEREVA KUFANYIKA NCHI NZIMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 107

  • @ameria2332
    @ameria2332 Год назад +2

    Mi wa 1 kucomment.Kweli mmefanya vizur, labda ajali zinaweza pungua, make wengi hawajasomea na wanaendesha ovyo, pia madreva waongeze umakin aisee ,Tz ajali zimekithiri mno.

  • @Kasimabbas-gg4bv
    @Kasimabbas-gg4bv 8 месяцев назад

    Mkimaliza ukaguzi wa leseni,tunaomba sana,Mkuu,Mama Samia,tuangalieni sana hii Sekta,ya udereva,inashida sana,hatujaliwi mmetusahau sana

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 Год назад +1

    Watangazaji mumejipanga kuuliza maswali hongereni sana

  • @SalumuAthuman-zy9ug
    @SalumuAthuman-zy9ug Год назад

    Huku Moshi iko tofaut Sanaa wanataka chet og lessen og chet Cha awali lesen ya kitabu navingine vingi Kwa ufupi mosh ni wasumbufu

  • @Maajidabdillah
    @Maajidabdillah Год назад +2

    Ao ndio wanoonewa maisha yote magar ya private hayasumbuliwi wakat ndio weng wanaoendesha sabab kwao iko tu ila hawajui sheria za barabara

  • @stevenkisinda
    @stevenkisinda Год назад +1

    Pia na udereva mzuri ni ule mtu kapitia garage kukujua chombo Kama kucheki oil kwenye enjin kucheki maji haidrorik kucheki Breck kucheki mfumo wote wa engen then kuingia balabalani kujua njia yaani utandiboy huyu anakuwa makini sana hata gali ikiwa inagonga kitu frani anajua Hawa waliopitia shule Hawa ndo tunawakita serenje na denjahili wamelimwaga zigo la mteja

  • @laulymo2063
    @laulymo2063 Год назад +1

    Watangazaji mnazo sifa zote maana mnauliza maswali mazuri sana

  • @JosephBwanali-dr3dp
    @JosephBwanali-dr3dp Год назад

    19:22 Ajali zina mambo 3 , Moja miundombinu ya barabara, Kafala zilizo kithili kwa viongozi wa juu na wafanya biashara, na kwa sehemu ndogo sana kwa theluthi ni uzembe wa meendeshaji . Selikari ijipange kutanua barabara ,na watu ifike atua viongozi kuacha makafara barabarani . Munataka kumpa dereva makosa wakati uzembe upo kwenu ? Punguzeni uchawi na kuwanga mabarabarani

  • @mremoney6276
    @mremoney6276 Год назад +5

    Madereva walio wengi waliotoka huko veta na n.i.t ndo wanaosababisha ajali😏😒

  • @ramadhanichuka3583
    @ramadhanichuka3583 Год назад

    Braza unauliza maswali mazur kwel sana

  • @QuietNajma-tu8rt
    @QuietNajma-tu8rt Год назад

    leseni mmezitoa wenyewe kama karanga saizi mnasema vyeti na hela za madereva zimetolewa na huwezi pewa leseni na tra kabra ujapita kwa veco mwandishi hongera sana kwa maswali na pia miundominu ya barabara zitanuliwe

  • @YusuphHemed-vv9bp
    @YusuphHemed-vv9bp Год назад +1

    Kiupande wangu hii ngoma ngumu, ngoja tuone mwisho wake

  • @SamweliSamweli-gf4cs
    @SamweliSamweli-gf4cs Год назад

    Daah serikar yetu kwa kweli sisi madavo ambao hatuna cheti Cha veta munataka kutuweka mtaloli family zetu zitakula nn na kuanza kwema veta Napo ni muda angarie fanyen mudir Bora na mabasi ss maror mu2ache2 watu wengi hajasoma veta 2mesoma kitaani

  • @Waziri-zm2rw
    @Waziri-zm2rw Год назад

    Hongereni watangazaji kwamaswali mliomuuliza kwaufupi ilizoezi wangesubili kipindi chakulinyuu licence ndio waulize sivii kwamda walioweka nimdogo sana madereva niwengi kuliko Walio na kazi

  • @ramadhanyusuph4426
    @ramadhanyusuph4426 Год назад

    kuna sababu nyingi sana zinazo sababisha ajari chakwanza barabara zetu sio nzuli kabisa micholo pia shida kwaiyo iyo plan walioanzanayo sio sahii wangesubiri adi siku inaisha lesen ndo waje na mpango wao ila apo wanakuja na plan ya kuongeza rushwa michoro inafutika ukuti imechorwa tena kazi sana mama anakazi sana kunyosha watu wake

    • @fidemgonja1966
      @fidemgonja1966 Год назад

      Sasa ivi tochi tupa kule nimwendo wa chateni chatano au cheti ukitoa cheti atka barua huna toa maokoto desembar hii

  • @georgenewa3458
    @georgenewa3458 Год назад

    Tumekuelewa mkuu

  • @binkhalifa6956
    @binkhalifa6956 Год назад

    Wazee sijakutana na watangazaji wenye maswali kama nyinyi ebwaanaee hongereni

  • @ibrahimkadibo810
    @ibrahimkadibo810 Год назад

    Leseni na vyeti haviendeshi gari, gari lina endeshwa na binadamu ambae amepitia chuo tena cha serikali sheria zote anazijua lakn kutokona yeye ni binadamu na kazi kashaizoea ndo analeta mazoea had kwenye maisha ya wengine hapo ndipo ajali hutokea..mi nishaur mdili na matendo ya huyu dereva lakn msidili na makaratasi na hiv vikad hakuna kitu mtagundua zaidi ya kunyanyasa watu tu humo mabarabarani.

  • @nurdiniathumani9388
    @nurdiniathumani9388 Год назад

    Ongeza sauti

  • @mwapachukikombe2083
    @mwapachukikombe2083 Год назад

    Mimi nilisoma veta 2003 Tanga sasa ,iyo time ata afande yupo chuo moshi ,waangalie new driver

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 Год назад

    Duh na hao warundi na wanyalwanda vyeti vyao vya shule ipi na ipi kutwa nzima tunao rold tz akisababisha ajali mtac hunguza chuo Gani alichosoma acheni izo ninyi

  • @kilyneymar3653
    @kilyneymar3653 Год назад

    Kwa dar wanakagua wapi

  • @sadickkalinga3182
    @sadickkalinga3182 Год назад

    Mm naona sio sababu ya msingi cheti hakiendeshi chombo nimtu mwenyewe lakini angalieni upande wa pili tz matajiri asilimia kubwa gari zao ni oldmodel hayapo salama, kwanini msizuie hasa magari chakavu yalioko barabarani? Pia matajiri wengine gari yake new model lakini hayana kiwango kizuri hasa systems ya breack hasa mchina zuieni hivo kwanza ajari itapungua

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 Год назад

    Malori ni zaidi ya elfu8 labda useme elfu80 hapo kidogo unaweza ukakaribia makadirio

  • @SalumJuma-bv3wp
    @SalumJuma-bv3wp Год назад

    Huyo Askari hajitambui maana naona majibu alotoa hakizi hayana mashiko

  • @hamisimwangu-um2ej
    @hamisimwangu-um2ej Год назад

    Kwa maoni yangu,ni bora2 madereva kupimwa akili maana wengine wajua sheria na amesoma vizur lkn anavunja sheria hasa mabasi

  • @MichaelBalagula
    @MichaelBalagula 3 месяца назад

    Taratibu izo Zikichukuriwa kwa ufanisi Akika madereva wote watakua wariopita Vyuoni. Niwakumbushe viongozi. mpite na kwenye na kampuni. naviwanda. wapo madereva awana vyeti na Awajasoma. wapo uku mikoani. wakati sheria katika Ufanyaji Kaz zao. watu wanakufa Kira siku Kwauzembe wa madereva.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Год назад

    Huo ni ushuzi WA ngomani haukawii kuisha (bado hakuna lolote mlungula tu

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 Год назад

    Yeye mwenyewe huyu hatoshi kuwa kamishna elimu yake ni ndogo a inabidi arudie mtihani fom4 six na chuo tuone Kama atafauru

  • @SalumuAthuman-zy9ug
    @SalumuAthuman-zy9ug Год назад

    Kamanda hujui hujuichote

  • @suleimankhalfan8030
    @suleimankhalfan8030 Год назад

    Muda waliotoa ni mdogo

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo Год назад

    Labda Kama wanapambana na Jambo jingine ,lkn hii siyo sehem sahii ya kuanzia yaa huwa viongozi wengi Tz hawanaga plan isiyo leta kuonsha udhaifu wao, kwa mtu mwenya akili madhubuti na mwenye Nia thabit ,angeibua kizazi kipya chenye ueledi.

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 Год назад +1

    Mnatuletea ujinga wa zaman kila mwaka mtu akaguliwe cheti

  • @issayajacksonlaizer2253
    @issayajacksonlaizer2253 Год назад

    Chamuhimu bana mngewapa muda m dreva wasome wapate vyeti kwsb ghn vyote vinapitia kwenu apo saw iyo kama kamt itakosti

  • @IssaSaid-ru4cq
    @IssaSaid-ru4cq Год назад

    HAO ma askali NDIO wanasababisha AJALI KWAKUA Wana penda lushwa watoaleseni WATU AMBAO SIO MADEREVA sahihi hajui wajibu WAO nfano WAO wenyewe hawajui kuendesha hayomagali watutafute tuwa wape mikakati kunadereva anapewa leseni kulingana NA PESA zake SIO ujuziwake

  • @AbdallahMahupa
    @AbdallahMahupa 2 месяца назад

    Ombi kwasababu Leseni inamuda,kwanini wasisubilie muda wa kuliniu,au kuwena chombo kitakachoonyesha hiinireseni sahihi au sio sahihi.

  • @stevenkisinda
    @stevenkisinda Год назад

    Dereva hajasoma lakini anafikisha mzigo kwa mteja na hapotei

  • @khalfanially8156
    @khalfanially8156 Год назад

    LESENI MBOVU WANAPITISHA WAO WENYEWE, HAZINA NJIA NYINGINE YA UPATIKANAJI.

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 Год назад

    Swala lakupata nafasi za kusoma ni ngumu kwasababu MADEREVA tusiosoma ni wengi sanaaaa na hatupati nafasi za kusoma kwasababu shule ni chache

  • @Kasimabbas-gg4bv
    @Kasimabbas-gg4bv 8 месяцев назад

    Shida tena kusoma ni hela,dereva analipwa laki na nusu

  • @husseinkassimu2714
    @husseinkassimu2714 Год назад

    Inteki yetu kgm huyo afande ndio alikua RTO alikua anaingia darasani kufundisha anamchezo uyo ila wawape mda wakutosha madereva

  • @anzamenmunisi
    @anzamenmunisi Год назад

    Rushwa

  • @alphoncejuma9652
    @alphoncejuma9652 Год назад

    Ww huna maelezo ya kutosheleza

  • @EvalistTokwa-lw8hf
    @EvalistTokwa-lw8hf Год назад

    Mbona madelava waselikali wamesomea alafu wao ndyo wanaongoza kuvunja shelia pia wanaongoza kwa ajali

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад +2

    Asa mie nmekata lesen mwaka 2002 mpak leo ntakua nacho hiko cheti vha shule

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 Год назад

      mzee cheti cha udereva ni sawa na cheti cha form 4 au form 6

  • @janeaniceth4751
    @janeaniceth4751 Год назад

    Fukuza madereva wote wasio kuwa na sifa kamanda uko vizuri kuen sirias

    • @saidausi9917
      @saidausi9917 Год назад

      Shoga wewe utaishia ndani ya Tz mpk kaburi likufike unaongea Kama mvaa dera

  • @Kisase
    @Kisase Год назад

    Police anashindwa kujibu ipasavyo

  • @jamalduncan6069
    @jamalduncan6069 Год назад

    Wakitaka uchumi kuyumba wazuie,pili ajali huwa Askari ndo wanasababisha,mfano,kule mbeya wanasimamisha magari na kuyakusanya Kisha wanayaruhusu kwa pamoja.kwa Hali hiyo ajali sitaendelea tu.pia cheti sio udereva,wapo wenye vyeti Bali udereva wao ni mdogo

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Год назад

    Hamjui kuuliza maswali mgetafuta madereva wenyewe

  • @mansa_islam9898
    @mansa_islam9898 Год назад +4

    Acheni usenge! nyie endeleeni kula rushwa mkalee famila zenu...

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 Год назад

    Aslimia kubwa za Ajal ni mazingira ya barabara tanueni njia kama mtaona ajali

  • @alphoncejuma9652
    @alphoncejuma9652 Год назад

    Hawa polisi ndiyo tatizo kwa sababu ndiyo watowa leseni

  • @aureusmkadange9016
    @aureusmkadange9016 Год назад +2

    Haha nchi ngum San hiii ngoja tuone

  • @maximillianmayani5119
    @maximillianmayani5119 Год назад

    nadhani wangeanza na madereva wa serikali,maana hao ni chanzo kikubwa cha ajali huo ni ushauri tu

  • @JohTemu
    @JohTemu Год назад

    tunataka kuwakagua mapolisi vyeti vyao

  • @manenomkumba5205
    @manenomkumba5205 Год назад

    Maloli elfu nane sio kweli

  • @vincosmeticsmarvin
    @vincosmeticsmarvin Год назад

    😅😅😅😅 tanzania yetu ❤

    • @JosephMushi-jp2fs
      @JosephMushi-jp2fs Год назад

      Naomba kumuuliza afande jee kama nilikuwa na leseni faraja E na sasa siendeshi tena malori nitakuwa nafanya kosa kuendesha hari yangu ndogo?

  • @josephsaro6535
    @josephsaro6535 Год назад

    Ni usumbufu na uharibifu wa hela

  • @mussaezekiel9363
    @mussaezekiel9363 Год назад +1

    Kawau we ni mtu na nusu hii serikali inakulupuka Sana kwann wasisubili lesseni ikienda kuhakikiwa ndo wakague

    • @AllyMtalika-i9n
      @AllyMtalika-i9n Год назад

      Achaivoo YAANI wafatilie kwanza haki za madereva ndio waje ktk cheti

  • @alphoncejuma9652
    @alphoncejuma9652 Год назад

    Yoyote mwenye leseni inatakiwa awe na cheti kama sheria inasema hivyo

  • @alphoncejuma9652
    @alphoncejuma9652 Год назад

    Acheni mambo ya kihuni kwani hao ambao wanaleseni madalaja hayo mengine wanasababishia ajari madereva ambao ni mahiri hizo leseni nyingine zimetolewaje

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 Год назад

    huyu muandishi ana akili sana kwenye kuuliza maswali

  • @maximillianmayani5119
    @maximillianmayani5119 Год назад +1

    mkae mkijua hao wa gari binafsi pamoja na madereva wa serikari ndio wasababishaji wakubwa wa ajali barabarani haswa madereva wa serikali wakiwemo polisi waona kama wao wapo juu ya sheria huo ndio ukweli

  • @JohnJohn-gm7yb
    @JohnJohn-gm7yb Год назад

    Dereva bongo hana mtetezi

  • @nasrimohammed1666
    @nasrimohammed1666 Год назад

    Na kuna wale ambao bado tupo safarini tunaenda nchi za jirani na tunakaa zaid ya miez 2 itakuaje

  • @mwafyongomwamani-ug5td
    @mwafyongomwamani-ug5td Год назад

    Hawa matajiri mwaogopa .mbona hamumtetei huyu dereva kuhusu hajira yake? Hujue huyu anafamilia nanideiwaka

  • @jamessimkonda-ox8cb
    @jamessimkonda-ox8cb Год назад

    Madeleva wengi www auna mtoto ungekuwa namtoto wako nidreva usinge sema

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo Год назад

    Pia tulikotoka, Barbara zilikua chanzo kikubwa Cha ajali

  • @adaboythegreat1449
    @adaboythegreat1449 Год назад

    😮😮😮😮

  • @mussaezekiel9363
    @mussaezekiel9363 Год назад +1

    Huyo anajua madereva wa nchi hii wanazalishwaje na je hivyo vyuo wanauhakika kama ukienda kusoma utaelewa

  • @MichaeliSimwinga-c7d
    @MichaeliSimwinga-c7d Год назад

    Shida kubwa inasumbua kwa madereva wengi hawazingatii alama za barabarani

  • @sudmpanda7374
    @sudmpanda7374 Год назад

    Anamumumnya kamanda vp tena we jobu maswali kifasaha

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Год назад

    Mnatafuta Rushwa tu

  • @jamessimkonda-ox8cb
    @jamessimkonda-ox8cb Год назад

    Unazzingua chet akiendeshi gali

  • @AllyMtalika-i9n
    @AllyMtalika-i9n Год назад

    FUATILIENI KWANZA HAKI ZA MADEREVA. NDIO MUMALIZIE NA VYETI.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Год назад

    Vyeti vyenu vinakaguliwa na nani

  • @fredmanueck9292
    @fredmanueck9292 Год назад

    Mhalifu ni nani aliyetoa leseni au dereva maana dereva kadri anavyozidi kuendesha gari ndivyo anavyozidi kuwa mzoefu

  • @JohTemu
    @JohTemu Год назад

    wengi kama sio fff form four failure tu wengi wamejaa humo

  • @janeaniceth4751
    @janeaniceth4751 Год назад

    Ni bola kuwa na madereva wenye akili wawili kuuliko kuwa na madereva 1000 wasio jielewa

  • @olaismollel7162
    @olaismollel7162 Год назад

    Vyeti vyangu VYOTE NI VETA NA N.I.T LKN KAMA KUNA MADARAJA HAYATAKIWI KWANINI MNAMUEKEA MTU??? JIBU HAPA WASIENDELEE KUJENGA CHUKI BARABARANI TUNACHOKA ..WANGOJEE KWEYE KURENEW WAFANYE WANACHOTAKA

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo Год назад

    Kiukweli huyu jamaa Ni muhongo nahatufai Kwanza alihaibisha jeshi la Police kwa kusema uongo tulio wahi ku-renew SEMENI UKWELI KUNASEHEM ULIPIMWA ,MACHO AU ULEMAVU WOWOTE USIO ONEKANA?
    ¹ mim binafs hapana
    ²
    3
    4

  • @ibrahimally7637
    @ibrahimally7637 Год назад

    Nataka kuiambia serikali ya Tanzania iajiri watu kwaajiri ya kufikili . Kwanza mtambue hakuna reseni feki sawa . Kwanini nasema hakuna leseni feki nikwasababu pale unapo simamishwa na poli kwakosa la kuandikiwa fine ndo inapo julikana kwamba leseni ni feki hivyo hakuna leseni feki huo . Naleseni mnatoa nyie wenyewe . Polisi akili zenu sina imani nazo

  • @renatusmahombwe3093
    @renatusmahombwe3093 Год назад

    Think before act
    Serikali imebugi mahala flani
    Kwangu Mimi usumbufu kwa madereva+kutengeza mianya ya rushwa kwa wale waojiita watakatifu watakaosimamia zoezi hilo

  • @YusuphHemed-vv9bp
    @YusuphHemed-vv9bp Год назад +1

    Sawa na sisi madereva wa maroli tunataka kuyapaki maroli yote ili tukasome,
    Harafu mmechagua watu wa maroli na madereva wa ma bus, nyie wenyewe mnaondeesha magari binafsi mmejitenga, nchi ngumu hii dah😂😂

    • @ameria2332
      @ameria2332 Год назад

      🤣🤣🤣ila nyinyi mna vituko asee.

    • @YusuphHemed-vv9bp
      @YusuphHemed-vv9bp Год назад +1

      @@ameria2332 wanakera sana, leseni watupe wenyewe afu wanakuja kutusumbua hapa, we ngoja tuyapak tu iii tukasome

    • @ameria2332
      @ameria2332 Год назад

      @@YusuphHemed-vv9bp Haaya bhn ,mi napita 2 kusoma comments kufurahi na kukwangua vicheko mie.

    • @diesclaudio594
      @diesclaudio594 Год назад

      JAMAA amembana vzuri Sana wengi wapi safari wengine wapi mapolini wengine tupo saiti wengine vyeti vipo mbari